Nay wa mitego featuring Shamy - Mungu yuko wapi (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 июн 2020
  • FreeNation966 present Nay wa mitego's first new song in 2020.
    A song written and performed by Nay wamitego assisted with Shamy
    studio FreeNation records
    Produced by Gachi B and Mr Lg
    Directed by Hanscana
    #NayWaMItego #MunguYukoWapi #NgommaTz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 4,6 тыс.

  • @ramlabaruani4202
    @ramlabaruani4202 4 года назад +167

    Wote tunaomshukuru mungu kwa puumzi ya bure tujuane na tunampenda Sana mungu wetu🙏🙏🙏

  • @tkmaster5876
    @tkmaster5876 4 года назад +489

    Mungu yupo brother anae amin mungu yupo agonge like

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 3 года назад +50

    nimemsikiliza vzuri jamaa kumbe anachomaanisha ni tofaut na media zilivouandamana huu wimbo.He nailed it

    • @paschalrukyakya2080
      @paschalrukyakya2080 10 месяцев назад

      Kaka una akili sana 💪🏾 watu awaelew chochote hii mambo inaitaji aq

  • @zeelao9324
    @zeelao9324 2 года назад +26

    Emmanuel aka Nay is a skillful wordsmith and a philosopher of his own kind. He is in the likes of Bob Marley, Sam Cook, Tupak, John Lennon etc. He is a gemstone Tanzania should treasure and protect him at all cost! For you Nay keep on asking those hard and philosophical questions. God is there and I know you know HIS always there. Mola azidi kukulinda kaka mdogo.

    • @yourhandle_
      @yourhandle_ Год назад

      Tafsiri lugha ya taifa basi kaka mkubwa.. unatupa tabu sisi watanzania..

    • @amrelbaghdady2067
      @amrelbaghdady2067 Год назад

      @@yourhandle_ kingereza zii

  • @drforbes9035
    @drforbes9035 4 года назад +227

    Kama unaamin Mungu yupo na atazid kuwepo na anatupenda binadamu wote forever and ever 👍

  • @blakteaful
    @blakteaful 4 года назад +1572

    Kama kweli unaamini Mungu yupo... Like hii comment bila kupesa.

  • @deborakitundu2456
    @deborakitundu2456 4 года назад +189

    Kama kweli unaamin mungu yupo kama mm bac gonga like hapa kwenye hii comment👍

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 года назад +148

    Pamoja na mateso yote na shida zote unazopitia lakn bado unamwamini mungu yupo gonga like twende sawa

    • @EdgarTumaini
      @EdgarTumaini 8 месяцев назад +2

      Namwammini Mungu mwokozi wa maisha yangu

  • @mstafaabdul8294
    @mstafaabdul8294 4 года назад +1664

    Kama unajua kua mungu yupo kama Mimi gonga like

    • @shabanimaganga3496
      @shabanimaganga3496 4 года назад +4

      Selekali siii ifungie iiinyimbo aina maadili

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 4 года назад +5

      @@shabanimaganga3496 iyo serikali ndo freemason wenyewe

    • @bahatirashidi3439
      @bahatirashidi3439 4 года назад +12

      Mungu yupo hila dunia inawadanga tu Allah atujarie mwisho mwema

    • @latifahjamal2999
      @latifahjamal2999 4 года назад +1

      @@bahatirashidi3439 ameen

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 4 года назад +1

      @@hawaynatimam982 Ukiitwa ukaonyeshe serikali hiyo feelmason utaenda?

  • @JuniorGaddafi3978
    @JuniorGaddafi3978 4 года назад +620

    Naamini yupo Mungu, Maana Makuu Amenitendea
    🙏🏾🙏🏾
    Wanao Mwaamini Mungu Tujuane Hapo👇🏾👇🏾

  • @felistakalinga5588
    @felistakalinga5588 4 года назад +18

    Daaaa ee mwenyezi Mungu hakika nakuamn bwana. Kama unamwamin Mungu gonga like

  • @mpozenzichristian1658
    @mpozenzichristian1658 3 года назад +6

    YESU NDIE ALPHA NA OMÉGA sasa nawaombea nyinyi wote muokoke Jesus ni mzima wandugu zangu...kama unajua bwana YESU ni mwema nipeni like

    • @luckydavesimba9548
      @luckydavesimba9548 Год назад +1

      Amen Amen Amen Amen pastor be blessed wise man full of faith

  • @dulahkileo882
    @dulahkileo882 4 года назад +508

    kama unaamini Mungu yupo gonga like hapa tuende sawa

  • @emmanuellukas8591
    @emmanuellukas8591 4 года назад +267

    Gonga like kama unaamini mungu anatuvumilia na uovu wetu ili siku moja tutubu

  • @wazirinyoso6305
    @wazirinyoso6305 3 года назад +3

    Pumbavu mwenyewe kama hujapenda kuitwa mpumbavu gong lk zakutosha

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 3 года назад +25

    Kama umekuja kuangalia hii nyimbo baada ya interview ya Mama ney gonga like tuondoke 😅😅

  • @abasmzeebabamiminakukubals3230
    @abasmzeebabamiminakukubals3230 4 года назад +505

    Huyu mjinga amechoka kuishi, kama wamuamini Allah gonga like kibao

    • @danielsamwel4432
      @danielsamwel4432 4 года назад +5

      Huyu ameshauza moyo wake kwa shetan asaidiwe tu

    • @abasmzeebabamiminakukubals3230
      @abasmzeebabamiminakukubals3230 4 года назад +2

      Halina akili linaona kama limejiumba lenyew

    • @snazzyfranz1874
      @snazzyfranz1874 4 года назад +2

      Mumeasi ya kikwenu mkaingilia ya wageni msijue kunaenda vipi..Matokeo mnayo..Kizazi ambacho nikama kimechanganyikiwa

    • @thechosen8208
      @thechosen8208 4 года назад +3

      @@danielsamwel4432 ashidwe in Jesus name

    • @healthugreat2544
      @healthugreat2544 4 года назад

      Subscribers kwa RUclips Chanel yang naomba

  • @dmsangi6483
    @dmsangi6483 4 года назад +386

    Inalillah wainailaih rajuni.
    Kama unaamini MUNGU yupo gonga like

  • @respiciusjohn9936
    @respiciusjohn9936 4 года назад +2

    Nay anachojaribu kuongea kina mantiki fulani, maana najua hakuna kufuru yoyote katika hilo, swali hilo hakuna asiyejiuriza kwa siri ila yeye kaliweka wazi, Mungu yupo ila inahitaji busara kubwa kutambua uwepo wake maana yeye atenda tofauti na mawazo yetu yawazavyo kabisa. Hongera Nay kwa kuwakirisha mawazo yako vizur na yaliyo mawazo ya wengi. Jesus loves you

  • @nestorcharlesnorbeth2688
    @nestorcharlesnorbeth2688 4 года назад +4

    Nyimbo hii imenitoa machoziii jaman... Mungu yupo hapa tunapita tuu... Nay tubuu

  • @ofmdhif2624
    @ofmdhif2624 4 года назад +20

    Katika watu ambao wanamkufuru mungu huyu ninamba moja tanzania, iv inafika kipundi unasema hayupo na mifano unaiyona wanao amini mungu yupo like kwang

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 года назад +134

    Subhanallah Allah unipe mwisho mwema naamin Allah yupo na nnamuomba kila siku anifanye niwe mtumwa wake nimuabudu bila kuchoka haijalish ninahal gan

    • @jamhurikanduru8075
      @jamhurikanduru8075 4 года назад +3

      Ametuepushia Korona Ni Neema Kubwa Wenzetu Jirani Zetu Wanahaha Subhanallaah!!

    • @aminahamza8195
      @aminahamza8195 4 года назад +2

      Amiin

    • @ibrahabdulaziz1541
      @ibrahabdulaziz1541 4 года назад +1

      @@jamhurikanduru8075 hiyo iko njema sana

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 4 года назад +3

      Amin inshallah

    • @ismailbakar5643
      @ismailbakar5643 4 года назад +2

      Subuhana mungu tusamhe na yeye pia amsamhe hajui analo tenda kk stafiru dahhhh

  • @jacklinejacob2216
    @jacklinejacob2216 4 года назад +2

    Mungu yupo...I believe God is with us and powerful than devil...I fill God everywhere in my life...we need salvation... Victory is on our hands

  • @socialdemocrat0015
    @socialdemocrat0015 29 дней назад

    Mungu yukoo na majibu ya maswali yako ambayo umeulizaa kwa huu wikboo yako kwa bibliaa ....Tunaamini sana Mungu Jehova jire yuko kila mahali tubu nay umrudie Mungu wako...wachana na tamaa ya duniaa mwisho wake una madhara makubwaa.😊😊

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 4 года назад +181

    Anyone who's reading my comment! God bless you and your dreams will come true 🙏

  • @bazengadhiblawe952
    @bazengadhiblawe952 4 года назад +91

    If you know there is A GOD and u believe it say ALLAHU AKBAR

  • @ggcrank6264
    @ggcrank6264 4 года назад +1

    Mzee Ney iyo imani ambayo upo wew ni mateso tu na hizo pesa utajili bila amani na uhuru ni sawa na bure, Mimi sitaki kuamini kwamba hauamini uwepo wa MUNGU ila ndo masharti uliyopewa katika iyo imani ambayo upo.Mda wa kutoka katika iyo imani ni huu kwasababu masharti yanayofata ni magumu zaidi ya ilo.

  • @cyprianwamponya2929
    @cyprianwamponya2929 4 года назад +3

    Mungu yupo. Mabaya yote unayosema Mungu anayaona, si kwamba yupo kimya n kwamba anatupa nafac ya kujirekebisha na kutubu, Mungu ni mwenye huruma sana kwa watuo🙏

  • @dbashhussain8711
    @dbashhussain8711 4 года назад +85

    "THADAKA ZA WATU WAKO NDO DHINAWAPA WADHIM" The true boy in building

  • @dullymsafi9030
    @dullymsafi9030 4 года назад +298

    Yan mm ndo na mkos sijawahi ata sk moja kupata like za kujidai, ila ngoma kali

    • @samwelylaurent4301
      @samwelylaurent4301 4 года назад +2

      Dully Msafi asa mwanang unavosema we ndo wakwanza kucoment unatala like asa ukipewa izo like usiku utakula tafta v2 vakuomba wanang aya mambo tuachie dada ze2

    • @khamissoud1305
      @khamissoud1305 4 года назад

      Unafirwa wewe

    • @nivaeliud579
      @nivaeliud579 4 года назад +3

      Nauliza tuu hivi huy ney ameagizwa shetan

    • @rosevevo6901
      @rosevevo6901 4 года назад

      ruclips.net/video/Dh5y7kTZAmM/видео.html
      Rayvany new video

    • @tamaraemmah6553
      @tamaraemmah6553 4 года назад +1

      Sasa like unaitaka.kwa kipi cha maana hapa?

  • @hillarycheruyot3905
    @hillarycheruyot3905 Год назад +2

    I do listen to this song 3times a day.
    Nay tupo nyuma yako
    Our current poet & philosopher.

  • @mainangatia1063
    @mainangatia1063 2 года назад +4

    Ukitoa nyimbo za kusifu ngono Unapata million views, ukiambia watu ukweli hawataki kusikia😳 kazi nzuri nay🔥

    • @MonicaMwake
      @MonicaMwake Год назад

      Ushasema mwanangu👊👊👊👊👊💖

  • @josephmbwambo4781
    @josephmbwambo4781 4 года назад +85

    Nadhani huu wimbo siyo mzuri kwa wamwaminio Mungu

  • @manasengobei9968
    @manasengobei9968 3 года назад +12

    Jamani hv mnaosema Ney kaimba ukweli ukweli gani kama si kumdhihaki Mungu!
    Hv kweli Mungu ndie anaempa hela shoga?
    Hv kweli Mungu ndie anaempa hela mdangaji na kumwacha dada mlokole anaetafuta riziki kwa njia zilizo halali?
    Sambamba na hilo Mungu hawezi kumhukumu mtu kwa matakwa ya watu wake, Mungu anahukumu kwa kufata kanuni zake,hvo hata kama kuna mtu amekufanyia mabaya kiasi gani usimlazimishe Mungu ampatie adhabu kwa jinsi wewe unavyotaka kwasababu sisi sote ni wakosaji mbele za Mungu,Mungu ndie anaejua huenda kafiri unaemuona wewe ni mbaya huenda akawa msamalia mwema siku za usoni hvo tutende wema kwa kila jambo hata kama tumefanyiwa mabaya Mungu atatulipa tu.
    Hv kuna umuhimu gani wa kuishi maisha ya raha kwa kutenda dhambi ambapo hatima yake ni motoni?
    Sini bora ukakubari kuishi maisha ya dhiki ambayo yatakufanya ukaishi milele peponi.
    Ney Mungu aweze akusamehe huenda ukawa hulijui ulitendalo, fanya jambo lolote katika Dunia hii lakini usijudge kazi ya Mungu adhabu yake huenda ikawa haina kifani hapa Duniani.

    • @bennagemeestate820
      @bennagemeestate820 2 года назад

      Fikiria na fikiria tena, neno Mungu sio jina ni cheo ndy maana kuna vitu vyaitwa miungu umoja ni M/mungu

  • @licomwanjali230
    @licomwanjali230 4 года назад

    Nay mdogo wangu Mungu yupo tena yupo kabisa. Kumbuka vizuri sana Amri ya ya kwanza na ya pili na ya tatu ya Amri kumi za Mungu. Nenda katubu mdogo wangu.

  • @dr.djshigongo4927
    @dr.djshigongo4927 4 года назад +43

    Anachoimba Ney ni maneno wengi hujiuliza wakiwa wanapitia kipindi kigumu sana kwene maisha...Mungu tu na wachache walopitia shida nyingi za dunia,wengine wakajinyonga,wakanywa sumu, wakajichoma visu,wakawa tayari kujitoa muhanga,wakatoa kafara wapenzi wao na kufanya mengi ya ajabu hujiuliza at last.Yahitaji moyo mpana na neema kubwa yake Mungu kuvumilia shida wapitiazo wengine na viwango vya imani pia vinatofautiana...I don't see anything wrong with his song..
    Ni mtazamo wangu tu!

    • @thomasimsimbe3171
      @thomasimsimbe3171 4 года назад +2

      Ni maswali muhimu sana aliyotokeza. Hata watumishi wa nyakati za kale walijiuliza kama hayo (Hab 1:1-4; Zab 73:3-12).

    • @djkaka5580
      @djkaka5580 4 года назад +4

      Tupo pamoja kaka hao ni wanafiki na ndo wenye Mali za Kwa waganga au wanaabudu mashetani na hawajui mini maana ya Msanii nay kaimba ambayo yapo na anatukumbusha tutafanyayo hivi kweli mungu yupooo????? Hajamaanisha walivyoelewa wao

    • @jeromemwingira7877
      @jeromemwingira7877 4 года назад +4

      Umeongea kitu kikubwa sana, mbongo akiambiwa hii ni A basi ataamini hivyo hivyo, hana time tena ya kujiuliza kwanini hii iliitwa A nk. Nay yuko sahihi kabisa kutoa huo wimbo, Kwa mfano mataifa yote matajiri unayo yajua dini si kitu kikubwa sana ila mataifa masikini dini ndio kubwa hatari

    • @dr.djshigongo4927
      @dr.djshigongo4927 4 года назад +2

      @@djkaka5580 true hustlers watafutao vya haki bila dhuluma huumia sana wakiona mwezi,wauwaji na watafutao kwa njia panya wakitoboa mapema..wengi hujiuliza sana kusema "Mungu uko wapi unaona yote haya?" Hii ni bonge moja la ngoma sema ingeongelea mapenzi ingehit sana

    • @dr.djshigongo4927
      @dr.djshigongo4927 4 года назад +2

      @@jeromemwingira7877 watu waliuawa sana recently SA, USA wanaandamana,wanaume wanaoana,rushwa za ngono ili utoboe,kafara,magonjwa ya kutengenezwa na watu kuua wenzao,baba kusex na kuzaa na binti yake nk...yanaumiza lazima ujiulize "Hivi kweli Mungu.....?"kuuliza hivi haimaanishi we ni Antichrist au freemason.

  • @gallogonga5620
    @gallogonga5620 4 года назад +39

    Mwenyezi Mungu amewapa Uhuru wanadamu hapa duniani aither Ushukuru au ukufuru. Hukumu ya Mungu Ni siku ya Mwisho, Utachomwa Kama ulikua mtenda dhambi, na utaishi peponi kama utakua mtu mwema.
    Kua masikini au tajiri sio kipimo cha kusikilizwa na Mungu, kwani Ni vigumu kwa tajiri kuona ufalme wa mbingu.

  • @lucielucie9646
    @lucielucie9646 3 года назад +12

    There's God. He's been with me through my darkest moments. All you need is to believe

    • @ssuf
      @ssuf 3 года назад

      There's no gods I've been through my darkest moments alone...

    • @setholivier4862
      @setholivier4862 3 года назад +2

      @@ssuf there's a God weather you agree or not

    • @maikolugenge186
      @maikolugenge186 3 года назад

      Mhhhhh

    • @charlesmuhagama2358
      @charlesmuhagama2358 3 года назад +1

      Nikwer kwasababu kunamachafu meng yanafanyika,kwaiyokuuliza,siyoujnga

    • @ragrey
      @ragrey 3 года назад

      Y

  • @KINGSONPATRICK
    @KINGSONPATRICK 4 года назад +53

    ZAB. 53:1 SUV
    Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

    • @fredmbossa
      @fredmbossa 3 года назад +2

      Sikiliza vizuri nyimbo,,,hamaanishi kwamba mungu hayupo

    • @georgekapongo962
      @georgekapongo962 3 года назад +3

      @@fredmbossa Akili ndogo haiwezi kuelewa huu wimbo bro.

  • @jessygoldnambua3590
    @jessygoldnambua3590 4 года назад +26

    Just listen to the lyrics, word by word, it's like when umefika mwisho kabisa wa maisha au hali yako na unamuuliza Mungu upo kweli

    • @ketsonempire
      @ketsonempire 4 года назад +3

      So truee...Nay seems to be through hard times and he is asking God to hear his cry... I can deeply understand this.... At times we do get into depression and tend to think Maybe Mungu ametusaaahu lakini la kweli ni kuwa Mungu yupo na kamwe hamuachi mja wake

    • @JumaChinko
      @JumaChinko 4 года назад +2

      Hawa hawskilz kilichoimbwa ndio ttz

    • @pendondossy2158
      @pendondossy2158 4 года назад +2

      @@JumaChinko kabisaaaaaaaa wimbo huuu wanaouelewa wachache

    • @insidetanzania7443
      @insidetanzania7443 4 года назад +1

      Watu wana fikra ndogo sana kusema uyu jamaa kakosea...hii ni sanaa ambayo siku zote inaelezea hisia za mtu

    • @InnohubGroup
      @InnohubGroup 4 года назад

      @@ketsonempire talking about Ney in that light might be wrong since there's nothing to support that statement.
      He has a recording studio, this song is almost a million views in just two weeks, he has a better life than most to be depressed. He just said the truth unashamedly just like he does.
      Wakati aliimba shika adabu yako does it mean alikuwa na matatizo ya kiadabu/tabia?? Alipoimba alisema does it mean alikuwa na matatizo?? Let's not create stories without supporting evidence

  • @jessygoldnambua3590
    @jessygoldnambua3590 4 года назад +6

    I see nothing wrong with these lyrics, absolutely nothing wrong. Nay is just singing out loud what most of us feel or go through sometimes in life but we are afraid to question. Who among us has never aske or question God if truly he is there and why does he allow a lot of injustice to happen under the sun. When you question God, he will give you the answers because he said call unto me and I will answer you and show you great and mighty things which you don't know....

  • @ngendakumana_mbasha
    @ngendakumana_mbasha 3 года назад +4

    Nakubali huyu wimbo
    Love from #Burundi
    Mungu wa wazungu
    Nimekusoma sana G 🎯💯

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 8 месяцев назад

    Yupo ila si mzungu ndio naomba kila siku tujiandae kama wafrika na kiri kuwa tanzanian ndio mama wa dunia gonga like kama mkubaliana na historia ya kweli long live tanzania

  • @yahyamustapha887
    @yahyamustapha887 4 года назад +7

    Kabla hqmjamlaumu Nay mkamuhukumu hebu skilizeni hii nyimbo vizuri...Nay analia watu wanoteseka na kudhalilishwa na Mungu yupo hivyo nilivyomfahamu mm yeye anataka Mungu achukue action ili hayo matatizo aliyoyaeleza yasitokee......gonga like kama umemfahamu nay hapa

    • @shabaniismail4757
      @shabaniismail4757 4 года назад +2

      Watu wametekwa na mihemko, wameshindwa kuelewa alichokimaanisha na kuropoka wanachofikiri wao... Hapo ndo utaelewa nn maana ya msanii?? Na nn maana ya sanaa!! *Hongera kwake Ney*

  • @manchillah3009
    @manchillah3009 4 года назад +121

    Kama unaamini nay wimbo huu kakufuru gonga like apo

  • @beatricekimani9365
    @beatricekimani9365 3 года назад +11

    Mkenya aliye ndani gonga like na uniambie íkiwa umehisi uoga ukitizama wimbo huu,

  • @sirventureofficial6289
    @sirventureofficial6289 3 года назад +1

    Daaaaaaa pumbavu nyinyi mnateswaa mnagonjaa niseme mimu-----Karibuuu na huku #sir venture kusikaa audio Kali. zinginee

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 года назад +23

    YESU Anatosha na hilo ndio jina utakalo litamka baada yakuyafanya hayo yote, hiyo ndio njia na uzima wa milele thank you JESUS to save us,

    • @explicit4life65
      @explicit4life65 4 года назад +1

      Yesu aliitwa na akaambiwa nisujudie nikupe mali yote ya dunia, kumaanisha shetani ndio mtawala wa dunia.. huezi muahidi mtu kitu kisicho chako

  • @robertomancini4979
    @robertomancini4979 4 года назад +57

    Nay Mungu yupo... Mashoga, Malaya, wezi, manabii wa uongo hao wote wafwasi wa shetani... Na dunia hii ya shetani wema makao yao iko mbinguni.... Utajiri ni wa duniani tu... Ka unaamini gonga like tukisonga

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 4 года назад +1

      Amina,ubarikiwe

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад

      Kwaivo Shetani ana mamlaka juu ya Mungu??? Mpaka awe na kundi lake?

  • @kusiraboniphace9900
    @kusiraboniphace9900 4 года назад +3

    Ney ulichokiimba ndani ni kizuri but jina la wimbo cyo zuri make huamin kama mungu yupo?
    Kama unaamin Mungu yupo 💯% ngonga like hapa tusepe

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 года назад +1

    Ney hii n bonge LA nyimbo IPO cku watu wataelewa maan hilo swali wengi wanajiuliza hili kbs ney salute kwako

  • @RemmyWilliams
    @RemmyWilliams 4 года назад +85

    MUNGU YUPO, NA ANAONA. BUT EVERY THING HAVE A REASON.

  • @mwajumasawema6220
    @mwajumasawema6220 4 года назад +158

    Astaghfiru llah
    Astaghfiru llah
    Astaghfiru llah
    Kwanza nyimbo yenyew inatisha kuangalia na kusikiliza pia.eeh mwenyez mungu nijaalie mwsho mwema Mimi na wote wanaokuamini❤️♥️❤️❤️❤️

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 года назад +2

    Mungu yupo na antuona kila 1 anakaa kimya kutupa chance ya kutubu madhambi yetu....
    Mungu yupo kazini kila siku hasa ukifata matendo yake na kuzishika amri zake utamuona waz waz kwa macho ya nyama..
    Neno lake linasema
    " maombi ya mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidii" neno bidii lizngatiwe afu utamuona Mungu tena anasema
    "Nawapenda waniipendao, nao wanitafutao kwa bidii wataniona"🙏🔥

  • @venerandamwikoko1937
    @venerandamwikoko1937 Год назад +1

    Apo nay umekosea broo kama unaamini mungu yupo gonga like hapa

  • @binmwerionlinetv1256
    @binmwerionlinetv1256 4 года назад +54

    Dah pesa zinatia kibri wallah
    Allah atupe mwisho mwema 😭

    • @charleselikana9039
      @charleselikana9039 4 года назад +3

      Jerome Mwingira mi mwenyewe najiulizaga Sana kwa nini watu wa Mungu wengi ni masikini??,Ila ninachoamini ni kwamba watu wa Mungu ahadi yao kubwa ni kuurithi ufalme wa mbinguni sio dunia...

    • @dillhaluhende1745
      @dillhaluhende1745 4 года назад

      Shida hamjaelewa maaana ya huu wimbo

    • @zainabingasian4411
      @zainabingasian4411 4 года назад

      @@dillhaluhende1745 hebu tufafanulie plz

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 4 года назад +73

    Mungu hajibu, unavotaka wewe hujibu kwa wakati ambao kwake ni sahihi, we subiri utamuona Mungu, soon ukuu wake

    • @yaskidesaid5094
      @yaskidesaid5094 4 года назад +2

      Kwl br0 mungu atamjib tuu

    • @mihayojuma9886
      @mihayojuma9886 4 года назад

      Kuna bazi ya wa chungaji wana tumia jina lamungu na bado wana ponywa kwa nguvu zagiza hilo naamini mm

    • @jumongjr5837
      @jumongjr5837 4 года назад

      Hakika

    • @kingcobra9238
      @kingcobra9238 4 года назад +2

      HAUJAIELEWA NYIMBO SIKILIZA HATA MARA 10 KISHA TAMBUA MUNGU YUPO ILA KUNAWATU WANAJIFANYA MIUNGU WATU

    • @oscarnyange4065
      @oscarnyange4065 4 года назад

      Haha kweli bab

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 Год назад

    This are next level skills...Mungu anayemuongelea Nay hapo sio huyo wa mchongo tuliyeletewa na wazungu! yeye amemaanisha Mungu wa kweli aliyeumba ulimwengu mzima. Note: Mungu sio kiumbe.

  • @shardyheat4059
    @shardyheat4059 4 года назад +14

    Am a Ugandan but I love this guy
    On the point these are daily questions we all have, good persons why are always poor ? Why do people die if God is caring ? Kila mtu una maswali mengi unajiuliza kwann dunia aiko fair ata mim some times najiuliza kwann watu Wangine Wana pesa wengine hawana na wenye pesa ndo wale wenye roho mbaya Sana Tena wengine wanaish kwa ndagu
    So I think we should just appreciate his work bringing out such questions to know that everyone has them inside him or her
    Quote me well mungu yupo kweli and he is caring lakin tunajiwuliza kwasababu sis Ni binadamu tu atui mbere na atujui kwann vitu vingine vinatokea maishan

    • @yasinmbuma9004
      @yasinmbuma9004 4 года назад +4

      Thats true,haya ni maswal ambayo wengi hujiuliza sema wngi tunna woga wa kuya expose out but n maswal ya kawaida sana.

    • @nice58765
      @nice58765 4 года назад +1

      If you listened in between the lines he mentions that our God is not his god then displaying the money,he says he does not expect us to understand him....listen and understand the hidden meaning of this lyrics..

    • @stephenkessy552
      @stephenkessy552 2 года назад

      Your reasoning reaches a limit where faith must intervene

    • @shardyheat4059
      @shardyheat4059 2 года назад

      @@stephenkessy552 trust and believing in God doesn't mean those daily question will go away , that why we pray and beg him to help us stic on him ,

  • @salimomary6279
    @salimomary6279 4 года назад +10

    Ukishakufa utajua yupo au hayupo,,,from zanzibar,, gonga like zanzibar rahaaaa

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +45

    Huyu ndio yuleeeeeee NAY ninayemfaham
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Japo nimechelewa ila msininyime like jamani

  • @patkabakayokatv9525
    @patkabakayokatv9525 3 года назад

    Mwenzanguuu mungu yupo ata kama tume mshutumuuuu ...... Mimi ni yule yule Patka dw mcawiiii mkubwa na endeleeee weka waaa nabiiiiii kwenye chama iluminaty ...... Tuamini kama mungu yupo.....

  • @francoamon6087
    @francoamon6087 4 года назад

    Goood najua wengi wataumiza kchwa lakn tambua music ni fasihi inayotumika kuwasilisha ujumbe kwa wasikilizaji ko ney katumia mungu kuwasilisha ujumbe flani hivi daaaaah pasua kchwa walai

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 4 года назад +27

    Mungu yupo ULIE POTEA NI WEWE MUNGU YUKO TENA ILIKUWEPO NA ATAKUWEPO. MUNGU AKUONGOZE WEWE🤲🏾

  • @MULLAMUSICWORLDWIDE
    @MULLAMUSICWORLDWIDE 4 года назад +35

    This is art ..... Am a poet from 254...the song is good ...it reveals a lot ....it depends on your understanding .........keep it on fleek Ney

  • @elyotchisanga138
    @elyotchisanga138 Год назад +1

    Tunao Mwamini Mungu,kuwa ndiye mgawa liziki naye anatupa Pumzi ya bule ,twende na like

  • @lauraabass1077
    @lauraabass1077 3 года назад +1

    Mungu yupo. Ila ndugu yetu anahitaji mahubiri ama mawaidha atatulia. Kakwazia maswali mengi kichwani yamemchang'anya. Mungu amsameh na kumuongoza Inshallah

    • @paschalrukyakya2080
      @paschalrukyakya2080 10 месяцев назад

      Nimekuelewa vizuri sana kaka watu awaelew kabisaa

  • @charlesboniface28
    @charlesboniface28 4 года назад +65

    He is always there and he is watching u bruh Ok believe what u believe but mungu ni wa wote uwe jini shoga mwizi ata kuskiliza ukimuomba na kama ajakupa dont give up mda wako utafika amina.

  • @KINYASI
    @KINYASI 4 года назад +18

    Kikweli wimbo wa NEY nimeipata kimaana na kimantiki. Japo wimbo huu umeimbwa kwa mafumbo makubwa, ila Maana yake iko wazi. Hongera kwa mtazamo wa mbali na kuwa mwana fasihi wa kufikirisha vichwa vya watu. Nimeona kuna mambo 3 NEY ameyafupish, nayo ni siasa( utawala) uchumi na uhuru wa imani. Kwenye kuonya ameonya na kufundisha kufundisha. Thanks for good song.

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 года назад +1

      Great thinker

    • @annahsaimon2884
      @annahsaimon2884 4 года назад

      Genius

    • @user-xe2ko9no4l
      @user-xe2ko9no4l 4 года назад

      Ndio unajiona umefaham zaidi yani ww na wengine wote wagonjwa wa fikra asante ila fikiria tena nn anamaanisha

    • @saidmsafiri5237
      @saidmsafiri5237 4 года назад

      Wewe nae ndo walewale subirini hukumu yamungu hatowaacha! Ney anasema mungu akasepa kumuacha shetani halafu wewe unasapoti ujinga kama huo aise mna mfananisha mungu na kiumbe nyie maboya kweli hamna tofauti Farao subini hukumu yenu!

    • @jumamahundi9016
      @jumamahundi9016 4 года назад

      True

  • @rkjohn1243
    @rkjohn1243 2 года назад +1

    This song hits diffrently every morning, n it will continue being amazingly wonderfuleven decades. Tufumbue macho yetu, tuwache kufanya tulichopata kikifanywa na tufanye n
    kinachopaswa kufanywa,,, same thing to imani... repping 254 KE,,, Mhengadigitali

  • @africandesired3297
    @africandesired3297 3 года назад +1

    This is talent, sanaa muda mwengne haipo moja kwa moja ni lugha mafumbo kwel dunian ukiangalia wenye mafanikio zaid ni wale wenye mambo ya kishetan au haramu MUNGU YUPO Ila anauliza kwa nn yanatokea hayaa

  • @ryamhassani1441
    @ryamhassani1441 4 года назад +19

    Mr Nay bna alituimbia MUNGU anakuona leo tena anatuimbi MUNGU yuko wapi nashindwa kuelewa wich iz wich sema kuna lines zimenikuna KEEP IT UP JOH 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 4 года назад +6

      Km uelewa wako una mawanda mapana bas utaelewa kuwa maudhui ya "Mungu anakuona" na hii ngoma n sw sw amna tofauti kabisa yan n kuwaonya tu watenda dhambi kuwa Mungu yupo na anawaona.. jamaa n fundi sn alaf anakuwa na msg sn...

    • @ryamhassani1441
      @ryamhassani1441 4 года назад +1

      @@abdulmohd6880 nakubali kaka 🙌🙌🙌

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 года назад +20

    Ney Amekoseaa Anampa Shetani sifa hii ni mbaya kwa Mtu anayemjua Mungu Kwa Usahihi

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 года назад +1

      Hapana huu wimbo ni ukwel wa hali halisi Mungu ame tutupa mkono sisi binadamu hana mpango na sisi hata usali vipi yeye akiamua usote duniani uta hangaika tu sasa Mungu gani ndio maana mi nmesha acha hata kusali bora nitafute maisha tuu na taabu zangu

    • @shabaniomari2646
      @shabaniomari2646 4 года назад

      Sahihi

    • @lepa3tv832
      @lepa3tv832 4 года назад

      Aiseee jamani

    • @rahmaabid447
      @rahmaabid447 4 года назад

      @@ilynpayne7491 usikate tamaa ipo siku atakusikia

  • @kidzvalium5485
    @kidzvalium5485 4 года назад +30

    hii ngoma ingekua ni ya mtu wa nnje ingehit kinoma
    Bro hii ni ngoma
    God yupo but sema watu hawajakuelewa tuu

  • @bowattanga
    @bowattanga Год назад +1

    NAY MITEGO AKO TOPSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!

  • @asiakingwira1266
    @asiakingwira1266 4 года назад +30

    Anaowapa ela mashoga ni mungu gani? Like ata 10 ngoma kali

    • @paschalnkuba6758
      @paschalnkuba6758 4 года назад

      Nay hana kosa hata dogo na anachoongea ni ukweli mtupu hajakashifu hata kidogo sema tu anapenda kuja kinyume na tulivozoea

    • @paschalnkuba6758
      @paschalnkuba6758 4 года назад

      Kwa sababu hata mungu analaumiwa inapobidi ili asikie maombi

  • @luckykelvin6709
    @luckykelvin6709 4 года назад +18

    Ney Mungu yupo na trip hii lzma atakupigia live ili umjue,kuwa yupo

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 4 года назад

    Weeee!mungu yupo kweli km huwamini ngoja siku yamwisho kukata kauli yako ndo utamini kweli km mungu yupo au hayupo fanya masiyara tu eeeeeh,mwe'mungu atujaliye mwisho mwema amin.

  • @SITATI
    @SITATI 3 года назад +5

    It's not about luxurious it's about the creator,who is your manufacturer?I trust the manufacturer!!!

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 года назад +44

    Wanangu waa Kaskazini na 🇰🇪Tusomanee

  • @sutekamwelwe4352
    @sutekamwelwe4352 4 года назад +104

    2:38
    Matayo 24 : 13
    Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

    • @snakeboy1225
      @snakeboy1225 4 года назад +1

      Matayo 42 : 63
      unajichelewesha mwenyewe

    • @sutekamwelwe4352
      @sutekamwelwe4352 4 года назад

      @@snakeboy1225 hilo andiko unetumia biblia gani🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️

    • @kivurugaathuman2694
      @kivurugaathuman2694 4 года назад +1

      @@sutekamwelwe4352
      Sute, inaonekana dhahili kuwa hauna Biblia Takatifu, ni veema ukaipakia kwenye simu yako ili ikusaidie kutoa vifungu sahihi vya kimaandiko.

    • @sutekamwelwe4352
      @sutekamwelwe4352 4 года назад

      @@kivurugaathuman2694 umeelewa lakini nilichomaanisha au umeinuka tu ku.reply

    • @geraldadolf4928
      @geraldadolf4928 4 года назад +2

      Very wise man hapo ndo umetoa muafaka wa alichokiimba mzee baba

  • @lukasdaud8554
    @lukasdaud8554 3 года назад

    sasa huwimbo unaubaya gan sikiriza vizur usije ukatoa maon finyo ney wamitego guuuud ❤️💥💥💥💥

  • @saidramadhan4868
    @saidramadhan4868 4 года назад

    Mungu yupo!! Ni bora ufanye mema ukamkose mungu kuliko kufanya mabaya ukamkuta cha moto utakiona

  • @julesbakita7966
    @julesbakita7966 4 года назад +30

    wakwanza hapa toka 🇨🇩🇧🇮🇺🇲 nakubalisana kaka Ny

  • @dashkidmgesi5995
    @dashkidmgesi5995 4 года назад +171

    UTAJIRI. Wa MUNGU SIO PESA PEKEE....MONEY IS THE SOURCE OF EVIL MY FRIEND

  • @Blaq-i
    @Blaq-i 4 месяца назад

    Maswali tata ambayo wengi hujiuliza kisirisiri nay anauliza bayana.. Wimbo mzuri creativity ipo juu🎉🎉🎉🎉respek from kenya

  • @innocentkitundu6637
    @innocentkitundu6637 4 года назад +29

    Ngoja nikuelimishe kidogo #MrNay Mungu kampa Shetani mamlaka ya kutupepeta kama ngano, kampa Shetani utajiri mkubwa sana kuliko binadamu yeyote Duniani, kampa mamlaka ya kumfanyia binadamu kitu chchte anachotaka kufanya isipokuwa hana uwezo wa kuigusa nafsi ya binadamu, hivyo basi unapoamua kuokoka ujue umeanzisha vita na Shetani hivyo kupata utajiri ni ngumu sana ni mpaka uwe mkamilifu kweli kwa Mungu pia mtu kwenda kwa mganga na kupata utajiri hiyo ni kutokana na Shetani kuwa na uwezo wa kumtajirisha binadamu yeyote anayemnyenyekea na kufuata masharti yake! Nikuibie SIRI!! Shetani hamwamini binadamu na ndio maana akikupa utajiri lazima akupe masharti ili akudake vizuri!

    • @lapozzydone5203
      @lapozzydone5203 4 года назад +1

      Angejifunza kupitia kwako..

    • @selfplanet3880
      @selfplanet3880 4 года назад +1

      Umeongea point asee ubarkiwe xn

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 4 года назад +2

      Exactly bro!!!

    • @oxygen9603
      @oxygen9603 4 года назад

      imani yako itakuponya... #kwann alimpa utajiri..!? #hawa waja wanoteseka na haya maisha waende wapi..!? waganga wana siri gani ambayo mim na ww hatuijui.!? maswal yote hutoyajib kwa imani imani tyu... unakaa kwanza kisha unatafakar ukiweka iman mbele na iman ambay yakuipokea tyu kutok ughaibun

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 года назад +2

      Kulingana na mafunzo ya Kidini ni wapi palipoandikwa Shetani ana uhasama na Binadamu???? Yaani Mungu amuumbe Shetani ampe shetani mamlaka ya kupoteza watu alafu apeleke watu motoni kwa kukosea???? Atakua Mungu wa aina gani huyo???

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 4 года назад +11

    "THADAKA ZA WATU WAKO NDO DHINAWAPA WADHIM" The true boy in building beibeeeeee

  • @SarahLibogomalove
    @SarahLibogomalove 4 года назад +2

    The song is okay....maoni yangu. Hakika Mungu yupo.
    Ukiitaka sanaa, Sanaa ndo hii sasa. Lazima ubaki unajiuliza msanii alimaanisha nn na kila jibu ni sahihi. Mlosoma literature naamini mnaelewa. Tufunge mjadala, tuendelee kupambana na maisha tu!

  • @luckydavesimba9548
    @luckydavesimba9548 Год назад

    Yes mie ni fan wako ila siyo kwa huu wimbo kaka Wee huu wimbo unamtetesha Mungu kwaiyo tahadhari mapema usije ukakuponza Siku ile ya kiama

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад +10

    Kama unaangalia huku unasoma comment gonga like...maneno kuntu👌

    • @danieljulius4708
      @danieljulius4708 4 года назад +1

      Mungu hatafakariwi kwa mawazo ya kidunia bali kwa mawazo ya kimbingu, kupata kujua maarifa yake ni kuisoma na kuichunguza biblia, inahitaji umakini na muda wa kutosha kumuelewa mungu. Ila soma Bible utaelewa why all this happen!!!! Ila kwa akili zako tu utafanana na maprofessor wa theologia ambao ukomo wao wa kufikiri uliwafanya waache kumuamini sir God, biblia ndio chanzo cha maarifa brother, afu some times hueleweki broo, hivi ule wimbo mungu anakuona ulijiuliza kama ulivyojiuliza kwenye huu???????inaonekana uko njia Panda brother, isome Bible itajibu maswali yako.

  • @stephenndambuki4156
    @stephenndambuki4156 4 года назад +9

    Ilo sis wote tunaamini..subiri tu siku ya kujua ukweli ipo illah can't b bothered about earthly materials... Ata ukue tajiri ajj...wen ur day will come izo zote taziacha umu duniani tu... #254🇰🇪🇰🇪

    • @GadiEdiomwakanyamale
      @GadiEdiomwakanyamale 4 года назад

      Ukitaka kujua MUNGU yupo sikiliza huu wimbo
      ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html

  • @saadislam3767
    @saadislam3767 3 года назад +1

    Kama sio mungu, ungejulikanaje au ungekuwa hapo au hivyo sahihi ulivyotoka pumbavu wewe!!!

  • @Harry-ob2nm
    @Harry-ob2nm 4 года назад +6

    Hawa ni maswali kila mmoja hujiuliza at sometime in life when things are going really bad, you wonder kwani Mungu yupo wapi wakati unayapitia hayo.!.Lakini Mungu yupo naamini.

  • @AhadiAndreaTz
    @AhadiAndreaTz 4 года назад +52

    👇KAMA UNAAMINI MUNGU YUPO ILA NEY ANAMASHAKA NAE GONGA LIKE 😆😆😆

    • @nevelymungaya2574
      @nevelymungaya2574 4 года назад +2

      Mungu yupo na anatulinda na kutupa rizki uwe tajiri maskini yote nimipango ya Mungu Mungu mi nakuamini na naamini upo na utazidi kudumu Milele na Milele Moyoni kwangu..🙏

    • @paulbaraka7666
      @paulbaraka7666 4 года назад

      Mungu hamna ni imani tu inayo itwa mungu

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 4 года назад

      Wacha ajipoteze tu

    • @malikimloka7134
      @malikimloka7134 4 года назад

      @@paulbaraka7666 paul mungu yupo u

  • @hawamohamed4281
    @hawamohamed4281 4 года назад +24

    Mungu yupo na ataendelea kuwepo....mwabieni Ney aende akaone mwili wa fira'wn. Ndio atajua kua mungu yupo.

  • @otimarmbeki7485
    @otimarmbeki7485 4 года назад +1

    Mpumbavu hujisemea moyon hakuna Mungu kaxome zabur. Mungu anajib kwa wakat wke

  • @jumjumanderson9715
    @jumjumanderson9715 4 года назад +41

    Ignorance is a threat to one's life. Especially if such a person gets some few coins and abit famous, he sees himself as everything. God is there bro, even the least air u breathe in belongs to HIM

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 4 года назад +2

      Bro respect his opinion, not everything is for everyone, we are not living having default settings/configuration, if so we won't argue in anything.

    • @harmoniky4000
      @harmoniky4000 4 года назад

      Hapo sasa. Kwa watasha tu!

    • @jumjumanderson9715
      @jumjumanderson9715 4 года назад

      @@manish-fp1fbThis is bullshit bro, i may be respecting other people's opinions but atleast not the ones with blasphemy tones. He's is totally out of order in this case...

    • @erickmoses6395
      @erickmoses6395 4 года назад +1

      @@jumjumanderson9715 bro! listen the song with clear mind not emotions, he is just questioning based on justifiable scenarios. If you got answers, let's hear it!

    • @gansoally23
      @gansoally23 4 года назад +1

      This shit needs high IQ to understnd n thts hip hop🔥

  • @belafontesteven5144
    @belafontesteven5144 4 года назад +22

    Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Zabur 53

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 4 года назад

      Wapumbavu huamini bila evidence.

    • @marymamntine1909
      @marymamntine1909 4 года назад

      Kwan amesema Mungu hayupo? Ameuliza kwel Mungu yupo Kwa jinsi ya mabaya yanavotendeka?

    • @pendondossy2158
      @pendondossy2158 4 года назад

      @@marymamntine1909 yec

    • @pendondossy2158
      @pendondossy2158 4 года назад

      Yy kaangalia Hali ya maisha na uchafu na wafuasi Wa Mungu ndio kachanganya kabak na swali co kakufulu jmn

  • @youandme1593
    @youandme1593 4 года назад +16

    Huu ndio uzuri wa msanii anaejua kutumia sanaa. This is real ART.