GHOROFA ANALOISHI ASHABOKO/ ANA NYUMBA MBILI/ MOJA NIMEPANGISHA / MUME WANGU ALIFARIKI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 302

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 10 месяцев назад +6

    Mashaa Allah love you Asha Boko ❤️❤️❤️❤️

  • @GraceSichinga-bm4fh
    @GraceSichinga-bm4fh 11 месяцев назад +23

    Salehe ilki kipindi kinakufaaa 😂yan umesomea kwel kwel endelea kutupa raha next time nenda kwa riyama ali au kwa vyone cherry aka monalisa❤

    • @mask815
      @mask815 11 месяцев назад

      ruclips.net/video/r2iEjIz-D30/видео.htmlsi=ihbQK3DIjWbRGLAI

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 11 месяцев назад +15

    Mimi sipendi kuangalia bongo movies but nikiona muvi alocheza huyu mama lazima niangalie nampenda sana ashaboko❤❤❤

    • @mask815
      @mask815 11 месяцев назад

      ruclips.net/video/r2iEjIz-D30/видео.htmlsi=ihbQK3DIjWbRGLAI

  • @Juke995
    @Juke995 11 месяцев назад +71

    Asha hadi raha kuongea nae hapo kasahau kam ni interview 😂 dah napenda sana kuona wasanii wazaman wakiishi maisha mazuri kiukwel wameteseka sana 😢hata kama kapanga ila haombi ombi anapata kodi ndo maisha hata ulaya watu wanapanga apartment wananunua nyumba wanapangisha maisha yanasonga

    • @OmanOman-dn6dj
      @OmanOman-dn6dj 11 месяцев назад

      Sahani inaoshwa haifutwi inawekwa chakula😅😅kufuta mikono nyuma ya makalio😅😅😅tishu bei gani kwani kama taulo za kufutia huwezi nunua?..😅😅😅

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 10 месяцев назад +5

      @@OmanOman-dn6djmaisha halisi hayo kaka waswahili hatunaga hizo mambo za tissue wala kitambaa chankufutia vyombo

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 6 месяцев назад

      Nawe nawe Acha zako kipindi upo Tanzania ulikua unaosha sahani kisha wapangusa na tisho?? Au Sababu upo kwa warabu ushaghala basi umekua mtumwa Leo hii wajifanya mjuaji ovyooo​@@OmanOman-dn6dj

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 6 месяцев назад

      Upo kwa warabu tena umesahau kabisa uwalisia WA maisha yetu ya Tanzania ama kweli utumwa mgumu khaaaaaaaa​@@OmanOman-dn6dj

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 6 месяцев назад

      ​@@OmanOman-dn6djlabda nikuulize wewe mwezangu ulivyo kua Tanzania ulikua unaosha na kufuta na tisho au Sababu upo kwa warabu khaaaaaaaa shaghala bwana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 месяцев назад +10

    Salehe asante sana kwa kipiindi..unapomaliza na kumuaga interviewee kaa pembeni na utoe summary ya mahojiano ndo ufunge kipindi au sio

  • @salmaseif-rq9ux
    @salmaseif-rq9ux 10 месяцев назад +2

    Jmn nampenda asha Boko Allah amueke nikimuona tu naskia Raha ❤❤

  • @Hemeddymeddy
    @Hemeddymeddy 11 месяцев назад +10

    Yaani hapo kwa misosi Saleh ndo mwake lazima ale 😂😂😂😂😂

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +2

    Ok nimekumbuka kumbe wewe comedy😂😂😂😂😂

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +2

    Maana anaonyesha ni mgeni nayo hìi nyumba haha😂😂😂😂😂

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 11 месяцев назад +9

    Wabongo mpk mmuchunguze mtu!! ya nn? Kuwe kwake kusiwe hallelujah!!

  • @SHEMSASELEMAN
    @SHEMSASELEMAN 11 месяцев назад +9

    ❤❤❤❤ Asha boko huna baya,mnao mbeza mkome

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 11 месяцев назад +22

    Ila mshauri asher uwashaji wake wa gas ni hatari.yaani antifungal ndio anaanda kiberiti ni hatar saana.alitakiwa kuwasha kiberiti kwanza.

    • @Mrszizo-d7t
      @Mrszizo-d7t 2 месяца назад

      Hatar sana tena bora kingekua kibrit cha bastola

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 11 месяцев назад +4

    Mashaallah mkongwe Dada asha❤❤❤

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 8 месяцев назад +3

    Mashallah asha boko ni mcheshi sna ❤

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +1

    Eti umekodi nyumba kama hiyo alafu jikon una kijiko cha kilo 5 cha genius kimoja😂😂😂😂😂

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 11 месяцев назад +5

    Mama kipunje nakupenda sana ❤

  • @denishaule6314
    @denishaule6314 10 месяцев назад +2

    Aibu sana nch yetu umeme umeme

  • @MariamJamal-lb3go
    @MariamJamal-lb3go 10 месяцев назад +1

    Salehe tunaomba siku moja uwende kwa Mrs energy

  • @halimasalehe1731
    @halimasalehe1731 11 месяцев назад +28

    Wa sita kucomment ndani ya dakika tano like zenu please 😅

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 месяцев назад

    Wow that's awesome you're so much better ☺️😎 ooyy kutu letea mishe mishe za abari huko ulipo 🎉❤🎉❤😊 amen amen 🥰🥰

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +2

    Wakialikwa kwenye enter view wanatafuta nyumba sio zao😂😂😂😂😂

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 16 дней назад

      Huyo mumewe alikuwa tajiri. Hapo ni kwake na hana nyumba 1. Wanae wanasoma shule za gharama pia

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 11 месяцев назад +4

    Jamani Kuna watu wana maisha yawo na huwezi kuwazania maana hawajitapi kwenye mitandao

  • @Youngteo394
    @Youngteo394 9 месяцев назад +1

    Huyu Asha nampenda sana ❤❤❤

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 месяцев назад +5

    napenda sana hapa anapokaa..simple and so nice!

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Sio mkazi au mwenyeji wa hapo😂😂😂dah kweli wabongo kwa uongo tumefuzu😂😂😂😂

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +1

    Wasanii wetu ni waongo sana

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +2

    Wasanii wetu kuweni wakweli mnacho fanya ni kuwaharibu vijana wetu na kuwatia Tamaaa ambazo ni uongo mtupu,😮😮😮

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Месяц назад

      😂😂😂😂 yawekan kwak jaman

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 11 месяцев назад +2

    Asha boko jmn nampenda sauti yake haibadiriki 😅😅😅

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Mlinzi tu kakukatalia itakua majirani😂😂😂😂muongo huyooooooo😂😂😂😂😂

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 11 месяцев назад +3

    Asha. Na. Mwene wanafanana sna. Had vituko

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 11 месяцев назад +11

    Mashaa allah 🎉❤pazuri kwake jomoni ni majirani na miye tunapoishi

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 11 месяцев назад +3

      Sidhan kama ni kwake hapo . Kwake bagamoyo huyu mama

    • @BabyChloe-b2h
      @BabyChloe-b2h 11 месяцев назад

      Samahani izii nyumba zikwapi nimezipenda

    • @BabyChloe-b2h
      @BabyChloe-b2h 11 месяцев назад

      Nipe instagram yakoo unieleweshe

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld 11 месяцев назад

      ​@@shantellemwanakombo3703Na mie nafaham hivyo

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 11 месяцев назад +4

    tuletee rihama ally❤❤😊😊😊

  • @FedFox-fl5pw
    @FedFox-fl5pw 11 месяцев назад +1

    Nimeipenda hiyo ayaa umeme umerudi am tz from wsuzlendi

  • @salmamsakuzi3070
    @salmamsakuzi3070 10 месяцев назад +1

    Mimi nmeona ni kwake ila haishi muda mrefu binti yake ndo yupo hapo

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +3

    Hii nyumba inaoshesha ndio kwanza imemalizika ujenzi na iko mikononi mwa madalali bado haiĵapata mpangaji ila asha book kakodi kwa masaa tu ya intavuu😂😂😂😂

    • @methodmasaka1436
      @methodmasaka1436 10 месяцев назад +4

      Acha dharau na roho mbaya onyesha ya KWAKO na wewe

    • @kibongephotographer9224
      @kibongephotographer9224 5 месяцев назад

      We ina kuhusu nini au umeulizwa

    • @nancykaona2054
      @nancykaona2054 5 месяцев назад +2

      Ingekuwa kakodi yule dada pale chini angesema huwa wanaish nae vizuri???

    • @priscasaid4600
      @priscasaid4600 2 месяца назад +1

      Huyu Mama Mume Wake Alimuacha Na Pesa Ya Maana

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Месяц назад

      Kama unaona siyo yake bc katuoneshe wew ya kwak kama inafa ata robo

  • @aishamohamed8268
    @aishamohamed8268 4 месяца назад

    MashaAllah yupo chumbani kazima sim😂 ndo maana haingii mtu

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 11 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asha jamani kilakitu umesahau kweli au umeamua tu 😂😂😂😂aah mm nakupenda mpaka basi tu from kenya 🇰🇪 ❤❤

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 11 месяцев назад +5

    ❤❤ nakupenda daasha

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 11 месяцев назад +2

    kipindi kizr jamani ongera mtangazaji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 5 месяцев назад

    Hila unanitekenyaga we mbona kwenye kula uko nstali wa mbele sana love

  • @TrifonMegician
    @TrifonMegician 11 месяцев назад +4

    Umemee wakatika ivyoooh aaah Tanesco mwatak laana nyie adi Mahojiano

  • @Saakileo
    @Saakileo 10 месяцев назад +1

    Salehe anasema raha ya kiporo ukigeuze hv😂😂😂😂

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 11 месяцев назад +2

    Ashaboko anaishi vizuri na wala hajisifii ila wangekua awa maslay queen sasa weee tungekoma 😂😂😂🙌🏻

  • @ireneflorence2232
    @ireneflorence2232 11 месяцев назад +7

    Ashaboko kila kitu amesahau kidogo😂😂😂😂

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 10 месяцев назад +1

    Raha ya kiporo maji huwez pasha kiporo bila maj kitakuwa sio kiporo

  • @user-gb3fk1yt8n
    @user-gb3fk1yt8n 11 месяцев назад +2

    Maashaallah

  • @renypaultv8342
    @renypaultv8342 11 месяцев назад +3

    Beat Iko juu sana

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 11 месяцев назад

    Nampenda sana sana zaid ya sana Asha boko katibu Uk 🇬🇧 mtu kama huyu unaenjoy ukikaa nae kamuwwke mungu saba mbelempeni salam zangu

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 5 месяцев назад

    Nspenda sana kipenzi chenu

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 5 месяцев назад +2

    Hizi surprise wanakuwa wanevaa mic kabusa 😮😮

  • @FevkoCan
    @FevkoCan 11 месяцев назад +1

    😅😅Nimecheka jmn umenipa raha

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Umeliona jicho la asha alivyomkatia mhudumu yaani kama anamwambia wewe usije ukasema kitu😂😂😂😂

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Ok kesho mm nakuja none uko hapo hapo ila just kabisa mm sipokei rushwa nataka UKWELI tu??????

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    😂😂😂😂eti maji kwa katuni si frij😂😂😂

  • @chimamilion
    @chimamilion 11 месяцев назад +1

    Wangp wameenda kuangalia iyotaarabu ya dda wa asha😅sema nampenda uyu mama kipind kile anaigiza nakanumba et anagombea umis tanzania😂

  • @SammyBathoromeoroman
    @SammyBathoromeoroman 11 месяцев назад +2

    Namkumbuka sharo milionea daaah😢 ile video ya chuki ni bule ashaboko nomaaaa🎉🎉🎉

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 11 месяцев назад

      Hii ni nyumba yake au apartment amepanga

  • @Sophia-yh4dc
    @Sophia-yh4dc 10 месяцев назад +1

    Ila sale unapenda kula wewe njoo kwangu unihoj majirani wanione😂😂😂😂

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 11 месяцев назад +2

    Asha ❤❤❤❤❤

  • @simonsmithajax
    @simonsmithajax 11 месяцев назад

    AsHa boko na mzee senga movie ya wema😂😂😂inachekesha sana

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 11 месяцев назад +4

    Dotto Magari anasema kuna waandishi walimfuata wakamwambia atafute nyumba kali wafanyie kipindi aseme ndio kwake atrend akakataa, huwa najiuliza sana ni waandishi wa channel gani

  • @hamidajabu3324
    @hamidajabu3324 11 месяцев назад +6

    Yan inaonekana kabisa sio kwake yan km hajiamin jaman😂😂😂

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 11 месяцев назад +1

      Si kasema kapanga

    • @mwanaidimunga9099
      @mwanaidimunga9099 11 месяцев назад +1

      Kwake kweli maana kwenye mpaka home alihoniwaga kipindi maisha Bado ya chini why asingefake kipindi hicho

    • @HajratHajrat0501
      @HajratHajrat0501 11 месяцев назад +4

      Kwake bwana Kwan yeye hawezi kumiliki sehemu kama hiyo,half kingine anakigugumiz so unaweza kuhisi kama hajiamini 😂😂😂😂

    • @zuberikamote2078
      @zuberikamote2078 11 месяцев назад

      Katanga sio nyumba yeke

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 11 месяцев назад

      Jamani yeye mwenyewe ameshasema amepanga

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 11 месяцев назад +2

    Afu kweli wamefanana na mariam amour

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 11 месяцев назад +1

    Kumbe asha ni ndug Na Miriam wa sichoki kustahimili ❤❤mnafanana

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 11 месяцев назад +1

    Hahahha Sio kwake ..kuna mtu anaishi ulaya kawekwa Kama mlinzi tu😂😂😂

    • @JennyJma
      @JennyJma 10 месяцев назад

      Weeeee kumbe😃😃😃

  • @MariamuAbdalla-v1b
    @MariamuAbdalla-v1b 11 месяцев назад +5

    Nampenda sana asha Boko jaman

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa9754 11 месяцев назад +7

    Mgeni kaingia jikoni 😂😂😂😂 😅 ndo maana wanakusema kuwa unapenda kula😊

    • @annakbunga8377
      @annakbunga8377 11 месяцев назад +1

      Sio kula tuu mbn wanadai ni mchicha poli jamani😢

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 11 месяцев назад

      Mchicha poli ndo nin jmn​@@annakbunga8377

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 11 месяцев назад

      Hujakosea anapenda Kura siku moja arienda kwa amina dadayake dura makabira kara pirau biri kunawa mikono😂😂😂😂😃😂😃😂

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 11 месяцев назад

      ​@@annakbunga8377jibu unalo wewe

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 11 месяцев назад +4

      Hivi tatizo liko wapi basi hamna exposure ulaya mgeni akiingia anapitiliza anachukua glass anamimina wine anaendelea na stori au anatengeneza coffee wabongo ushamba tu

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 11 месяцев назад +1

    Hahahaha Saleh😂❤🎉Eti ubwabwa tutaula kiza😂

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 11 месяцев назад

      😅😅😅 kashajihesabia na mapemaaa yani nimechekaaa

  • @AminaAmine-v4m
    @AminaAmine-v4m 5 месяцев назад

    Kaka haachi kuonja onja😂😂😂😂 kila nyumba

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 11 месяцев назад +1

    Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha nimeipenda iyo dada ashaboko

  • @lovirinaa
    @lovirinaa 10 месяцев назад

    Yuko vizur in person ❤

  • @ajbahaljabry1996
    @ajbahaljabry1996 9 месяцев назад

    Music ipo juu kuliko sauti za wahusika

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 месяцев назад +1

    huyu Asha poa sana jmni...nimempenda sana sana

  • @user-un9eh6xn6c
    @user-un9eh6xn6c 6 месяцев назад

    Nakupenda bure asha boko❤😂😅

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 11 месяцев назад +2

    Nimefuraia sana interview

  • @AnnaLinus-x3r
    @AnnaLinus-x3r 11 месяцев назад +2

    Location inasoma wapi hapo nimependa hiyo apartiment

  • @erickmbega852
    @erickmbega852 8 месяцев назад

    Mmesha temea mate kwenye chakula😂😂😂😂

  • @yakfizahran4536
    @yakfizahran4536 11 месяцев назад +2

    Yan saleh anawaz kula to et ubwabwa tutakulajee😊

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 6 месяцев назад

    Miriam kumbe mdogo wake asha boko uwi asante hiki kipindi nimejua nisiyo yajua😂😂

  • @chimamilion
    @chimamilion 11 месяцев назад

    Ichi kikaka kinapenda kula namwili hakina😂😂😂et mpk umekuja kuolewa na mashaallah😅😅😅mbonaivo

  • @mariamdullazy8166
    @mariamdullazy8166 11 месяцев назад

    Swalekhe uende ukamtembelee na bi Sabah muchacho 😊

  • @MrsKhalid-683
    @MrsKhalid-683 10 месяцев назад

    Yani huyo kaka dah 😢

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад +3

    Huyu anaonyesha hii nyumba si yake wala hajakodi muongo , labda kuna mtu anakuana nae kamwomba ajionyeshe ktk intavuu tu , hahahaha😊

    • @showibuchumi
      @showibuchumi 10 месяцев назад +1

      Kwanza kunavty vnaoneshaa tu sio lake ajiamn 😂

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Месяц назад

      Uwezi jua labdah yake au ya mtoto wake amepanga apo ndo kamuomba au yake kwel uwezi jua

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t Месяц назад

    Ayo maigizo tu apo sio kwak afu mbona alikua na maic alivyo mfungulia mrango mtangazaj

  • @scholamodestus9386
    @scholamodestus9386 11 месяцев назад +7

    Cyo kwake hapo kwa mwanae, yeye kwake bagamoyo

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Kama nasema uongo mwambie awashe tv😂😂😂

  • @HassaniYussuph-w8c
    @HassaniYussuph-w8c 11 месяцев назад +2

    Kijana anaugeuza mpunga kama kwake😅😅😅😂

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Месяц назад

      😂😂😂 afu kipol sasa duh

  • @SuzanKaroli
    @SuzanKaroli 29 дней назад

    Da asha bana😅😂

  • @NataliaKenny-vb6os
    @NataliaKenny-vb6os 11 месяцев назад +14

    Kama Umeona asha boko anakakumfanana kajara macho 😂gonga like

  • @OmanBarka-f4d
    @OmanBarka-f4d 11 месяцев назад +4

    Salehe wew unapenda Kula wew 😅😅😅

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Hata majibu yake anababaika sana!!!!!!😢

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Ungemwambia uongee na majirani😂😂😂

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 2 месяца назад

    Unapenda kula😂😂😂😂😂

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 11 месяцев назад +1

    TANESCO wamefanya yao katikati ya interview

  • @jacklinemsacky5587
    @jacklinemsacky5587 10 месяцев назад +2

    Anunue gar jaman huku Bagamoyo akipita hakuna hata anaepepesa jicho anaipuyanga Bagamoyo nzima na miguu

    • @JennyJma
      @JennyJma 10 месяцев назад

      😀😀😀😀😀 kumbe

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @kettylucas5557
    @kettylucas5557 11 месяцев назад +1

    Salehe na kula jaman hapana 😂😂😂 umeona ugeuze na kiporo

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 11 месяцев назад +1

    Sele wapenda kula 😅😅😅umeme nao

  • @RASHIDHASHIM-yj3dd
    @RASHIDHASHIM-yj3dd 6 месяцев назад

    Oya salehe mbona Kwa CLAM VEVO auendi nenda bas tujue maisha yake anayoish

  • @nurubinjubeir
    @nurubinjubeir 10 месяцев назад

    Jamani achani utani ukodi nyumba kama hii alafu hata frij hamna😂😂😂

  • @ts9dna862
    @ts9dna862 10 месяцев назад

    I dont understand the languange but salehe anajua😂

  • @DevothaKyando-z9n
    @DevothaKyando-z9n 11 месяцев назад +5

    Labda halagi nyumbani mmmh