MTIFUANO MKALI BUNGENI, MAWAZIRI MWIGULU NA NAPE WAZINYUKA NA WABUNGE/MIKOPO YA KAUSHA DAMU YATIKISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 68

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 29 дней назад +1

    Madam Speaker yuko vzr sana...uelewa wake ni mkubwa sana...Big up kwake!

  • @francismwakalebela9935
    @francismwakalebela9935 Месяц назад +4

    Aaaah Mwigulu hamnakitu kabisa

  • @user-em6zg9mv6i
    @user-em6zg9mv6i Месяц назад +2

    Mwiguli anashindwa hata na wanawake😂😂😂

  • @BenjaminKabebo
    @BenjaminKabebo Месяц назад +2

    Ukweli ni kwamba maisha mtaani hali ni ngumu mnoo
    Tafuta namna ya kutumia kitu kuwasadia wananchi

  • @barakapaschal2530
    @barakapaschal2530 Месяц назад +1

    Mwigulu mmmhh! Speaker 👏👏👏👏👏👏🤝,,, but mjadili kwa nn wananchi wakope?

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 Месяц назад +3

    Haya mambo yalishaongelewa Sana na serikali utekelezaji hamna

  • @kingarushamsi-gi6yr
    @kingarushamsi-gi6yr Месяц назад +1

    Watu wamefungua ofisi za kupopesha na wanalipa kodi za serikali tunamuomba waziri afanye uchunguzi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Месяц назад +2

    Bunge la mazuzu,mbona mafuta na gesi kupanda bei hamuongelei

  • @katagiramandanda3452
    @katagiramandanda3452 Месяц назад +1

    Spika 👏👏🙏🏾

  • @danielmucheza6095
    @danielmucheza6095 Месяц назад +1

    Hakunajipya

  • @shedrackbujiji833
    @shedrackbujiji833 22 дня назад

    Be up speaker muelewa waziri wa fedha fanya uchunguzi maneno yako hapo

  • @MathiasJanson-sn9kq
    @MathiasJanson-sn9kq Месяц назад +1

    Kumbe waziri hajui kama kuna mwongozo wa mikopo.

  • @susujeremiah195
    @susujeremiah195 20 дней назад

    Mmm hata sielewi

  • @user-qx4pc3rx8g
    @user-qx4pc3rx8g Месяц назад +1

    Safi sana tuli haksoni

  • @cHin91O
    @cHin91O Месяц назад

    upotoshaji Mungu wangu

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 20 дней назад

    M pesa naweza kopa usiku wa manage kupitia simu yangu bila mashariti magumu selikali haiwezi tlkutokopesha kwa urahisi namna hiyo mmeona wivu tu washenzi nyinyi

  • @WillsonDundo
    @WillsonDundo Месяц назад

    Kazi iendelee

  • @richzebest2029
    @richzebest2029 Месяц назад +2

    Uchaguzi umekaribia,wabunge wetu wanatutetea kwa uchungu 😢

    • @KenedyMwaipaja
      @KenedyMwaipaja 25 дней назад

      et wabunge wetu wanatutetea Kwa uchunguu😂😮😅😊

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 Месяц назад

    DAKTARI TULIA 👏👏👏

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o Месяц назад

    Asante Sana sipika kwa maswali wako kwa waziri

  • @WillsonDundo
    @WillsonDundo Месяц назад

    Moto chini moto juu

  • @princhiuskalogosho1804
    @princhiuskalogosho1804 Месяц назад

    Kaisha damu IPO Sana through microfinance online

  • @AboubakarIbrahim-pi6xx
    @AboubakarIbrahim-pi6xx Месяц назад

    Tv

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 Месяц назад +1

    Bila shaka Waziri wa Fedha (Mwigulu)na Waziri wa Habari na Mawasiliano (Nape), wanajua fika uwepo wa mikopo kausha damu kupitia simu na ni wafaidika wa hii mikopo. Haiingi akilini watoe majibu ya kuitetea kwa kumung'unya maneno.

  • @ashiimohmedi6051
    @ashiimohmedi6051 Месяц назад

    Yaan wew mwnamke wewe bs tu! yaan unatoa points muhmu sana" tulia wew ni super woman

  • @user-qx4pc3rx8g
    @user-qx4pc3rx8g Месяц назад +2

    Huyu nape anaweza nini

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 Месяц назад +1

    Mbona zipo nyingi

  • @victorphilipo
    @victorphilipo Месяц назад +1

    Majibu ya nape hayana maaana shida wakopaji wanafanya hivyo kwa shida haraka kiutaratibu nimzunguko

  • @aliaminmbeo9998
    @aliaminmbeo9998 Месяц назад

    Banks should bridge the gape in order to attract potential customers to access loans from banks instead of going to Kausha damu. Otherwise people will go on to Kausha damu if and only if banks must regulate terms and conditions in order to attract this big group of potential customers.

  • @henrymmbando5930
    @henrymmbando5930 Месяц назад

    Wabunge wangekuwa wasikivu na kuacha usumbufu wa kupigac makofi hovyo na kufanya tusielewe mjadala. Please.

  • @aureusngonyani4299
    @aureusngonyani4299 Месяц назад

    🎉

  • @KenedyMwaipaja
    @KenedyMwaipaja 25 дней назад

    Alafu mwigulu aliutaka urais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania?! Mavi kabisa

  • @saidlimbagile6803
    @saidlimbagile6803 Месяц назад

    Hivi vitaasisi huku mtaani ni hatari sana,WA mama wanakimbia familia zao kwaajili kudaiwa

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 Месяц назад +1

    Biashara ya nyamuna

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Месяц назад

    Ila Watu wanaumia sana Mtaani sio Kitoto

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Месяц назад

    Kwa nn akakope lak moja alafu ndani ya siku 2 alipe 150000 hapo wa kulaumiwa ni. Nan?

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 Месяц назад +1

    1. Mikopo kausha damu inatolewa na taasisi zenye usajili na leseni za BOT.
    2.Serikali iende mbele kuangalia nini kinasukuma mtu kuchukua mkopo wenye riba kubwa.

    • @allyfarahani3029
      @allyfarahani3029 Месяц назад

      Mtu anakopa kutokana Na uhitaji, pia sehem penye uhakika wakuupata.. bila kujali riba

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Месяц назад

    Kwa nn serikali isiwe inakopesha ili wananchi wasiwe wanakopa hiyo mikopo?

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 29 дней назад

    Ila kiukweli Mwiguli uelewa wake ni mgumu sana, Spika anamuuliza je Benki kuu linamwongozo kuhusu riba?!! Haelewi anababaisha tu, mara hakuna mwongozo, mara hairuhusiwi kujiwekea riba...daah...!!

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 Месяц назад

    Are you managed them as concerning minister

  • @sittatungu5340
    @sittatungu5340 Месяц назад

    Mabenki ambayo ndiyo yenye leseni yanakopesha kwa masharti magumu sana hivyo wengi hatuyawezi na ndiyo maana tunaishia kwa kausha damu. Mikopo ya kwenye simu pia in kausha damu.

  • @show528
    @show528 Месяц назад

    Riba zao ni kubwa sana

  • @lydiakamwaga8065
    @lydiakamwaga8065 Месяц назад

    Mhe. Spika uko vereeee

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Hata mabenki nayo kausha damu watu wanalipwa made ni Bado nanyumba za watu zinauzwa

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz Месяц назад

    Wazir wa fedha haujajibu swali kausha damu wana ofisi kabisa wanakopesha na riba kali na wanamaofis jaribu kufatilia kwa kina mtaani

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Hakuna mnyukano wowote kwasababu mwisho wasiku naunga mkono hoja

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 Месяц назад

    Nashindwa kuelewa yani kwani unalazimishwa kukopa😂😂😂😂😂 kaenda yeye mwenyewe hela kapewa kaenda kulewa sasa unadhani pesa watarudisha vp hata benk zinafanya hivyo

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Месяц назад

    Wapigaji

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 Месяц назад

    Mhe,Sipika uko vizuri..

  • @petermbota8920
    @petermbota8920 Месяц назад

    Yote yote Mtaani na kwenyesm

  • @user-nz4dh1ed1j
    @user-nz4dh1ed1j Месяц назад

    Kuna toto limezaliwa ,alijui shida,mzazi kama ada analipa mwaka,linakula mihogo ,chapati na maharage,kifupi ajaona hata mtu au familia zinaangaika,majibu yake ni rahisi,kwanini unakopo?Kwa Nini mtu ashindwe?.sio yeye aelewi,uyo ndo apelekwe kua msimamizi,bila kujua laana zinamzunguka wengi watu atawaua bila kufahamu

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 Месяц назад

    Mnachukuwa muda mwingi sana kujadili suala dogo. Hebu jadilini mambo yenye tija na taifa. Mnatumia kodi za wananchi hivyo.

  • @user-nz4dh1ed1j
    @user-nz4dh1ed1j Месяц назад

    Serikali yetu ni sikivu,saidia watu,kuwepo na sehemu ya malalamiko na ushauri ,mtu atajieleza atapewa ushauri ,kuliko kufa mzigo unabaki Kwa serikali,watoto watakua awana mzazi,awataeleweka ,bajeti ya dawa inakua kubwa pressure bila sababu

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 Месяц назад

    Hivi wewe mwigulu!
    Kigugumizi hauna
    Sasa unapoongea
    Masuala ya kimkakati unakipataga wapi!!!?"
    Mara yyyayayaya
    Mara ttratrata
    Unavitoaga wapiiiii!

  • @LukaNyagenda-pb9eo
    @LukaNyagenda-pb9eo Месяц назад

    Sasa jamani kama mkopo ni kausha damu kwanini mtu anaenda kuchukua wakati anajua kuwa ni kausha damu, kwanini asiache maana hayo ni makubaliano kati ya mtoa mkopo na muhitaji mkopo,(hapo tunafeli)

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 Месяц назад

      Mawaziri vilaza au wananufaika na mikopo hiyo,kikomo Cha riba kilitolewa na bot nyie vp

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 Месяц назад

    TUMIUMIA

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Месяц назад

    Speaker Hongera Umeongea Viziuri sana

  • @user-nz4dh1ed1j
    @user-nz4dh1ed1j Месяц назад

    Wewe ayajakufika,ipo zamu Yako au ndugu zako wa karibu,mtu anakwenda bank Kwa ajili ya biashara,gafla inatokea shida,Kuna wizi,Kuna mtu wa karibu kupata shida na mengine,bank wanakuja juu marejesho,mtu anaamua ajalibu Tena microfinance,ili apate mzunguko,lipa na mambo mengine,anashindwa,nyumba bank wanachukua ,watoto anao 9,mwisho pressure kifo

  • @shabaninassoro339
    @shabaninassoro339 Месяц назад

    Kazi ya Serikali ni Nini Sasa,nani azuie mambo haya

  • @user-em6zg9mv6i
    @user-em6zg9mv6i Месяц назад

    Sasa huyu mwigulu Uwaziri kaupataje

  • @herbertsamuel5324
    @herbertsamuel5324 Месяц назад

    Acheni uongo nyie watu
    Kama mna maslahi na hii mikopo semeni
    Nakopeshwa na Songesha..mimi kama mteja wa Voda..nalipa kwa Riba kwenda kwenye mtandao..