Amna Mzalendo apo, Nay anatest mitambo, alijaribu huu upuuzi kwa Magu, akageuka kuimba gospel, maan haikua commercial, Uhuru ukipitiliza haya yanajitokeza, ningekua na mamlaka Ungeshikwa kimya kimya, ungefirwa, ungelala yoo Tafuta content fikisha katika jamii Wachana na uchochezi, mziki wako bado unahitaji nguvu kufikia watu wengi, UVUNGU HAUNA SHURUTI
Huu ni wimbo bora wa Hip Hop kwa Mwaka 2021. To the top kabisa. Aliesimama mbele yetu sio mbunge ni msanii! Na umeitendea haki sanaa. Huu sasa ndio ukomavu wa sanaa. Plss naombeni Like zangu kama zote kwa mara ya kwanza
Nay, nakukubali sana kwa nyimbo zako nzuri za kuelimisha jamii na serikali kwa ujumla wake. Mungu aendelee kukusimamia ili uzidi kufichua yaliyojificha.
Uzao wa binadamu aina ya Ney wamitego unatoweka katika uso wa dunia kwa 99% kila iitwapo leo, kulinganisha na wale waliopooza... Hawakemei wala kukosoa wao wap tu. Mungu akutunze Kaka Ney
Wimbo huu hujawalenga watanzania pekee bali ni waafrika wengi wanaoumizwa na waafrika wenzao. Asante sana Mr. Nay kwa kuwasemea wanyonge wa barani Afrika kwa ujumla. Much love from Kigali, Rwanda.
Nimeisikiliza hii ngoma Mara 4 ney kaka umeuwa na kipaji unacho, je utakuwa salama maana nchi yetu aipendi mtu mkweli, lakini Allah akupe nguvu na Imani zaidi amiin🙏❤️❤️❤️
Nmeirudia ngoma mara nne🔥 my brother Nay you are an icon..wenye influence kubwa wapo bize na amapiano kujisahaulisha Hali ya mashabiki..we proud to have you ❤️ keep fighting brother
What a joint Baba Yaga. 🔥🔥🔥🔥🔥 Nachojua media zetu bubu haziwezi kucheza ngoma yenye ujumbe kama huu wanaishia kwenye kucheza music isiyona maadili. Tusemeee True Boy
Ukweli utakuweka huru japo kwa asilimia 30 lakini kwa asilimia 70 utakutia matatani, ila ni bora ukweli ukutie matatani ila mungu anakutia mahala pema kuliko ounga ukutie mahala, PA juu bila haki na akakutia mahala pabaya, usiogope sema ukweli, hakuna nyimbo nazisikilizaga kama za marapa hata awe wa nchi gani duniani nzima hakuna rapa mpumbavu wa mjinga hata siku moja na haitakaa itokee, marapa wote ni lazima wawe na akili kubwa, nay mitego tutakunaga tu mimi na wewe na tuta piga kolabo za kutosha, mimi, nimekuambia kwenye mashahiri yangu nitayataja maneno, haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga, huu ujumbe, na tukikutana nitakueleza vizuri kaka yangu nay wa mitego, sema ukweli, mziki ndio imekupa heshima Tanzania Africa na duniani kote, imba mahadhi ya mziki, nikianza kuimba tutaelewana tu mimi na wewe, big up, 😭❤️👍♥️🇹🇿🙏🙏🌹🌹😭😭❤️🇹🇿👏🌹
Yani nay mitego mimi ningekutana na wewe tu mambo yangekaa sawa maana mimi nina kipaji kikubwa sana ya mziki naomba unifadhili yani nina mangonma kali sana ya kuichana hii serikali mpaka inakaa chini kaka yangu, Daaaah ila maisha ninayoyaishi ndo changamoto kubwa sana kwenye hii kipaji changu cha mziki, please help me, nakutakia kila la kheri kutoka kwa Allah, ❤️❤️😭😭🇹🇿♥️🙏👏👏😭😭, wanaofanya kazi serikalini sisi ndio tunawalipa inatakiwa watuheshimu, na watujali watuone sisi pia nao ni watu kama wao, 😞😞😞😞😭😭😭, nay mitego tutakunaga mimi na wewe, siku nikianza kuimba, kwenye mashahiri yangu nitataja, maneno haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga huuu, ujumbe, all the best of your life and your family my brother, I wish you all the best, I am from in Tanzania Africa manyara, ❤️😭🌹👏🙏🙏🇹🇿♥️👍
Kama wewe ni Msanii, unajiita msanii, una ndoto ya kuwa Msanii halafu Huna kifua, ujasiri, maono wala Nia ya kusemea wananchi wako kwa ukweli kama huu hufai kusogelea Mic a achilia mbali Studio. Tunahitaji Taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi na ya HAKI ili kuifanya Tz bora kuliko Leo. Like 100 za uhakika zitasaidia kufikisha huu ujumbe. Big up Nay
Very gud excellent our talential artist...we needs the artists like u who risk his/her lyf for the sake of poor people and rise up the truth without any fear...big up Mr. NEY💗💗
Rais wa kitaa ✊✊✊ ya Moto hatari hakika brother umenena hivi wanatuchukuliaje watuona bongo lala tusemeee raisi wetu respect Kwa one six hajawahi kukosea 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana ney wa mitego kwa kutuongerea wananchi mungu akupe ujasili zaidi wa kufichua maovu asante broo hakuna rais kama mgufuli tutamkumbuka daima,,,
Tanzania tunahitaji watu watakaozungumza bila uoga kama Nay! Respect kwakuwasimamia wanyonge huu ndio UZALENDO WA KWELI.
Km gwajima pia
Na roma pia
Na huo ndio usanii sahihi
Kwa huu ukwel
Ww ndo msanii bora
Amna Mzalendo apo, Nay anatest mitambo, alijaribu huu upuuzi kwa Magu, akageuka kuimba gospel, maan haikua commercial,
Uhuru ukipitiliza haya yanajitokeza, ningekua na mamlaka Ungeshikwa kimya kimya, ungefirwa, ungelala yoo
Tafuta content fikisha katika jamii Wachana na uchochezi, mziki wako bado unahitaji nguvu kufikia watu wengi,
UVUNGU HAUNA SHURUTI
Twende Number 1
Niko hpa rais wtu wa kitaa kwa ilo usijali mbona utafika mda sio mlefu mwambaaa
No 1 now ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Ushafika moja mzee rais wetu
Tozonia kwel
Tushafika tayari
Huu ni wimbo bora wa Hip Hop kwa Mwaka 2021. To the top kabisa. Aliesimama mbele yetu sio mbunge ni msanii! Na umeitendea haki sanaa. Huu sasa ndio ukomavu wa sanaa. Plss naombeni Like zangu kama zote kwa mara ya kwanza
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
True
Nani tuko wote 2024
Hii ndio tafsiri sahihi ya MSANII NI KIOO CHA JAMII.Naam Naam Salute kwa Ney.
Exactly
Magodolo tumeloweshaaaa
@@sportnewsTz yule anajua mwenyewe anavyo viimba na watu wake
Big up sana bro nikuelewa
sisi wakenya tunasema huu wimbo ni wa east africa, wimbo umebeba East Africa 🔥🔥🔥
Kwanza hii Kenya
yan sisi kwanzia magufuli amekufa daaah tunaumia mnoo
Ayise wew nimusani bora achana nawanao sifia wizi
Safiiiiii
Kweli
Wasanii wote wangekua wanatoa nyimbo zenye akili kama hizi hakika hizi mambo safi, Big up Mr Ney🔥🔥🔥
Ujumbe upo deep axeee kasimama kwaajl ya watanzania wte truxt me
Ndio nyimbo tunazozihitaji kipindi,nyimbo za kutusemea..well done Mr Ney
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
Kweli nay anaongea ukwel at mm nitakubali niwe mwnafunzi wake kimzk nitafanya Kama yy
Kwakweli uhu ndio Uzalendo MUNGU akutunze Mr ney
Jamn 😭😭😭😭
Tutapata wapi wasanii wenye kuingolea jamii kama nay?
Like 50 kwa ajili yke jamn.
Roma kakimbia nchi
Yaani Mungu ambariki
Dah hii ngoma nimeirudia kuisikiliza zaidi ya mara mia,shukran sana broh kwa kupaza sauti,tuko nyuma yako 🔥🔥🙌🏽
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
Yaani ametisha
Mambo ni moto
Maana halisi ya kioo cha jamii
Mwanzo nipew like zang km zote rais wa kitaaa
This is revolution 🔥...we need more artists like naywamitego...if you like this thumb up👍
Yeah✌️
Sure
Walete mzee 💪💪
ruclips.net/video/-H0szcRIjyE/видео.html brother k kujinyonga
ruclips.net/video/-H0szcRIjyE/видео.html brother k kujinyonga
Respect sana *RAISI WA KITAA NAY* Ukweli utabaki kiukweli uchumi unapanda kwao sio kwetu wananchi... Bonge moja la ngoma 💪✊🏻✊🏻✊🏻
Semasema Nay wamitego bigp sana mkuu. Wewe kweli ni Rais wa kitaa .
Rais wakitaa nakukubali ❤❤sana Mimi naishi drc Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nay wewe ni Next Level Brother. Hii ndio maana ya Msanii kuisemea Jamii. Big up.
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
@@b9media144 big up brooh
Kweli kabsa
Sawa ngoja tuone
Kimeumana
Kwa mbaaali namuona Hamza akitabasamu Asante mr. nay
from Burundi, this guy is a giant musician 💪💪,let push him together my fellow 🇹🇿
Kama mpaka Burundi wanamuelewa Nay wewe nani ubishe
Nakubali Sana ichi kigongo, noma sana
Maneno mazuri, sisi, wanyonge
Ngoma kali sana
The state of most African 'democracies' summarized. Mr Nay good work giving us music of value. Kudos from 🇰🇪
ok
Nay, nakukubali sana kwa nyimbo zako nzuri za kuelimisha jamii na serikali kwa ujumla wake. Mungu aendelee kukusimamia ili uzidi kufichua yaliyojificha.
Ney hapingiki wasemee rais wakitaa nakuku Bali kinyamayan
Ney ngoma hii ina unyama sanaa, big up , that's such kind of art we are looking for the current generation.
Heshima kwako laic wa kitaa washa Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔨💉
Nakukubali sana
Washamoto brooo upo vzr sana zaidi ya sanaaa😭😭😭😭😭dah💪💪💪💪💪
Kama unamkubali nay wa mitego gonga like hapa
Uzao wa binadamu aina ya Ney wamitego unatoweka katika uso wa dunia kwa 99% kila iitwapo leo, kulinganisha na wale waliopooza... Hawakemei wala kukosoa wao wap tu. Mungu akutunze Kaka Ney
Labda na Hamza ndio wanaendana Big up kwao
👍👍👍👍👍
Wimbo huu hujawalenga watanzania pekee bali ni waafrika wengi wanaoumizwa na waafrika wenzao. Asante sana Mr. Nay kwa kuwasemea wanyonge wa barani Afrika kwa ujumla. Much love from Kigali, Rwanda.
Kama unamkubari rais wa kuzidi hata wagombea ubunge gonga like
Bado watajifanya hawasikii.... ngoma kali brother Ney. Mafisadi watatuua mwaka huu... sirikali ya walaji.
Aliewadanganya mkamuuwa magufuli ndie kawateketeza huyo mwanamke anatumikishwa nawazungu
Washa sikiaa nasaivi watatia adbu 2025
Shikamoo Tozonia😀
Wasanii Wote Wangeitumia Sanaa Kuitetea Jamii Badala ya Kumuimbia Paula wa Kajala, Basi Dunia Ingefika Mbali Sana!
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
😂😂😂
Umeua blaza
🤣🤣🤣🤣
Hawezi kukuelewa paka ufee wasani wa tz wanasapoti wadagaji.
Hii ndio nyimbo kali toka afariki Legendary Magufuri we miss you our true Leader angalau hii nyimbo itatufariji
Huku covid Gwajima boy pale Too True boy
Zero brain eti Legendary Magufuli huyo ni Magu Fool haya yote yanayotokea TZ ni sababu ya huyo Shetani Magu Fool.
Nimeisikiliza hii ngoma Mara 4 ney kaka umeuwa na kipaji unacho, je utakuwa salama maana nchi yetu aipendi mtu mkweli, lakini Allah akupe nguvu na Imani zaidi amiin🙏❤️❤️❤️
nay wa mitego n mmoja tu tz🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
""wambie hao rais wa kitaa tunakuamini go go go ney"😭
Corona Kumbe ipo
Nay ni harakati sanaaa
Yanii yupo humu humu
Na anazidi kutema cheche bila wasi wasi wala nini
🙏🙏🙏
This is revolutionary music! Timeless music! Freedom music! Thank you for this... Much love from Kenya
Aisee!! Mpk machoz, Sina chakusema, nitakukumbuka katika Sala zangu. Mungu akufiche kwenye mbawa zake
Nilikuwa natamani hii nyimbo isiishe...Aendelee tu kuimba....#Big Up Big Bro🔥🔥
Kama unasikia saut ya Belle 9 gonga like🔥
ur the best ney mama @samia suluhu our president hear our voice we ar suffering mama..
Saut moja kwa ajili ya mamilion ya watu big up zimewafkia 💪💪💪
True boy
Duh hqtqr
Dah really umeamua kujitoa muhanga bila kuogopa chochote lakin ukwel pale pale
Nmeirudia ngoma mara nne🔥 my brother Nay you are an icon..wenye influence kubwa wapo bize na amapiano kujisahaulisha Hali ya mashabiki..we proud to have you ❤️ keep fighting brother
😊😊😍😍😍
Hii ngoma imenigusa yote yaliyoimbwa humu ndio yanayotusumbua ahsante broo kwa kupaza sauti juu yetu
Kweli kabisaaa
@@isaackkitumbo3976 nyimbo ni zaid za nyimbo
Big up bro ukali ukali tu
Bro it's reality 100%%% your the real king of music
Nimekubali mzee baba tusemee tu hakuna namna
Ww ndy Raisi wetu wanyonge respect Ney, umegusa sehem zt kwny hii nyimbo yk 🔥🔥
Safari na muziki......Road to revolution✊✊✊ Amkeni vijana!
Huu jamaa nomaaa nakubali
"MTANIKUMBUKA KWA MAZURI"😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Unajua adi umepitiliza brother Excellent sana
Nakubaliiii endelea mwenetu
Eeeeeh WANANGU eeeh... Corona kumbe ipooooo🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭
Yeeboooo labda Zambia sio Tanzania 😅
Shiti bro nakukubali sana
@@mzongekibwana838 shiti unafanya nini huku
Mamayao aliamua kuvua white juu mzeewao alificha white hahaa
Ntambiaa nn watu corona ipo mafuta,sukari,tozo,Kodi Bei juuuu tusemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
#trueboy tusemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hii ngoma nimeicheki Mara 8, na bado sijaichoka
😄😄me mara 16 bd xjaichoka make nimeiyelewa
Basata: “Yule Nay tushamzima”...
Nay: “Hold my glass”...🔥🔥🔥🔥
Nguli ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html💥💥
👍🔥
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
basata ni moja ya vibaraka waserekali No wonder my brother hata hii wanaweza kuweka hila
Ce vrai la démocratie
Massage sent big up brooo
🔥🔥🔥🔥 uzuri wako uogopagi mkuu
umeona
Sana mdg e2
Wewe c Unafanya Hip Hop ya uoga ngoja awaonyeshe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakubri
Ni kwel kabixa
Hii ndo maana ya msanii lazima uangalie kinacho umiza na kukikemea.
I appreciate you bro big song on time
What a joint Baba Yaga. 🔥🔥🔥🔥🔥 Nachojua media zetu bubu haziwezi kucheza ngoma yenye ujumbe kama huu wanaishia kwenye kucheza music isiyona maadili. Tusemeee True Boy
Kabsa huu sijui kama watauchez ngoja nisubr kama clouds watupga
True
Mlioletwa na malisaaa mkono juu
Daah huyu mwamba namkubal uwoga hana kabisa salute baba nimeirudia Mara zote ngoma yangu ya week nzima hii.
Mr true boy umewakilisha manung'uniko ya wa Tanzania 90℅ waliokosa pakusemea.tusemee tusemeeeeee president wa kitaa.
The type of music that should be number 1 on trending
Exactly🥂
It's number number on trending
Ww ndo raisi sahh wakitaa
Tungepata watano2 kama ney nahisii tungefikaa sehem flani respect to you broo
Kenya we need someone who can speak on our behalf like this
Kenyan they already the so called King kaka have had the song Wajinga nyinyi☠☠
How about Julian exponential
Mnae mbona Meja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
soon number one wow!!!
You already have Ruto
Umetisha bro, ngoma imetulia kinoma.....
Big up #SAUTI YA KITAA
No. 1 on trending for Music 🔥. Halafu ni ujumbe wa kujitoa muhanga maana wengine ni makunguru waoga tu. Sana Mr Ney.🇹🇿✌️
🔥🔥🔥🔥wimbo wa mwaka🔥🔥🔥
Salute kazi zako ni safi real hiphop Kenya love!!!!!!!
Ukweli utakuweka huru japo kwa asilimia 30 lakini kwa asilimia 70 utakutia matatani, ila ni bora ukweli ukutie matatani ila mungu anakutia mahala pema kuliko ounga ukutie mahala, PA juu bila haki na akakutia mahala pabaya, usiogope sema ukweli, hakuna nyimbo nazisikilizaga kama za marapa hata awe wa nchi gani duniani nzima hakuna rapa mpumbavu wa mjinga hata siku moja na haitakaa itokee, marapa wote ni lazima wawe na akili kubwa, nay mitego tutakunaga tu mimi na wewe na tuta piga kolabo za kutosha, mimi, nimekuambia kwenye mashahiri yangu nitayataja maneno, haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga, huu ujumbe, na tukikutana nitakueleza vizuri kaka yangu nay wa mitego, sema ukweli, mziki ndio imekupa heshima Tanzania Africa na duniani kote, imba mahadhi ya mziki, nikianza kuimba tutaelewana tu mimi na wewe, big up, 😭❤️👍♥️🇹🇿🙏🙏🌹🌹😭😭❤️🇹🇿👏🌹
ruclips.net/video/5xq24ZdVCYI/видео.html
🇹🇿
I would have said more but this song speaks for me and for the rest of the voiceless people in Tanzania. Kudos to you
Nakubal sana kaka🙏🙏🙏🙏
True this man is real
Ngoma iko sawa anatetea wanyonge kweli bravooo bro
Sema ney wamezidi huu niutaper
Hongera kwa ujumbe nzuri sana
Nay wa mitego ur the best singer ever, you speak the truth, you speak on behalf of all voiceless Tanzanians, big up Nay
This song is on another level keep up Rais WA kitaa
This showcases you are a role model and leader in our organization. ...✊✊✊
Sana mwanetu rais wa kitaaa nay
Thank you Ney this is an East African song . We love you
Yani nay mitego mimi ningekutana na wewe tu mambo yangekaa sawa maana mimi nina kipaji kikubwa sana ya mziki naomba unifadhili yani nina mangonma kali sana ya kuichana hii serikali mpaka inakaa chini kaka yangu, Daaaah ila maisha ninayoyaishi ndo changamoto kubwa sana kwenye hii kipaji changu cha mziki, please help me, nakutakia kila la kheri kutoka kwa Allah, ❤️❤️😭😭🇹🇿♥️🙏👏👏😭😭, wanaofanya kazi serikalini sisi ndio tunawalipa inatakiwa watuheshimu, na watujali watuone sisi pia nao ni watu kama wao, 😞😞😞😞😭😭😭, nay mitego tutakunaga mimi na wewe, siku nikianza kuimba, kwenye mashahiri yangu nitataja, maneno haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga huuu, ujumbe, all the best of your life and your family my brother, I wish you all the best, I am from in Tanzania Africa manyara, ❤️😭🌹👏🙏🙏🇹🇿♥️👍
Ata Kenya tunasema Katiba Mpya ni sasa na Corona ipo!!Kenyans are happy!
Hii ndio usanii in bora utusemee maaana kina ba mdogo wanampotosha
Katiba kwenu nyumbani fala kabisa
Nyinyi ni hypocrites wa handshake kwendeni maisha ningumu uku kitaa
Wee boyaa kweli Kenya hatuitaji katiba
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
Kama wewe ni Msanii, unajiita msanii, una ndoto ya kuwa Msanii halafu Huna kifua, ujasiri, maono wala Nia ya kusemea wananchi wako kwa ukweli kama huu hufai kusogelea Mic a achilia mbali Studio. Tunahitaji Taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi na ya HAKI ili kuifanya Tz bora kuliko Leo. Like 100 za uhakika zitasaidia kufikisha huu ujumbe. Big up Nay
Kaza mwanagu ney....
Kilio cha watanzania
Hi ngoma nimecheki mara kumi na bado sija choka hats off!!! Kwa rais wa kitaa🔥🔥🔥
Finally,the great musician has spoken.He is not a coward.Much respect to the street president representing street people
Katika ngoma zako zoteeee ulizotengeza aise hili dude ni hatari 🔨# heshima kwako true boy💪
Nakubali saaaana rais wa kitaaa
*POWERFUL SONG* Huu ndio Usanii kuisemea jamii
wasaniii wote wangekuwa kama ww tusingenyanyaswa....bigup ney
Hizi ndio nyimbo tunataka kusikia.nakukubali sana broo
Umejilipua,Man.
Who else watching frequently and never get tired of this 🔥🔥🔥 song ?!
ruclips.net/video/-H0szcRIjyE/видео.html brother k kujinyonga
✌🏿
iii iwaendee wale wakenya..wanasiasa ii yenu.. From Kenya listening to this tune big up bro atleast we feel that.
ruclips.net/video/FSMFWg0nXrQ/видео.html
🤣🤣🤣
Hii ndio maana halisi ya msanii big up bro salute kwako✌🙏Rais wa kitaa ni mmoja tu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
Umeona eeeeeee
I wish this guy met Ukoo Flani back in the day. Kitu Sewer bado yuko pale Nairobi
Safi Sana kaka, Rais Wa Kitaaa, Umesema Kweli, Umetuwakilisha Vema Aiseeee, Goood Sana Broooo
Very gud excellent our talential artist...we needs the artists like u who risk his/her lyf for the sake of poor people and rise up the truth without any fear...big up Mr. NEY💗💗
You need an English teacher
ruclips.net/video/ne-R_QHDluI/видео.html
P
Ungeandika tu kiswahili ungeeleweka. Yaani umeandika wewe ila mimi ndio naona aibu. Go find an English teacher.
Rais wa kitaa. Bi
🙅🙅 tusemee tu sisi wanyonge😭😭🥺🥺💯🔥🔥🔥🔥🔥
Mudogowangu nay maombi ya watanzani yanafanya uweze kusonga mbele usisahau naww kumtanguliza mungu kama hayati na rahisi wawanyonge magu nakupa saruti❤
The true boy in the building #We ndo kioo Cha jamii 🔥🔥🔥🔥🔥🌎🌎🌎🌎🌏🌏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Big up brother, umefikili mbali sana, huu ndo usanii. Mungu akuongezee
ruclips.net/video/-H0szcRIjyE/видео.html brother k kujinyonga
Rais wa kitaa ✊✊✊ ya Moto hatari hakika brother umenena hivi wanatuchukuliaje watuona bongo lala tusemeee raisi wetu respect Kwa one six hajawahi kukosea 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu ndo nay ninaemfahamu
Very talented Nay. You will live forever bro. Everyone else are singing just for praise. U bring TZ people problems to lights. Big up
Kweli kabisa
ila Hapachanjwi mtu.🇧🇮baba umetusemea🇧🇮🇧🇮
Nguli ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html💥💥
Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ruclips.net/video/_vGu4l1MoMw/видео.html
Bonge la wimbo ulio na tani za kutosha , haupimwi kwa mizani ya kawaida kabsa👏👏👏
Yaaan Ni wimbo mzuri,nampenda Sana Ney
Asante sana ney wa mitego kwa kutuongerea wananchi mungu akupe ujasili zaidi wa kufichua maovu asante broo hakuna rais kama mgufuli tutamkumbuka daima,,,
Ngoma Kali sana ndugu yangu umenifanya nianze kuimba 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍👍👍👍👍👍
Rais mwenyewe...Kenya tunakupenda sana
you are back brother, this is you..., Real definition of Ney wa Mitego...
kaka nakuungana mkono ,100% selikali ya tz hakuna kituu