SHABIBY AJILIPUA BUNGENI “MAWAZIRI WAOGA,VIGARI VYA ZIMAMOTO UKIWASHA NYASI HAVIZIMI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Год назад +1

    Wabunge apo wako kimya ndo ujue wabunge wengi wanafki, apo angeongea upuuzi wangemshangilia, ao ndo wabunge tulio wachagua ivi mnafikili wako apo bungeni kwa ajili yetu wako kwa ajili ya maslai yao na chama chao kandamizi

  • @isayaamulike
    @isayaamulike Год назад +8

    MSUKUMA
    KISHIMBA
    SHABIBY
    ❤❤❤

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 Год назад

    Hongera shabib hapo husaidii wizarabtu unasaidia watanzania wote siasa

  • @BakariChapaulinge-jy2vv
    @BakariChapaulinge-jy2vv Год назад +1

    Umeongea ukweli kabisa na umekua mzalendo sana bro mungu akulinde sana mungu akuwekee ulinzi hadi Peponi

  • @JohnGregory-im2ze
    @JohnGregory-im2ze Год назад +3

    Huyu nae n mbunge pendwa wa wananchi tz nzima.

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Год назад +1

    Mungu azidi kukubariki mkuu

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 6 месяцев назад

    Kweli maaskaari tunaishi nao mitaani wana maisha duni sana hasa hawa askari magereza

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Год назад

    Hongera kwa kusema hayo,kikokotoo ni janga

  • @PLAYPROGAMING568K
    @PLAYPROGAMING568K Год назад +2

    Ha 😅😅😅😅 truth always pain mhe shabiby made my day today ❤

  • @nasmamoza6831
    @nasmamoza6831 Год назад +1

    Inshu ya kikokotoo ni shida kuna sgt amestaaf ametumikia jeshi miaka 33 et amelipwa mil 17.hii hatar jmn.

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 Год назад +1

    Wakenya huwa wanasikiliza hoja kama inaenda vizuri huwa wanaongeza dk angalau moja au mbili .. Tanzania Speaker anakuwa kama Time keeper .. kwenye malumbano ya hoja

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 Год назад

      hahahaha...mkuu nimecheka sana hapo kwenye malumbano ya hoja

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 Год назад

    Nimekuelewa Shabiby!.

  • @Worldunite
    @Worldunite Год назад +2

    Tatizo sheria hizo hupangwa mezani na watu ambao wanatumia usafiri binafsi,magari ya ofisini na ndege, hawajui hata bei ya kiingilio cha kuingili stendi

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 Год назад +1

    Wanasindikiza misafara harafu wanaenda kulala kwenye tembe nyumba za tope hapa relini dodoma

  • @MasterRegan
    @MasterRegan Год назад

    Kazungumza point sana, ywende kwa time time hii VTS ni uongo tu

  • @obadiamshana2518
    @obadiamshana2518 Год назад

    Mbunge bora kutoka morogoro

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 Год назад

    Juz moto umetokea vingngut kwrny kiwandaa... na makao makuu ya zima moto yapo mchicha ni umbali kam wa KM1 ad 2.... lakin hakuj kilivhozimwaaa

  • @jseventz
    @jseventz Год назад

    uko vizuri sana mkuu,

  • @mwingwa4148
    @mwingwa4148 Год назад

    Wanyumbani mkaguru mwenzangu

  • @raurentkorosso2014
    @raurentkorosso2014 Год назад +1

    Kikokotoo hakifai kwa watumishi wote kifutwe2

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 Год назад

      Jamaa anaongea point hongera kwake ila kikokotoo sielewei ni nini anaejua anijuze maana yake nini ?

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 Год назад +1

    SHABIBY ANAONGEAGA POINT LAKINI HAWAMUELEWI KWANINI????!

  • @lynucylavezzy3232
    @lynucylavezzy3232 Год назад

    Askari hao hata wasipopew fresh2 kudadeq zao wanatuonea sana madreva

  • @bbc9767
    @bbc9767 Год назад

    Sahihi

  • @peterassenga2428
    @peterassenga2428 Год назад +1

    Mwamba sana Shabiby

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Год назад

    Umesema kweli zimamoto Ingekuwa na magari mpaka wilayani

  • @matombotv1507
    @matombotv1507 Год назад

    Aisee

  • @GloryMasuba-ig7ht
    @GloryMasuba-ig7ht Год назад

    Pamoja mtoto wa nyumbani

  • @nicolasnkembo4997
    @nicolasnkembo4997 Год назад

    Kuhusu gari kusimamishwa abiria hua tuna walaumu polisi kwasababu hua hawatuambii kua kwanini gari imesimamishwa mda merefu
    8:11

  • @shadyalardhi7854
    @shadyalardhi7854 Год назад +1

    Jembe

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Год назад

    Tunaweza kucheka ila hii siku yakitokea tunakumbuka

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад

    Magari zipo V8 za viongozi tu, zima moto hawana mda nazo

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 Год назад

    Yuko sahihi huyu mwamba

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 Год назад

    Hili swala....

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 Год назад

    Wala mishahala bure tu hao