DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 50....NJIA YA MUONGO NI FUPI..SIRI NI YA MTU MMOJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 270

  • @BalbinaStuut
    @BalbinaStuut Месяц назад +27

    Mage nakusalimia mama nakupenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @windaniel-r2z
    @windaniel-r2z Месяц назад +10

    Nakupenda sana mage unajua kumjibu hajira , pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Zubaiba
    @Zubaiba Месяц назад +12

    Eliza nimekupenda zaidi ya sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @elickaMatonya-n5i
    @elickaMatonya-n5i Месяц назад +3

    Pole sana mage mungu yup utajifungua salama

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai Месяц назад +17

    Naumia sana jinsi Mage anavyoteseka ila nimejifunza jambo kubwa sana kwenye hii episode kiufupi hii ni series nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt Месяц назад +4

    Hahahaa mage anayaweza kabisaa pale alipochukua viatu je kamfuata au hajamfuata nyumbani

  • @mustafamunga1620
    @mustafamunga1620 Месяц назад +33

    Mama shadya Anglia,mda si mrefu utaumbuka mdada wewe❤❤❤,kma unaamini ILo Eka makopakopa qpo tukisonga mbele

  • @AlfredMutua-v7w
    @AlfredMutua-v7w Месяц назад +13

    Kazi zuri sana wachawi washindwa ktk jina la yesu

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 Месяц назад +15

    Hii ni kazi moja kubwa mno ina mafunzo ya kila namna ina mafundisho makubwa ya kwenye familia zetu imegusa watoto pia, ushirikina,siri ni ya mtu mmoja,kama mtu alishawahi kukuumiza usimpe nafasi kwa haraka

  • @Justinaombay
    @Justinaombay Месяц назад +9

    Mage leo umenifurahisha

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Месяц назад +7

    Hajira umeumbuka😅😅😅

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад +5

    Eliza hulali wamoto moto hongera 😂😂😂😂😂😂nimekupenda Bure tu

  • @AaNn-y3i
    @AaNn-y3i Месяц назад +2

    Ongera sana eliza kwa kumuokoa daa mage siku zote uwambiwa hasie na mtu hana mungu nimeamini mponji shikamoo 😂😂

  • @aminandurya
    @aminandurya Месяц назад +5

    Pole sn daa Jasmn kwa yote unayopitia
    Muombe mungu kwa Kila Jmb
    Mungu hawezi kumuacha mja wake

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 Месяц назад +5

    Mage ❤❤❤❤umebeba mpaka viatu we noma, shindi afi atapata changamoto tu, mage ni mshindi

  • @NIYIZIGAMAJosephat
    @NIYIZIGAMAJosephat Месяц назад +19

    Jamani na mimi Leo nimewai naomba like ata moja 🇧🇮🇧🇮

  • @elizabethnafula
    @elizabethnafula Месяц назад +2

    Mungu Ni mwema uchawi umejulikana Eliza nakupenda bure mama siku zote Eliza hatusemangi uongo wapi makofi yetu❤❤❤❤

  • @KhadijaMnyazi-e6e
    @KhadijaMnyazi-e6e Месяц назад +5

    Pole sana mage cila hakuna marefu yasiyo kuwa n mwisho

  • @StellaAndeso
    @StellaAndeso Месяц назад +2

    Mage umenimbamba sana mvumilivu ula mbivu Mama pokea mau🎉🎉🎉🎉

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki Месяц назад +5

    Mage ❤❤❤❤❤bure 🎉🎉🎉🎉🎉yako hajra huwa hawezi kuficha mambo yake itamgharimu mponji unatuuzi kutunyanyasia mage shituka

  • @neemasamwel403
    @neemasamwel403 Месяц назад +2

    Asantee Eliza kwa kumfikishia ujumbe Mponji man alikuwa haelewi kabisa

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix Месяц назад +2

    Mageeeee oyeeeee nakupenda bureeee

  • @imanissa5531
    @imanissa5531 Месяц назад +2

    ❤ Eliza nakupenda sana ila imejifunza kitu hapo

  • @imanissa5531
    @imanissa5531 Месяц назад +3

    Tupe 51 mponji mungu ni mwema

  • @Norah-s9f
    @Norah-s9f Месяц назад +4

    Mwabieni mg afinge hayoatabara vizuri😂😂😂

  • @FlorenceWanjira-ct4lw
    @FlorenceWanjira-ct4lw Месяц назад +16

    😅😅😅😅😅😅😅😅 Maggy amenifurahisha kabeba na viatu

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад +2

    Kumekucha 🤣🤣🤣🤣 daaa Eliza hapo sawa nakupenda Bure ❤❤❤❤

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp Месяц назад +7

    Eliza weeeeee nakukubalia hapo Kwa umbea😂😂😂😂😂😂😂

    • @HhUhh-io8ix
      @HhUhh-io8ix Месяц назад +2

      Wallahi rafiki hakuna umbea tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @HalimaMlavi
    @HalimaMlavi Месяц назад +8

    Chukua zawad yako eliza🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JaneNanjala-p2r
    @JaneNanjala-p2r 16 дней назад +1

    Siku zote amtegemeae mungu hushinda nàamini mage ameshinda uchawi wake hajira😊

  • @MaombiPeter-j5g
    @MaombiPeter-j5g Месяц назад +6

    Hajra bwana ni dish tena la DSTV😂😂😂😂Hahaha halina akili😂😂😂😂

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 Месяц назад +3

    Hii mambo ya kurudiarudia viruka njia Ndio huleta hii shida zote pia Mungu hutumia wambea kuokoa maisha ya wengine

  • @RehemaMakita
    @RehemaMakita Месяц назад +6

    Safi sana mage unanitia moyo

  • @BundaraMaria
    @BundaraMaria Месяц назад +2

    Eliza unajitahidi kwaubea sihaba ila mungu akusamehe ila wewe kiboko kabisa❤❤❤❤❤

  • @AishaJafari-sh4pe
    @AishaJafari-sh4pe Месяц назад +7

    Waooooooooo elizaaa maua yakoo🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis Месяц назад +4

    Eliza we noma sana afazali umeokoa ndoa ya mage hongera

  • @veronicaonchuru
    @veronicaonchuru Месяц назад +5

    Mage mungu atangulie family yako

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад +2

    Ubaya ubwela mama shadya huyo

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 Месяц назад +3

    Hajra laana inakutafuna hadi kwenye maisha yako ya kawaida.

  • @HalimaAthman-p5d
    @HalimaAthman-p5d Месяц назад +4

    Mage uko vzr sana kwa kumpenda baba shadia

  • @AziziMfaume-p2d
    @AziziMfaume-p2d Месяц назад +3

    Eliza Asante umetuokolea mponji wetu

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Месяц назад +2

    Mponji 😂😂😂mbn ushakunja sura ss endelea kuenda kwa hajra ukafanywe kitoweo😂😂😂😂any way congratulations team mponji❤❤❤❤

  • @Gloris-v1b
    @Gloris-v1b Месяц назад +6

    Mme wangu amegeuka kama ivi vya mponji baada ya kuangalia hii move yake😂😂😂

    • @YungeLuhela
      @YungeLuhela Месяц назад +1

      😂😂😂

    • @Gloris-v1b
      @Gloris-v1b Месяц назад +1

      @YungeLuhela 😂😂 yaniuma ww ila sawa 2

    • @darzone1020
      @darzone1020  Месяц назад +1

      😂😂😂😂 Mwambie Mponji anasema sio vizuri

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix Месяц назад +2

    Mageee ugebeba viatu na tai😂😂😂😂😂😂 maua kwako mwana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 Месяц назад +3

    Mume ukimfumania hana nguvum😅mage umenifurahisha😅😅sana mauwa yako dada❤❤❤

  • @AdellaMwita-xz5zm
    @AdellaMwita-xz5zm Месяц назад +7

    Jaman nimewahi jamn daah siamini😂

  • @SalinaSherono
    @SalinaSherono Месяц назад +2

    Ongera sana Eliza mchawi siku yake ni moja tu

  • @funnymohammed1494
    @funnymohammed1494 Месяц назад +3

    Mponji akipona hadjila mpeni mwanae aondoke kwenye maisha yenu kabisa

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад +2

    Yani Eliza Yani hulazi habari za motomoto 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Thebossmama254
    @Thebossmama254 Месяц назад

    Yani nilikua sijaona macho ya mponji yakiwa bila miwani leo nayaona duu mage Utazaa kitoto kizur 😂

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi Месяц назад +2

    Hajira kwisha abari yako😂😂

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz Месяц назад +4

    Mungu amuonuwe mage ajifukuwe salama

  • @BinwaTiba
    @BinwaTiba Месяц назад +5

    Nakupenda bure eliza❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @emilymusimbi-n3x
    @emilymusimbi-n3x Месяц назад +1

    Hakika Mungu akupiganie Magy.
    Nguvu za mganga hazidumu ila Mungu yupo milele.

  • @BridgitWabwire
    @BridgitWabwire Месяц назад +1

    Eliza nakupenda bure my sister

  • @VeronicaDotto-w1u
    @VeronicaDotto-w1u Месяц назад +6

    Jaman kazi nzuri Sana ❤❤ tunaomba Ep 51

  • @mwanamksisoppah9325
    @mwanamksisoppah9325 Месяц назад +2

    Kwani mbn hatuoni ndani ya nyumbani kila siku😂😂😊😅

  • @VeronicaOtieno-u3f
    @VeronicaOtieno-u3f Месяц назад

    Elizaa 😂😂😂😂ako sawa

  • @wemasangasanga757
    @wemasangasanga757 Месяц назад +3

    Eliza nimekupenda bule 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce Месяц назад +3

    Movie nzur sana... mafunzo mengi sana

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr Месяц назад +2

    Nakosa cakusema hajira kweli sio mutu wakawaida magii jipe moyo yataisha

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo Месяц назад +2

    Kazi nzuri.Mage ajifungue basi na nyie.

  • @SusanaKelementi
    @SusanaKelementi Месяц назад +3

    Pole sana mage wangu kipenzi mwache mama shadya mwache na uchawi wake mda SI mlefu ataumbuka wewe pigania na mungu atajibu maombi yako

  • @TumainiUrio-k7o
    @TumainiUrio-k7o Месяц назад +4

    Yaani jaman nawapenda maana mnatuonesha uhalisia wa maisha

  • @AnastaziaBenjamin
    @AnastaziaBenjamin Месяц назад +12

    Pole sana mage hayo ni mapito tu

  • @darzone1020
    @darzone1020  Месяц назад +39

    MZIGO HUU HAPA FULL HD MAMBO NI MOTO 🔥🔥🔥 BALAAA ELIZA KAJA KUMWAGA MCHELE KWENYE KUKU WENGI KUNA HATARI HUKU NJOENI MUONE

    • @EmmanuelNzigo
      @EmmanuelNzigo Месяц назад +1

      Jamani kumbe kuna hari wambeya wanakombowa mtu eeh!

    • @RIZZYKENYA
      @RIZZYKENYA Месяц назад +1

      ​@@EmmanuelNzigo😂😂😂😂😂😂😂

    • @TatuMkeso
      @TatuMkeso Месяц назад +1

      Ko umeisha au bado

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t Месяц назад +1

      Ten mot wakuotea mbal hhhh

    • @MariaMbawa-p4z
      @MariaMbawa-p4z Месяц назад +1

      51ikowap

  • @umentco9600
    @umentco9600 Месяц назад +1

    Mage simama na mungu

  • @anthoniaanthony4573
    @anthoniaanthony4573 Месяц назад

    Mage umejua kumuweza mama shadia safi Sana.

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m Месяц назад +5

    Nice job team mpoji🎉🎉❤❤nawewe mama shadiya kita kuraba nasi bali😂😂

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 8 дней назад +1

    Hongera maggy❤❤❤❤

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 Месяц назад +2

    Mponji kula chuma icho team mage tuko pale👉

  • @zainakidile3826
    @zainakidile3826 Месяц назад +1

    Mama shadia umekwisha

  • @dorcusmutava1949
    @dorcusmutava1949 Месяц назад

    Eliza nakupenda xana na mshene yako..kaa mm

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l Месяц назад +1

    Kumekucha 🤣🤣🤣🤣 lete 51xaxa

  • @JaquelineMgeni
    @JaquelineMgeni Месяц назад +2

    An ukiwa haujui mv zip kutufunza hauangalii ten hii mv

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v Месяц назад +1

    Mauwa ya huyo dada 🎉🎉🎉🎉😢

  • @damakarisa7114
    @damakarisa7114 Месяц назад +1

    Hata mimi wangu yuko hivi ata vile nmeona hii movie nmejua ata sio kawaida labda yy kafanyiwa ile kitu.

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Месяц назад +2

    Mponji kula chuma hicho,,,utafanywa zezeta safari hii

  • @فاطمةالحويطي-ل7ت
    @فاطمةالحويطي-ل7ت Месяц назад +6

    Nimewai leo nipe like zangu

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan Месяц назад +1

    Mage anateseka ilasio kwaunene huo hongela Mage

  • @GrâceKavuho
    @GrâceKavuho Месяц назад +1

    ana na penina mage nenda uombewe

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Месяц назад +6

    Leo nimewai from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 listening 🎧🎧 naomba likes 🙏

  • @WinjonesKayemba
    @WinjonesKayemba Месяц назад

    Mambo ni 🔥 🔥 🔥

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 Месяц назад +1

    Mponji leo limemkuta jambo heeeee😂😂

  • @JanethLuhizo
    @JanethLuhizo Месяц назад +1

    Umeshushuliwa mama Shadya na Mage aibu shuu

  • @luckymilani8927
    @luckymilani8927 Месяц назад +1

    Leo mm wa mwisho

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Месяц назад +1

    Elza fridge lake haligandishi liliharibika😂😂😂

  • @RahabuKal
    @RahabuKal Месяц назад +1

    Jamani uchawi upoo🤔

  • @econienibogora8816
    @econienibogora8816 Месяц назад +3

    Mage chukua maua yako Eliza asante

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Месяц назад +3

    Dada mag pol san yanamwisho yot ayo

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Месяц назад +2

    Naona wakenya tupo tu watatu pia mmi vilevile ni..🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naimani amtashitwa na kutupa like jamani weeeeeh mponji rundi kwa mama kijasho wako usiwehivyo mponji ❤❤❤

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv Месяц назад +1

    Mama shadiya firiji rako hariqandishi kijitapa Kwako kwamaqe kuwa umemmiriki mponji kwisha habari yako😂😂😂😂😂 utaumbuka

  • @MariaMbawa-p4z
    @MariaMbawa-p4z Месяц назад

    Jamani mwendelezo Basi m aana nataka kumuona mponji amekuwaje

  • @FunnyBanjo-xm8cz
    @FunnyBanjo-xm8cz Месяц назад

    Jamani hhhh

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 Месяц назад +1

    Nimefurahi sana Leo kuona Mponji kajua kama Hajra anamroga

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr Месяц назад +3

    Jama maa shdya atkuja jutia vibaya

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di Месяц назад +3

    Mponji amekuaa ndondochi kwa kulishwa libwata na bi ushuzi

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda Месяц назад +1

    Hajira mimi napenda tu mavazi yako ya heshma

  • @rohdaphilip2470
    @rohdaphilip2470 Месяц назад +1

    Eliza nimekupenda San chua kwa maua yako🎉🎉🎉❤❤

  • @SheilaHabibu
    @SheilaHabibu Месяц назад +1

    mage nime kupenda bule