NYUMBANI KWA MSANII MWENE/ANAISHI NA BINTI YAKE/KUNA WAPANGAJI WATANO/BABA MWENYE NYUMBA KIJANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 304

  • @JennyJma
    @JennyJma 10 месяцев назад +20

    Yaani umeonyesha uhalisia wa maisha yako hongera sana mwene angekuwa msanii mwingine angeazima nyumba Kali ahojiwe huyu katuonyesha mpka choo maisha yake ya uswahilini kabisaa hongera sana mwene 👏👏

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 10 месяцев назад +6

    Mwenyewe katika uhalisia wake🎉🎉🎉hana mambo mengi.
    GOD BLESS

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 10 месяцев назад +25

    Doooh mtangazaji unachunguza sana hadi kumtia aibu mwenye nyumba vingine mezea basi. Mungu ni mwema dada utapata kwako In Sha Allah.

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 10 месяцев назад

      Wengine wanarushq chupi uko baada ya mechi 😂😂

  • @chichiereyh
    @chichiereyh 10 месяцев назад +26

    Mungu Amsaidie♥️🙏🏾akatimize kila hitaji la Moyo wake

  • @SheilaOmary-b6l
    @SheilaOmary-b6l 10 месяцев назад +11

    Nimempenda huyu dada yupo really ❤❤❤mwenyezi mungu atakupa hitaji la moyo wako in shaa Allah❤

  • @MwanaidiKatogota
    @MwanaidiKatogota 10 месяцев назад +10

    Mungu akufanyie wepesi uhamie kwako mama angu

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 9 месяцев назад +1

    anahema sanaa asee daah ajitahidi kufanya mazoezi hio hali itapotea japo mazoezi ni maumivu ikiwa sio mfanyai ila polepole ataweza

  • @fatmakhatib2935
    @fatmakhatib2935 10 месяцев назад +18

    Hio sio tabia nzuri waandishi kinacho wafanya mchokonoe hadi uvunguni ni kitu gani hasaa wanawake huwa kuna vitu vya siri na hata chooni kurekodi sio vizuri kabisa

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 10 месяцев назад +2

      Yani uyu muandishi niatari mmbeya

    • @aminasalim8708
      @aminasalim8708 10 месяцев назад

      Kweli sio tabia nzur mm pia nisingewaonyesha adi ndan ya kabati😊

  • @Juke995
    @Juke995 10 месяцев назад +25

    Uongo mbaya anachumba kizuri sana pia mchangamfu sana

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 10 месяцев назад +5

    Ongera Mom nimekupenda bure una baya 😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 9 месяцев назад +3

    Hongera dada mwene❤❤❤ munguatakupauwezo inshaallah utajenga

  • @aishamsangi2165
    @aishamsangi2165 9 месяцев назад +4

    Daah nmekupenda bure huna mambo mengi dada ake mungu akusimamie

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 7 месяцев назад

    Allah hakufanyie wepsi dda utimize marengo yako in Sha Allah,,we mtangazaji tabia ya kutuonesha choo hacha ok unaboa

  • @JanethMadios-oe5ue
    @JanethMadios-oe5ue 10 месяцев назад +9

    Nimefurahi kusikia unajenga na utahamia kwako hongera dada!...... mimi NAKUPENDA sana, ila punguza mwili dada unahema hatari daah😢

  • @yami_hami
    @yami_hami 10 месяцев назад +19

    NIMEMPENDA AUNT MWE MCHANGAMFU NA HARINGI MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI UMALIZE NYUMBA YAKO

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 10 месяцев назад +2

    Nimempenda huyu dada alafu tutakuwa jiran kisevule oyoooo tutaonana inshallah❤❤mjengoni

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 10 месяцев назад +15

    Ila hana maisha ya kuiga ni muwazi sn

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад

    Dada huyu nampendaga sana,na siku hizi Yuko jot yaan inanikosha sana kuwepo Kwa Jot comend wa kimataifa.❤❤❤🎉🎉🎉

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 10 месяцев назад +76

    Maisha bajeti... Hakuna maisha mazuri km kuishi maisha yako... Hakuna kufake...

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 3 месяца назад +1

    Safi sana dada uko vizur sana

  • @norahkingalu2630
    @norahkingalu2630 2 месяца назад

    Yaani anaishi maisha mazuri hajivungi wala haigizi maisha mungu akuongezee kipato dada mwene

  • @LeluuAbdallah
    @LeluuAbdallah 10 месяцев назад +10

    Mwili mkubwa dada pressure iko juu

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 10 месяцев назад +20

    Ila dada mwene ufanye mazoez yaaani unavyo pumua mpk huruma wallah 😢😢😢😢

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 10 месяцев назад +2

    Wee mashaa Allah umenenepa daa jaribu kupunguza mwili

  • @manumeni5057
    @manumeni5057 10 месяцев назад +6

    Maskini huyu dada mdogo ila unene ndio umemueza bt roho safi

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 10 месяцев назад +7

    Ukiridhiks na maisha yako yalivyo mradi sio ya kukudhalilisha hata ukila mwatabna mkabli shemsi utanenepa tu. Raha mwanadamu kuishi kwa majaliwa yako hatuwrzi kuwa sawa soote. Raha huyu dada karidhika na anabidii ya maisha yake ndio maana anafuraa na akizi kuridhika atapasuka. Ni afadhali atafute mume apate vitimbwivvya wanaume akonde.

  • @biberpriyer330
    @biberpriyer330 10 месяцев назад +3

    hahaha umenifurahisha sna huna kuigiza maisha big up sana da mwene😊😊😊

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад

    Mungu akujalie umalize mjengo wako,kupanga Nako ni kipengere❤❤❤👍👍👍🪴🪴🌹🌹

  • @RukiaAli-n4w
    @RukiaAli-n4w 10 месяцев назад +5

    Ndani pazuri tu mama ❤

  • @ZAINAMVIOMBO-ix7pi
    @ZAINAMVIOMBO-ix7pi 10 месяцев назад +3

    Mungu anipe maisha ya furaha as them 🥳🥳🥳🥰😍🥰

  • @rachaelmwamlanda7616
    @rachaelmwamlanda7616 7 месяцев назад

    Inshallah utapata Nyumba yko❤❤

  • @ReonardLukas
    @ReonardLukas 18 дней назад

    Hongela sana

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 10 месяцев назад +12

    Nakupenda Da Mwene Mieee ❤❤❤ Eti Kwenye Friji kuna Pilipili Umeona Kazi 😅😅😅 Na Dompo ya Kumwagilia Moyo 😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 10 месяцев назад +2

    Mashallah nimependa maisha yako haris auna baya enjoy dear mom

  • @tumainlenad5141
    @tumainlenad5141 10 месяцев назад +6

    Hongera kwa kujenga mwanamke ishi kwa bajet

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 9 месяцев назад +1

    Muadishi wabar wanafiki jamani kah😂😂😂kuchunguza maisha ya mtu ivyo kak

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 10 месяцев назад +1

    Safi sana mamy hujaficha kitu big up

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 2 месяца назад

    Kazi mnzuri mashaailah

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 10 месяцев назад +3

    Jitahidi daa mwene upingue kidogo unahema sana

  • @Madridsta11
    @Madridsta11 8 месяцев назад

    Mashallah aunt mwene

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt 10 месяцев назад +1

    Nimekupenda Bure da mwenee

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 10 месяцев назад +7

    Haya maisha nyieee yana siri kubwan asee usimjaji mtu kabla ujamjua

  • @beatriceyustomwakabanje5789
    @beatriceyustomwakabanje5789 8 месяцев назад

    Duh kamlima ako anahema Ivo angekuwa uku Rungwe _mbeya 🙌🏃🏃

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 9 месяцев назад +1

    Sijakupenda we mtangazaji unatia aibu wenzio sijapenda

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 8 месяцев назад

    Nakupenda sana da Mwene

  • @daimavlog
    @daimavlog 10 месяцев назад +11

    Mchangamfu, Mungu amkumbuke jamani asogee

  • @Zina-m2v
    @Zina-m2v 10 месяцев назад +1

    Jamani da Mwene nimekupenda bureeee mashaallah

  • @albinanyanyalu3933
    @albinanyanyalu3933 9 месяцев назад +1

    Nimekupenda sn daa una baya

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 10 месяцев назад +1

    Hongera huna shida ya kuda nganya wengine wanaongopa sana

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 5 месяцев назад

    Wallah nmecheka mpaka bas et kunuka kidingila😂😂😂😂 et geto kama studio maasha allah😂😂❤❤❤❤❤

  • @sabrinayusuph7921
    @sabrinayusuph7921 10 месяцев назад +9

    Nilichogundua ni kuwa watanzania wengi tuna wivu uliopitilizaa, hapa mwene kaonyesha maisha yake ya uswazi watu wanamsifia lakini angeonyesha kajumba kaliko changamka watu hapa mate yangewatoka mdomoni na kumuita fake 😅, tubadilike jaman mtu aki fake maisha au akiisha ya uhalisia ni yeye maisha yake jamaniii wewe hayakuhusu

    • @Enjoylifewithammy2
      @Enjoylifewithammy2 9 месяцев назад +2

      Yani watu wanaona maisha ya chini ndo real ukipambana ukafanikiwa unafake maisha😃😃😃🙌🏾

    • @JanethMadios
      @JanethMadios 4 месяца назад +1

      Nilijua ni mimi tuu nimeliona hili, eti mtu akionesha maisha ya hali ya chini watu wanafurahia hatari na kujifanya eti ooooh unaishi real life lkn akionesha anauwezo anaambiwa anafake life Tanzania hapana kwa kweli

    • @sabrinayusuph7921
      @sabrinayusuph7921 4 месяца назад

      @@JanethMadios yanii inasikitisha sana watu tunaombeana na kufurahia kufeli 😢

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 10 месяцев назад +2

    Mtangazaji na ww chooni nako mhuuu sijapenda

  • @EsteridaLipamba
    @EsteridaLipamba 10 месяцев назад +13

    Maisha yauswahilini rahasana😂😂😂 choo Cha kurikwesti

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 10 месяцев назад +4

    Wanawake 😂karithika na maisha yake mwenyewe.

  • @stellamiyombe6117
    @stellamiyombe6117 9 месяцев назад +2

    Hakika my lv

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 10 месяцев назад +1

    Mashaa Allah uko Vzr dada ❤❤❤❤❤

  • @Kidotii
    @Kidotii 10 месяцев назад +13

    Sooo real!😊

  • @KhadijaRusimbi
    @KhadijaRusimbi 9 месяцев назад +1

    Yani mtangazaji huna hata maswali mazuri

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka 4 дня назад

    Nimempnda bure kbisaaa hana ata tabu mwenyew ila choo cha kurikwesti 😂😂😂😂😂😂😂

  • @zuhraalzuhraa4990
    @zuhraalzuhraa4990 10 месяцев назад +3

    Wa unahema sana😢

  • @mariamumsanzu8266
    @mariamumsanzu8266 10 месяцев назад +2

    MashaaAllah 😊

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 10 месяцев назад +7

    hakuna watu wenye maisha ya dhiki km wasanii😢

    • @YunisJerald
      @YunisJerald 10 месяцев назад +2

      Ni kweli kabisa 😢

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 8 месяцев назад

      Nyie yenu mazuri

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 8 месяцев назад

      @@TatoTato-t7s alhamudfil tunapata hela ya ugali

  • @NiceJoe-oq1bw
    @NiceJoe-oq1bw 9 месяцев назад +1

    Mnavyo sema apunguze mwili jamani asa mwili huo anapunguzaje

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 10 месяцев назад +2

    Nakupenda sana mama upawa ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 8 месяцев назад

    Safi sana maisha yake halisi.

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co 10 месяцев назад +2

    Jaman unene shida😊😊😊

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 10 месяцев назад +1

    Sema saleh anajua snaa

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك 8 месяцев назад

    Dada, huyu kwakweli ananifurahisha kweli nikisikia maneno yake hatakama sijamuona namjua ni nyeye
    Yaani hapo pumzi juu juu

  • @nigamo9645
    @nigamo9645 10 месяцев назад +1

    Mwandishi unachunguza sana halafu kwa mwanamke sio vyema

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 10 месяцев назад +3

    Ila wahandishi wa habari kwa kupekua hamjambo mmmmm

  • @Barakatabudul
    @Barakatabudul 10 месяцев назад +1

    Dah! Sikuhema kwa nani huko kisha huyu bado ataka Olewa😂😂😂😂

  • @rehemafeysali4444
    @rehemafeysali4444 10 месяцев назад +9

    Eti nauwa winga damwene hili sasa ndio geto la msela😅😅

  • @marycosmas4043
    @marycosmas4043 10 месяцев назад +1

    Mmmh mpaka mashuka ujue anayo mangapi, jamani

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 10 месяцев назад +5

    Nakupenda sana da mwene....eti ghetto kama studio❤

  • @newhopeonline5818
    @newhopeonline5818 10 месяцев назад

    Nakupendaga sana mwene

  • @JasmineSalum
    @JasmineSalum 9 месяцев назад +1

    Anahema

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 10 месяцев назад +1

    Mtangazaji unachunguza sana duuh maswali mengi mno haha😂😂😂😂

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 10 месяцев назад

    Nampenda hana madhauzi😊

  • @YusraShaban-p1e
    @YusraShaban-p1e 9 месяцев назад

    Roooh we mkaka mpekuzi sana mpaka unakera aisee mengine mezea sio lazima uonyeshe

  • @Witnessjoel-d5i
    @Witnessjoel-d5i 9 месяцев назад

    Mungu amtangulie Kwa Kila jambo

  • @KismartSaid
    @KismartSaid 5 месяцев назад

    Unahema sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 9 месяцев назад

    Eti Dj hapo hapo❤❤❤

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 10 месяцев назад +19

    Best life yaani no stress❤❤❤😊😊😊

  • @SabrinaSuleiman-ck8kl
    @SabrinaSuleiman-ck8kl 10 месяцев назад

    Mashallah geto kama langu

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 10 месяцев назад +2

    Mmmmh icho choo mungu tusaidie na izi nyumba za kupanga

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 10 месяцев назад

      Tukiwaona kwenye ma Tv mmm!

    • @daimavlog
      @daimavlog 10 месяцев назад

      @@ziadasalimu1730bado anatafuta maskini. Mungu atusamehe tunaposahau kushukuru

    • @gracesaid6958
      @gracesaid6958 10 месяцев назад

      ndo mana tunaambiwa mitandao inadanganya uhalisia unaumiza yan unaona mtu akuingii ata kidogo​@@ziadasalimu1730

  • @teddysananga
    @teddysananga 10 месяцев назад

    Nimependa

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 10 месяцев назад +5

    nimempenda hana mengi,

  • @valentinamjindo5374
    @valentinamjindo5374 10 месяцев назад

    Hongera unaish maisha yako

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 10 месяцев назад

    Nimekupenda buuuee

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 10 месяцев назад +2

    Wanyumbani Nachigwea ❤

  • @vailetjulius4782
    @vailetjulius4782 10 месяцев назад

    Pazuri papo simple

  • @MwanakheryMangasini
    @MwanakheryMangasini 10 месяцев назад

    Dah dadaang nimekpenda bule

  • @MwajeiKhamis
    @MwajeiKhamis 10 месяцев назад

    Ila swalehe

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 10 месяцев назад +4

    Hongera kwa kujenga❤

  • @BLACK-zy6bx
    @BLACK-zy6bx 10 месяцев назад +2

    We love sana,,,,

  • @FridaUdoba-iw2jx
    @FridaUdoba-iw2jx 10 месяцев назад +1

    Nendeni na kwa kajala jamani

  • @Atb300
    @Atb300 10 месяцев назад

    Kuosha vyombo cku 3 -4 cwez kwakweli 😂😂

  • @paterandrea2146
    @paterandrea2146 10 месяцев назад

    Nimekupenda Sana dadangu

    • @paterandrea2146
      @paterandrea2146 10 месяцев назад

      Aaaah uyu dada yan❤❤❤❤❤❤ sana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 10 месяцев назад +1

    Unahema mwili sio poa😊😊

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 10 месяцев назад

    Da mwene ❤❤❤❤gheto kama gheto 😅😅pambe tu vijora