Nay wa Mitego - Alisema (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 окт 2018
  • FREE NATION RECORDS proudly presents ALISEMA by Nay Wa Mitego.
    Audio Produced by - Mr LG, Love Touch,Aniwy lee
    Video shot in Tanzania by director - DEO ABEL
    ENJOY....
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 3,2 тыс.

  • @merukidd9268
    @merukidd9268 3 года назад +19

    Kenya hatuwezi pata bingwa kama huyu.
    Much love from +254🇰🇪🇰🇪
    Likes za WAKENYA ndani ya nyumba plz.
    👇👇

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 5 лет назад +43

    kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu 👏👏👏👏 like zenu Tafadhali hii ya mwisho naapa siombi tena

  • @glennluvai3306
    @glennluvai3306 4 года назад +99

    This Song does not only talk to Tz, But Africa, I can relate to everything in 254

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi49 10 месяцев назад +6

    The only msanii who is not pregnant but keeps on delivering everytime...salute from 254 kenya

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 5 лет назад +96

    Dah Ney big up sana Naamini Wimbo huu Utawafunza weng siyo kila cku nyimbo za Mapenzi,Waliyoipenda hii ngoma washushe like zao hapa

  • @obbyjoseph4964
    @obbyjoseph4964 5 лет назад +386

    mbona mim MBNA kila nikicoment spati like jaman nioneen huruma na mim!😁😁 Mr nay hii ngoma Kali kinoma ka shishi chili ya shishi nanhh!

    • @nickmbecknkinda5446
      @nickmbecknkinda5446 5 лет назад +1

      Ney we nimkweli endelea kuwachana mungu atakulipa

    • @KUYALAI
      @KUYALAI 5 лет назад +1

      Noma sanaaa babulai

    • @totoozebingwatshumani4642
      @totoozebingwatshumani4642 5 лет назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @kachungwakachungwa2608
      @kachungwakachungwa2608 5 лет назад

      Kiukweli vijana yatupasa kutoegemea sehemu moja panapositahiri kusema hapana lazima tuseme na kwenye kusema ndio yatupasa sisi vijana ndio tunaotazamiwa huko nbeleni .asanteni Watanzania na wana wa Africa.

    • @missbartanzania688
      @missbartanzania688 5 лет назад

      Obby Joseph 😹😹😹😹

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 9 месяцев назад +4

    Wimbo naupenda sana huu💚💚❤️❤️ ujumbe mzuri sana.

  • @drkaswalala
    @drkaswalala 5 лет назад +49

    Napendekeza huu wimbo uwe "wimbo bora wa mwaka"
    ~song of the year~

  • @abdulramadhan981
    @abdulramadhan981 5 лет назад +64

    kwamara ya kwanza Brother Umetuliza akili nakutuletea Ngoma kweli sisi Patriots

  • @charleskombe
    @charleskombe 5 лет назад +135

    Kiuhalisia umeweza kuonyesha namna ambavyo sanaa inaweza kutoa elimu kwa wananchi hasa vijana ambao wengi wamekua na woga wa kutoa maoni yao kutokana na kutokuwa na uelewa wa haki zao pia. Big up Nay. Likes za kutosha kwa wanaosimama kama alivyoagiza Nyerere!

    • @petermoshi3877
      @petermoshi3877 5 лет назад +1

      CHARLES KOMBE tatizo watu wasiojulikana ....😏😏😏 n.a. sehemu isijulikana🙂🙂 inafanya watu kukaa🤐🤐🤐

    • @abdallahsaid8489
      @abdallahsaid8489 5 лет назад +1

      CHARLES KOMBE kwel

    • @omanmwajabumbeguoman8642
      @omanmwajabumbeguoman8642 2 года назад

      Ww mwana siasa halisi unaweza kaka yani ngoma zakoko zote ziko juu ila wanaonekana haooo wenye nyimbo za kipuuzi 💪💪💪💪💪komaa jembe hawakuwezi

    • @frankoeliya7388
      @frankoeliya7388 Год назад

      Chombo chakwelii

    • @FlorahSelemani
      @FlorahSelemani 2 месяца назад

  • @princereagan1445
    @princereagan1445 7 месяцев назад +3

    Baba you are the true voice to the citizens of African, not only Tanzania. Much love brother ❤

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 5 лет назад +35

    True Boy 699 Huu ndo muziki wa Kiume unaokutofautisha na wengine, Big Up Nay True man

  • @henrymabula2537
    @henrymabula2537 5 лет назад +515

    mmmmmmm alisema Nyerere kama ume elewa gonga like twende Sawa

  • @gine9011
    @gine9011 5 лет назад +37

    Duh Mimi mgeni kumbe na huku kuna kugongeana like !! Nacheka kihutu na Mimi sitoandika Tena ila #Alisema

  • @user-ld9lz4dn3l
    @user-ld9lz4dn3l 9 месяцев назад +5

    What a great song to listen to. A great inspiration for the African youth to stand up for their rights and keep the government in check.

  • @melody_mike_mavoice
    @melody_mike_mavoice 5 лет назад +31

    Am from KENYA BUT AM IN LOVE WITH NAYS SONG ITS EMOTIONS IS SUCH A UNIQUE ONE I SALUTE THIS IT TALKS ABOUT THE REAL LIFE ..Nay good job

  • @lewiswanyama2596
    @lewiswanyama2596 5 лет назад +68

    Daaaaah, nani kasikirza Mara ya pili Mara tatu kama mimi
    Yaani nmeielewa zaidi big up brother

  • @hatibuhaule4699
    @hatibuhaule4699 5 лет назад +20

    Ney hatari sanaaaaaaaa kweli ndio yule tunaye kujua

  • @kenzyken01
    @kenzyken01 2 года назад +9

    Ujumbe halisi💯....
    Wimbo mwema...
    Nay mziki bora.....

  • @ronaldo3359
    @ronaldo3359 Год назад +1

    Msinielewe vibaya jamani. Jamii nzima ya Afrika ya Mashariki ipo siku tutakumbuka palikuwa na mwanaharakati aliyeitwa Nay Wa Mitego. Hatumshabikii sasa lakini akishaondoka ndo tutaanza kumposti kila mahali. Mungu akulinde Nay, mob Love from KENYA.

  • @samueltv1
    @samueltv1 5 лет назад +49

    Hii ngoma imeBALANCE kinoma noma.. umesimama pande zote mbili.. Big thumbs up 👍👍👍 Mr Nay

  • @harunfamily3278
    @harunfamily3278 5 лет назад +22

    ngoma kali sana, umesimama katikati kusema ukwel (alisema nyerere)🔥kama umeikubar ngoma hii ngoga like twende sawa,,,,,thumbs up👍

  • @amoskamau1184
    @amoskamau1184 5 лет назад +2

    Wakenya pitieni hapa... Africa mashariki tuna njaa ya uongozi mwema, maendeleo yasiyo umiza wananchi

  • @danielysaruni5686
    @danielysaruni5686 2 года назад +2

    Tanzania wanamziki kama huyu ni wachache sana hata hawazidi watatu GOD BLESS US

  • @paulfarijalah1726
    @paulfarijalah1726 5 лет назад +56

    Iko sawa Hii ngoma kama ungekuwa unatoa ngoma kama hizi ingekuwa poa

  • @jengamzugaofficial6289
    @jengamzugaofficial6289 5 лет назад +104

    Kwa hapa sisemi tena aisee,mungu ndo anajua lawama zote kwa John

  • @elbursewoi2902
    @elbursewoi2902 2 года назад +14

    A revolutionary kind of a song , listening it non_stop as my country Kenya is nearing its election period.🇰🇪
    Thanks Ney for this piece
    _2021

  • @johnbruno1043
    @johnbruno1043 5 лет назад +116

    Umoja wa kusoma koment Tanzania,kukota,kama nawe upo gonga like yako hapa

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 5 лет назад +35

    Kama unamkubali #NAY THE THE TRUE BOY BC gonga like ya nguvuuuuu.

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 5 лет назад +61

    Kama nawew hujaona comment inayosema ngoma hii mbaya gonga like

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 2 года назад +2

    I really appreciate Mr true boy this song is a lasting tz and African as a all

  • @tonybosei4897
    @tonybosei4897 5 лет назад +18

    I love his song. I don't know what it means but it's a great jam

  • @baddestsmartdaddy8966
    @baddestsmartdaddy8966 5 лет назад +23

    The first one to watch this kama uko na mr nay weka like yako hapa twende nalo

  • @benjatech91
    @benjatech91 5 лет назад +34

    Naamini nay amekuja kivingine Sana basi kama unapenda mpee like ka haupendi pita tu...

  • @giftneymar4453
    @giftneymar4453 5 лет назад +2

    Ney hapa nakupa bigup mkubwa wimbo nimeuelewa sanaaa yan
    Kama umeuelewa wimbo like tujuane

  • @tzafricatv6562
    @tzafricatv6562 5 лет назад +1

    Tisha Sana mpe neno muafrica ney umeionaje mwanangu hii ngoma? Like apo

  • @Gmafic
    @Gmafic 5 лет назад +148

    Nay wamitego hebu fanya Remix na ROMA itakua kubwa zaidi ya hapa aisee.. Kama una support ifanywe rmx like hapa Nay atapita kuisoma hii na kufanyia kazi.

  • @christophmbilinyi7159
    @christophmbilinyi7159 5 лет назад +12

    mungu akupe nguvu coz umebaki wewe tu mtetezi wetu kama unaniunga mkono gonga like mbaka imfikie Mr ney

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 лет назад

    Ney wa Mitego kweli wewe Ni mbunifu, huyu wimbo umeupangilia kikamilifu, hongera sana Ney, upo vema.

  • @franktoneskorosov.4217
    @franktoneskorosov.4217 2 года назад +4

    For sure this song makes me crazy when am listening to it...but it focus on our daily life business..keep it up my nay wa mitego..

  • @abeidmdoejr8198
    @abeidmdoejr8198 5 лет назад +15

    Mwanañgu kaa kimya...., Nimekuelewa Mr ney

  • @ramadhaninyamranga5002
    @ramadhaninyamranga5002 5 лет назад +46

    Daah huu wimbo umenigusa sana, choz kwa Aqwelina..

  • @onechristoneheaven7372
    @onechristoneheaven7372 5 лет назад +2

    Br music is the mission good preaching n massage sent unafaaaah uuuh wimbo unamoto

  • @zakayoolekampuni8095
    @zakayoolekampuni8095 8 месяцев назад

    Hats ukifa leo @ney wa mitego, dunia tayar imepokea ulichowaambia pia ni funzo ❤❤❤❤

  • @mlewaisavile9793
    @mlewaisavile9793 5 лет назад +23

    kweli ww ni true boy.hii ngoma kali sana, kweli lawama zote kwa john

  • @swahibuamani1763
    @swahibuamani1763 5 лет назад +16

    Vijana wamepewa madaraka wanatukana wazee,, like kama umeikubali

  • @milemo604
    @milemo604 5 лет назад +14

    Wasani wengine wajifunzekutoka kwako mana mapenzi wanayo yahimba hayanaga mjuwaji na hayanaga mwisho wala mapya nimda wakuhamka
    From congo

  • @rosemulumbilwa1296
    @rosemulumbilwa1296 4 года назад +6

    Walio kopeshwa pesa naho wote kwa John congratulations my president magufuli 👏👏

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 5 лет назад +42

    Nampendaga sana ney cz haongeagi uongo kama umeelewa alisema nyerere like apo

    • @deusdeo3447
      @deusdeo3447 5 лет назад

      Nkbl San nay

    • @fadhilisalmu723
      @fadhilisalmu723 5 лет назад

      Sjawahi shiriki siasa hata Mara moja lakin huu wimbo ni mzur

    • @metrobert8604
      @metrobert8604 5 лет назад

      Day! Poa Poa

    • @daudidenisi5392
      @daudidenisi5392 5 лет назад

      Hatare blood Ney ludi tena Hombolo ukiamshe tuanze mchakamchaka

  • @samueltv1
    @samueltv1 5 лет назад +34

    Kaka yangu kabadirika kabisa .. akuna mwegine kama Mungu
    Gonga like apa kama una mkumbali jesu and god

  • @Newtonsville2
    @Newtonsville2 2 года назад +4

    Good music man!! Good message, listening from 254🇰🇪🇰🇪

  • @hillarycheruyot3905
    @hillarycheruyot3905 Год назад +1

    I do listen to Nay songs every morning.

  • @mohamedarbabu2007
    @mohamedarbabu2007 5 лет назад +41

    Akizingua tuna mchana 😀😀😀oya gong like apa mzee

  • @fakihmohd8506
    @fakihmohd8506 5 лет назад +86

    MTU una dislike nyimbo hii kama unamaisha mazuri kumbe kama mm tu.....hemu tujuane tuloambiwa mchakamchaka na nyerere #ALISEMA

  • @dominamtey1525
    @dominamtey1525 5 лет назад +1

    Ngoma Hatariii imebalance koteeeeee Hongera my brother Nay keep it up 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @godwinmuze3937
    @godwinmuze3937 5 лет назад +1

    Salute braza! hizo ndizo ngoma, NGOMA KALI SANA _ GOD BE WITH U!!!!!!!

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 5 лет назад +12

    Sasa nimeanza kukuelewa,,,, hakika ni nyimbo nzur ya kuhamasisha vijana na kaz,,,, big up

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 5 лет назад +4

    woyoooooooo kumekucha nay umeuwa nyimbo kali balaaa umetisha mzee baba

  • @tamusanaamerra358
    @tamusanaamerra358 5 лет назад +2

    Hii ngoma inatuhusu sana hapa 254..hongera kwa ujumbee huu Nay👏👏👏👏👏

  • @ZachariaKoroso
    @ZachariaKoroso 9 месяцев назад +1

    Spread that message also in kenya that is truth if you starnd for the truth you will always starnd alone may God be with you 🎉🎉🎉

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 5 лет назад +3

    Nzri sana ukihisikiliza kwa makin na kutafakari ujumbe uliopo ndani ya ngoma hii Big up Ney💪💪

  • @mtafutajihachoki5937
    @mtafutajihachoki5937 5 лет назад +6

    Daaah Sikutegemea ney wa mtego kama Ungeachia ngoma Qlait

  • @sekamanamathias611
    @sekamanamathias611 4 года назад +1

    Nay amekubalika mpaka Kigali, Rwanda Lines zake zinajulikana ghetto kwa ghetto....nipe like kama unataka Nay aje kupiga shoo Kigali siku moja.

  • @evaristmalago1022
    @evaristmalago1022 5 лет назад +1

    nice work bro bariki that what we want keep it up

  • @eddyantonanton6570
    @eddyantonanton6570 5 лет назад +7

    Mmmmmmh!! #966/ Mr.ney upo vizur San.. Asantee!! Mtaan tumekusikia. BiG APU kwako ..kama umeielewa hii song kama Mimi gonga like yako

  • @lawrencelyallah5090
    @lawrencelyallah5090 5 лет назад +15

    Huwa si comment lakn kwa ngoma hili lazma nioneshe hisia zangu......hongera mkubwa Ney wa mitego

  • @evansokoko8900
    @evansokoko8900 5 лет назад +5

    i realy love this song salute my brother ...God bless you hope to see you inshallah,,,

  • @arap_liwliw
    @arap_liwliw 9 месяцев назад +5

    Great message to all Africans

  • @abuymchina1879
    @abuymchina1879 5 лет назад +10

    Cjawah kukupnga Ney najua huwa hubahatsh kwng mm hii ndio ngoma yng bora yafunga mwaka kutka kwko Ney

  • @mathiaswambua7643
    @mathiaswambua7643 5 лет назад +9

    Mr Nay Hapa Umenena Aiseee Bonge La Ngoma Iko Moto Sana Nimeirudia mara Mia.🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @febbrygryphyth9454
    @febbrygryphyth9454 5 лет назад +1

    254 naweka mhuri. Alichosema Mwalimu Nyerere ndiyo msingi wa maisha. Tusiwe wazambe waafrika. Big up Nay....Umetega mawagazo ya wengi

  • @geofreymazula2663
    @geofreymazula2663 5 лет назад +9

    Daah hii ngoma nmeifungulia apa naona baba mwenye nyumba kanisamehe kodi ya nyumba ya nwezi huu.....bonge moja la ngoma ....umetisha br..🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zenjonlinetv4953
    @zenjonlinetv4953 5 лет назад +54

    Mr nay haukoseagi baba #966 kama unaikubalia song hii #ALISEMA GONGA LIKE HUKU UME PLAY

  • @dayanamushi7956
    @dayanamushi7956 5 лет назад +169

    Kama umeangalia hii video zaidi ya mala 10 gonga like hapa 🔥🔥🔥

  • @fellofeiboy454
    @fellofeiboy454 5 лет назад +2

    Alisema ni ngoma kali from my favorite artist Mr nay (wamazese)....nataka kuifanya national anthem 254

  • @Adips12128
    @Adips12128 3 года назад

    Broz Nay hapa unasema mungu yupo ... that's the way to go msanii

  • @senetormps2361
    @senetormps2361 5 лет назад +9

    Hii nimeikubalii umenena point kama zoteeee gonga like twende sawaaa

    • @jacobmpiti6756
      @jacobmpiti6756 5 лет назад

      Hata akisema wao ni wao sisemi nikatumiwa watu wasio julikana

  • @King_Shark360
    @King_Shark360 5 лет назад +124

    huyu ndooo nay tunae mjua sio wa amsha popo kama ngoma ni kali gonga like

  • @colymashe
    @colymashe 11 месяцев назад

    Mapenda io bidii vijana at a Kenya wafaa kuchangamka azn kucheza kiwao,,,salute tu rais Wa kitaa

  • @jimmymarwamatjr491
    @jimmymarwamatjr491 5 лет назад

    Good song Mr Ney... umewaambia ukweli waduwanzi. Ujumbe umewafikia... walivyo masakala watataka kuifungia hata hii

  • @vivapac1232
    @vivapac1232 5 лет назад +33

    Real hip hop
    Real history
    Respect broo nay wa mitego

  • @emmanuelmasunga2716
    @emmanuelmasunga2716 5 лет назад +7

    #966 ngoma imekaa, kumbe huwa unajtambua mzee.. Nakukbali knyaaaamaa..👏👏👏👏

  • @danielmakubo8229
    @danielmakubo8229 5 лет назад

    safi sana mesej nzuri kweli sio kama wale wabana pua vichwa vyao vimejaa mashairi ya mapenzi tuuuuuuuu hawana wanachoweza kuimba zaidi ya mapenzi

  • @husseinsaaady9425
    @husseinsaaady9425 5 лет назад

    Daaaah Mzee mwenzangu umetisha sana real hip hop good song nakuombea mungu aku bless na akulinde usijekamatwa tena mkee

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 5 лет назад +49

    ** Kuwa mpinzania sio kupinga kila kitu lengo ni moja kuijenga nchi yetu daah hapa bro umeimba la maana**

  • @dee7643
    @dee7643 5 лет назад +106

    Like hapa nyingi kama umemuelewa kama Mimi

  • @annsony7935
    @annsony7935 5 лет назад

    Daaaaah!!!! Hadi mwili wote ukasisimkaa.. nay hili bonge la track so educative

  • @sheikhnambilili4269
    @sheikhnambilili4269 4 года назад +28

    wangap tunaiyangaliy alisema gong like 💪👍🔥🔥tujuan 2019

  • @ntawurusigajaphet5335
    @ntawurusigajaphet5335 5 лет назад +40

    Kutoka +257, Burundi Ney wa Mitego umetishaa
    Kama na wewe umeipenda gonga like basi!

  • @wasajo
    @wasajo 5 лет назад +25

    Ney leo umeimba kiutu uzima 100%

  • @omaryjuma960
    @omaryjuma960 5 лет назад

    Ngoma Kali saana the true boy on the building hiii umenikamataaaa

  • @frenkphillemon9044
    @frenkphillemon9044 5 лет назад

    uwwiiiiiiii we ney wewe!!!! ngoma kali kama pilipili imekamata sana hongera ney

  • @johnjackson5660
    @johnjackson5660 5 лет назад +11

    Kwa Mara Nyingine
    umerudi vizuri 😍😍😘😘
    kama umeielewa Hii Ngoma like twende sawa

  • @twahajsalim5975
    @twahajsalim5975 5 лет назад +13

    my best hip-hop songs this year Alisema na parapanda

  • @salharashed
    @salharashed Год назад +1

    Yani nay wewe jmn hasijui niseme nini jmn nyimbo zako uwa Zina nitoa machozi ila allah akulinde kwa kuitete Tanzania na afrika nzima naju meseji inawafikia wausika mwenye mungu akunusuru na mabaya yanayo kukumba

  • @thekingteco6420
    @thekingteco6420 5 лет назад +7

    mama ananikubucha watoto bado wana suma kakimia usije ukakamatu tena. sawa mama iy ni ya muisho nawapa siongei tena . kama unakubari ney biga like

    • @amosjulius1523
      @amosjulius1523 5 лет назад

      issa mbaluco mbaluco wewe ni mtanzania?

    • @godfreywebiro4058
      @godfreywebiro4058 5 лет назад

      Dume biga balike kama boteee....hahaha huyu siyo wa nchii hii, burundi mojaa

  • @japharimandalafamily6868
    @japharimandalafamily6868 5 лет назад +23

    Br br br br br amini kituulichokiachia nipendwa gonga like Kama umeielewa hi ngoma

  • @philipmakau2003
    @philipmakau2003 2 года назад +9

    This guy ney is a bundle of talent

  • @muyahamadimgazaa3194
    @muyahamadimgazaa3194 2 года назад +1

    I love this song from South Africa nakubalii ney

  • @kalejiseiph7540
    @kalejiseiph7540 5 лет назад +5

    100% no weakness on this song. nakupa hongera zote