Habari Derrick, jinsi ya kutengeneza uji, ni unainjika sufuria yako yenye maji jikoni, halafu unaweka unga saizi kidogo, unakorogea had unakuwa saizi ya uji (kama kwenye video inavyoonesha). “natumai umeelewa ”🤍
Habari, kiukweli nimeshika sufuria km ilivyoonekana, lkn ilikuwa ni rahisi sababu sufuria ulilikuwa imeinjika vizuri kwenye jiko, kwaiyo hapo ni "small touches" ili nipate balance vizuri (ingawa sometimes nilikuwa naungua 🙂).
WOW'😮❤😊😮❤❤❤😊😊😊😊😊
THANKS
Goood
Aisee Dada nimekukubali.
Asante
Yaani nakukubali sana my dear and full respect for you may Allah bless you
Amen 🤍.
Uko wapi wewe my dear?
Dada unajua kupika ugali laini sana ❤
❤️❤️
❤🎁
Utajuaje uji kuwa umeiva
Habari, Ni rahisi, ukichemka vizuri kabisa unakuwa mlaini ukiukoroga na unashikana vizuri.
Dada mbona haujatuonesha namna ulivyotengeneza uji?
Mimi kwelii sijui. Umeniacha njia panda
Habari Derrick, jinsi ya kutengeneza uji, ni unainjika sufuria yako yenye maji jikoni, halafu unaweka unga saizi kidogo, unakorogea had unakuwa saizi ya uji (kama kwenye video inavyoonesha). “natumai umeelewa ”🤍
Unawezaje kushika sufuria ya moto hivyo😭😭
Habari, kiukweli nimeshika sufuria km ilivyoonekana, lkn ilikuwa ni rahisi sababu sufuria ulilikuwa imeinjika vizuri kwenye jiko, kwaiyo hapo ni "small touches" ili nipate balance vizuri (ingawa sometimes nilikuwa naungua 🙂).
Wanasema mwizi haunguwagi😂😂
@@ameria2332 jaman 😅