SHAMSHA FORD AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA ALIYOPITIA BAADA YA NDOA KUVUNJIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 157

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 года назад +27

    Pole saaana Shemsa ila napendaga dira zako love from UK in Newcastle

  • @diva_20162
    @diva_20162 8 месяцев назад +1

    Shamsa my role model nakupenda sana maana upo really Mungu akuongoze katika mapambano yako ❤❤❤

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 года назад +10

    Maisha ni safari ndefu I’m so proud of you umepambana na Mungu atakuzidishia baraka tele

  • @joycerafaeli8459
    @joycerafaeli8459 2 года назад +2

    ilove you my Superwoman❤❤❤❤❤❤ongera dada kwakuwa muwazi aufeki maisha Mungu yupamoja nasi sote amina

  • @marineykaremere16676
    @marineykaremere16676 Год назад +1

    Na mpenda sana uyu Dada Samsha, nakutakiya laheri ndani ya maisha Yako ❤

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 2 года назад +2

    Usilie mama kuna muda maisha yanaumiza sna mm mwenyew majuz nimelia aiseee pole snaa muhim n kushukur Tuna Uzima vitu tinapatikana tuu muhim hakuna Kukata tamaa🤲

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 года назад +9

    Wewe unayajua maisha sanaaaaa hunaga mbambamba😍...Hufake na hujawahi kufake wewe dada🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @addalazaro5579
    @addalazaro5579 2 года назад +1

    Shamsa you're so really nimekupenda buree hunaga unafiki wala maisha feki na kupitia maombi ya totoo roho yakoo utafanikiwa sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 года назад +8

    You right sis wewe ni super woman kumbe wewe ni leo huna bahati ya kuhongwa kama mimi asante kwa kuwa wazi shamsa

  • @sheylaomar2864
    @sheylaomar2864 2 года назад +3

    Emotions zimekuja baada ya kutaja mchango wa watu kwenye maisha yake 💜

  • @BURUDANITV650
    @BURUDANITV650 2 года назад +14

    Saaafi Sana shamsa Ford nakuelewa Sana my wangu 😍 😍😍😍

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 2 года назад +8

    Kweli tulozaliwa mwezi wa saba ni wapambanaji sana,Nakupenda shamsa hujawah kufake maisha

  • @gracesilayo7670
    @gracesilayo7670 2 года назад +4

    Haringi adi raha, anaonekana yuko peaceful Sana nakupenda Dada angu

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Год назад

    Pole sana shamsa kwa ulioyapitia i maisha ndio yalivyo

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 года назад +2

    Mashallah dadangu nakupenda sana kwa sababu ww ni super woman kama mm from kenya

  • @spaice995
    @spaice995 2 года назад +7

    Wasafi na nyie hata kinywaj mnashidwa kukununua mnaweka maji kwa glass ya shampeni(Champagne 🍾) maisha ni kupanda na kushika kuwa msanii Tanzania sio ndo maisha mtu kayapatia she's strong tukae na watu vizuri

    • @elianeirakoze8562
      @elianeirakoze8562 2 года назад

      Hapo ni kwa chamsa ford

    • @kingkinye1419
      @kingkinye1419 2 года назад +1

      Pale kapanga lakini kwa thamani ya ile gali anaweza kupata nyumba

    • @spaice995
      @spaice995 2 года назад

      @@elianeirakoze8562 ndo wasiende na vitu vyao kama media kubwa kama wanavyosema

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 года назад +3

    Ila Mwanangu Shamsa, Movie ya Chausiku uliigiza vizuri sana.

  • @vincej9275
    @vincej9275 2 года назад +4

    Pole Shamsha lakini Mungu Mkubwa siku zote. God is always Great,

  • @alimungamunga2277
    @alimungamunga2277 2 года назад +18

    So sorry shamsa kwa changamoto za kimaisha uliopitia Dada omba mungu tu

  • @tithomhagama
    @tithomhagama 2 года назад +17

    Same time unaweza Jua shida Tunaoitia wachache kumbe tupo wengi so chamsingi ukiona unapitia magumu usikate tamaa piga moyo konde pambana.

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 2 года назад +2

    pole habibty mungu yupo na ww mpambanaji I love you shamsa

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 8 месяцев назад

    Jamn 31 birthday mate wngu🥳 ❤ kweli ss n wapambanaj na c watu wa kukata tamaa easily
    Nakupenda shamsa🥰

  • @G.S985
    @G.S985 2 года назад +1

    God is great 4 everyone.Mungu mkubwa

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 года назад +2

    Shamsa nimekupenda sana, umeongea kwa busara❤ ubarikiwe!

    • @hawahawa6132
      @hawahawa6132 2 года назад

      Nimejikuta nalia nimwkumbuka mbal

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 2 года назад

      @@hawahawa6132 maisha haya, basi tu Mungu ndo anajua!😥

  • @CamillaCarolina-v5s
    @CamillaCarolina-v5s Год назад

    Nakupendaga sana Shamsa❤❤

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 года назад +22

    Nimekupenda na kukuheshimu Sana Shamsa wewe ni mfano WA kuigwa

  • @mercymwimi1188
    @mercymwimi1188 2 года назад +1

    Pole sana,nilikata tamaa but umenitia moyo sana da shamsa

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 2 года назад +1

    Nakupenda Sana shamsa Mungu akusimamie kipenzi changu

  • @sayunikihunrwa4949
    @sayunikihunrwa4949 2 года назад +4

    Uyu dada anaupendo sana na atabarikiwa kila kukicha

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 года назад +8

    Mimi nakupenda Sana Ila sijui kwanini nakupenda .

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 года назад +1

    NAKUPENDA SANA SHAMSA MMMY ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏POLE SANA DADA

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 года назад

    I love you Shamsa endelea kupambana kila kitu kinawezekana mama ❤

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 2 года назад

    CK zt naamini Sana Mungu Kuwa NYAKATI NGUMU huwa azidumu Mungu atakunyanyua tuu Kwa mda wake mda wwt

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 10 месяцев назад

    Maombi ya mtoto ❤

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 года назад +1

    Daaah we wa kwanza dada shamsa Mungu akupe maisha marefu..na mafanikio we ni mkweli sana

    • @givendaudi8721
      @givendaudi8721 2 года назад

      Kwakweli yaaan ameongea ukweli kabisaa

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 года назад +4

    Hongera fighter

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 2 года назад +1

    I love you dada shamsa💞💞🥰🥰

  • @petroibrahim5520
    @petroibrahim5520 2 года назад +3

    Huyu Dada nimuwaz kumbe angelikuwa mwingne angeji proud kwel kwel na Wala asingetoa hzo Siri zakulala njaa, au kulala chin ,nimejifunza ktu toka kwako🤔

  • @hadijashaban4598
    @hadijashaban4598 2 года назад +1

    Nakupenda sana sana

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 года назад +2

    Namkubali sana huyu dada wallah

  • @martharugwana2130
    @martharugwana2130 2 года назад +2

    Nakupenda Shanda tangu kitambo ❤️❤️💪

  • @vickshekia7265
    @vickshekia7265 2 года назад

    Nakuelewa sn Shemsha Mungu azidi kukupigania

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 года назад

    Shamsa ww kiboko 😘😘😘😀😀

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 2 года назад

    Ameen Insha Allah

  • @veronicambassa3826
    @veronicambassa3826 2 года назад +4

    Wewe ni mfano wakuigwaaa nakupendah sana

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 года назад +1

    Super women SHAMSA ❤️❤️

  • @salmamapunda3054
    @salmamapunda3054 2 года назад

    Uko vizuri nimekupenda sana katika Maisha jikubali na muombe mungu

  • @victerkanje1697
    @victerkanje1697 2 года назад +3

    Usilie zidi kumuomba mungu ukilia unampa nafasi shetani.

  • @ndayushimiyerungarunga8712
    @ndayushimiyerungarunga8712 2 года назад +5

    Uko na Rohonzuri utafikambali wallahhi naandika haya machozi ya nanitoka Dada yangu utafika mbai kwauyo moyo niliwahi kupitiya mengizaidi Dada pambana

  • @lehabbizdoncare8574
    @lehabbizdoncare8574 Год назад

    Shamsa nakupenda mno kiukweli

  • @hamiyarshafi9407
    @hamiyarshafi9407 Год назад +1

    Well done 👍🏿

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 года назад +3

    Nime mpenda sanaa

  • @yasintaedward1395
    @yasintaedward1395 2 года назад +1

    Ani adi nimelia pole sana kumbe hata wewe ulipitia shida ivyo pole shamsa wewe ni mpambanaji sana mungu akupe maisha marefu

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 2 года назад

    Uko very humble

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 года назад +2

    Pole Sana pachaaaaaaaa😭😭😭😭

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Год назад

    Nampenda

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 года назад +1

    God bless you sis❤️

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 2 года назад +1

    Penda Saana Mnyaki Og Wangu Mpambanaji Usiyegive Up💪💪💪 M/MUNGU Aendelee Kukupigania Shamsa

    • @hamidugoodimetuliyaiyorish9466
      @hamidugoodimetuliyaiyorish9466 2 года назад

      Wala aukupitiya maisha magum unaela yakukod bajaji boda boda unakula vizur unalala wakati wenzako wanapanda daladala aise dada wewe usiseme ivo wapo wenye maisha magum

  • @resticharles1448
    @resticharles1448 2 года назад +3

    Pole

  • @samudakuz6897
    @samudakuz6897 2 года назад

    Pole mpenz

  • @zamannamusa1794
    @zamannamusa1794 2 года назад +1

    yes hakuna kukata tamaa dada pole

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 2 года назад

    Pole shamsa,sisi mashabiki wako tupo nawe

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 2 года назад

    Hongera shamsa unanipa ujasiri mkubwa nipo nyuma yako

  • @mkaminyintange3602
    @mkaminyintange3602 2 года назад

    Isee mpaka nalia pole Sana kwa uliopitia shamsha

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 2 года назад

    Much love 👧 👧

  • @afraalex2366
    @afraalex2366 2 года назад +2

    This is what I love about you... U are so real

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 2 года назад +3

    Wewe na shishi ni WANAWAKE haswaaa

  • @rehemaali8010
    @rehemaali8010 2 года назад

    Same birthday

  • @brigidmua2548
    @brigidmua2548 2 года назад

    Shamsa pole

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 Год назад

    Hadi nimelia hata mm nimependa ulivyo muwazi

  • @bigboss6813
    @bigboss6813 2 года назад +1

    ❤❤

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 года назад

    Bora umesema ukweli

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 года назад +1

    Naniliwah kudhulumiw Madera namtu anajiita shamsa sijui km niyy au mwingin lkn niliwah kumtafut hakunip.ushirikiano lkn saut nilihis niyy lkn nilish sameh japo nilipitia magum nauguliw mtu kalazwa Halaf unazulumiw na madir pamb

    • @mchagashop1342
      @mchagashop1342 2 года назад +1

      Ulitapeliwa na kiherehere chako

    • @tanzaniaafrica7019
      @tanzaniaafrica7019 2 года назад

      Watapeli wengi wanatumia majina ya wasanii pole

    • @eunicembwambo2749
      @eunicembwambo2749 2 года назад

      Alishasema dada wawatu kuwa hana account Facebook watu wanatumia Jina lake kutapeli

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 года назад

      Km ni fb sy yy

  • @Thebeast_tz
    @Thebeast_tz 2 года назад +4

    Wanadaiwaaaaaa🙄🙄🙄😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 года назад

    We dada ni mpambanaji sana

  • @arafamohammed7927
    @arafamohammed7927 2 года назад +1

    Kumbe birthday wote Sawa

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 Год назад

    Mpaka nimelia

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 года назад +1

    ustar unafaida na hasara zake.

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 года назад +2

    Umefuraa😂😂nakupenda dada angu jiachie Tu my Mimi pia nimepitia kama wewe Ila now nipo single napiga pesa Oman ndoa Kwa sasaa ☹️

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 2 года назад +1

      Sehemu.gan my

    • @BINTIwaKITANGA
      @BINTIwaKITANGA 2 года назад

      @@asmahassan5661 shinas karibu na sohar

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 года назад

      Usinambie ndoa sio nzur haahahahahaha narud kuolewa uwiii sasa mbon kila kona ndoa ngumu kuliko kidumu cha lita tano huhuhuhuhu

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 года назад

    Ka ulizwa washikaji hakuna msaniii ametajwa ndo tu elewe ss wakati wa matatizo ndo unawajuwa ndugu wakweli

  • @emanueryndaki9381
    @emanueryndaki9381 2 года назад

    Huyu dada nilimfahami kwenye movie ya Bado na tafta akiwa Gabo

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 года назад

    pole sana kumbe hata nyie mnapitia msoto eeh

  • @kudrantegakaje7237
    @kudrantegakaje7237 2 года назад

    Nic san

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад +3

    Zanzibar baadhi ya watu dhuruma kama nini, shemeji yangu kadhurumiwa Milioni 20, yani matapeli wapo Tele.

    • @shandushady354
      @shandushady354 2 года назад

      Mimi nipo Zanzibar Nungwi Mchumba Wangu kaolewa na Sheah Kwa lazima ya Wazazi vitu vipo vinatutokea kikubwa Tuishi Kwa upendo

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 2 года назад +1

      Subhannallah million what🤔😭

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 года назад

      Mimi mwenyewe nilitapeliwa. Milioni 20 miaka miaka mitatu iliyo pita nililia mwaka mzima

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 2 года назад

      @@inongee1141 pole Sana, mimi natamani hata serikali ya zanzibar ingeona haya masikitiko ya watu, mimi hatakama ningeitwa ningeeleza maana wa chache wanaharibu sifa,tena wazawa kabisa.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 2 года назад

      @@inongee1141 Aki woiye Pole sana Allah akpatie faraja Inshaallah cjui ni dada ama n kaka Allah atakulipa Inshaallah 💖

  • @marymissb5231
    @marymissb5231 2 года назад

    Nimelia jmn

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 8 месяцев назад

    Shamsa Ford kamwene dada

  • @nostressfreedom8615
    @nostressfreedom8615 2 года назад

    Ooo Den

  • @hidayamkandara9696
    @hidayamkandara9696 2 года назад

    Nikweli shamsa anayosema

  • @wilbatnyato425
    @wilbatnyato425 2 года назад

    Huyu si alikuwa na Range Rover Vogue huyu

  • @ndayushimiyerungarunga8712
    @ndayushimiyerungarunga8712 2 года назад +2

    Kuhongwa siyo bahati

  • @pamela3335
    @pamela3335 2 года назад

    Pôle Sana

  • @jamesmtonyole7043
    @jamesmtonyole7043 2 года назад +1

    Mo town bhana usiliee Dada anguu ndio maishaaa hahahahha

  • @nissamwapoladi7345
    @nissamwapoladi7345 2 года назад +1

    Mwanamke kuhongwa kawaida nyie vipiii

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 года назад +1

    Kumbe mwez wa saba ni simba?
    Mwez wa nane je?
    Umenchekesha hapo eti nkopeshe mil 10 ya mtaji.mwenyewe madira pambe.bnadaam🤗🤣

  • @mctt1916
    @mctt1916 2 года назад +2

    😭❤🤲😭💜

  • @gracesilayo7670
    @gracesilayo7670 2 года назад

    Usilie kipenz imebaki historia mwaya

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 года назад

    Mbona kama movie 🍿 hii? Nielewesheni

  • @alisalim2145
    @alisalim2145 Год назад

    Maskini pol san☹️

  • @patricknambaka5496
    @patricknambaka5496 2 года назад +1

    Kweli mastaa wa feki maisha

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 2 года назад

    Bora hata wewe mkwer ila uwoya kwa kutuigizia mweehh🤣🤣🤣