Nelly hongera sana dogo kwa kusema ukweli, ila watanzania wengi tumejaa janja janja tu na uoga mkubwa sana, hao waandishi wa habari ni bendera fuata upepo tu, respect sana dogo, mzalendo wa kweli Ney,
@@OmegaNgondo-l6e Nelly wa kutega nelly mtoto wa kike jina la kike ndo maana kumbe Nlly ndala ndefu wa Tandale kaa kaka yake wa Tandale wote washapitiwa na P DIDY Kaka yao wa nje. 😂
Mungu hutumia yoyote alie tayali kutumiwa na kuitetea jamii yake nei anachosema na kuimba ndio sauti ya watu na kilio cha watu na wanyonge wanahitaji falaja wasemewe wasikiwe kilio chao
Mwandishi mwenyewe hajiamini kusema umeupenda nako unaogopa et, nyimbo Kali kama hiyo umejaa uwoga Tu mwandishi wanhovyo kabisa.. keep going my brother Ney ñ be strong enough
Mwandishi wa habar we mjinga Sana ney kakuuliza kuhusu wimbo. Wake unashindwa kujb why ujumbe ushafika kk ucjali atakama wakiufungia Ila utapigwa tu huku kitaa
Yani kweli awapo watangazaji hasa nay ..aitaji mchango kwa kosa lipi kweli ngazi moja yajiunga vipandio vingi zaidi ya mia ..kwa waelewa nahisi wenye aidia ya kuelewa naamini wameelewa ..watangazaji wanaonyesha wanajifunza mengi ni udadisi ..lakini vema sana kiongozi wetu..alafu waandishi wajitahidi kuuliza maswali yanayoendana na lengo..kaz. Njema kwa pamoja
Sijajua anagombanisha vipi na Mataifa mengine! nakumbuka wakati wa kampeni chama kikuu huwa kinasema mkichagua Wapinzani nchi itaingia kwenye vurugu kama Rwanda! 🤷🏻♂️
Ney yuko sahihi mataifa mengi yame acha mambo ya kuangazia uchumi na maendeleo, viongozi wengi wana jiangalia hao na familia zao jamii nyingine zime baki kuhangaika tu
Ukitaka kuwa mkuu kubali kushuka na kuwa mtumwa wa wote waandishi machawa hawatafika mbali mwisho wao ni aibu sana nakukubali sana mwanangu nei maana kuipenda nchi ni kusema ukweli uchawa ni kuichukia nchi yako kwa asilimia 100 na kuzidi
Msanii mwenye uwazi mungu akubariki tunakutazama mpaka Kenya aki unagusia Dunia nzima👊
Sarutiiiiiiii brother Mungu azidii kukupa pumziii uish myaka mingiiii hakika umetusemea na unazidi kutusemea wanyongee
Hajawahi chochea,,Anasema kweli,,Mungu amlinde kwajili ya wanyonge
Big up brother Nay, Nakukubali sana na Mungu akupe ulinzi
Kaka Mimi nakukubari sana upo vzr brother
Hizi ndizo nyimbo zenye ujumbe na hisia Kali hongera raisi wakitaa❤❤❤❤❤❤❤
Huyo mtangazaji ndo walewale respect sanaaa kwako brother May Almighty God protect you 🙏🙏🙏
Tunaompenda Rais wa kitaa tu like hapa
Nelly hongera sana dogo kwa kusema ukweli, ila watanzania wengi tumejaa janja janja tu na uoga mkubwa sana, hao waandishi wa habari ni bendera fuata upepo tu, respect sana dogo, mzalendo wa kweli Ney,
@@OmegaNgondo-l6e Nelly wa kutega nelly mtoto wa kike jina la kike ndo maana kumbe Nlly ndala ndefu wa Tandale kaa kaka yake wa Tandale wote washapitiwa na P DIDY Kaka yao wa nje. 😂
Ukweli mtupu
Sema kaka Wambiee Maan Viongozi Wanatuhalibia nchi Yan Haki Masikini Hapati
Niko na wewe mpaka waku uwe kakangu ❤ 🫣🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu akulinde Rais wa Kitaa,wewe ni msanii wangu bora nchi hii
Wandishi wa habari wa tz wasenge sana kama bendera ufuata upepo mbwaaa hao wamekuwa waoga sana...nay kka hongera nakupenda sana
Kuna background ya wimbo wa nako 2 nako “hawatuwezi “ nauskia kwa mbaaali ❤ love it “wimbo una maana kwa hii interview
Mungu hutumia yoyote alie tayali kutumiwa na kuitetea jamii yake nei anachosema na kuimba ndio sauti ya watu na kilio cha watu na wanyonge wanahitaji falaja wasemewe wasikiwe kilio chao
Bro uko vizuri hasa ukitaka kufanya kazi ila punguza matusi kwa baadhi ya nyimbo zako nyengine ila mwisho wa siku your true boy
Katukana wap nawewe
Mmi namkubali sna huyu mwamba jpo nkiwa 254 big up brother
Nay usirud nyuma tuko pamoja mwanaharakat big up
Mwandishi mwenyewe hajiamini kusema umeupenda nako unaogopa et, nyimbo Kali kama hiyo umejaa uwoga Tu mwandishi wanhovyo kabisa.. keep going my brother Ney ñ be strong enough
Wa.zanzbar tumekueelewaa.kaka.pigakaz.❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up sana nay unajiamin kwa kuwatetea wanyonge unastahil kuwa kiongoz bora na sio bora kiongoz
Nyimbo zake zinaweza ishi muda sana
Mungu akulinde Ney
Mi mwenyewe nakukubali kinoma Rais wa kitaa ❤❤❤❤❤❤
💪,..Big up sana kwko ,👍
Sahihi sana kiongozi wetu..
Nakubali damu yangu
Supporting you Bro🙏🙏✝️
Hongera ney wimbo wako ni mzuri tupo pamoja na wewe mpaka uuwaji na ubakaji uishe.
True boooyyyyyy sema nao haoooo hawakujuiiii.
Mwandishi wa habar we mjinga Sana ney kakuuliza kuhusu wimbo. Wake unashindwa kujb why ujumbe ushafika kk ucjali atakama wakiufungia Ila utapigwa tu huku kitaa
Hongera sana kwakusema ukwer kaka tutazidi kukupenda tu Bora wewe ungekua rais wa watanzania ungekua Bora zaid
Big up brother kwa kuwaambia ukweli waandishi habari
Congo🇨🇩 Tuna Ku Sapoti Muzalendu Mkuu✊
By nimekupenda Sana Mungu akupr maisha marefu🙏🙏
Nasikuzote ukweli unauma imba kaka kwa ajili ya nchi yetu tena paza sauti tuko pamoja
Msema kweli Kaka hongera Mungu akulinde
Bg up bro wanasifia ssbbu wanendekeza njaa na kusahau mungu ndyo mtoa riziki na syo kuwa chwa wa mt
Mimi Niko na bro nay siku zote naimani sana nayeye basata waache ujinga ❤❤❤❤
Ney apewe u-Balozi wa Amani Tanzania....huyu ni miongoni mwa Wazalendo wachache!
Thank you TrueBoyTZ❤ 👏 👏 👏
Sawa we noma
Nakupenda bure ney wangu
Kwakweli hongera Sana asee mungu yupo atakutetea
Saluti kiongozi
Excellent bro
Kioo Cha jamii kweli
Barikiwa kwa kusema ukweli mungu akutunze
Yaani nyimbo za msingi zinapigwa marufuku ,lakini zile ambazo hazina ujumbe ndo zinakumbatiwa
Nikawaida hata mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe .ila umakini pia unahitajika kwa ulinz wa maisha yake
Yuko vizuri sana Ney
👍👍👍👍
Shamsa ford anaonekana bado anampenda sana naywamitego 🎉🎉🎉🎉
Amina bro
Nakukubali sana broo
Tunakusaport,,,💪
nakukubari sana maana unaimba uhalisia wa jamii inavyoende
Yani kweli awapo watangazaji hasa nay ..aitaji mchango kwa kosa lipi kweli ngazi moja yajiunga vipandio vingi zaidi ya mia ..kwa waelewa nahisi wenye aidia ya kuelewa naamini wameelewa ..watangazaji wanaonyesha wanajifunza mengi ni udadisi ..lakini vema sana kiongozi wetu..alafu waandishi wajitahidi kuuliza maswali yanayoendana na lengo..kaz. Njema kwa pamoja
Nice bro
Mungu Akulinde sana wala hakuna wa kukudhuru
Nchi hi usifie ujinga tu ukiongea ukweli mchochezi washatuona wa Tanzania mambuzi ney nakukubali sana ❤
Mungu wambinguni akubariki sana
Hard core
Wachane mwana maisha tu kwa hii dunia watu waache mauwaji ni lawama tu kwa mungu kuuwa mtu plz
Ukisimamia haki siku zote utaandamwa na wabaya,wabaya hawaihitaji haki...duniani hamna haki.
Uko sw brother ney tupambanie mungu yupo
kaka umeongea kwelii mungu atakulinda kaka
Msanii asiyependa unafiki, mungu akulinde ney
Pamoja sana ney
Nakuaminia sana Ney
😢😢😢wewe nizaidi yaraisi👊🏽👏🏽🫵🏽
Sijajua anagombanisha vipi na Mataifa mengine! nakumbuka wakati wa kampeni chama kikuu huwa kinasema mkichagua Wapinzani nchi itaingia kwenye vurugu kama Rwanda! 🤷🏻♂️
UKWELI UNAUMA ILA UNAWEKA HURU❤
Jmn kwani shida nn? Mbn wimbo mzr sana
Watoto wanatekwa sana jaman😂😂😂😂
Huyo mwandishi wa habar hawezi kusema mdanganye 😂😂😂😂
Mungu akusimamie point kama zote
Ney noma saana we ndio kiboko yao
Nimekukubali kk ney endelea kutuwakilisha
Kaka wewe ni mtetezi wawanyonge nambar Moja Tanzania miaka buku🔥🔥🔥
The true boy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uko vizur siyo kama kina DIAMOND Na ukubwa waowako bize na mapenzi huku nchi inahitaji basement yaliyomo
True boy
🙏🙏❤❤
Badala wafungie mtoto kautaka 🤣🤣
💯💯
Aisee hii ngoma umesema ukweli kwa yote yaliyopo hapa Tanzania
Sanaa nay nakukubali
Good❤ my best
Ney jamaniiiiii ndio unaimba vixur, lkni je utapona kweliii ndani hii miaka 2, Mungu akutetee
Mwenyezi Mungu atamlinda daima
Asie kuelewa nimchawi wako ss tunakuelewa sana sana
Kazi ya sanaa ku elimisha kuburudisha ku kosoa Ina kuwa vipi wao Wana taka kusi fiwa tu kuko selewa no!
Pole kak ney
Ney yuko sahihi mataifa mengi yame acha mambo ya kuangazia uchumi na maendeleo, viongozi wengi wana jiangalia hao na familia zao jamii nyingine zime baki kuhangaika tu
Wataelewa tu
good Ney
Ukitaka kuwa mkuu kubali kushuka na kuwa mtumwa wa wote waandishi machawa hawatafika mbali mwisho wao ni aibu sana nakukubali sana mwanangu nei maana kuipenda nchi ni kusema ukweli uchawa ni kuichukia nchi yako kwa asilimia 100 na kuzidi
Hao watangazaji ndio machawa wao hawezi upenda swali gumu hawezi jibu
Kwenye nyimbo vyote uhalisia kwani huko kutekwa kwa watu si hao waandishi ndio wanatangaza raia wangejuaje
Basata jitathimini huu wimbo tumeupokea Kwa mikono miwili 🎉🎉🎉
Jahbles brother