Mpaka Home: Nay Wa Mitego Aibukiwa Studio Usiku Mnene, Icheki Studio Yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 июн 2017
  • Emaanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', ni msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye mashabiki lukuki, staili yake ya kuimba mashairi makali imempatia umaarufu mkubwa. Mpaka Home ya Global TV Online, imemtilia maguu mpaka studio kwake, Free Nation, Sinza jijini Dar es Salaam.
    Kwa kawaida Mpaka Home hufanyika nyumbani lakini kutokana na kumkosa nyumbani kwa muda mrefu, Mpaka Home iliamua kumuibukia Nay wa Mitego usiku wa manane na kumkuta ofisini kwake iliyoko Sinza Jijini Dar.
    Jambo ambalo watu wengi hawalijui, ni kwamba kumbe jamaa amewekeza vya kutosha ambapo amekodi nyumba nzima maeneo ya Sinza ambapo ndani yake, kuna ofisi yake na pia kuna studio ambayo imetoa ajira kwa vijana kadhaa.
    Katika video hii, Nay wa Mitego anafunguka mambo mengi, ikiwa ni pamoja na ishu ya prodyuza wake, Mr Tee kumkimbia ambapo sasa anaye prodyuza mwingine, Osam.
    Msikilize mwenyewe...
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 391

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 6 лет назад +4

    Nay wa mitego.....nampenda sana anatulia kwenye interview.....

  • @dullasabuni7189
    @dullasabuni7189 Месяц назад

    Nipo muheza big up ney wamitego/ipo siku nikishika mkwanja tutafanya ngoma pamoja songesha mwana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 года назад +2

    huyu mtangazaji poa sana dah nimemenda...ana interview skills and very unique thats so brilliant of you sir!!

  • @jemalulenga1512
    @jemalulenga1512 6 лет назад +15

    wa Tanzania acheni roho mbaya, huyo mtangazaj yupo vizur tu, lakn mlivyo na roho mbaya mna mnanga, sio vizuri, Bryton Fanya kazi achana na maneno ya watu

  • @anicetasevarist3506
    @anicetasevarist3506 7 лет назад +6

    good bongo fleva naona sasa inaanza kupiga hatua wasanii wengine waige mfono wa kuinvest namna hii pia inatoa ajira kwa wengine kama alivyofanya ney. kiukweli n hatua kubwa tuache majungu mnaoponda tuwe tunasapport vitu kama hiv n vzr sana n zamu sasa bongo movie waige na comedian. sanaa inalipa

  • @josephduniamulumba5357
    @josephduniamulumba5357 4 года назад +2

    Na kukubali kabisa Nay, kuheshimisha inchi na sanaa, your loved one all the way from Congo🇨🇩

  • @erooemmanuel5955
    @erooemmanuel5955 4 года назад +1

    Baba cartyz lodwar Kenya inakupokea vizuri sana

  • @Jadcashier
    @Jadcashier 7 лет назад +1

    nakupongeza sana mtangazaji maana uko makini na kazi yako afu unamoyo sana big up

  • @timotheolupembe7473
    @timotheolupembe7473 6 лет назад +11

    Kimsingi manager yupo sahihi kabisa,,,,,Nazani mtangazaji hana Ethics za Utangazaji na Uandishi kwa ujumla,,,,flow ya utangazaji mbovu kiukweli

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 7 лет назад +9

    mshamba Sana Huyo

  • @peterlubida3952
    @peterlubida3952 6 лет назад +2

    Ney true boy ...tribal salute

  • @jamesmelau5831
    @jamesmelau5831 7 лет назад

    poa endelea hivo hivo mr ney hongera

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 4 года назад

    Sema mzee umejipanga studio ya kinyamwez sana kumbe una watu weng unaowasapoti big up sana broo mtu mbaya kwenye show watu wanaumizana kaz kaz💪💪💪

  • @josephmgellah6939
    @josephmgellah6939 5 лет назад

    Napenda sana mnachofanya coz mnajua big up osam & free nation

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 2 года назад

    Nakukubali Ney kazi zako nazipenda sana

  • @allyhassanjugumi2748
    @allyhassanjugumi2748 2 года назад

    Saf sana kaka nakubal kaz zako

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад +9

    mwanaume kuremba sauti kilamara aaaah haileti picha nzuri

  • @kidonchoboy6503
    @kidonchoboy6503 4 года назад

    Nakukubali Sana brother ney wa mitego

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 6 лет назад +2

    Keep going 🙏🤩🤩

  • @richardburengengwa6998
    @richardburengengwa6998 3 года назад

    Ney big up sana mweshimiwa

  • @elilayageho3305
    @elilayageho3305 6 лет назад +1

    amazing true boy

  • @norbetimdonyanorbetimdonya3997
    @norbetimdonyanorbetimdonya3997 3 года назад

    Nice boy nakukubl sn ney

  • @masujmkwaya4917
    @masujmkwaya4917 6 лет назад +4

    Yan mwanangu kati ya mashabiki wanao kukuba sana wa kwanza mimi, bgup mwaangu.

  • @Dizoomussc
    @Dizoomussc Месяц назад

    saf sana

  • @hurumakidaga9076
    @hurumakidaga9076 5 лет назад

    utangazaji kazi Jamn Stak niwe bora Niuze maandazi

  • @Martin-bv6dr
    @Martin-bv6dr 3 года назад

    Luck of professional

  • @leonardmadinda1439
    @leonardmadinda1439 6 лет назад

    penda xan my bro #nay wa mitego

  • @masoudrashid6180
    @masoudrashid6180 5 лет назад

    Nimeipenda sana dogo mtangazaji upo vizur

  • @esthjohn545
    @esthjohn545 6 лет назад

    Nakubali sana nazi za True Boy.obrigado

  • @gilee2353
    @gilee2353 6 лет назад +13

    kumbe ney msitaalabu hivyo ongeleni sana

  • @dizomnyama4406
    @dizomnyama4406 4 года назад

    Ney nakukubali sana unajua mzk nataka kuja hapo studio

  • @nicholausmwalugi5026
    @nicholausmwalugi5026 5 лет назад

    Ney KIONGOZI Hongera sana.

  • @neemamussa7866
    @neemamussa7866 5 лет назад

    napenda sana pale aliposhilikiana na Best Nasso kwenye wimbo wa Herena, unaimba vizuri

  • @LemontheNeutral
    @LemontheNeutral 7 лет назад +1

    studio Kali nzuri

  • @user-ui5ut6xp3z
    @user-ui5ut6xp3z 6 лет назад

    Napenda sana ney unavyo ongea

  • @barikipeter721
    @barikipeter721 5 лет назад +5

    Big up my brother I have my young brother I want to bring him for you b coz he has dream with music plzz can you train him in order to have college student for music one day

  • @ericamyra1207
    @ericamyra1207 6 лет назад +10

    Hahahhh nmechekaa manager alivotaka kuzima camera kashtuka km kavamiwa #kushtukizwa hakuwai kumuacha MTU salamaaa

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 лет назад

    I luv ur music Nay

  • @deezingomusctz1380
    @deezingomusctz1380 4 года назад

    Duuuuuuuhi nay kwer the true boy nakkbali saaaaaana broooo

  • @halfanijuma5263
    @halfanijuma5263 6 лет назад

    saf sana brother

  • @user-ui5ut6xp3z
    @user-ui5ut6xp3z 6 лет назад

    Vzr sana Mr ney

  • @emmanuelfataki4322
    @emmanuelfataki4322 7 лет назад +1

    nakubali sana ney

  • @johnmzee1443
    @johnmzee1443 Год назад

    Nice

  • @sebastiankulaya2432
    @sebastiankulaya2432 3 года назад

    Sasa uyo manager ana kazi gani

  • @tumainpeter3805
    @tumainpeter3805 4 года назад

    Ndo maana nakupendaga sana Ney

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 года назад

    i like Ney...hez good very good..his demeanor and the way he relates to his subordinates its just awesome..keep up Ney wa mitego all the way from Moshi my brother!

    • @mrishomtegetwa1787
      @mrishomtegetwa1787 3 года назад

      Sioni shida ney kwenye nyimbo yako uko wap mungu watu wapo wanavtu wanafanya vichafu sana kweli wapo wanasagana wanajiuza yan mambo mengi sana duniani yuko pamoja nami aisee

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 года назад

      @@mrishomtegetwa1787 sijakupata tafadhali naomba eleza tena kama hutojali

  • @bitasimwajeannine2095
    @bitasimwajeannine2095 4 года назад

    Huwa na muamini Ney sana

  • @saumumohamed8576
    @saumumohamed8576 6 лет назад

    Hongera sana ney wa mitego

  • @RichardsJob
    @RichardsJob 7 лет назад

    great Mr Nay

  • @pendoernest9444
    @pendoernest9444 5 лет назад

    Mtanfazaji uko vizuri

  • @lilynico8552
    @lilynico8552 7 лет назад +9

    hello nay wa mitego

  • @emmabays9963
    @emmabays9963 7 лет назад

    ndio mana bashite wanakuogopa mzee wa pale kati! hahaha big up bro

  • @davidmihambo3051
    @davidmihambo3051 7 лет назад +8

    wangekuwa shilawadu ya kina soudy brown na kwisa mzee mkavu huyo manager wala asingeleta ujuaji wa kutaka kuzima kamera , big up jamaa ame improve kwenye utangazaji tofauti na alivyoendaga kumuhoji bambo.

    • @issaissa4709
      @issaissa4709 7 лет назад +1

      david mihambo cbbjcj

    • @nickluhende
      @nickluhende 7 лет назад

      david mihambo shilawadu huwa wanafanya appointment

    • @mwandumbuzi9452
      @mwandumbuzi9452 3 года назад

      so vizur ucku kugonga mlango wa watu

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 5 лет назад

    dah ney peace sana Mzee baba

  • @khadijamlewa1639
    @khadijamlewa1639 6 лет назад

    Poleni daa mnachangamoto

  • @pachikuuufrank4007
    @pachikuuufrank4007 5 лет назад

    Naomba connection na Free nation studio

  • @benitashadsm9460
    @benitashadsm9460 7 лет назад +1

    tuko pamoja @naywa mitego

  • @pendoernest9444
    @pendoernest9444 5 лет назад

    Namkubari kinoma sana Ney wamitego 😘😘

  • @thawabukatosho9324
    @thawabukatosho9324 7 лет назад +7

    bgp sana Mr ney wamitego ukovizuri

  • @izzytvizyybe6016
    @izzytvizyybe6016 4 года назад

    Natamani sana kuwa na studio

  • @kinjekitike
    @kinjekitike 7 лет назад +7

    KUmbe Wana Mic Mioja Jamani

  • @khamisimussa1423
    @khamisimussa1423 7 лет назад +4

    Nay mbona umepotea sana broo

  • @angelyonah2601
    @angelyonah2601 7 лет назад +1

    mtangazaji zirooo kabisaa

  • @fredrickitala3903
    @fredrickitala3903 7 лет назад +8

    jamani muelewe hao huwa wamepanga mkitaka kuamini angalieni ile ya bamboo MTU kagongewa anafungua anafoka na mic ya glo mkononi

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 7 лет назад

      Fredrick Itala mm pia naona hivyo huwa wapepanga watskuja usiku!kukaripiana ni kujifanya tu hawa!

    • @jamalisaydun4829
      @jamalisaydun4829 3 года назад

      Kweri atamimi niiliona ilo upo makini sana

  • @rabsonjohn2620
    @rabsonjohn2620 4 года назад

    Saf sana mzee baba

  • @christinahaule9726
    @christinahaule9726 7 лет назад

    safi

  • @christabella5736
    @christabella5736 5 лет назад +1

    Noma sannnn

  • @bravonize2094
    @bravonize2094 3 года назад

    Top

  • @elishaapendekigeorge8580
    @elishaapendekigeorge8580 6 лет назад

    Mr nay de great

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 лет назад +21

    😂😂😂😝😝ucku huo vipee wapi Calvin shayo bn anatangaza poa nawe true boya ucku wote ujalala😝😝

    • @mondnumz7746
      @mondnumz7746 7 лет назад +1

      ahahahahhah

    • @mamafranjovlog72
      @mamafranjovlog72 7 лет назад

      ummy Issa 😂😂😂😂😂😂😂but kipindi kizuri sana dear . karibuni kwenye chanel yangu pia kucheki maisha ya mtanzania ujerumani 😍

    • @dizzobusiness4241
      @dizzobusiness4241 7 лет назад

      ummy Issa ummi acha mbwembwe

    • @Pius-ro7dy
      @Pius-ro7dy 7 лет назад +1

      Poa mitego

    • @peacebrowntz3949
      @peacebrowntz3949 5 лет назад

      ummy Issa 😀

  • @shadrackemanuel1464
    @shadrackemanuel1464 4 года назад

    Kaz Kaz

  • @ibraibrahim7184
    @ibraibrahim7184 5 лет назад +1

    nimeipenda😂😂😂😂

  • @ezekieltz5298
    @ezekieltz5298 7 лет назад

    nakukuba bro

  • @suleimaniamours1067
    @suleimaniamours1067 6 лет назад

    SHUKRANI BROTHER

  • @edwinstambuly9104
    @edwinstambuly9104 7 лет назад

    mtangazaji chenga sanaa ufai toka

  • @famally7138
    @famally7138 7 лет назад

    hv vyote vimepangwaa nyambafuu hakuna cha kustukizaa hapa

  • @jnaymichael5758
    @jnaymichael5758 3 года назад

    Live blood

  • @elihurumalaizer3888
    @elihurumalaizer3888 6 лет назад

    yaaah mtangazi amebaka fani hafai kutangaza anakigugumizi mmno bwana

  • @colemanandrew9062
    @colemanandrew9062 6 лет назад

    Mkidharau ushaur haitakuwa sawa mtangazaji hajui kuhoji wala hana kipaji cha utangazaji

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 7 лет назад

    kuowaa hilo swal mtangazaji analipatiaaaa saanaaaaa

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 2 года назад +1

    Hili likaka halijui kuhoj kaz bdo haijui

  • @mudykg3854
    @mudykg3854 7 лет назад

    mmetixhaaaa

  • @raydwachekemwanamziki2959
    @raydwachekemwanamziki2959 4 года назад

    VP broo unaweza kunisaidia kupata no ya ney wamitego

  • @exsavermateus2670
    @exsavermateus2670 4 года назад

    Aujui kutangaza wala kipaji auna brow

  • @homebujastudio4136
    @homebujastudio4136 4 года назад

    Nzur kabis

  • @MjahidyMjahidini
    @MjahidyMjahidini Месяц назад

  • @goodluckjulius1139
    @goodluckjulius1139 4 года назад

    Nakubal boy N

  • @aishajuma4143
    @aishajuma4143 5 лет назад

    Waoooooo

  • @cosmassmakere7643
    @cosmassmakere7643 4 года назад

    Mtangazaji mshamba kinyama

  • @patrickraymond3424
    @patrickraymond3424 4 года назад

    Sana baba 966#

  • @Martin-bv6dr
    @Martin-bv6dr 3 года назад

    Huyo mwandishi hajui taratibu kabisaa

  • @youngbtz6371
    @youngbtz6371 6 лет назад +3

    Ofisi yamtu lazi
    Ma ieshimiwe

  • @barikichichimu3502
    @barikichichimu3502 6 лет назад

    Ney nakuelewa sana.

  • @jokhamabruk139
    @jokhamabruk139 4 года назад +1

    Manager kashushuka😂😂😂😂😂

  • @robsondeus4684
    @robsondeus4684 6 лет назад +1

    big up true boy,,saaana kaka

  • @edisonkiwovele1014
    @edisonkiwovele1014 4 года назад

    Usengeee

  • @meditationrelaxing6209
    @meditationrelaxing6209 4 года назад

    pongezi NEY napenda wapenda kuongea ukweli kwa mziki wako wacha watu walaumu ila ati the end of the day you produce hits

  • @abdulsalo2376
    @abdulsalo2376 4 года назад +2

    Hiyo wamepanga tu ila siukweli interview yakutungwa tu kwawanao fahamu

  • @iddymamba2839
    @iddymamba2839 4 года назад

    salud. xana

  • @innocentkimata7274
    @innocentkimata7274 6 лет назад

    Mtangazaji ana mawenge kinoma