Najua mnapenda kuona tunanufaika na kazi zetu basi tunaomba mbonyeze hiyo link ya Facebook na mtufollow ili wezi wa kazi zetu aishiwe nguvu. Nawaomba sana. facebook.com/DAR.ZONE.TV?mibextid=ZbWKwL
Mungu n mwema sasa ndoa iko n furaha alafu mpoji na ww usikue n alaka tena kuambia mage tuende ndani tena mama shady ahaje ujawi amrudie Mungu na uaje kuitwa baba shady juu s wako
Wamwisho nikiwa kitandani nimelala naumwa kiasi ila nijambo la kumshukuru mungu ukuwa wangalia movie huku ukiwa uko na kioma kiasi 😂😂😂😂 jaman 😂😂😂 naomba like na mim nilalie😂
Ila nyie mnaodai kumuona mtoto kwani mmeambiwa ni movie au ni uhalisia jamani khaaaaaa ila wabongo mna balaa nyie apo mtamuona akiwa mkubwa tu 😂😂😂😂 Mage / Jazmine mbona umekaa vizuri kwenye kumkanyagia mtoto kichwani au kidonda bado kibichi, Hajira ni king'ang'a jamani khaaaaaa hata kama, alafu maisha yamekuzingua na bado unamiliki cm kubwa wewe yakuchape mpaka ubaki bila cm 😂😂😂😂acha wanga dada mrudie Mungu wako umekomaa baba Shadya😂😂😂😂 muache baba Nasri jamani
Naombeni mimi binafsi epsod inayokuja iwe final maana movie ishaisha ladha saiv naangalia movie napata usingz wakati nilikuwa naangalia movie macho makavu
Najua mnapenda kuona tunanufaika na kazi zetu basi tunaomba mbonyeze hiyo link ya Facebook na mtufollow ili wezi wa kazi zetu aishiwe nguvu. Nawaomba sana.
facebook.com/DAR.ZONE.TV?mibextid=ZbWKwL
❤❤❤
Hongera sana Jasmin salimia mtoto 🎉🎉🎉 nipe like bas
Kazi nzuri kabisa naipenda kweli ❤❤❤
Nakubali sana kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉
Nunamsukuru mage kajifunguwa salama wanaho kubali mponji laki apo mungu awabariki sana
WAKWANZA LEO NAOMBENI LIKE JMNII LOVE YOU MAGE❤❤❤❤
Hajra mwisho wa ubaya aibu malipo apa apa duniani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤
Leo nimewai mm wakwanza ku like na ku comment nipeni hata like 3 tu
Jaman tang niaza kungalia hii movie bado hamujapata like naomba NA mie munipee
Leo nimefika mapema patamu apo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mamashadia unaxkiaje 😂😂😂
C leo muniekee like watu wangu❤❤❤❤❤❤hajra aibu naona mm
Mahaba niuwe mashallah wenye wivu wajinyonge
😂😂😂we baraka na uharakishe sana tumuone shemeji na mwanao😅😅hakuna kuchelewesha acha uhuni labda umbeya utapoa😅😅😅😊😊🎉🎉❤❤nawapenda wote jamani😊😊🎉🎉❤❤❤❤
Hajira 😂😂😂😂😂rudi kijijini ukarime 😂😂😂😂
Jamani Jasmin usitoke nje bila kujifunika kichwa mbona ulivokuwa na mimba ulikuwa unajifunika mzazi anatakiwa ajifunike😂😂😂😂😂😂😂
Amerudi babgirl na mponji anataka tayari wapili😂😂😂
Napenda kuona mage akiwa na furah ❤❤❤
Mama Shadia acha ushirikina mama unaona unavikosa vingi ukiwa unajiona hahahaha
Penzi tamu mtoto akiwa❤❤❤❤ nawapenda sana mponji na. Margy ❤
Jamani mtoto wa mage mbona utumuoni sura jaman😅😅
Hajrah tup acha wivu ww mweheshimu make mzio ww mage songa mbele usife moyo moponji mweesim jasimin mpende sana mage congratulations
Mama shadya kimekuramba hicho 😂😂😂 kula chuma hicho kutoka kwa jadu big up...
😂😂😂hajra umeona vile hali yako inazidi kuwa ngumu
Mama shadia kutesa kwa zamu 😅😂
Hahahaa mnafurahisha kwa kweli
Hahaha mfukuze huyo muuwaji mama shadiya si mtu mwema kwako
Kama Kuna wanawake wapo Kama mashadia mjifunze kupitia hila daa pole Sana ma shadia
Ajira sio wa mpoji eda mwitie mwizi
Mponjiiii ❤
Baraka nawe leka mke sasa😂😂😂
Hobgera mponji
Akitaka mpe
😂😂wa kwanzaa
Nimefurahia kuona mkieda kliniki pamoja kazi nzuri Mponji but msiozoeane na ajira atawarogea mtoi
Ajira jinyoge
Tunaomba tumuone sura mtoto Mr mponji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu n mwema sasa ndoa iko n furaha alafu mpoji na ww usikue n alaka tena kuambia mage tuende ndani tena mama shady ahaje ujawi amrudie Mungu na uaje kuitwa baba shady juu s wako
Wangapi tulioangalia sana ili tuone sura ya mtoto na hatuoni jamani simtuonyeshe kidogo na sisi❤❤❤❤
Mlikawiya sana mlikuwa mnatafuta mtoto 🎉🎉🎉 ss mtoto klipata mumetuletea kipindi,ila wakati mwingine msikawiye sana
Mponji wema ulomfanyia ma shadia unatosha usijarib tena kumsaidia katu....asikufnye dhaifu just y shadia....congrats ❤❤❤❤❤ team mponji
❤ kwanza leo
Wee mama Nasiri ogera sana
Mama shadya mrudie mungu amtegemeae mwanadam amelaaniwa
Perfect sayyed madam ....... amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake 🙏🙏👌
Mbona mnachelewa
Jaman mama nasri na baba nasri tunataka kumuona nasri wetu ht sura tuone km koplait na mponji
Jamani tunaomba tuone sura ya pacha ake mponji maan barak kasem mponji mtupu ha masikio🎉🎉🎉
Hata hatusikii kanalia lia
Mponji mbona mtoto halii 😍
Bc mm nang'ang'ana kuona sura ya mtoto nione venye amefanana na mponji lkn wapi🎉🎉🎉🎉
Wamwisho nikiwa kitandani nimelala naumwa kiasi ila nijambo la kumshukuru mungu ukuwa wangalia movie huku ukiwa uko na kioma kiasi 😂😂😂😂 jaman 😂😂😂 naomba like na mim nilalie😂
Mchimba kisima hingia mwenyewe Sasa ndio mama hajira
Usikute mage amebeba mdoli 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 hebu kuwe watu wakubwa😂😂😂
Hongeren sana Kwa movie nzr yenye mafundisho MUNGU aendelee kupa maalif zaid wapendw❤❤🎉🎉🎉🎉
Mmmh jamn Hawa wazazi wakwenye mtandao bhn hata uzazi hawakai duh kwahy mage hapo kapona 😮 ila hongera
Next please 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hatimae Leo nimekuwa mtu wa saba kwa mara ya kwanza Toka nianze kuangalia hii movie
Mama shdya kimekushuka shuuu hahaha ubaya hauna kwao jirekebishe dunia imekuinamia huna raha ata kidogo😂😊
Mamashadi aliyakanyagaa
MZIGO HUU HAPA FULL HD MAMBO NI MOTO 🔥🔥🔥 MWISHO WA UBAYA AIBU MAMA SHADYA ANAHEMEA MIPIRA
Nataman mama shadya aumbuke
Hhhhhhhh at bado atajua ajui hhhhh kitamramb ty
Ataumbuka vibaya
Mwisho wa ubaya aibu
Ila nyie mnaodai kumuona mtoto kwani mmeambiwa ni movie au ni uhalisia jamani khaaaaaa ila wabongo mna balaa nyie apo mtamuona akiwa mkubwa tu 😂😂😂😂 Mage / Jazmine mbona umekaa vizuri kwenye kumkanyagia mtoto kichwani au kidonda bado kibichi, Hajira ni king'ang'a jamani khaaaaaa hata kama, alafu maisha yamekuzingua na bado unamiliki cm kubwa wewe yakuchape mpaka ubaki bila cm 😂😂😂😂acha wanga dada mrudie Mungu wako umekomaa baba Shadya😂😂😂😂 muache baba Nasri jamani
❤❤ mganga ni Mungu tu acha kwenda kwawaganga wakienyeji
mtoto toka alipozaliwa hadi leo hatujamskia akilia🤣🤣
Siyo mtoto wamefunga limdoli likubwa tu 😂😂
Kwann uwa unamsikiliza muwaji
Mim Jmn nataka nimuone kitoto😂😂
Mbona mtoto hamtuonyeshi au mnataka tumuone akiwa anakuja kutuomba trekta za ķunyolea ndevu ama,😂😂😂😂
Hajira weee rudia mungu wako hujaangaika bado😂😂😂😂
Ushuzi msumbufu jamani kunawatu hawajuikuachwaa
Hahaha kilasiku kiguu na njia mama shadya umeyatupa hahaha
Waooo mponji imekua baba bora😂😂
Ana iPhone kwa nini asiuze akarudi kwao😂😂😂😂
Hahaha
Malipo ni hapa hapa nenda nyumbani Dawa zimekufa
Mponji mume na baba wa mtu Hajira wewe
Mfukuze huyo mama shadiya
Yaan jaman huyu ushuzi ananikera kumfatilia mage na mponji
Ushuzi umeshaanza kunuka kila mtu anakumbia😅😅😅😅😅😊
Uakika atakomaje ushuzi
Haha mponji fuaaaaa
Baraka bana mponji mtupuuu😅
😅😅😅
Mage tuonyeshe katoto😅
❤❤❤❤❤❤nimefurahisha San
Ajira kinganganizi jamani
Mungu ndio wa pekee kwakweli tumtangulize kwa kila jambo letu
Mama shadya si uendelee na maisha yako bhana una boa etiii
Tuta muona mtoto akitembea na miguuu😂😂😂🎉❤
😂😂😂nakumbuka Baraka alisema utauza visivyouzika Hajira mrudie Mungu 😂😂
Ww mmk shadya, shadya ana babake mzazi mbona usimpeleke akamsaidie
Sura ya mtoto hatuon,tunataka kufananisha
Jamani mama shadya anatia huruma ila mwisho wa ubaya aibu
Lesson kubwa
Baba shadia sijapendezew shadia kukatish ndiyo zake sababu ya mamashadia mshezi sana
Mbona mtoto hats halii htumuoni Bibi show tu ndo naona
Mama shagia jadu pia uakutaki😂😂😂😂😂😂😂
Jamn mbn mtoto hauonekani
Mage hoyeee😅😅
😂😂nasir anabebishioo moja tu
😂😂😂😂😂
Ajira neda uko kaburini mwa mgaga ukakaeuko
Duh mama shadya
Naombeni mimi binafsi epsod inayokuja iwe final maana movie ishaisha ladha saiv naangalia movie napata usingz wakati nilikuwa naangalia movie macho makavu
Hhhhhh kumekucha uku majiranieeeee 😂😂😂😂😂
Acha ukabwe tu we simshirikina bana
Hajra majaga imekurudia malipo ni apa apa tu
Mama shadie ebu mrudi mungu dada
Jamani maashady kimemramba kwakweli hanarafiki bas mrudie mngu nawengi watakusamehe
Ha hahaha haha hahaha haha hahaha haha hahaha haha Asante sana