Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Bwana nijalie upendowetu udumu daima sikuzote zamaisha yetu asante sana Kwamaneno yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwalinda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Mungu azidi kuwainua ili mwendelee kuinjilisha jamii yake hususan vijana wasiopenda kufunga ndoa kwa hoja kwamba kwanza wayajaribu magari yao ndo wafunge ndoa...!!!!
Aisee!!! Mtanifanya nipasuke maana ninawamisi kupita maelezo!! Kikubwa ninawapa kongole kwa uinjilishaji wenu, ninawaombea mdumu katika umoja na upendo ktk kumtumikia Mwenyezi Mungu!!
Mungu azidi kuwabariki, nyimbo nzurii sanaaa nimeipenda mpaka basiiii kuanzia sauti, staili za kucheza ni kisasa zaid nikutakieni kila lakheri kwa ajili ya majitoleo yenu.
My favorite song 2018 - 2019. Tutautumia pia kwenye harusi yangu nitakayofunga mwezi Oktoba. Dogo Shimanyi andaa na mwingine zaidi ya ule wa FUTA WASIWASI KABISA....
Nice song.. Waouh I fall in love with not only choir, but also with Tanzania girls and the language. Can someone invite me there??? I'm from Cameroon... Lol
Huu wimbo ni mzurii sana na unaujumbe bomba aya jmn ambao bado wanaungalia na kuupenda 2023 like zenu apa
Hakika nitakua chachu ya furaha ya mume wangu Mungu utakapo nijalia Amina 🙏🙏🙏🙏❤
Hello ulishapata mume au bado. Tafadhari nijulishe.
Hata mm pia dadaangu. Nitakuwa chachu ya furaha ya mume wangu mungu atakapo niajalia. Kwani mume mwema anatoka kwa mungu AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰
Nakuombea Mungu akujalie haja ya Moyo wako.
Nitakua chachu ya furaha ya mime Wangu Mungu ataponijalia. Amina
Weweeee nakubali mnaimb vzur sana hakika katoliki tumebarikiwa kwa kila kityu najivunia kuwa mkatoliki
My favorite song proud to be Catholic member ❤❤❤❤❤
Siku ya ndoa yangu nitaukomesha huu wimbo!!Eeh Mungu nisaidie nifikie hii siku njema Ameen
T
Tupo wengi mungu tulinde ndoto zitimie
Najivunia kuwa mkenya nikiwa saudi Arabia.Napenda saana ninachotasama hapa na wimbo pia.Barikiweni woooote!!
Proud to be a Catholic wimbo mtamu mbarikiwe sana
enyewe ntakua chachu y furaha kw mume ambaye ntapewa ,,,wale wanatazama 2024 1st may npeeni likes
Eee mungu baba naomba unipe mume mwema ili niwe chachu yake. Najivunia kuwa R.C wanakwaya mungu a wabariki
Naomba pia Mungu anipee mke mwema nikuwe chachu ya furaha kwake,.tuombeane
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Acha niisikilize kila siku huenda Mungu na yeye atanifanya niwe chachu kwa mtu kupitia huu wimbo eeeee Mungu nasubiri wakati wako amen
Magazetl leo
Naomba mungu anisaidie nipate mume bora niwe chachu kwake , wimbo huu utanihusu hatariii , hongereni sana waimbaji
Utapata
Congratulations my brothers and sisters may God grant you more years so as to keep the fire of praise alive.
0752921601
Give time to your dream s
@@nicksonkinyaga9976 veve mwakinyaga inamba utawe yeki? 👀😂😂😂😂😂
Namshukuru mungu kwa kumpata mke bora hakika Wimbo huu utaleta chachu ya furaha katika familia yetu
Ongera mnanitia moyo kwa uinjilishanji wenu natamani ningejiunga nami nikate kino na mabenga nalitanji hizo kanda zenu hapa KENYA be blessed
Wimbo wangu pendwa niliotumia kwenye harusi yangu
Mlijitahidi sanaaa .Mungu Aendelee kuwabariki na Kuwalinda,
Wimbo mzuri mno hakika wakati ukifika nitakua chachu Kwa mume wangu eeh Mungu nione
Amen mungu nami nifanye chachu kwa mume wangu
Wimbo huu unastahil zaid ya 10M viwers ❤🎉chukuen maua yenuu
Bwana nijalie upendowetu udumu daima sikuzote zamaisha yetu asante sana Kwamaneno yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwalinda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Mungu azidi kuwainua ili mwendelee kuinjilisha jamii yake hususan vijana wasiopenda kufunga ndoa kwa hoja kwamba kwanza wayajaribu magari yao ndo wafunge ndoa...!!!!
Nina siku siendi kanisani sasa naanza kwenda wimbo huu umenibariki sana, mungu awatie nguvu.
Uwe unakwenda kanisani unakoswa baraka za Mungu na mambo mazur Kama haya yanakupita mpendwa
Aisee!!! Mtanifanya nipasuke maana ninawamisi kupita maelezo!! Kikubwa ninawapa kongole kwa uinjilishaji wenu, ninawaombea mdumu katika umoja na upendo ktk kumtumikia Mwenyezi Mungu!!
Renatus Matogollo James Amina
Maombi yangu kwenu
1. Inapatikana madukani, na je Morogoro tunaipataje??
2 Mko tayari kuja kuimba kwenye ndoa yangu?? Jamani ninabarikiwa sana nanyi lkn je Aneth (mama Glory) mbona simuoni??
Naupenda sana huu wimbo sijawai kuchoka kuusikia huu wimbo toka nilipo imbiwa kwenye ndoa yangu
Mungu azidi kuwatunza zaidi katika utume wenu wa uimbaji wimbo mzuri sana yaani napenda kuusikiliza kila wakati
Mungu awaabariki ktk utume wenu hiyo ni hatua nzuri sanaa (quality Video)
Am proud to be a catholic church.well done
Also me I proudly ...... To be a Catholic.....
Mungu azidi kuwabariki, nyimbo nzurii sanaaa nimeipenda mpaka basiiii kuanzia sauti, staili za kucheza ni kisasa zaid nikutakieni kila lakheri kwa ajili ya majitoleo yenu.
Merci à Dieu.Merci à la Chorale pour sa contribution à l'évangélisation du monde. Que Dieu bénisse la Tanzanie.
Huu wimbo umenigusha waimbaji na wote mlioshiriki Mungu awambariki.
Bwana awe nanyi daima amen
God
Asante Mungu kwa kunijalia kuwa mkristo wimbo mzuriiiiiiii
Niwape hongera namungu awajalie kwakuimba vizuri Mimi huku najivunia kuwa mkatoliki safi
Asante mungu kwa kunifanya kuwa mkristu wa romani katoriki
Una bahati sana kuwa Mkatoliki ndugu yangu,hongera
oh god what a nice song. we kenyan catholics would love to sing just like our tanzania catholic neibours(from nyanza kenya).
Yaan wimbo mzr mpk nasikia loho mwili wote wa fulahia ongereni
Aise wameimba vizuri Sana hongerani sana
Well done
Nyimbo nzuri sana.
Ujumbe safi.
Mpangilio wa sauti, vyombo, uko kamili.
Hi wimbo ni tamu sana, sijui nifanyaje?
My favorite song!!!😍😍😍 Can't wait to play it at my wedding! God bless you guys!
Me too
My favorite song 2018 - 2019. Tutautumia pia kwenye harusi yangu nitakayofunga mwezi Oktoba. Dogo Shimanyi andaa na mwingine zaidi ya ule wa FUTA WASIWASI KABISA....
Naeza pataje huo wimbo
Karibuni Kenya hata Siku moja mshiliki nasi.Mungu awabaliki
Ongereni,sana,inapendezapia,kalibuni,mshiriki,nasi,
Mungu Awabariki na Mwanga Wa Roho Mt.uwashukie mzidi kuwa Hodari mzidi kuimalisha Neno la Mungu kupitia Uimbaji
Naangalia leo tarehe 15 October but still I love the dong mbarikiwe sana
Asantee Mungu kwa kunifanya Mkristu Mromani nakupenda Mungu wangu na dini yangu🙏🙏🌹
Like it
Dah kwakweli Nyimbo zenu zimetulia nachukua album yote. Nikae nayo imenigusa moyo na imenipa hamasa ya kuoa jaman
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Listening, listening, listening. I love the song.Thanks to the singers. You are rich of good voices.
Hii squared Inanibariki sana ....MUNGU mwenye rehema na baraka awasimamie.... amina
Jamani God bless us
Upendo hufumu siku zote chachu ya furaha my favorite song indeed
Hii albamu imenikosha sana nahamasika kumtafuta mwenzangu ili nufunge naye pingu za maisha ila muweke na kinonile basi
Nimejifuza sana huu wimbo nategemea kutumia huu tarehe 09/11/2019 MSIMBAZI PAROKIANI HADI UKUMBINI KARIBUNI SANA WOTE
Nakuona dadaangu kipenzi saada maganga unajitahid kucheza kihaya
Thanks for your job.This song is one of my favourite. The presentation is CAPTIVATING.
hakika ata mimi nitakua chachu kazi nzuri Mungu awape nguvu tengeneza na hubili tena
Sijajuta kuwa sehemu ya familia ya production yenu.... its amazing, dance nzuri sana mpangilio kila kitu safi.... Kongole!!!!!!!!!
Remigius Kawala asaaaaante sanaaaaaa kaka.
Karibu
Kwaya mt Anna old maswa
Kwaya mt katarina wa Siena mkuu rombo
Remigius Kawala naomba mnitumie nota hizi kwa b.njiru@yahoo.com
Ben Njiru natumai ombi lako limefika mahala sahihi... @Tanganyikaproduction
Ahaaaa mpiga tarumbeta oyeeeeee..uko vizur mbaba
Mpiga kinanda..nimekukubali kwa pedal ulipigaa..
Big up..!!
Hongereni kwa kutuinjilisha.
Pia poleni kwa kuondokea na mwimbaji mwenzeni miezi kadhaa iliyopita.
very nice song
What a song!!!!!! Lovely. Mbarikiwe sana kwa kazi yenu nzuri.
Mbarikiw xan watumish
Kwa wimbo huu, Mungu tangulia na kuongoza ndoa zote.
Nimebarikiwa sana na huu wimbo,MUNGU amubariki mtunzi na waimbaji wote
Huu wimbo mungu akinipa mme mwema bas siku ya ndoa yangu naomba DJ apige mara tano
Always you will be our role model, we appreciate what you are doing! May God bless you @Vice chairman of Choir from SAUT-mbeya
Hongereni sana katika utumishi wenu.
Jamani mnaimba vizuri mbarikiwe
Mungu awabariki sana kwa wimbo wenu mzuri ni wimbo wenye ujumbe uliokamilika
I just realized today that it's a wedding song. DUH!!! Moto sana
Mungu nisaidie nami cku ikifika nifurahie hiv rahaa balaa
Mungu nijalie na mm ndoa siku 1 huu wimbo umekuwa baraka kwangu
Laima nitacheza juu wimbo kwa harusi uangu ijapokuwa prospective groom hajui Kiswahili. Ataketi tu aniangalie, acheke.
What song, very nice, God bless you abundantly
Mpiga tarumbeta penda sana wew be blessed guys
Huwa mnanibariki sana! natamani hata kuhamia huko, ili niimbe nanyi. nawapenda sana!
Ahsante xana mpndwa
huu wimbo naupenda sana jaman,mbarikiwe sana
Nitawaalika katika jubilee YANGU Yandoa miaka25. Mbarikiwesana
nimependa sidi yenu jamani hongerni xn,pia nomba mtume kopy niwauzie Mwanza.
mungu awabark kutumbusha ss wanandoa
wimbo mtamu sana congratulation kwa mtunzi na waimbaji wote
RC raha sana ambao hawajui kama kuna raha karibu mujionee
Mmwaaaaah nimejifunza god bless you forever😍😋😋
@tanganyika productions tunaomba mtuwekee wimbo tangazo kwa ulimwengu.
Wimbo mzuri sana hongereni na kazi ya kuinjirisha.
Nice song.. Waouh I fall in love with not only choir, but also with Tanzania girls and the language. Can someone invite me there??? I'm from Cameroon... Lol
That's great...
Welcome if you wont mind contacting me...
@@claverymbede3681 waouh really!! So I'm going to plan my trip
Your so welcome madame
Amina huu wimbo unanikumbusha mengi
Sijutii kurudia hii nyimbo inanipa furaha mda wote
Kazi nzuri....Mungu azidi kuwabariki
Asanten kwa uijilishaji mnzur mungu awabarikiii
Mungu atufanye tuwe chachu kwa wengine
I looooove this song so much. It will be sung on my wedding day Majaliwa. I promise.
Heureux à vous mes chaires
RC Melody na nota zetu, wataipenda kazi Hizi Hazina fujo
Nimerudi tenah 2024🎉❤
Wimbo mzuri sana natamani siku ya harusi yangu uchezwe
Wimbo mzr xana mlijtahd aiseeee
wapi mpiga tarumbeta,, nakubali .....
Hongereni sana mumeimba kwa furaha kuuu
iwish ck ya harus yangu huu wimbo waurudie hat mar zote. Naupenda sana mbarikiwe waimbaji
Mko vizuri asante kwa kunibariki na wimbo wenu
Asante mungu kwa kunipa uhai ,napenda Sana kwaya
Yaani nyimbo tam mpaka mtu unatamani kuolewa eeemungu nijalie nipate mume bora asante waimbaji
Dada coment yako imenigusa sana Mungu atusaidie na sisi tufikie huko kwa waliotangulia😘😘
Mungu AKUPE hitaji la moyo wako
Thanks sana sana this song really graced my wedding
Kazi nzuri.. Nipo Nairobi.. CD naipataje
Hongereni sana ila kinanda kimechukua muda mrefu sana
Nyimbo nzuri hongereni sana waimbaji wote.
God bless u all, I wish I was born in tanzania
Amina Mungu awabariki sana mmeimba vixur sana na kucheza
Aloo nasikia mwili unazizimka mungu awabariki
Bwana awepamoja nanyi daima amen
Aaaaaaaah brother shimanyi i see u hongereni sanaaa