I actually love Every thing on this choir.hizo sauti joh wah mbinguni express.this song is one of my morning Glory songs,zinanibarikia Sanaa moyo wangu
This should go for 10 million views…i listen to it daily before going to work…Am leaving my comment so that 10 years later somebody would like my comment and remind me to play this song to my kids❤️❤️
Enyi viumbe vyote (Twendeni mbele zake Bwana) Kwa moyo wa shukrani (Twendeni mbele zake Bwana) CHORUS TWA kushukuru... (Eeh Yesu, TWA kushukuru sana) x2 Kwa zawadi ya maisha, na baraka wanikiringia. Ni upendo wa ajabu, ulonipa eeh Mungu wangu. Nita imba kushukuru, kwa sauti na adha tamu. Jina lako liktukuzwe milele na hata milele... Asante Yesu wangu (x4) TWA kushukuru (Eeh Yesu..TWA kushukuru sanaa) Kwa kinywa changu, Nita kushukuru na kukuimbia Kwa wema wako ulonijalia maishani mwangu Asante eeh Yesu (asante sanaa) x4 Chorus Uliyonipa ni mengi sana siwezi kuhesabu (ah ee) Kwa wema wako ulinijalia mimi mja wako Asante eeh Yesu (asante sanaa)x4 Chorus Na kurudishia Sifa na utukufu ewe Mungu (ah ee) Uhimidiwe milele yote uhumidiwe Bwana. Asante eeh Yesu (asante sana)x4 Chorus END.
I decided its my thanksgiving Sunday today 22/10/2023. I searced for songs in accordance, i opened this one and I settled for it for 2 hours on repeat now, I am a Namibian, i don't understand swahili but the interpretation i got from the holy spirit are keeping me convinced this is a powerful song! I love it... the melody, nimeupenda sana❤️❤️❤️
A bored Catholic is a Pretender! This is the song of the year 👏🏽👏🏽👏🏽 God bless you guys😘😘😘 Nawapenda saaaana from kenya😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 You guys are wonderfully wonderful 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Asante Yesu umenitendea mema mengi sijui nitawezaje kuyalipa. Bali pokea roho, moyo pia nafsi yangu viwe vyako. Nisaidie niendelee kukupenda zaidi mie nisiyekuwa na mastahili mbele Yako.
Lawrence voice🔥🔥umeufanyia wimbo haki walaaaaii.. Mwingiliano mzuri sana kwa sauti zote, hongereni wanakwaya🎶💖 Na Dingiii Ray kama Kawa habahatishi, in love with the message, hatoachi kumshukuru Mungu kila sekunde. ASANTE YESU WANGU🎶🎶💯
I can't stop my tears from flowing ever since I heard this song🥺🥺 all I can say is that Amos you are are blessed and indeed you will go far,May the good Lord be your shield and guide🥰🙏 all the best❤
This is a great gem RAJO PRODUCTIONS; home of Art and quality!!!Lawrence Kameja, Mungu amekupa zawadi ya sauti nzuri sana. Stay blessed always!!!! I can also see Daniel Cleopa pale kwa sauti ya nne!!! Magauni ya kina dada nayo yamependeza kweli🥰🥰🥰🥰…
I never get tired to listen to this wonderfully made song. It blesses me so much. I listen to it everyday and every time I need a cheering up. It fills my soul with so much joy. It really uplifting my spirit.
Feeling blessed all the way from Kenya. Shukrani zangu kwako ee Baba Muumba vyote. Sijui nikupe nini Bwana kwa vyote ulivyonibariki navyo. Jina lako litukuzwe milele
What a song.... Sauti za Waimbaji Balanced Ala zimepigwa vizuri Sana zikatarry na sauti za waimbaji Check Video ilivyo clear Ona Waimbaji wapo katika Mood ya wimbo.... Kongole Kwa Mtunzi Kongole kwa Wabaji Studio..... Salute ma Maana sijaona Kazi mbovu Kwenu Mungu Awabariki Sana
{SAM MOMANYI } FROM KENYA, NAIROBI. #ASANTE SANA WATANZANIA# Thanks to the choir's fraternity as a whole for the wonderful song. Of all the songs i rank this my number 1,as it pose special message yo my life. i listen to this now and again. other special thanks to RAJO PRODUCTION .indeed your work spells out clear. you are top of others, and keep on with your wonderful job .may God bless you . KINDLY arrange for skiza code for this song. THANK YOU ALL.
Congratulations Ray and your team I really enjoy your musics as a Catholic God bless you abundantly infact your songs are always ma breakfast in the morning prevails more blessings all de day
Ray in every production has got a different creativity. His production is immeasurable. His participation in singing is another thing that has never disappointed.
Sauti Kama ya malaika.napenda hii kwaya I say.what a beautiful voices..am blessed by this song.mungu awaongezee zaidi kwa hicho kipaji na awabariki zaidi
Please support: www.patreon.com/bePatron?u=77044884
Tuna support kwa no ipi?no ya kutuma
@@rosemarysulle9288 0758988827
@@rajopro kaka nakukubali sana natamani sana sikumoja Mungu anikutanishe nawewe ndoto yangu itimie nakukubali. Sana mtumishi wa Mungu
@@rosemarysulle9288 yari
Vyanbidome
Signature of Rajo productions huyu piano guy wapi likes zake jameni
I actually love Every thing on this choir.hizo sauti joh wah mbinguni express.this song is one of my morning Glory songs,zinanibarikia Sanaa moyo wangu
Ni yeye mwenyewe Rajo.
@ray ufunguo salute you
Gets me every time🎉🎉👏👏
👏👏👏👏
This should go for 10 million views…i listen to it daily before going to work…Am leaving my comment so that 10 years later somebody would like my comment and remind me to play this song to my kids❤️❤️
Ubarikiwe sana Anastacia Mwai. Endelea kumshukuru Mungu.
Enyi viumbe vyote
(Twendeni mbele zake Bwana)
Kwa moyo wa shukrani
(Twendeni mbele zake Bwana)
CHORUS
TWA kushukuru...
(Eeh Yesu, TWA kushukuru sana) x2
Kwa zawadi ya maisha, na baraka wanikiringia.
Ni upendo wa ajabu, ulonipa eeh Mungu wangu.
Nita imba kushukuru, kwa sauti na adha tamu.
Jina lako liktukuzwe milele na hata milele...
Asante Yesu wangu (x4)
TWA kushukuru
(Eeh Yesu..TWA kushukuru sanaa)
Kwa kinywa changu, Nita kushukuru na kukuimbia
Kwa wema wako ulonijalia maishani mwangu
Asante eeh Yesu (asante sanaa) x4
Chorus
Uliyonipa ni mengi sana siwezi kuhesabu (ah ee)
Kwa wema wako ulinijalia mimi mja wako
Asante eeh Yesu (asante sanaa)x4
Chorus
Na kurudishia Sifa na utukufu ewe Mungu (ah ee)
Uhimidiwe milele yote uhumidiwe Bwana.
Asante eeh Yesu (asante sana)x4
Chorus
END.
Wimbo nzuri sana
I decided its my thanksgiving Sunday today 22/10/2023. I searced for songs in accordance, i opened this one and I settled for it for 2 hours on repeat now, I am a Namibian, i don't understand swahili but the interpretation i got from the holy spirit are keeping me convinced this is a powerful song! I love it... the melody, nimeupenda sana❤️❤️❤️
Mimi ni msabato ila napendeleya sana nyimbo zenu kabisa Mungu awabariki sana, ni Philemon destin toka GOMA DRC
Wanasabato wangapi tunasikiza hii wimbo👋
🙌🙌
@@christineondieki4559 0pn
Meeeeee
😂😂😂
Mimi hapa
A bored Catholic is a Pretender!
This is the song of the year 👏🏽👏🏽👏🏽
God bless you guys😘😘😘
Nawapenda saaaana from kenya😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
You guys are wonderfully wonderful 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Shukrani nyingi sana kwako Christine. Tunawapenda sana wakenya...
Who is here after seeing the soloist at MKM Gala in Nairobi. very powerful voices we heard from MKM choir led by BW. Benard Mukasa.
These are pure talents'....kumbe the soloist was also in MKM gala?...they support each other' beautiful souls🙏
@@kinyanjuicarlos8899 Imagine that's what variety luck in this universe. Working together like Ants.
@@vickynash372 i wish our kenyan brothers and sisters could emulate this kind of unity' we will be far ahead'...
Gala iliweza this people know how to blend voices always on point
💃💃💃💃 Najivunia kua mkatoliki kwa kweli Najivunia Tena na Tena Good Music
Jamani kwaya nzuri barikiweni sana, naimba mt. Veronika. Kariakoo
Uzidi kubarikiwa Elias
Asante Yesu umenitendea mema mengi sijui nitawezaje kuyalipa. Bali pokea roho, moyo pia nafsi yangu viwe vyako. Nisaidie niendelee kukupenda zaidi mie nisiyekuwa na mastahili mbele Yako.
Hongera najivunia kuwa mkatoliki barikiweni sana
Shukrani sana Mary
❤❤❤❤asante yesu wangu ,Mungu awape moyo wa kumwimbia zaidi na zaidi
Wimbo mtamu Sana...nimerudia,narudia bado sija tosheka.Hongera Sana.Twashuku yesu pia Kwa Kwa zawadi yenu😊
Ubarikiwe sana Judy
Nazipenda nyimbo zenu proud to be a catholic
This song is just a blessing. 🙏🙏🙏🙏 Hawa waimbaji Mola azidi kuongezea sauti tamu kwa wimbaji wenu. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
Who is with me here in 2024❤
Lawrence voice🔥🔥umeufanyia wimbo haki walaaaaii..
Mwingiliano mzuri sana kwa sauti zote, hongereni wanakwaya🎶💖
Na Dingiii Ray kama Kawa habahatishi, in love with the message, hatoachi kumshukuru Mungu kila sekunde. ASANTE YESU WANGU🎶🎶💯
Mungu ni mwema barikiwa sana
Asante sana Sidi. Zamu yenu soon...
@@lawrencesilas3050 Amina
@@rajopro tumewasubiri kwa hamu..kazi ya Mungu iendelee
My husband's favourite song ❤ whenever I listen to it it reminds me of him and blesses me may he continue resting in God's arm
Kazi Nzuri Ray pamoja na kundi mzima 💝
Ubarikiwe Ray Ufunguo 🤓🙏🏻🙏🏻🙏🏻👍Endelea kututungia nyimbo tamutamu za kutubariki😇😇😊😊💖
Wanangu haooo! Hongera kwa kazi nzuri! Hakuna kurudi nyuma!
Mungu ni mwema tuzidi kuombeana Mwalimu
Yajayo yanafurahisha
Oooh Asante sana Mwalimu wangu
Asante mwalim aisee
Mwalim mwalim mwalim narudia mwalim nakumis sana hasa nasaa zako uadui wangu kwako umegeuka kuwa faida kwangu..leo najionea plz njoo Arusha mwalim tumekumis sana
@@lawrencesilas3050 mtakaponihitaji mtajipanga na kunijulisha; wote wanafanya hivyo, msijali
Piano guy ameweza apewe likes.
Asante yesu... Nakushukuru kwa hawa wanachoir wabakuimbia vizuri... This is amazing 😘
Uzidi kubarikiwa
Hongereni sana wahusika wote. Mmeimba kwa umahiri mkubwa. Mmecheza kwa utulivu wa kuvutia sana. Big up guys
I can't stop my tears from flowing ever since I heard this song🥺🥺 all I can say is that Amos you are are blessed and indeed you will go far,May the good Lord be your shield and guide🥰🙏 all the best❤
Najivunia kuwa mkatoliki, hakika wimbo mzuri sana na wote mlioshiriki ktk uandaaji wake kuanzia mtunzi hadi aliyewavisha, hongereni sana
Usijivunie ukatoliki bali jivunie Yesu
Glory be to God
@@mmuruericka3702 Ukijivunia kuwa mkatoliki inamaana unajivunia Kristo
Tuko wengi ambao twaajivunia uamuzi wetu Tena wa busara kua wa katoliki
These song is a blessing, my prayer is that may God bless us unmarried women with strong God-fearing men like these ones,,,❤❤😊😊
Who’s listening to this beautiful song in 2021. Hongereni waimbaji
Nami nawakilisha Parokia ya Makadara Kwaya Ya Mtakatifu Marko Nairobi.
Bado tunaendelea kumshukuru Mungu kwa yote. Ee Yesu Ahsante Sana
Ubarikiwe sana dada yng plz share kwa wengine link hii
Pamoja sana kakangu Lawrence. Baraka tele
Wow, ashukuriwe mwenyezi is a heart melting song.
Long live Catholics all over the world.
Greetings from Nigeria 🇳🇬🇳🇬, pls keep it up.
Thanks for appreciating. Greetings from Kenya. Long live the Catholic church all over the world!❤
Kazi safi dingiii✨✨✨✨🙏
Naomba kusajiliwa kwenye kwaya hii yaani sokikusikiliza inanipa falaja sana 🥰🥰💕💕💕💕💕💕 mungu awabaliki nyimbo nzuri Sana asante yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This is a great gem RAJO PRODUCTIONS; home of Art and quality!!!Lawrence Kameja, Mungu amekupa zawadi ya sauti nzuri sana. Stay blessed always!!!!
I can also see Daniel Cleopa pale kwa sauti ya nne!!!
Magauni ya kina dada nayo yamependeza kweli🥰🥰🥰🥰…
Thank you friend. Anne Ubarikiwe sana
😂😂😂
@@danielcleopa2216 😂😂😂😂😂 ama huyo sio wewe????
@@anastaciamuema ndo mimi mwenyewe
@@danielcleopa2216 jameni mnashtua ulimwengu!!!😃😃😀. Mungu awape nguvu mzidi kutuletea vitu motomoto!!!!🔥🔥🔥🔥
I never get tired to listen to this wonderfully made song.
It blesses me so much. I listen to it everyday and every time I need a cheering up.
It fills my soul with so much joy. It really uplifting my spirit.
Amina Asante yesu wangu kwa yote ambayo umenifanyia
Wow wimbo mtamu ❤❤❤❤ enjoying from kenya
Maaana ya kazi mpya sokoni........ Hongereni Sana waimbaji, Rajo productions kwa ubunifu wa Hali ya juu unaoupa thamani muziki wa kanisa letuuuuu
Asanteni sana St. Gregory.
kama hii ndio kazi tutafanya mbinguni 💕acha ninyooshe njia zangu naipenda
Mnanibariki na kunijaza neema za mwenyezi ...Mbarikiwe
Feeling blessed all the way from Kenya. Shukrani zangu kwako ee Baba Muumba vyote. Sijui nikupe nini Bwana kwa vyote ulivyonibariki navyo. Jina lako litukuzwe milele
Ubarikiwe Sana
What a song....
Sauti za Waimbaji Balanced
Ala zimepigwa vizuri Sana zikatarry na sauti za waimbaji
Check Video ilivyo clear
Ona Waimbaji wapo katika Mood ya wimbo....
Kongole Kwa Mtunzi
Kongole kwa Wabaji
Studio..... Salute ma Maana sijaona Kazi mbovu Kwenu
Mungu Awabariki Sana
Asante sana Filimon. Ujumbe mzuri. Ubarikiwe sana
This song have melted my heart kuliwaza,kufaraji sijui niseme nini❤❤❤
Utume wa uwimbaji ni laha sana wimbo mzuli ongeleni na mbalikiwe wapendwa
Be blessed the one listening to this song always from Kenya❤❤❤❤❤❤
Muziki wako Ray huwezi kusahaulika wala kuzeeeka. Thank you
Asante Yesu Wangu. Nashukuru kwa kila Jambo. Feel the love all the way from Kenya 😘
Jina lako litukuzwe milele na milele. Asante sana eee YESU. Twakushukuru kwa zawadi ya maisha. Great song ❤
Asante yesu wangu kwa uhai na kila kitu unanifanyia kwa maisha yangu🙏
Mungu awabariki sana nyimbo nzuri
Hakika wimbo mzuri Sana na wote mlioshiriki ktk uandaaji wake kuanzia mtunzi Hadi aliyewavisha, Hongereni Sana🙏🙏🤔
Kutoka muleba kagera wimbo mzr sanaaa🙏🙏
Asante sana. Baraka ziwafikie Muleba
@@rajopro Amina 🙏
Hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo...hakika Sina Cha kukulipa Yesu wangu zaidi ya kukushukuru wewe Yesu wangu.
{SAM MOMANYI } FROM KENYA, NAIROBI.
#ASANTE SANA WATANZANIA#
Thanks to the choir's fraternity as a whole for the wonderful song.
Of all the songs i rank this my number 1,as it pose special message yo my life.
i listen to this now and again.
other special thanks to RAJO PRODUCTION .indeed your work spells out clear.
you are top of others, and keep on with your wonderful job .may God bless you .
KINDLY arrange for skiza code for this song.
THANK YOU ALL.
Nikiusikiliza hii Wimbo Nabarikiwa sana Hongereni ❤️
Congratulations Ray and your team I really enjoy your musics as a Catholic God bless you abundantly infact your songs are always ma breakfast in the morning prevails more blessings all de day
mwenyezi mungu awakirimie neema na baraka katika kazi ya utume,amina sana
So beautiful, oh my Lord Jesus Christ how great is your blessings unto us. Praise the lord God Almighty.
Asante.yesu.wangu.kwa.zawadi.ya.maisha.yangu.mungu.awabariki.wimbo.mtamu
Hao majamaa 🎉🎉🎉🎉,,,,hio kwaya ni moto kama pasi,,,God bless you as you spread the gospel.
Asante Yesu wangu.
For this far ni God.
Thank you Jesus for saving my soul lord. Abba Father, grant me a humble spirit and soul that worships you at all times.
🔥🔥🔥🔥🔥 nimependa sana utulivu wa kila kitu ndani ya huu wimbo ,sauti, wanavyocheza utulivu huu unakupa tafakari nzuri sana
Tafadhali imbeni wimbo unaitwa EE MUNGU WA SIFA ZANGU USINYAMAZE.
Hongereni sana kwa Nazi nzuri
Was here today 17/9/2024🎉🎉🎉 kumshukuruMungu
Yees twendelee kumwimbia bwana katika roho na kweli.
Safi..kazi nzuri mbarikiwe kwa utume huu wa uimbaji
sweet, very biblical dance. Mungu na awazidishie maarifa
Amen be blessed bro
Kazi iliyotukuka. Mbarikiwe ndugu zetu.
From tiktok ...in love with everything about this song
Hata kuelezea jinsi wimbo ulivonigusa nashindwa kiufup KAZI nzur sana mbarikiwe sana
🎉🎉🎉🎉❤Kazi nzuri Sana mbarikiwe
Ray in every production has got a different creativity. His production is immeasurable. His participation in singing is another thing that has never disappointed.
May God Bless you
@@rajopro Amen. God bless your evangelization
Sauti Kama ya malaika.napenda hii kwaya I say.what a beautiful voices..am blessed by this song.mungu awaongezee zaidi kwa hicho kipaji na awabariki zaidi
Asante yesu wangu 🎉🎉🎉 Nice song l love 💕❤❤❤
Naipenda katoliki mungu ibariki kaz ya mikononi mwetu
Asante yesu wangu ,,, blessing song 💞
I can't stop playing this song every morning ........ wimbo huu unanibariki mno MUNGU awabariki na kuwainua zaidi
ABSOLUTELY AMAZING!! Who would have thought that MUSIC COULD BE THIS BEAUTIFUL!!!!!🤩🤩
Sare zenu nzuri mnapendeza
Jamani Mungu awape zaidi sauti taaamu.nabarikiwa sana na wimbo huu
Wimbo mzuri kweli, napenda kuzisikiliza nyimbo zenu Rajo production. One love from Kenya🇰🇪
Kwa kweli ni raha
Hizi nyimbo mbona kama zimetoka jana ?? hazichuji kama mmeikubali hii kazi gonga like hapo chini na utabarikiwa sana
Nani bado anabarikiwa hapa
Wimbo mzuri sana hata sichoki kuusikiliza. Hata organist amepiga vizuri mno. Barikiweni sana
I can't get tired listening to this beautiful song! Waaah...barikiweni akhi😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Thank you Christine.. Ubarikiwe pia.
Ray Ufunguo is such a blessing to the Catholic Church because his songs are so amazing, God bless you Ray. Much love ❤❤
Let's PRAISE our loving God and give Him THANKS for everything we have. Shukran Rajo productions for a job well done!
Be blessed Kinuthia
Am proud to be a catholic, stunning voices, keep it up, God bless you all... 💖🎊
"TUNAPASWa KUSHUKURU" My No.1 Song ... wimbo waniguza roho....Tuliomboleza tukibarikiwa na nyimbo mwezi mzima "Mamangu Mzazi 😢😢😢" Barikiwa Sana..
22nd July 2022 @Kenya
Asanteni wanakwaya wote kwa kmpa Yesu shukrani kwa yote aliyotufanyi na anaendelea kutufanyia .Atukuzwe Mungu milele Amina.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Though I don't understand the language but I like Swahili Catholic songs
Todos os dias OBRIGADA JESUS CRISTO. 😍🙏🙌🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
hongera sana mpiga kinanda huwa nabarikiwa na hizi wimbo
Je vous remercie mes frères et sœurs que Dieu vous garde et que sa bénédiction soit en abondance sur tout un chacun de vous courage
Najivunia kuwa mkatoliki ( Kenya)
Wimbo safi kabisa wadau... kazi nzuri nawapongeza kwa ushirika wenu
Shukuru mungu Kwa sauti nyororo mlizo nazo mbarikiwe
Asante Yesu yangu kwa Yale yote umenitendea maushani yangu na familia yangu
Mungu ni mwema, haikua rahisi🙏
#asanteyesu
Amen
I was a choir member in campus,singing alto.
This song makes me rejoin choir .
Thank you .
waooooow wimbo mzur sana Hongeren sana....@ Rajo