Mama Shadya jichunge maana Mungu si miungu, kwa maombi tutashinda nawewe utaayibika na ushirikina wako, Baraka& Mag Nae Violet Dumisha maombi tumefika mwisho!
Mponji unaboa sana unaniuzi bana kwa nin ulikua huskilizi ushauri wa mage alikuambia analogwa wew hukuskia Leo unamsaliti mkeo mage mungu yupo na yeye ndo kila kitu Leo unamfanyia ubaya dada wa watu na hali yake hio
Mm shadia razima aumbuke tu maana mungu harari WarA hasinzii Koo inatupasa kumuomba sana mungu. Mage na wifi Ake wapewe San nguvu ya maombi asate mashabiki wa mage na wifi akee🎉🎉❤💯🙏🥀
Daaah kwq kweli leo nimelia maggie anaongea n huruma mponji mungu akutudishe kwq maggie in Jesus name pepo la hajra litoke in Jesus name mwenye anasoma huu ujumbe tuombee mponji kwa pamoja😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi ni nzuri sana sana tena sana kutokea Australia, Mponji ili ni funzo kubwa sana kwa sisi wanawake tukiona waume zetu wanabadilika tusiwachukie ila tuwasaidie kama Mage anavyokusaidia wewe mpka mama Shadya mwishoe dawa inaishiwa nguvu
Mage nikikuangalia hilo tumbo nakumbuka wakati nikiwa na ujauzito wa watoto wangu.Mi pia huwa nakua na tumbo kubwa kama hilo.Na nakua smart kama hivyo . Mashaallah uko vizuri.Lakini mponji hapa kwa mateso paishe haraka bwana na Mage pia ajifungue.
Hongereni sana team Mponji mmetisha sana kazi zenu nzuri sana achana na mashabiki wenye roho mbaya siku zote unafanya vizuri wasicomment kukusapoti Leo inaenda wasivyotaka wao ety wanasusa sasa ndio nini...Endelea kufanya kazi Mungu atakulinda Mponji
Watu walikuwa wamemtukana Mponji wa watu maskini ona sasa elimu aliyotupa kama Ukiachana na mwanamke usimuweke karibu anaweza kukuharibu pia Mage ana makosa kusema wakae na mtoto wa aliyekuwa mke wa Mponji huruma nyingine ni mbaya
MZIGO HUU HAPA FULL HD NI MTAMU VIBAYA MNO.... ACHENI MAKASIRIKO WAPENZI MASHABIKI ZETU,MNAJUA KAMA NAWAPENDA SANA. LENGO LETU NI KUELIMISHA NA KUBURUDISHA. SASA HAPA MTAJIFUNZA MTEGEMEENI MUNGU NA SIO MWANADAMU MAANA BINADAMU ANAFARIKI
Duh jmn uchaw upo hili ni funzo kubwa sana wanaume wetu wanafanyiwa hivyo na michepuko wakirudi nyumbn makelel Tena mke ndani hufai mara chakula kibaya hivyo kumbe shda umeitafuta wew mwenyew mwanaume dah wanaume watu wabaya sana 😮😮
SHINDA YA MAGE ANAJIEDEKEZA MNO HATA MAFUZO YA KINA KUNGWI HAKUNA ALILOBEBA HATA MMOJA. POLE MAGE ILA JARIBU KUWA NAUVUMILIVU KWENYE NDOA YAKO KABULA HUJAONGEA KITU CHUNGUZA KWADHA SHINDA KDG UMETANGAZA KWA BARAKA SIRI ZA DANI NA MUMEO SIO ZA KUTOA KWA MASHEMEJI.
Ameen hongera Vai kwa kumuombea mage mungu akubariki, pia mage uschoke kuombea ndoa yako. Alafu ww mponji wasoma vtabu vya dini gan vinavo kwambia hakuna uchaw?
MNAJUA MPONJI NINAVYOWAPENDA SANA MASHABIKI ZANGU BASI NAOMBA MUACHE MIHEMKO NA MAKASIRIKO SAWA MASHABIKI ZANGU? TUPO KUWAELIMISHA ...MAGE KASEMA ANAWAPENDA SANA.
Malizeni kipindi hatupendi kuona mage akilia😢😢😢
Sikupendi sikupendi sikupendi mponji nakuchukua ujue 😢😢
Bora kiishetu mnamtesa mage😢😢😢
Yaani mponji nimekuchukuoa nimekuchukia zaidi muno sikutegemeq kbsa unabooooooooii stki kuona mage akilia😢😢😢😢😢😢
Lait ww kaka mponj ingelikua nip karib na ww ningekupig vipok 6 wallah sij penda sijapend
Tumwombee mage jamn Ana huyu adui anaejiinua apate kushindwa wanaoungana na mie tuweke like
Anjira ashindwe na alegee
Mama shaddy ameamua kuingilia mambo ya ushirikina ila atakuja kuumbuka, kama unaamini mama shaddy atakuja kuumbuka nipe like
Mashabiki WA Mage like Kwa wifi mi nimempenda, gonga like tumpe nguvu ya maombi wifi
❤
Mashabiki wa mage mko wapi tumpe like
Mage tunakupenda sana hongera
Mungu akubaliki binti uliyemuombea mage
Muponji leo nimelia kwa sababu yako kabisa kwanin unamunyanyasa magi wangu😢😢😢
Yaan mimi kwanzia Leo mponji nimemchukia sana sana
Tunaomba mage sajifungue salama arpuke na pingamizi za mama shadixa ngonga like tukisonga
Kwa kwl nimelia sana kwa hchi kipande, wallahi nimekmbuka mbali sana hadi choz limenitoka, pole sana da magee mungu aksaidie
❤❤❤❤wako wpi wale wanaomkubali mage kw maombi yke... mponji ajiahtukizia nyoko mpumbavu sanaaa mponji nkuchujia snaa unabebwa n uchawi
😭😭😭daaa binadamu
Mama Shadya jichunge maana Mungu si miungu, kwa maombi tutashinda nawewe utaayibika na ushirikina wako, Baraka& Mag Nae Violet Dumisha maombi tumefika mwisho!
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Mponji 🎉🎉
Alahumma Aamiin
Amin
Jamani wanne leo maajabu hebu weka weka ❤❤❤ mlio jitahidi kama mie
Yaani mpoji umenikela sana Leo mama shandy amekuwa mzuri yote aliyo kufanyia
Mponji leo umenitoa mudi wa filamu pôle sana mage😢😢😢
Pole sana daa mage hakuna penzi la dawa mwisho wa ubaya haibu hajira hutaibika tena sana😂😂 pambana na hali yako ya kuhuza mboga
Hongera sana kwa maombi umeweza mdada, Mungu akubariki sana
Mange mungu yuko pmoj na wewe na utazaa Salma kabsa
Namupenda mage sana mungu amup nguvu ya kuomba nauchindi
Mama shadya mwisho itakuramba wacha to Maggie kua na supra dada 🙏🙏🙏🙏
Merci baraka nawafata toka gongo tunampenda mage
Mponji unaboa sana unaniuzi bana kwa nin ulikua huskilizi ushauri wa mage alikuambia analogwa wew hukuskia Leo unamsaliti mkeo mage mungu yupo na yeye ndo kila kitu Leo unamfanyia ubaya dada wa watu na hali yake hio
Mm shadia razima aumbuke tu maana mungu harari WarA hasinzii Koo inatupasa kumuomba sana mungu. Mage na wifi Ake wapewe San nguvu ya maombi asate mashabiki wa mage na wifi akee🎉🎉❤💯🙏🥀
Safi sana baraka mwambie ukwel hyo mponji
Jasmine mungu akupe nguvu mumngu yupo nawe
Baraka siku ukiongea nikakuelewa Ni Leo uko sahii Sana haki mponji kalongwa,,,mange kz nzur sn ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mmmh mpomji had naumwa kweli uchawi umekuweza haya ngoja tuone.
Kwa kweli hatupoi safi sana hajira shetani ashindwe na alegee tunazidi kuwaombea ndoa yenu na jasmini
Ww mponji vp unatukera sana bwana
Mungu mlinde Maggie,mwepushe na hatari yoyote, ushunzi lazima atashindwa katika jina la Yesu
😂😂😂ushuzi😂😂
Kawifi kanaongea vzr kama kasura kake
Mimi nimeeuaha baadhi vipande😂😂😂
Malizeni kipindi mmeanza kulera Sasa tuleteeni kipjndi next
Nguvu ya mungu ipo ushirikina si kitu jaman mama shadya utaumbuka vibaya wewe
Mponji dawa zimekuingia kwel kwel uoni mabaya ya mama shady tena
Pole.sana.
Mponji umeniuzi 😢😢😢
Usijali mage mungu akonawe Tu hajira madawa yataishi guvutu
Vai n mrembo jmn adi wivu❤❤❤❤
Nimefurahi Mponji dawa za Hajra zimeisha nguvu Mage endelea kuomba hvy hvy
Hongera mponji umeshinda hapo nimefurai kwakweli Mungu yupo nimekpenda hiyo
Mponji wemAraya😅😅
Mponji umerogwa mimi siangalii tena hii movie umeniudhi
😢😢😢😢😢ata mm ameniboo sana
Mmmh yamekuwa hayo😮😮😮
Daaah kwq kweli leo nimelia maggie anaongea n huruma mponji mungu akutudishe kwq maggie in Jesus name pepo la hajra litoke in Jesus name mwenye anasoma huu ujumbe tuombee mponji kwa pamoja😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mponji acha ujinga unaniboa mb zang utazirudisha aky mama unamnyanyasa mage wangu
Mungu atakusaidia mage zidisha maombi mumeo kalogwa na harija omba sana mungu yupo atakusaidia
Hii movie nzuri sana muandaaji yupo vizuri
Pole mage mungu atakujaria utajifungua salama ❤❤❤
Kazi ni nzuri sana sana tena sana kutokea Australia, Mponji ili ni funzo kubwa sana kwa sisi wanawake tukiona waume zetu wanabadilika tusiwachukie ila tuwasaidie kama Mage anavyokusaidia wewe mpka mama Shadya mwishoe dawa inaishiwa nguvu
Wee mungu n mwema siku zote
Wa kwanza mm Leo jamniiiiiiii....
Vai na mage love you ❤❤❤❤❤
Mponji yaan umelishwa libwata 😢 wanitesea magee wangu 😢 sawa tu Mungu yuko atafanya njia🙏
Mimi nataka niwaelimishe jambo msikasirike basi haya mambo yapo unakuta mume kabadilika ghafla kumbe kapewa limbwata
😂😂😂😂 kwahiyo tufurahie unavyo mbadilikia mage😂😂@@darzone1020
Huyu mama shadiya yupo kama jasmini wa koneksion
Umenena
Kweli kabisa wala hujakosea
Mmeanza kutuboa
Aky mponji sijalia ila leo umeniliza akiamungu wallah tena kwenye geti na mage nakumbuka kitu nilicho fanyiwa wallah 😭😭😭😭😭🙆♂️
Mponji pumbavu zako acha kutesa Jasmin wangu kwa nin unatekwa na huyo shetani alionunua uchawi ili akuloge na wew unakuta mjinga huelew kua uchawi upo
Hapa sasa filam inaamza kuwa na utam kama umerudi kumpenza mama shadia hahhhhhh tutaona funzo hapa endelea tutawafuatilia mpaka mwisho 😂😂❤❤
Mage nikikuangalia hilo tumbo nakumbuka wakati nikiwa na ujauzito wa watoto wangu.Mi pia huwa nakua na tumbo kubwa kama hilo.Na nakua smart kama hivyo . Mashaallah uko vizuri.Lakini mponji hapa kwa mateso paishe haraka bwana na Mage pia ajifungue.
Mie siangalii mpk nijue mponji karud kwa mage maan inanitia huzun😢😢😢
Kwahiyo unasoma comment kwanza
hahahahaha mm acha nicheke km hivyo vidori ambavyo mmeweka hap vinachekexha 😅
Vai nakupenda sana kwaushauriwako ❤❤❤
hahahahahah ko mponji xx 2na mhemko et hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hongela balaka Leo nimeona unaakili
Hongera mdada endelea kuwaombea shetani yupo usibishe mage
Dahh nmeotaa machozi daah I know Maggie utashinda tu we pray for you 🙏🙏😥😥😥🧎🧎🧎
Hongereni sana team Mponji mmetisha sana kazi zenu nzuri sana achana na mashabiki wenye roho mbaya siku zote unafanya vizuri wasicomment kukusapoti Leo inaenda wasivyotaka wao ety wanasusa sasa ndio nini...Endelea kufanya kazi Mungu atakulinda Mponji
Leo mponji kanikera sana, da mage pole, hiki kitu nilifanyiwa hadi Leo sitamani kuingia kwenye ndoa
Kazi zuri 🎉❤ sana tuna jifuza kitu hapa
Mponji mwanamuke amekuloga na uchawi wa hali ya juu sasa unageuka zezeta Mungu weeee huyu mponji atafikiya wapi? Utakufa haraka Mponji.
Hongereni kwa kazi nzuri ilaa jitahidini muimalize mulete nyingine hii ishaisha ladha❤
Mponji umezoea kubabikwa hutaki vya halali
Afadhali Mponji Mungu amekusaidia umeanza kujitambua kama umerogwa maana bila hivyo ungemuumiza Mage sana
H nay mi ishanichosha
Duu pole Jasmine nakupenda sana
Watu walikuwa wamemtukana Mponji wa watu maskini ona sasa elimu aliyotupa kama Ukiachana na mwanamke usimuweke karibu anaweza kukuharibu pia Mage ana makosa kusema wakae na mtoto wa aliyekuwa mke wa Mponji huruma nyingine ni mbaya
MZIGO HUU HAPA FULL HD NI MTAMU VIBAYA MNO.... ACHENI MAKASIRIKO WAPENZI MASHABIKI ZETU,MNAJUA KAMA NAWAPENDA SANA. LENGO LETU NI KUELIMISHA NA KUBURUDISHA. SASA HAPA MTAJIFUNZA MTEGEMEENI MUNGU NA SIO MWANADAMU MAANA BINADAMU ANAFARIKI
Hongera kwa Kaz ila mumalize h muv jamon mutaharibu
Iko sawa achan na mashabiki hawajui mipango yenu
@AdelphineUWIMANA-f3z kunywa soda nakuja kulipa
@@TatuMkesoHii story Ina mwisho hatuwez kuacha njiani jmn ngoja tufikie mwisho mpate ujumbe uliokusudiwa
@@darzone1020haraka niione😂😂
Wakwanza❤❤❤
Jamen nimefurahi na film hii
Mponji mponji mponji Wacha kutesa mage ulikula kiapo ya nini
Hi move inafundisha sanaa me namwelewa sana mponji ❤❤🎉
Wanaume lkn hata Mimi nikiangalia mponji na mama shadya najipea moto nitarudi kq mapenzi wakwanza😂😂😂
Hahhhhhhh ok Rudi jmn😅😅😅😅
Ndio safi bandika bandua
Duh jmn uchaw upo hili ni funzo kubwa sana wanaume wetu wanafanyiwa hivyo na michepuko wakirudi nyumbn makelel Tena mke ndani hufai mara chakula kibaya hivyo kumbe shda umeitafuta wew mwenyew mwanaume dah wanaume watu wabaya sana 😮😮
Pole mage wetsuuu myegemee mungu snaa utafaulu hakun lisilokuw n mwisho dear nkupnda ❤❤❤❤❤
nafurahi hujachelewesha
Hongereni kazi yenu nzuri sana ina ujumbe mzuri haya mambo yapo kwenye jamii zetu
Akuna lisilowezekana kwa Mungu....iko siku mama shadya utajuta tu.... tunazidi kupata mafunzo mengi
Mage onyesha wanauke wako maombi mumeo afunguke
Hatulal n bandika bandua hongera mponji
Pole mage endelea kumuomba Mungu mponji kikombe unacho mpitisha mage walahi utakilipia
Jamani! akuna usuzu tena😂😂😂
Hy guess mm Leo wa kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuna penda mungu tupatiane like hpo bila kupita ukipita bila like utakuwa wewe ni wanani bila mungu
Pore sana mage mungu atakusaidia utajifungua sarama nahayo yote yamaisha
Muombe mngu atakusaidia na muponji atabaki kuwa mme wako TU mngu ndiye kira kitu
Dah ila mponji ww umeniumiza kwa kunitesea ma k wangu
@SalamaRajabu-c6h pole
Jamani 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
SHINDA YA MAGE ANAJIEDEKEZA MNO HATA MAFUZO YA KINA KUNGWI HAKUNA ALILOBEBA HATA MMOJA. POLE MAGE ILA JARIBU KUWA NAUVUMILIVU KWENYE NDOA YAKO KABULA HUJAONGEA KITU CHUNGUZA KWADHA SHINDA KDG UMETANGAZA KWA BARAKA SIRI ZA DANI NA MUMEO SIO ZA KUTOA KWA MASHEMEJI.
Shatan han nguvu za kushida mungu na utashindwa kwa jin la yesu
Kazi IPO mungu mkumbuke magge
Ameen hongera Vai kwa kumuombea mage mungu akubariki, pia mage uschoke kuombea ndoa yako. Alafu ww mponji wasoma vtabu vya dini gan vinavo kwambia hakuna uchaw?
Acha kuloga we mwanamke,,ila mage kipenz pole sana jmn mungu yupo pamoja nawe
Daaa jamani hiii inauma xana