I don't understand the it but i know that they are singing to the glory of God Almighty, Bravo Brethren keep it up and GOD bless and strenghten u all in JESUS name AMEN, ➕➕➕😁👋🙏🏽
40. Ninyi wandugu wa Afrika, wa Asia, wa Ulaya, au wa Amerika! Mlingojea Ujumbe wa Mtayo 25:6 labda katika nchi yenu lakini Mungu ameifanya namna ingine. Kumbukeni Bwana wetu Yesu Kristo! Akiwa kuhani mkuu Melkisedeki, marabi na waandishi waliona kwamba alipaswa kutoka katika kabila la Lawi. Lakini alitoka katika kabila la Yuda. Tena, ujumbe wake na kazi yake zilithibitisha kwamba yeye ndiye Masiya. Na leo juu ya uso wa dunia nzima, ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, nafasi yako ni hapa pamoja na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikiyo kwa kusikia asikie .
1. Comme les prophètes de la Bible en avril 1993 moi Kacou Philippe, un homme qui n'avait jamais été dans une église, je reçois en vision la visitation d'un Ange qui me commissionne pour un Message destiné à toute la terre en accomplissement de Matthieu 25:6 et Apocalypse 12:14. C'est ici le récit de ma conversion ainsi que les trois grandes visions de l'appel et commission tels que je les ai reçus : 2. Je suis venu à la conversion le 24 avril 1993 selon Daniel 10:4 à 11 par une vision dans laquelle je me vis debout sur le sable de la mer, puis au sommet d'une haute pyramide, puis à nouveau sur le sable de la mer à un autre endroit et je vis un vieux camion militaire sortir des profondeurs de la mer et s'en aller derrière moi. Je me suis tourné et j'ai vu qu'il contenait des personnes toutes vivantes. C'était des femmes et l'une d'elles était métisse.
Nabarikiwa sana ninaposikiliza huu wimbo
Who else is from tiktok
Wimbo hut unainua Sana mioyo.ya watu ubarikiwe sana
Vizuri sana
Nimependa sana hasa hapo, "Bwana mkubwa tumefanyakazi usiku kucha lakini hatukupata kitu" tena " Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu"
Nzuri sana
Kwa neno lake BWANA MKUBWA, HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWAKE. AMINA. BARIKIWA SANA WATUMISHI WA MUNGU
Mko vzr Sana mbarikiwe
Happiness in god of king you and to miss and to king you man .
KAZI njema pongezi
Bwana mkubwa .....nami nitazishusha nyavu. hongera sana mtunzi wa huu wimbo
Hakuna kinachoshindikanakwa Mungu yeye ni kila kitu baba naMunguwetu anatuwezeshs
Hongereni sana hasa mtunzi, Naimba, kucheza na kutabasamu kwa kujiamini sana huku mkitamka maneno. Hongereni sana,🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Iko vzl hongeren mungu awabariki sana
Naenjoy Sana nsikilizapo kway za Roman catholic
Who cantik cantik ganteng ganteng bagus banget suaranya merdu sekali
Nimebarikiwa na nyimbo hii
Mbarikiwe sana wenzangu
Mimi nasema, Mungu ni mwema
This song always uplift me...Kwa sababu najua Bwana wetu ni Mkubwa. Amina
Hakuna Jambo ambalo linamshinda Mungu🎉
Good song wish to join you ...good extremely
Safi, Wimbo ni mzuri una Ujumbe mahususi kwetu.
Mmenikumbuxha mbali
kwaya siku hizi zinajitahidi kweli kweli....Hongereni sana waimbaji
Mungu awaimarishe ili shetani asipate nafasi
Wimbo ninzuri sans courage wandugu zangu mungu ababarik
❤❤❤❤God's blessings always upon us 🙏 🙌 ✨️
Muendelee hivohivo
Wimbo mzuri kabisa. Nimebarikiwa zaidi. Mungu na aendelee kuwa na waimbaji wote na atuzidishie siku kwa siku.
Kweli hakuna kinachoshindikana kwa Mungu
Kila nikisikiliza wimbo huu nafarijika sana hongereni Sana kwa uinjilishaji
Hakuna kinachoshindikana kabisa.Amen
nice song always makes me feel proud to be catholic.....🙏....keep up the good work
Wimbo mtamu wenye ujumbe mahususi,mkijaliwa karibuni Kenya mkoa wa bonde la Ufa ,Jimbo la Eldoret,parokia ya langas,kwaya kuu ya holy spirit langas.
I love my religion
Barikiweni sana wapendwa!!
Very nice 😘😘😘
Huu wimbo umenitoa machozi ya furaha sasa na mm nasema Bwana Mkubwa
Waaaaooooooo BWANA MUNGU awabariki sana kwa ujumbe mzuri tena wakutitia moyo
Naipenda sana mko vizur
I find myself replaying the chorus every time I listen to this song😍
I just love it!❗
#Kenyan_catholic_diehard♥️
Thanks
Super sana,mungu awape wepesii❤❤🎉
Hakuna hakuna kisindikanacho kwa Mungu.....AMINA
Huu wimbo mzuri unaujumbe mzuri mbarikiwe sana waimbaji Wetu .
Ujumbe wa ukweli ...hakuna lisilowezakana mbele ya Mungu Bwana Mkubwa
I don't understand the it but i know that they are singing to the glory of God Almighty, Bravo Brethren keep it up and GOD bless and strenghten u all in JESUS name AMEN, ➕➕➕😁👋🙏🏽
Nitazishusha nyavu🎹🎶🎺🥁
Nitazishusha nyavu🎼🎣🎏
Beautiful song, beautiful voices love from Zimbabwe. ❤❤❤
Anayesikliza huu wimbo Leo Tarehe 06/06/24 gonga like hapa❤
Kazi yapendeza vilovyo. Mungu awabariki.
Ni Kweli Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu,ametushindia Yesu mizigo yetu pale msalabani,wimbo umetulia
Jaman mmeimba vizr barikiweni
Yesu ametenda kira siku, namushukuru sana
Who senang banget ganteng ganteng cantik cantik bagus banget suaranya merdu sekali keren abis mantap
amina mbarikiwe sana wana wa mungu
Mungu awaongoze katka safari yenu
Hongereni ,wimbo umejaa nasaha, mbarikiwe kwa kuomba vizuri
Mbalikiwe nyimbo zur san
I'm proud to be catholic thanks be God 🙏🙌
Wimbo huu naupenda Sana , mungu awepe afya njema
Baraka zake mungu
Nyimbo nzr kwel hakuna kinachoshindikana kwa mungu hakika
Bwana anibariki mimi na mme wangu tuishi kwa kumtegemea mungu tu
Hakuna kinachoshindika kwa mungu
Nice song jmn najiskia raha tupu
Wololo.....safi Sana mpaka natamaaani sana ningie Kati yenu
Lovely voices put into good use. God bless each one of you.
Beautiful Melody
Video nzuri
Mbarikiwe kwa nyimbo nzur .
napata faraja kusikiliza huu wimbo mungu awabariki sana
Wanakwaya wenzangu poleni sana kwani njia ni Moja kwake ttalejea
Mungu akupumzishe kwa aman mwl Yohana, hakika umeacha pengo kubwa. ...
Nawapenda sana kwaya chamanzi parokia teule kazeni mwendo
My sweet song that blesses me every morning going to work. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️.
August 2020 Mpo?
I love the song fellow teachers may you help me have its music piece kindly
Very nice gospel music
Sema neno kama alivyosema petro love this song
Wimbo mzuri,ujumbe mzuri mbalikiwe sana
Be blessed beautiful choir I don't understand yr language but yhoooo u can sing very nice indeed ( I'm from Lesotho)
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu.
Kwa Neno lako nitazishusha nyavu.. Ahsante wimbo mzuri sanA Mungu awabariki
Nyimbo nzuli sana as anti sana kabisa
Lord 🙏 have Marcy on us
This song is really touching.love from MSA
Wimbo mtamu kabisa
Hakuna kinacho shindikana kwa munguuuuu
Hongera saaana,wimbo mzuri
Those who dislikes this song I have this feeling that they are not true Christians...
🎉❤good job guys
Hakika kwa sasa kunamapinduzi makubwa ktk uimbaji hasa nyimbo za romani zinafanya vizuri sana sana
Kagaruki Fred nzuri sana
Very good, bless you,
A fantastic song watching from Nairobi Kenya ,keep up.
WE THANKS GOD
Producer wa Audio iyo Sound somewhere haiko sawa wimbo Mzur lakn ndo ivo Audio imezingua kdg
Hakuna kwa kweli kishindikanacho kwa Bwana Mkubwa
Nice song congratulations. May God strengthen your faith.
Mrs. Maore told me about me this song, its such a blessing 🎉..❤
Mko vizuri sana. Hakika tutazishusha nyavu kwa neno lake
40. Ninyi wandugu wa Afrika, wa Asia, wa Ulaya, au wa Amerika! Mlingojea Ujumbe wa Mtayo 25:6 labda katika nchi yenu lakini Mungu ameifanya namna ingine. Kumbukeni Bwana wetu Yesu Kristo! Akiwa kuhani mkuu Melkisedeki, marabi na waandishi waliona kwamba alipaswa kutoka katika kabila la Lawi. Lakini alitoka katika kabila la Yuda. Tena, ujumbe wake na kazi yake zilithibitisha kwamba yeye ndiye Masiya. Na leo juu ya uso wa dunia nzima, ikiwa wewe ni mtoto wa Mungu, nafasi yako ni hapa pamoja na nabii wa wakati wako, nabii Kacou Philippe. Na aliye na masikiyo kwa kusikia asikie .
Wimbo mzuri wenye himizo
proud to be a Catholic.....
Am proud to be a catholic en may God bless this choir
Tafadhali msiangalie mavazi ya wana kwaya.Muhimu ni maneno ya wimbo.Ni wimbo mzuri,mungu awabiki mzidi kumuimbia
Wambie waelewe km wanataka mavazi waende dukani wakaone
1. Comme les prophètes de la Bible en avril 1993 moi Kacou Philippe, un homme qui n'avait jamais été dans une église, je reçois en vision la visitation d'un Ange qui me commissionne pour un Message destiné à toute la terre en accomplissement de Matthieu 25:6 et Apocalypse 12:14. C'est ici le récit de ma conversion ainsi que les trois grandes visions de l'appel et commission tels que je les ai reçus :
2. Je suis venu à la conversion le 24 avril 1993 selon Daniel 10:4 à 11 par une vision dans laquelle je me vis debout sur le sable de la mer, puis au sommet d'une haute pyramide, puis à nouveau sur le sable de la mer à un autre endroit et je vis un vieux camion militaire sortir des profondeurs de la mer et s'en aller derrière moi. Je me suis tourné et j'ai vu qu'il contenait des personnes toutes vivantes. C'était des femmes et l'une d'elles était métisse.