kupika ugali huu nimetumia unga wa sembe vikombe 2 pamoja na maji vikombe 3. kikombe nilichotumia kupimia unga ndio hiko hiko nilichotumia kupimia maji
Mimi nilifundishwa hivi ; Ukishatia unga usitie mwiko , acha ule unga vile vile uchemkee haya dk 5 au 10 alafu tia mwiko anza kuuchanganya unga wako na kusonga , hatua zinazofuata ni kama hivyo ulivyoeleza , ukishafanya hivyo huna haja ya kufunika mwishoni . Njia yajo na yangu inatoa matokea sawa , ugali mlaini , wamotooo .
Dada nimependa sana unavyoelezea na sauti yako ni nzurii sana. Nina swali. Leo nimebaki home mwenyewe nikajitahidi kupika ugali ila nimeshindwa. Dada ulisema umechukua vikombe viwili vya Unga na Vikombe vitatu vya maji. Baada ya hapo ukasema unaweka maji kwenye sufuria na sasa unga unachota kwenye vile vikombe viwili vya unga ulivyoanda? Na unachota kipimo gani cha Unga ili kupata uji? Nakuomba unisaidie Dada
Huo utakuwa sio ugari ni uji wa maziwa uliochanganya na unga 😂ugar original ni huo anaoupika huyu mdada ndio kwetu songea tunasonga ivyo kitu original wengine nimeshangaa wanatia na sukali nyie hawa wamjini wanamambo😅
Asante nimejifnza na nimepika ugali fast time
Mpe hongera mkwe wako… kwa elimu nzuri alotupa
I did it thanks to you
Hahahahaaaaa😂 Kama mayele
Kama Mayele 😊
Nice
Mimi nilifundishwa hivi ;
Ukishatia unga usitie mwiko , acha ule unga vile vile uchemkee haya dk 5 au 10 alafu tia mwiko anza kuuchanganya unga wako na kusonga , hatua zinazofuata ni kama hivyo ulivyoeleza , ukishafanya hivyo huna haja ya kufunika mwishoni .
Njia yajo na yangu inatoa matokea sawa , ugali mlaini , wamotooo .
Nitajaribu na mm
Dada nimependa sana unavyoelezea na sauti yako ni nzurii sana. Nina swali. Leo nimebaki home mwenyewe nikajitahidi kupika ugali ila nimeshindwa. Dada ulisema umechukua vikombe viwili vya Unga na Vikombe vitatu vya maji. Baada ya hapo ukasema unaweka maji kwenye sufuria na sasa unga unachota kwenye vile vikombe viwili vya unga ulivyoanda?
Na unachota kipimo gani cha Unga ili kupata uji?
Nakuomba unisaidie Dada
unachota unga kidogo tu kama vijiko 3-4 vya kulia chakula
@@lilyanapika ahaa asante Dada. Unafundisha vizuri sana. Nakuomba uendele hivihivi. Usikate tamaa..
Hivi ni kweli.tanzania kuna watu awajui kupika ugar au mnatania jmn
@@severinaseverinanyoni707 hahaha sasa housegirl si ndiye anayepika. Ndiyo tupo...
Thanks asante
Nime subscribe ulipo tetema kama mayele 😂😂😂
was mayele necessary 😂😂
Yes🤣
Hivi unaweza kuongeza maziwa ya moto kwenye kupika ugali
Huo utakuwa sio ugari ni uji wa maziwa uliochanganya na unga 😂ugar original ni huo anaoupika huyu mdada ndio kwetu songea tunasonga ivyo kitu original wengine nimeshangaa wanatia na sukali nyie hawa wamjini wanamambo😅
Nice