Nimependa kimoja kwako ambacho wengi hawana...umetuonesha maisha halisi ya kitanzania...hayo ndo maisha tunayoishi wengi wetu...pia hongera kwa mjengo..ngoja na mimi nikaishi site.......❤
Uyuuu dada jamanii amenifanya Nimpende zaidi maana yuko free na kuonesha mambo ake!! Sema zuwena jua kali alivopigwaaa tekeeee ktk harakati za kudai kodii😅😃😃😃😃😃😃
Kabisa Yan, sio kama kina gigy money😂😂😂umber lulu, kujiekti hawana lolote kumbe wanaliwa nyuma nyumba hawana😂😂😂😂Kaz kukosi mi apartment TU akili ya kujenga haipo mwendonikuliwa nyuma TU mtihan😂😂😂
Siwa nakupenda huekti maisha kama wakina gigy money, kujidai wana hela nyingi kumbe wanazpata hela kwa kuliwa nyuma na kukodi apartment za gharama tu kashfa tupu, lkn wewe dada hongera❤❤ maisha yako normal mashallah❤❤❤❤
hogera sana mrembo mungu uwapenda watu ambao wanajishusha ambao wanaonekana dhalili ktk maisha yao allh uwa pandisha dalaja kwa kila kt kuwa msili ktk maisha yako ni vzr ikiwezeka wao ndo wayatafute wayajue sio ww
Nimependa kimoja kwako ambacho wengi hawana...umetuonesha maisha halisi ya kitanzania...hayo ndo maisha tunayoishi wengi wetu...pia hongera kwa mjengo..ngoja na mimi nikaishi site.......❤
Vizur dada amina akuna ulichoficha na umeonesha maisha yako alisi kabisa mungu akuongezeee zaid ya ivi ulivyo tuonesha❤❤❤
Nampenda sana uyu mama mungu ampe kila hitaji la moyo wako dada Amina ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameen ❤
Nimekupenda sana dada, unaishi maisha halisi ya kitanzania. Hongera sana😘
Huyu dada Yupo REAL SANAA HAFEKI MAISHAAAA SHE IS BLESSED ❤❤❤
Niseme tu kuona mtu kafika hapa c mchezo hela ilio potea hapo daah aiceee hatari Sana respect kwako dada ❤
Me rang yakee tu mashaalah.
Nimependa maisha halisi ndo haya hongera maa mtu
Uyu dada nampenda Sana MUNGU Ampe maisha marefu
Mashaallah kumbe sio mdomo tu na maendeleo anayo sio akina Masha
Masha Allah tabalaka Allah mwenyez mungu akupe zaid nampenda sana huyu dada kwauchangamfuu wake ❤❤❤❤❤
Nami pia nampenda sana tena sana ❤
Hongera kwa kujenga nyumba nzuri,no fake life ... nakupenda sana Siwa
Mashaallh 😍dada nyumba nzuri sana mtu kwake bwana 👌🔥
Kubwa hadi raha
Daaah Huyu njo RoleModel wa Tz kwenye Waigizaji 🙌🏻🙌🏻 yupo Really sanaaa👌👌
Hanaga mbwembwe za kulia vijiko kaonesha uhalisia wa maadili yetu haja tuektia uzungu safi sana dada dula 👏👏👏
Nyumba inaonesha nzur san itakua ikiisha kutengezwa simple tu lkn pambe mashallah❤👌👏🙌 Allah ampe zaidi ya hapa alipo fikia🙏🙏🙏
Huwa naenjoy akiwa anaagizaga huyu mwanamke jamani nampenda sana❤️❤️❤️
Hua nampenda sana huyu dada, hua natamani angekua dada yangu wa kuzaliwa nae❤
No kufake maisha bigup Sana Amina nakupenda Sana♥️♥️
Mungu naomba uwapatie watu wote wanaotaka kuwa na nyumba zao,mana adha ya kodi asikwambie mtu,
Amen kubwa
Aamin
Amiin ❤❤❤nimependa comment yako Mashaa Allah Ameen Ameen
🙏
Amiin
Dada mzuri na mwenyewe roho Nzuri MashaAllah.
Literally down to earth, Allah akujaze kheri na barka
I love it nyumba ina space kubwa nitaomba ramani😊
Ukishi maisha ya ukwel raha sana allah akujalie uishi iv iv kipenzi changu siwa usiwaige wasani wanaoishi maisha ya uwongo
She's so friendly and humble
Hongela daa Amina ulipofikia km kweli hapo kwako
Mashaalah kwa kweli umejitahidi sn nyumba kubwa alafu ya kisasa
Uyuuu dada jamanii amenifanya Nimpende zaidi maana yuko free na kuonesha mambo ake!! Sema zuwena jua kali alivopigwaaa tekeeee ktk harakati za kudai kodii😅😃😃😃😃😃😃
Jamani nampenda huyu dada halafu kumbe ndivyo alivyo hata maisha ya kawaida tu ❤
Ukimkuta na flora mvungi ni balaaa
Yaan yupo simple mno mungu ambariki kwakweli tena hana majivuno❤
@@tawsi-yc3nkamiina mzungu flan ivi😊😊😊
Napenda xana watu ambao wanaish maisha halisi na sio maisha fake, hongera xana Siwa 😍😍😍😍
Kabisa Yan, sio kama kina gigy money😂😂😂umber lulu, kujiekti hawana lolote kumbe wanaliwa nyuma nyumba hawana😂😂😂😂Kaz kukosi mi apartment TU akili ya kujenga haipo mwendonikuliwa nyuma TU mtihan😂😂😂
❤
Ety siwa 😅😅
Hongera Dada jamon
Mm nampenda huyu dada afeki maisha❤❤❤❤
Siwa jmn tunakupenda ❤ MashaaAllah Nyumba kubwa mno 🎉
Da amina mungu akufungulie baraka uko very humble.
Napenda sana kuwaona watu wanaishi kwao Mungu amsaidie kila mtu amiliki nyumba.hata kama unalipwa laki anza kuweka elfu kumi kumi
Amiin
Aaamin
Ameen dear
Wengne tuna ndoto za kupanga
Ameen Ya Allah
Dada Amina mm pia napenda michezo ya kula 😊😊 cku nikija Dar ntakutafuta ❤❤❤
Nakupenda Sana dada nakupenda nataman ata ungekuwa dada angu ila nakupenda dada siwa ❤❤❤❤
Nakupenda dada,mungu akupe nguvu.kujenga si mchezo❤
Siwa nakupenda huekti maisha kama wakina gigy money, kujidai wana hela nyingi kumbe wanazpata hela kwa kuliwa nyuma na kukodi apartment za gharama tu kashfa tupu, lkn wewe dada hongera❤❤ maisha yako normal mashallah❤❤❤❤
Wow siwa love you from Kenya napenda unavyoigiza haswa kwa kombolela nlikufwatia mpaka ikaisha
Dada anaonekana mtu mmoja mshuaaa mnooo , story nying aiseee mtu wa kucheka ❤❤❤❤
Mashallah siwa sio water wadada wa mjini wanaokufikia swali sana mkubwa wangu Allah akuongezee
Nakupenda sana dada siwa mungu azidi kukubariki akupe maisha marefu ❤🎉🎉
Nimempenda hana mambo mengi ❤❤
MashaAllah ongela dada Amina nami inshallah mda so mlefu nitakuwa mama mwenye nyumba inshallah ❤❤
Ndoto nao nikufe mimi nimeshajenga ya rabby 🤲🏻nimiachie nyumb mtoto wang
Dah mung atusaidie jmn😢
InshaAllah amiin kwa sote
Inshaallah tamaa yetu sote wenye watoto!......Allah atuongoze na kutupea wepesi kwenye mafanikio yetu!... Aaaamin🤲🤲🤲🤲🤲
@@JanethMadios-oe5ue amiin ya rabby🤲🏻
Mungu ni mwemaaaa unaish life yko nzuri tu ❤❤❤❤❤
Yan nnapenda uyu dada vyeny ni muazi afeki maisha allha akupe hitaji la moyo wako da siwa ❤from kenya
Manshallah nimempenda ni msafi sana allah akujaalie afya njema ishallah
humble lady, lives simple like most of us in Tanzania
Lp
Pp😊😊
L 10:10
N.
😅Keep
😊
Wengine wanaishi maisha yakuigiza. Hongera siwa nimekupenda sana
Maa Shaa Allaah dada Amina..Kwako pazuri na mwenyewe hauna maringo.
Da Siwa nakupenda sana, mie ilo bezi lako tu linanikosha
Anaonekana ana roho nzuri sn huyu dada
Mashallah dada amina nyumba nzuri sana ❤❤❤❤❤
Nice nice nice❤...Yaani yuko open sana hadi raha...big up sana
Yaani tangia uyu dada Siwa kaigiza kombolela namkubali sna
unaigiza vizuri sana hongera kwa Hilo Bi Amina.
Nimekupenda Bure dada real life😊
hogera sana mrembo mungu uwapenda watu ambao wanajishusha ambao wanaonekana dhalili ktk maisha yao allh uwa pandisha dalaja kwa kila kt kuwa msili ktk maisha yako ni vzr ikiwezeka wao ndo wayatafute wayajue sio ww
Mashallah amina nakupendaga jmn et unamajin 😅😅😅 saiv wameona mjengo watajileta zaid nawakija watupie majin mama tutakusaport😂😂😂😂😂❤
Nakupenda sana dada ❤❤❤❤
Mashallah dada Amina ongera sana una nyumba nzuri kubwa alafu una malingo kabisa unakitu utafika mbali nakupenda sana ❤
Unaanza vizuri wamaliza vibaya na kula una uctaharabu .
hongera uko vizuri Amina nakupenda Bure wewe ni mkweli
Hongera sana nyumba nzuri ukuibana nafasi kubwa mpaka raha
Eti tunakaa tukiwa tunakunya jmn ila hana baya nampenda xan❤
Mimi nyumba ishakamilika Mungu nipe hela nijenge ukuta sasa 🙏🏻
MAASHA ALLAH 👏
Hongera sana
Mashaallah kumbe yangu nasema ndogo nafundi anambia nyumba kubwa hii dada mungu anisimamie nimalize salama
AMIIN😊
Nakupendaga sana dada Amina mungu akulinde na kila baya❤❤❤
Huyu Sister nimkarimu sana,mimi nafatilia kipindi chako Saleh tokea nianze kutazama sijawahi kuona mnapewa chakula
Diva mchoyo mgen alidai chakula akasema hapa hamna kula siwenyew leo hatukupka tuliagiza pilau
Mama star alimpa supu Pia
Kwakwel na kwa nyosh ndio aliwapa zawad ya kot nzur na viatu
@@norahfred6450 kweli nakumbuka na yule Dada anaejiitwa Kungwi alimpa chai
@@fahadfahmykwenye vikombe vyake avipendavyo❤
😢dada angu nakukumbuka sana tulikaa wote senegal kwa mzee majala baadae ukaamia kwa kiskuna nakumbuka mengi sana mm hassan
kipindi hicho mm na dulla wote tunafanya kaz kwa kiskuna
@@madownloadionlinetv759😂😂😂😂kumbe watu wenu wa karibu
uyu dada yupo real adi nimetamani awe dada yangu wa hiari
MashaAllah ❤❤InshaAllah Allah anijaliye nimalize nyumba yangu
Mashallah dada nyumba nzur alf kubwaa hatar vyumba vikubwa alf nimependa alivyo
Nakupenda sana nakufatlia kaza moyo imetosha sana❤❤❤
Pazuri hongera Sana Dada siwa 🔥🔥🔥🔥
Nimekupenda bure,unaishi maisha yako halisi.
Mashahallah wanyakyusa kumbe mnajua kutunza kuanzia sasa natamani niolewe na kbl la wanyakyusa
😂
😂😂jichanganye
Yaani anajiamini sana MashaAllah, wengne awawezi 😂😂.
Nyumban Yake kubwa kama kwa warabu 👌🏽👌🏽👌🏽🤸♂️🤸♀️🤸♂️hongera sana
Yan nakupend mpk nakupend tena 🎉❤❤
Mashaallah dada yangu kuwa na nyumba sio jambo dogo ❤❤❤
Yeah!!! Cyo mchezo
❤❤❤ hongera xn Siwa make wa wakwanza wa msimbe nakupenda xn
Jamn huyu dada nampenda sana Mungu akutunze ❤❤❤
Nakupenda we mdada nakupenda mpaka nakupenda tenaaa❤❤❤❤ ety tunaish saiti hun bayaaa
Nyumba nzuri Sanaa kubwa alafu ulingi Wala nini
Nampenda kwel kwel yan Hana kujishauashaua yupo kawaida kabisa❤ Alf anakula Kama sie wengine tu analikung'uta tonge haswaa😂😂😂😂😂😂
Hongera san mama mashavu 😅😅😅😅 umeupiga mwingi alhamdulilah
Uyu dada raha masha allah yan nyumbn yak nzr haijaisha nzr n wal hajaek vt vyengn nzr
Nakukubali my wizooo yani kumbe ni wifi yetu kweee love you ❤❤❤❤
Ukiwa mama mwenye nyumba Raha sana asante Mungu
Hongera dada maisha yako ni harusi kbisa❤❤❤nakupenda❤❤❤
MASHALLAH ❤❤❤ AM SO PROUD OF YOU❤❤❤
Nakupenda Siwa, you fake nothing❤❤❤
hongera umejitahida sanaaa
Amina atajalia kwauwezo wake alllha nitapata
Jamani siwa na kupenda bure sauti kwenye movie una changamsha sana towa movies nyengine komborera ili kuwa nzuri sana ❤❤
Da Amina unakula unakung'utia umo umo au ndomana salehe anategea
Ahaa kumbe ndo yule Amina mzur
Kajitahidi hongera zake ila mtangazaji nawewe unaonyesha hadi vyumba vyawatu
Yani mungu.akupe.maisha.marefu.wewe.
dada.huna.makubwa.nimepe
nda.unavoishi.had.nahisiraha❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah dada umepambana sio wengine wanakua waongo tu