Jinsi ya kupika mkate wa sinia laini bila kuroweka mchele usiku kucha wala masaa sita
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- mapishi ya mkate wa sinia / mkate wa mchele / mkate wa kumimina
Mahitaji:
mchele vikombe 3
sukari kikombe 1
tui la nazi vikombe 3
kijiko kimoja na nusu kidogo iliki
vijiko viwili vidogo na robo hamira
Nilisahau one day nimefunguwa nikatia kidole ju tu kuona hio rice then nilivutwa hadi kidole ilienda chini ikanikata kidole wewe hukuweka kidole but pia nakuogopea habibty zima first mungu akulinde mashalla mkate powa hongera
Ata wewe ni daring, woie pole lakini. Chombo chochote cha stima Ni hatari
MASHALLAH MASHALLAH MKATE MZURI . LEO NIMEFANYA UMETOKEA MZUR SANA. ASANTE KWA MAPISHI.🥰 MUNGU AKUBARIKI.
Masha Allah, short n precise. Allah akuzdshie....maelezo yako wazi n rahisi❤❤❤
Aa mashaallwa mkate nwaonekana nzuri mungu akujazi kheri na mchele unatumiya wa ainagani
mashallah nimtumia hii receip nimetoa kama ulvo ni mzr na mlain asnt snaa
This is nice ma shaAllah
MashaAllah umeleeza vizuri kw kueleweka 👌
mambo,hivi huu mkate huwezi weka maziwa ni nazi tu pekee
MashAllah nimeifanya ilikuwa nzuri .shukran
Mkate wangu leo umetokea perfect.. shukran dear
Mashallah nimependa. Bless you. Thanks dear
Napenda sana recipe yako. Asante 👍👍
Today I am baking rice bread but I haven't finished yet. I have been eating it in Mombasa's but has no idea on how to bake it.
I hope it is gonna be delicious. Thanks teacher!
Kenya Nairobi
Mashallah Allah akuihifadhi kwakutufunza kwa roho Safi
Nimependa masha allha nitajaribu namimi
Napenda mapishi yako, Allah Akuhifadhi
Mashallah utatuonyesha kuchoma na jiko la makaa
MaashaAllah very nice shukran jazaakAllah lkheir
MASHAALLAH SHUKRAN NTAJARIBU ALLAH AKUBARIK
Maa shaa Allah ukhty jamiil
Thank you so much. Niko jikoni namalizia kutengeza hii. Aisee, it’s magic. Barikiwa sana
Mashaallah habibty very amazing ❤❤❤
Nimependa sanaa
Mkate mzuri, na pia sauti nzuri zaidi..
Wah sijawahi skia mkate wa mchele ...natamani nionje niskie ladha iko vipi😋😋
MashaaAllAH nitaka kujaribu nishauroweka mchele
Mashallah mzuri shukran
Manshaallah. Jazakallah kheyr
Masha Allah shukran sana kwa recipe
Lazima nijaribu,thanks dear
Wow this seems wonderful easy and best method explained! Shukran chef.
Mashaallah allah akubarik
MashaAllah nice
Mashallah Mashallah Shukran sana Habibity Jazakah Lwah Kher
Waaauu mapisi mazuri sana,nitajaribu pia mimi
Masha Allah thank youu
You are an amazing teacher! Thanks!
Allahumma barik Was asking unaweza pika bila kutumia oven kama hauna
Masha Allah ❤❤
Mashaaallah mchele gani umetumia
Mashallah mzuri, napenda hauna mayai
Mashaallah mzuri
The recipe is good and easy 👌
Mashaallah thnx dear Allah akulipe kheri
Masha Allah. Trying this leo
Mashallah wavutia
Dah asnt leo nimejaribu nimewez asnt
Aaleikum shukran sister nimejaribu Leo umekua mtamu Sana mashallah ila umekua mgumu kidogo sijui nimekosea wapi...
Huezi eka maziwa
Allah akuhifadhi na hasad Habibty
Najaribu kesho ishallah naupenda mkate wa mchele 👍😋
Masshallah na ume tumiya mchele gni
So amizing looks so delicious ❤️
Ahsante Dada yangu mkate nimtamu sana
Ahsante sana nimefurahi kuona hiyo clip.Shukran
Mashaa Allah 😘❤️❤️
Usijaribu kigusa mchele na kidole kwa blender while iko on utavutwa hafi mkono uwende chini my dear nilijaribu once nilikuwa na haraka sijui nikavutwa nikakatika kidole chunga dear♥️😘🙏
Masha Allah
I will try thanks alot
Mashallah thanx mmy
asante kwa ujuzi wako
Mashaallah ❤
Kazi zako safi napenda zaidi😍
Mchele wowote?
Asante,kwaujuzi,daa
Babu kubwa 👍👍👍🍽😋
Safi sana,,nimemeza mate kwa uchu
Napenda sana mapishi yako na kila nikijaribu family yangu inafurahika na mapishi yako
Asant dada endelea kutufundisha allah akunarik
Mashaallah Allah aukuze mkono wako
Mashaallah tabarakallah
Umetumia sufuria inch ngapi
Maashaallah kipenz nilikuwa nataka kukuuliza kuwa umetumia mchele wa aina gani? Maana mm nikipika unatoka tope halafu una rangi ya brown
Kama wangu🤣🤣🤣🤣🤣
Uwoo unaongea vzr tuwe tunakusikia
Thanks! Very simple and faster
yes i liked it.. thanks!!
Ahsante
مشاءالله 👑👑
Shukran mchele aina gani
Wow😍, thank you for the recipe. Can't wait to try this🤗.
Asante ikhty
Aa Naomba kujua mkate wa sinia waeza kubake moja Kwa moja kwa oven moto wa juu na chini.
Mzuri huo mkate jamani mashallah
mashallah mashalla
Maashaallah
Thank you so much
Masha Allah nimependa sana recipe yako ya mkate wa sinia ni nzuri sana lakini kitu kimmoja sijapenda ulivyokoroga na mkono
Wewe unakula na nini au mkono wako msafi zaidi amekoroga na mkono wa kulia mkono wenyewe keki bado unasema.
Assalam aleikum uko na recipe ya mikate ya bwana
Mash allah
Jee Mchelewa aina gani unatakiwa utumiye ..jee mchele utakao tumiya mpya au wa zamani ..na mdagani wa mchele ukae .. mfano mwaka miyezi au siku ....
Mchele wa v.I.p au mapembe au basmati au jasmin ktk hiyo ndiyo inayo faa
Rudi shule
Where are you this year sister Ramadan Mubarak ☪️
I like this recipe
Thanks for sharing
Shukran habiby
Hivi mkatehuu navibibi tofauti ikowapi naona maandalizi niyalelale
I just love your recipes dear.....i have tried almost all of your recipes and the results are amaizing.....thank you sooo much for making easy for us....God bless😘😘
Nimenda Dada nami nitajaribu
Me nimependa tu iyo mikono yako.yaani ni milaini na mirefu😘
Je unaweza kutumia baking powder badili ya hamira kwenye upishi wa mkate sinia au vitumbuwa?
Asaalam alykum warahma tullahi wabarakatuh mchele umetumia gani my dear
Ata ilikuwa ntaka uliza ilo swali
Nitajaribu
Ukikoroga tumia kijiko cha upawa sio kutumia mikono, kila mahali unatumia mikono sio sawa
Asante dear