Lily Anapika
Lily Anapika
  • Видео 229
  • Просмотров 579 618
Hii Ndiyo Keki ya Vanilla Laini na Tamu Zaidi Uliyowahi Kula
Keki ya Vanilla
Mahitaji.
Unga wa ngano 2 cups
Baking powder 2 1/2 tsp
Chumvi 1/4 tsp
Mayai 4
Sukari 1 1/4 cup
Siagi 1/2 cup
Maziwa ya maji 1 cup
Ladha ya Vanilla 3 tsp
Mafuta ya kupikia 3 tsp
Vanilla cake
Ingredients
All purposes flour 2 cups
Baking powder 2 1/2 tsp
Salt 1/4 tsp
Eggs 4
Sugar 1 1/4 cups
Butter or Margarine 1/2 cup
Milk 1 cup
Vanilla flavor 3 tsp
Vegetable cooking oil 3 tsp
#dessert #food #cake #icecream #strawberryicecreamrecipe #vanillacake
Просмотров: 181

Видео

Jinsi ya Kupika Cookies | Easy homemade Caramel Icebox Cookies
Просмотров 2003 месяца назад
Mahitaji Siagi 3/4 cup Sukari 1 1/3 cup Mayai 2 Maji (yasiwe baridi) 1 Tbsp Unga wa Keki 3 cups Baking powder 2 tsp Ladha ya Vanilla 2 tsp Chumvi 1/2 tsp Ingredients Butter/Margarine 3/4 cup Sugar 1 1/3 cup Eggs 2 Water (room temperature) 1 Tbsp Cake flour 3 cups Vanilla flavor 2 tsp Baking powder 2 tsp Salt 1/2 tsp #food #dessert #cupcakesrecipe #cupcakes #icecream #cookies #cookiesrecipe #coo...
Jinsi ya Kutengeneza Unga wa Kupikia Keki | Homemade Cake Flour
Просмотров 2023 месяца назад
Mahitaji Unga wa ngano wa kawaida (All purposes flour) Cornstarch Ukitumia unga huu kupikia keki zinatoka laini na nyepesi tofauti na unapotumia unga wa kawaida inatoka kavu. #cakeflour #homemadecakeflour #homemadecake #mapishiyakiswahili #mapishi #chakula #food
Jinsi ya Kutengeneza base ya Kutengeneza ice cream na lamba lamba
Просмотров 2293 месяца назад
Jinsi ya Kutengeneza base ya Kutengeneza ice cream na lamba lamba
Jinsi ya Kupika Cupcakes za Nazi | Moist and Delicious Coconut Cupcakes
Просмотров 1314 месяца назад
Jinsi ya Kupika Cupcakes za Nazi | Moist and Delicious Coconut Cupcakes
Barafu/Aiskrimu Laini za Biashara za Maembe
Просмотров 3104 месяца назад
Barafu/Aiskrimu Laini za Biashara za Maembe
Ice Cream za Vikopo za Biashara
Просмотров 3424 месяца назад
Ice Cream za Vikopo za Biashara
Jinsi ya Kupika Cupcakes za Pink Velvet | Delicious Homemade Pink Velvet Cupcakes
Просмотров 844 месяца назад
Jinsi ya Kupika Cupcakes za Pink Velvet | Delicious Homemade Pink Velvet Cupcakes
Jinsi ya Kupika Keki ya Kilo Moja ya Biashara kwa Kutumia Keki Improver/keki jeli
Просмотров 6394 месяца назад
Jinsi ya Kupika Keki ya Kilo Moja ya Biashara kwa Kutumia Keki Improver/keki jeli
Jinsi ya Cupcakes za Chocolate | Easy and Delicious Chocolate Cupcakes
Просмотров 994 месяца назад
Jinsi ya Cupcakes za Chocolate | Easy and Delicious Chocolate Cupcakes
Jinsi ya Kupika Cupcakes Za Vanilla | Easy Delicious Vanilla Cupcakes
Просмотров 1405 месяцев назад
Jinsi ya Kupika Cupcakes Za Vanilla | Easy Delicious Vanilla Cupcakes
Keki Zako Hazitanasa Tena Chini Ukipaka Mchanganyiko Huu Kwenye Tin
Просмотров 1555 месяцев назад
Keki Zako Hazitanasa Tena Chini Ukipaka Mchanganyiko Huu Kwenye Tin
Biskuti za Royal Icing | Easy homemade Royal Icing Cookies
Просмотров 1357 месяцев назад
Biskuti za Royal Icing | Easy homemade Royal Icing Cookies
Jinsi ya kupika Biskuti tamu za Vanilla
Просмотров 1817 месяцев назад
Jinsi ya kupika Biskuti tamu za Vanilla
Jinsi ya Kutengeneza Ice cream ya Peanut Butter | Peanut Butter Ice cream without condensed milk
Просмотров 1447 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice cream ya Peanut Butter | Peanut Butter Ice cream without condensed milk
Jinsi ya kutengeneza Ice cream ya Vanilla na Strawberry nyumbani
Просмотров 6497 месяцев назад
Jinsi ya kutengeneza Ice cream ya Vanilla na Strawberry nyumbani
Jinsi ya Kutengeneza Ice cream ya Mdalasini ya Biashara
Просмотров 1467 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice cream ya Mdalasini ya Biashara
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream laini za Biashara
Просмотров 19 тыс.8 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream laini za Biashara
Jinsi ya Kupika Biskuti za Nazi | Delicious Coconut Biscuit
Просмотров 1488 месяцев назад
Jinsi ya Kupika Biskuti za Nazi | Delicious Coconut Biscuit
Jinsi ya Kupika Biskuti za Maziwa Matamu | Delicious Condensed Milk Biscuits
Просмотров 2348 месяцев назад
Jinsi ya Kupika Biskuti za Maziwa Matamu | Delicious Condensed Milk Biscuits
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti za Custard powder
Просмотров 2998 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti za Custard powder
Jinsi ya kupika Biskuti za Kahawa
Просмотров 848 месяцев назад
Jinsi ya kupika Biskuti za Kahawa
Jinsi ya Kutengeneza Barafu Za Ukwaju za Biashara
Просмотров 3,2 тыс.8 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Barafu Za Ukwaju za Biashara
Jinsi ya Kupika Biskuti za Machungwa
Просмотров 888 месяцев назад
Jinsi ya Kupika Biskuti za Machungwa
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti za Biashara
Просмотров 1118 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti za Biashara
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti
Просмотров 1579 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Biskuti
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Whipping Cream Ya Unga
Просмотров 3419 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Whipping Cream Ya Unga
Jinsi ya Kupika Biskuti za Custard Powder
Просмотров 1639 месяцев назад
Jinsi ya Kupika Biskuti za Custard Powder
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Ubuyu ya Biashara
Просмотров 3899 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Ubuyu ya Biashara
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Ndizi • Delicious Homemade Banana Ice cream
Просмотров 3839 месяцев назад
Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream ya Ndizi • Delicious Homemade Banana Ice cream

Комментарии

  • @TiphanyIddy
    @TiphanyIddy Час назад

    km haun mashinee

  • @AngelaPeter-q2c
    @AngelaPeter-q2c 8 часов назад

    Mamy tuwekee vipimo vya vitu ulivyotumia

  • @what8339
    @what8339 17 часов назад

    I did it thanks to you

  • @AnnaJoseph-m8i
    @AnnaJoseph-m8i День назад

    Asante mamy

  • @rehemaluhizo6432
    @rehemaluhizo6432 День назад

    Good

  • @rehemaluhizo6432
    @rehemaluhizo6432 День назад

    Good

  • @salehsuley3593
    @salehsuley3593 5 дней назад

    Asante nimejifnza na nimepika ugali fast time

  • @suzaneballa7172
    @suzaneballa7172 5 дней назад

    Cmc inasaidia nini na corflow Naomba kujua

  • @AlexMwamure-k2b
    @AlexMwamure-k2b 5 дней назад

    Lily sukari gani ni bora kwa kutengeneza barafu...Alafu kuna iyo kitu inakaa kama maziwa ndo nini ju cjackia ukiitaja

  • @MathiasBukwimba
    @MathiasBukwimba 5 дней назад

    Napenda kujifunza zaidi kuhusu jamu

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 6 дней назад

    Mimi nilifundishwa hivi ; Ukishatia unga usitie mwiko , acha ule unga vile vile uchemkee haya dk 5 au 10 alafu tia mwiko anza kuuchanganya unga wako na kusonga , hatua zinazofuata ni kama hivyo ulivyoeleza , ukishafanya hivyo huna haja ya kufunika mwishoni . Njia yajo na yangu inatoa matokea sawa , ugali mlaini , wamotooo .

  • @Mardan55Sawbi
    @Mardan55Sawbi 11 дней назад

    Nimeipenda kabisa ilatwambie uyo unga wafarini unaweka kiasi ngani tuna kuomba nasisi niwafanya byashara

  • @MkuteMtoy
    @MkuteMtoy 13 дней назад

    Cmc ndo nin

  • @MussaNdege-b1q
    @MussaNdege-b1q 13 дней назад

    habar yak dadangu nmependa hiyo cupqinno yako 🫣🫣

  • @aishambuma1716
    @aishambuma1716 16 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ nzurii sana

  • @kerrydoreen8966
    @kerrydoreen8966 17 дней назад

    You sell at how much per tin

  • @JoyceHaule-y4g
    @JoyceHaule-y4g 21 день назад

    Asante mapshi bomba kabisa!

  • @MariamuMohamedi-s2w
    @MariamuMohamedi-s2w 22 дня назад

    Dada naomba namba ya wasp

  • @NunuuKilonge
    @NunuuKilonge 24 дня назад

    Aikuhusu

  • @AnifaKomba-q8f
    @AnifaKomba-q8f 28 дней назад

    Hahahahaaaaa😂 Kama mayele

  • @kamenyatv
    @kamenyatv Месяц назад

    Hujatuambia ngano kiasi gani

  • @bbymylah4832
    @bbymylah4832 Месяц назад

    Naomba kuuliza km huna rangi unawez kutumia hivo hivo bila kuwek rangi yoyote

  • @bbymylah4832
    @bbymylah4832 Месяц назад

    Naomba kuuliza km huna rangi unawez kutumia hivo hivo nila kuwek rangi?

  • @gracemupa7196
    @gracemupa7196 Месяц назад

    Da lily cmc ni Nini? Jina lingine? Nipo 254

    • @lilyanapika
      @lilyanapika Месяц назад

      Kilainishi au Tylose powder

  • @NunuuKilonge
    @NunuuKilonge Месяц назад

    Samaki.kupika

  • @SaudaMwamlima
    @SaudaMwamlima Месяц назад

    tofaut ya maziwa ya unga na majii ninii dada

  • @MagrethSumawe
    @MagrethSumawe Месяц назад

    Ubarikiwe kwa somo zuri

  • @ireneosaga
    @ireneosaga 2 месяца назад

    Hakuna leki type ingine coz kila mahali naskia tu keki ya vanila

  • @Famygway-bg8of
    @Famygway-bg8of 2 месяца назад

    Kma hizo unauza sh ngapi ngapi

  • @LauraFaustin-l7g
    @LauraFaustin-l7g 2 месяца назад

    Nice

  • @LauraFaustin-l7g
    @LauraFaustin-l7g 2 месяца назад

    Nice

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b 2 месяца назад

    Skari klacigani

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b 2 месяца назад

    Unga w ngano klacihani

  • @kingmustaofficial7309
    @kingmustaofficial7309 2 месяца назад

    Nitajaribu na mm

  • @shokishoki-de1io
    @shokishoki-de1io 2 месяца назад

    Mashaallah❤

  • @LilianMsenya
    @LilianMsenya 2 месяца назад

    Naomba nielekez Jin's I yakutengenez pls

  • @johariabdallah7238
    @johariabdallah7238 2 месяца назад

    Ahsante

  • @muniramerali6639
    @muniramerali6639 2 месяца назад

    mm nliambiwa ile flavour ndo rangi je ni sahihi au rangi ni ingine na flavour ni ingine

  • @muniramerali6639
    @muniramerali6639 2 месяца назад

    cmc ni kitu gan

  • @VictoriaDickson-t7h
    @VictoriaDickson-t7h 3 месяца назад

    Wow!

  • @Diamongproduct
    @Diamongproduct 3 месяца назад

    Madam ninashida na vifungashio sivipati nisaidie

  • @doricegadau7086
    @doricegadau7086 3 месяца назад

    Samahani hapo uweki baking powder mwl.

  • @RahamaAliyhamissiHamissaliyy
    @RahamaAliyhamissiHamissaliyy 3 месяца назад

    Come furawa ndonini naiyo maziwa matamu ndonini naomba unitoe ushambaa

    • @najwaeladawy977
      @najwaeladawy977 Месяц назад

      Cornflour ni unga wa mahindi mwepesi sana unauzwa kwenye vibox na maziwa matamu ni condensed milk yanakuwa kwenye vibati vidogo yanakuwa mazito na matamu sana , kama uko Zanzibar maarufu kwa jina maziwa ya SONA ( Sona ni jina kama vile ukisema maziwa ya Nido , cowbell etc )

  • @AmosKayombo-j6s
    @AmosKayombo-j6s 3 месяца назад

    naomba mawasiliano yako

  • @elidalwankomezi
    @elidalwankomezi 3 месяца назад

    Naomba unielekeze vitu vinavyo hitajika hapo

  • @fat-hiabakar
    @fat-hiabakar 3 месяца назад

    CMC ninin? please my dear niambie

  • @AngeciaClement
    @AngeciaClement 3 месяца назад

    Unaweza kiweka na kilainishi? Na sukar ni kias gan?

  • @AngeciaClement
    @AngeciaClement 3 месяца назад

    Kwaio ni lazima ugandishe mara mbili?

  • @Homewithlove
    @Homewithlove 3 месяца назад

    Nice❤❤❤❤

    • @Homewithlove
      @Homewithlove 3 месяца назад

      Wow😍😍😍👌👌👌

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 месяца назад

    Hivi kuna tofauti kati ya cornflour na cornstarch??