Mungu akubarikie dear, mapishi mazuri, na mimi na pika hivyo hivyo tu ila ni mpenzi wa pilipili, kwa hiyo maboga zangu Hua Zina washa sana kwa pilipili
Wow safi Sanaa 5 Bora mboga za Majani recipe n supper results!! Well spoken A2Z 5 types of greens cooking ways to n understanding I'm pleased n happy watching ur post from TANGA Tanzania Ubarikiwe.
I am from Oman 🇴🇲 I like your cooking it is easy and delicious ❤
Thanks and welcome
Sanaa, short, clear, simple understandable
your welcome
Wao mbg nzuri sana
karibu sana
Naitwa amina nipo arusha mashallah asante sana kwa pishi nzuri..
karibu sana
Jambo mimi ni grâce Lubumbashi ni na penda sana iyi ma pichi yako ni nzuri sana ubarikiwe
karibu sana
ahsante sana tunajifunza mengi madam Glory kutoka arusha
karibu sana
Nimeipenda sana kwa kweli .Mimi ni kutoka mza ukerewe kisiwani
karibu sana
Naitwa adija Niko qatar Asante sana kaka nimependa sana Hilo pishi upepika vizuli sana mpaka nalitamani
karibu sana
@@mapishifoodlifekaka tena😲
Natazama kutoka Dar hongera mapishi mazuri sana
karibu sana
Nimejifunza mengi kutoka kwa mapishi yako.hongera.from Mombasa Kenya
karibu sana
Goood
Mutwaa mumbuuu nopoo
Cecilia juma Niko mkoa wa shinyanga nice nimejifunza
karibu sana
Naitwa Mwanaisha niko Tanga ninependa sana hii darasa la mapishi asante
TX ney
karibu sana
karibu sana dear
Barikiwa kwa kutuongezea ujuzi,niko mza
karibu sana
Naitwa Ndayishimiye Beatrice kutoka muyinga nimenda pochi lako❤
karibu sana
Mungu akubarikie dear, mapishi mazuri, na mimi na pika hivyo hivyo tu ila ni mpenzi wa pilipili, kwa hiyo maboga zangu Hua Zina washa sana kwa pilipili
wow asante kwa ku-share na sisi pia karibu sana kipenzi
Masha Allah mapishi yako mazuri ❤lov u from Oman umHaitham...
karibu sana
Tamu san dad
Naitwa mwanja nimependa sana
karibu sana
Asante nimejifunza nipo mbeya
karibu sana
Naitwa mariam np dar mashaallah nakufatilia hayo ndy mapishi yakumuweka mumeo ndan ya nyumba
karibu sana
Asante nakufatilia nipo dar
karibu sana
Asante sana kwa mapishi mazuri
karibu sana
Asantee sana ilo pishi ni tamu sanaa❤
Asante nakufatilia nipo zambia
karibu sana
Jesca anatokea mosh njiapanda Asante kwa mafundo mazuri
karibu sana
Asante dada,nimejifunza kitu kipya.
karibu sana
Manshallah nimejifunza
karibu sana
Waooo Joyce natokea mby kyl
karibu sana
Mimi nimepend mapishi Yako sana from oman
karibu sana
Hongea mapishi mazuri
karibu sana
karibu sana
Niko Burundi Bujumbura nimependa mapishi yako masha Allah ❤
karibu sana kipenzi
Umepika vizuri
karibu sana
Dada yangu unajua sana hongeraa sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wow
Natoka Bujumbura mapisha yako mazuri sana nimeyapenda sana
karibu sana
@@mapishifoodlifenapenda mapisho
Asante sana madam ila siku nyingine unatia na kapilipili ❣️❣️
karibu sana
🔥🔥🔥kutoka dar
karbu sana
Natokea dodoma Asante Sana kwamapishi
karibu sana
❤❤
Nakufuatilia kutoka arusha
karibu sana
Kwakweli nimeipenda nipo Congo ya kusiinii baraka jina ni mwangaza Macumu
karibu sana
Ahsante kwa kunifunza
karibu sana
Nimependa recipes zako nami nimependelea kula mamboga mboka kuliko nyama nami ntajaribu hizo recopes
Nimeitwa pastor Molisho Selemani
ni tamu sana jaribu halafu utuletee majibu, pia karibu sana, utajifunza menge kupitia huku
nipo mwanza nimependa❤ video zako
karibu sana
Wow i m from america nimependa sana upishi wako
karibu sana
Asante nimeipenda
karibu sana
Masha allah nimependa sana, mauwa from zanzibar, kibweni.
karibu sana
Upo vizuri sana napenda sana kabeji natoka Arusha
karibu sana
Naitwa Rose nipo mwanga Kilimanjaro napenda sana mspishi yako❤❤❤❤
karibu sana
Wow i like it,,,,, Anitha lindi
karibu sana
Naitwa chastity nimelipenda pishi hili ni zuri sana linavutia
karibu sana
Nipo Zanzibar nitajaribu nione utamu wake.😂
karibu sana
Asantesana kwamafundisho yenu yawuoishi mm nawafatilia nikiwapandeza marawi ila2 nasikitikakwasababu mapishiyote yanahitaji mafutayanazi nawakatiss ss huku hayapo
karibu sana kipenzi pia pole sana. usijali unaweza tumia karanga za kusaga tu kipenzi sio lazima nazi.
Napenda sana sana niko apa Congo
karibu sana
Asante dad nimeangalia jinzi ya kupika tember na nikapika mda huo huo daaa limekua tamu Sana
wow karib u sana
Hongera dada nimejifunza Sana mungu akuzidishie
karibu sana
hongera dada kwa mapishi bora.
karibu sana
Asante nadifunza mengi from Priscilla Zambia
karibu sana
Asante sana kutokea Dar naitwa Bahati
karibu sana
Nakufuatilia tokea masasi koani mtwara, napenda sana kupika asante
karibu sana
Naitwa neema kutoka🇹🇿🖐️nimenda sana pishi lako my dear I love
karibu sana
Wow safi Sanaa 5 Bora mboga za Majani recipe n supper results!! Well spoken A2Z 5 types of greens cooking ways to n understanding I'm pleased n happy watching ur post from TANGA Tanzania Ubarikiwe.
Thank you so much
Naitwa Khadija nomejufuza Asante sana nk dar❤
karibu sana
Asante sana ...let me say good job!
Thanks for watching
watching from Nairobi Kenya. I like it
thank you for watching
Nimepeda sana mapishi mimi niko Holland Asante
karibu sana
Niko Moshi Kilimanjaro ukweli nimekubali Sana Kwa sababu Mimi Ni mpishi kwenye hotel yangu nisamee ahasant Sana Kwa elim ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
karibu sana
Natazama from dodoma
karibu sana
Ahsanteee Kwa mapishi Yako nipo Kilimanjaro
karibu sana
ManshaAllah nimependa from Burundi
karibu sana
Kutoka Zanzibar shukran sana
karibu sana
Asante dada mm natokea znz I like the way you cook
karibu sana
Naitwa. Mgeni nipo Pemba.
Hongera sana
karibu sana
Asant 🙏 kwa kunifundisha mapisha mazuri San
karibu sana
Asante Kwa mafundisho mazur
karibu sana
Nakufuatili sanaa
karibu sana
Aksante dada cheftain. Mi niko Kilimanjaro. Naenjoy mapishi mardad.
karibu sana
Naitwa asma nipo dar so sili nimejifuza nita jalibu nakupend ❤
karibu sana
Nimepika leo my dear yaani ni tamu be blessed 🙌
wow asante sana kwa kushare na sisi pia karibu sana
Big up❤❤❤❤
thanks
Niko Mwanza darasa zuri Sana
karibu sana
Nakufatilia kuto malindi Kenya 🇰🇪
karibu sana
Naitwa janeth pishi zur
Moshi, good
your welcom
❤Sana lrene tam sana
karibu sana
Cjawah kupk apa ndo naangalia video yako ili nijifunz nimeipnda ntajarb kupk asant❤❤
karibu sana
ahsante kwa pishi naangalia kutoka somanga kilwa lindi naitwa ashura
karibu sana
Nafatilia kutoka zanzibar
karibu sana
karibu sana
Agripina nakucheki toka Dar
karibu sana kipenzi
I like your cooking.chris from Kenya
your welcome
naitwa zubeda natoka🇹🇿🙏 nimeipenda Sana my dear
karibu sana
NATOKA BUBUBU ZANZIBAR KIUKWELI NAPENDA SANA MAPISHI
karibu sana
Nimeipenda mapishi ni sophia ❤❤🎉
karibu sana
Naitwa lilian john natazama video hii nikiwa tengeru arusha, tam sanaa
karibu sana
Naitwa Rechel Niko Dodima Tz nimependa Sana mapishi yako
karibu sana
Yustina,Niko Mwanza,it's yummy
karibu sana
Explain the spices in English.
Nimejifuza zaidi Noreen kutoka Dodoma
karibu sana
Assnte, nimependa from Kariakoo
karibu sana
Hongera Sana kwa mapishi Yako
karibu sana
Mashaa allah kutoka tabora
karibu sana
Niko mwanza nimpenda sana
karibu sana
Hongeraaaa🎉
karibu sana
Napenda mapishi yako asilimia kubwa hayana spices nyingi
Napatikana Sud africa
karibu sana
Naitwa nide nipo Dar,nimependa sana
karibu sana
Naitwa Maryam nimependa sana natokea Tanzania
karibu sana
Natokea Moshi mjini asante sana
karibu sana
Hongera Sana kwa mapishi Yako🙏🙏🙏🙏
karibu sana
Nipo simiyu busega nimeoenda Sana pishi lako la mbogamboga
karibu sana