SABABU KUBWA YA NDOA NYINGI KUVUNJIKA ZAZNZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 78

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 года назад

    Shekhee mzurihuyu nampenda sana mungu ambariki sana mtu mzuri huyu

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 6 лет назад +9

    Tumeacha maamrisho ya Allah na sunna za mtume sw .
    Hakuna jengine

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Asante

  • @mapenzimatamu5289
    @mapenzimatamu5289 6 лет назад +1

    Simu hazina shida ila zimedhihirisha ubaya wetu katika nyoyo zetu zilivo

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 6 лет назад +1

    Kweli kabisa sheikh yupo sahihi na naungana mkono na wachangiaji wote, hizi sim zamukono ni lazima ziombewe kama Masai alivyoimba

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад +4

    Tatizo usasa ujuaji mke yuko juu mume yuko juu kila mtu anajifanya bwana wa nyumba maudhi dharau

  • @kitalechapombe6602
    @kitalechapombe6602 5 лет назад

    Kwa wanawake wa pemba na unguja nimesanda,utasikia huyu mtoto wa ami juma,kumbe bwana wake yani ni shida.m/mungu atunusuru kwa hili.

  • @mohamedshaaban3297
    @mohamedshaaban3297 6 лет назад +1

    Tatizo watu wanashindwa kufahamu kwamba ndoa ni taasisi ambayo imewekwa na mungu sio binadamu,,,,, aliyetengeneza kisu hakutengeneza watu wauwane bali ni kumega na kula,,,, tataizo tunaishi katk ndoa kwa maigizo sio wahalisia.

  • @mohammedbakar371
    @mohammedbakar371 6 лет назад

    Walio wengi wanazitumia vibaya simu zao lakini ukizitumia vizuri zinasaidia katika kujenga mahusiano mazuri ya ndoa. La muhimu wenye ndoa tuheshimu ndoa zetu tuache michepuko, tubaki njia kuu.

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 лет назад

    Hii kweli

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 лет назад

    Ndowa zikifunjika tangu zamani na hasa wanaume wengi wa kizanzibari niwapigaji na wasumbuliaji

  • @mtoromtoro3338
    @mtoromtoro3338 6 лет назад +1

    kweli ww kaka umeonge uwaminifu muhim

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 6 лет назад

    Huhuhuhuhhh zantel

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 6 лет назад +1

    Simu nichanzo2 Lkn wanawake hizotabia wanazo mafisadi wakubwa namimi nikikubain tu siwezi ishi nawewe hata hauwezi kunifanyia umalaya nikae nawewe katu

  • @riphatmuhene9615
    @riphatmuhene9615 6 лет назад

    Uyu Dada aloachwa mi namtaka

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      Riphat Muhene mzur sijui utampataje

  • @yoram_5838
    @yoram_5838 6 лет назад +1

    Kibongo Bongo, hakuna mambo hayo.

  • @hajihija5400
    @hajihija5400 6 лет назад +1

    Miyongoni mwa mambo yanayovunjisha ndoa ni kudharauliana khasa mwanaume anapokua na kipato kidogo basi atakoma nyumbani .
    pia kuna baadhi ya wanawake hujisikia wazito sana wa kuomba msamaha pale anapotokea kufanya kitu kilichomuudhi mumewe hujihisi tabu saana kuomba msamaha yukotayari alaaniwe na malaika lakini asiombe msamaha .

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 лет назад +4

    mke wangu alikataa kutumia simu toka nilipo funga ndoa nae mpaka mda huu.

    • @utaani1
      @utaani1 6 лет назад

      Ibrahim Sheban hongera huyo atakuwa anajielewa Ana malezi

    • @عايشهسعيد-ض5ذ
      @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад +1

      Ibrahim Sheban mm simu natumia napia nimejifunza sana mambo mengi ya dini kupitia simu napenda kua na cmu mana mume wangu huwa anapenda nimtumie msg nzuri akiwa mbali na nyumbani inategemea na mtu anavyoitumia simu ni miaka 10 ndani ya ndoa ckuwahi kugombana kisa cmu yangu

    • @wambaamwambaje1272
      @wambaamwambaje1272 6 лет назад +1

      Ibrahim Sheban hongera

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      Binadamu Hachekwi mashalah

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      Mtoto wa dada angu aliachwa sijui kaa alitimiza miezi sim kkkk

  • @mohamedshaaban3297
    @mohamedshaaban3297 5 лет назад

    Tatizo cio sm,,,, Tumesahau Mipaka Tuliyoekewa Na M/Mungu Na Uhuru Wetu Tunahisi Ni Fursa Ya Kufanya Kila Kitu.

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 5 лет назад

    Tatizo wanawake was sasa hivi wanakuwa na CMU na namba za mahawara zao halafu wanaendelea kuwasiliana mpaka ktk ndoa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 лет назад

    Mie aliekuwa mumewangu aliandika namba ya mwanamke wake fundi umeme mmmm

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 6 лет назад

    Wanaume hawana wakati kwa wake zao wala wtt wao

  • @salmaally877
    @salmaally877 6 лет назад

    ukiwawaunajiamini hilo sio tatizo mezidi kuchepuka

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Utaani usiseme ivo c wanawake wote waso Na malezi mm mume wng ninavo muenzi hajawahi pata mke km mm Na anasema Kwa watu kapita kwingi lkn mm aniachi Kwa jinsi ninavo mlea lkn kutulia tu ndo hawezi anatamaa ya ngono ,,,

    • @mariamjuma4589
      @mariamjuma4589 6 лет назад

      علي البوسعيدي hapo shida jmn huyo ndio labda anapwaya uke ukiwa mkubwa mume hawez tulia

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 лет назад

    Ujeuri na uvivu na uchafu

  • @mariamjuma4589
    @mariamjuma4589 6 лет назад

    Jmn hata kama ila wanaume wamezid kupenda ngono

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 6 лет назад +2

    Ndio maana mimi na mke wangu tunatumia radio call

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Wallah wanaume wamezidi Mimi binapsi nilikua nampenda mume wng kutoka moyoni lkn cm iliondoa upendo mm nilikua natumia Nokia ya tochi mwenzangu anatumia wasap unafika Hadi mda WA kulala mwaume anachat Na wanawake WA nje tena najitaidi mume wng kumwita majina ya mahaba km baby lkn nikimaita hivo anakigomba anasema yy c meanangu baby niwaite Watt wng lkn kwenye cm unakuta mwanamke kamsevu baby mwisho wa habari anaiba namba ZA cm kwenye cm Yng Na kutongoza mashoga zng mwanaume anamsifia shoga angu kapendeza nakuta SMS lkn mm wandani hanicfii wala hanitunzi lkn najitaidi mwenyewe kujitunza ILI mume asihadaike lkn wapi kwakweli nimeandika Kwa uchungu japo Ni haramu hutoa Siri lkn inaniuma sn cm yake nishakuta mpaka utupu wake kamtumia mwanamke kwenye cm Na ckusema lolote nimevumilia kwakweli wanaume Ni waharibifu WA ndoa zao nikaamua kukimbia saivi nipo Omani mwaka 3huu Na hajaniacha lkn cmtaki tena nikirudi naenda kudai talaka Kwa kazi ukimuona anajifanya shehe kumbe Malaya tu mfyuuuuuuuuu

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      Naomba sim yako علي البوسعيدي maskin

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      Khalidi Mohamedi wewe anaonesha mpaka picha za uchi marafiki anaiba kwenye sim atongiza panya sasa pana Ndoa apo kkkk afatwe na familia wachukue talaka daaa anauchu wa samaki kwa wanawake muache ajifanyie kazi Oman mungu apate mwenye heri na yeye babu eeee

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 лет назад +1

    KUICHUNGUZA SIMU YA MWENZIO NI KUJITAFUTIA PRESSURE BUREEEEE BORA KILA MTU NA LAKE MUHIMI NI KUAMINIANA TU.

    • @tamussaonlinetv47
      @tamussaonlinetv47 6 лет назад

      Kakaa👏👏👏

    • @zenaal-baalawy3262
      @zenaal-baalawy3262 5 лет назад

      Tatizo linakuja hivi kwamba utawacha kila mtu awe na simu yake utakuwa na uaminifu na mwenzio lakini la ajabu mwenzio simu yake huigusi, na hata humuulizi nani anaempigia, wala huipekui simu yake lakini utakuta simu yako ndio ataichokora na anaepiga anauliza nani, ukiugusa simu yake ugomvi na matusi sasa ikiwa mtu simu yake hataki kuguswa kwanini na mwenziwe yake unaipekua. Kuepusha ugomvi msichukulieni simu kila mtu awe na yake na mkiamua kutizama simu zenu iwe mshaamua ni sawa usiwe ugomvi kwa anaeichukua simu ya mwenziwe, na ikiwa mwenza wako anakuendea kinyume Allah atakubainishia tu. Asilimia kubwa ukiona mwenza mkali kwa simu yake hataki uigise basi ana mambo simu yake anakua yupo cheat on you, anatumiwa picha or video za ufuska, or anazungumza mambo kwenye simu hataki ujue na pia yeye anakua ndio hodari wa kuipekua simu ya mwenziwe yake hataki na akiambiwa na mwenza wake na mie sitaki inakua ugomvi rashid suleiman@

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 6 лет назад

    nazungumzia point muhimu bila kuweka zanzibar wala nchi yeyote, sababu zinazopelekea ndoa kuvunjia ni hizi hapa:
    1.Wanaume kushindwali shughuli kitandani.
    2. Kupwaya kwa nyuchi za wanawake.
    3. Kipato kuwa duni.
    4.Mabadiliko ya Kiabia kwa wanawake.
    5.Na mabadiliko ya kitabia kwa wanaume.

    • @mariamjuma4589
      @mariamjuma4589 6 лет назад

      Hiyo mume kupwaya balaa jmn wanaume wote hawapendi hiyo kitu

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 6 лет назад

      Mariam Juma ni kweli suala la kupwaya limekuwa kero mtu mpaka anajisahau na kudhani yuko bwawani anaogelea. dawa ni hizi hapa:
      1.kwanza aoshee hiyo nyuchi yake kwa mafuta ya miski.
      2.pili afanye hayo mazoezi ya kegel.
      ila mafuta ya miski ndiyo mwisho wa matatizo...

    • @mariamjuma4589
      @mariamjuma4589 6 лет назад

      Annas Suleiman ndio mwenye hilo tatizo afanye jamani na hayo mafuta ya miski sio poa kila siku na kitu kingine we hujaolewa vipi nyuchi ilegee hivyo na huko kuhusu kipato mungu ndio anaetoa riziki ila muda mwngine wanaume wamezid tamaa

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 6 лет назад

      Mariam Juma ni kweli tamaa inachangia ila ndiyo tabia za kimaumbile waliyoumbika nayo wanaume kuwatamani wanawake, siyo wanawake kuwatamani wanaume. sababu maumbile ya wanawake na sauti zao ni vivutio kwa wanaume. ila ni hivi: dawa ya kumkamata mwanaume ni hizi:
      1.Kuridhishwa kitandani kwa mautundu yote aliyofundwa.
      2.Asikilizwe
      3.Ajisafisha mwili na uchi pia.
      4.Kubana huo uke.
      ikishindikana hayo huenda huyo jamaa ni mchepuko, Na kunguru ni kunguru tu hata umfuge vipi hafugiki.
      ivi mtu aliyezoea kula milo kumi kwa siku unadhani akipewa mlo mmoja kweli ataridhika kweli??

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 6 лет назад

      halafuni siakuelewa, umesema miski siyo poa kila siku, unaijua miski wewe au umeikalili?? hebu nenda ukasome vizuri faida zake kisha ulete mrejesho nami nipate faida....

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 6 лет назад

    Tatizo wazenj tumedata kwa zinaa, pia kuna tatizo moja kubwa ninkuwa watu tunao ila bado tuaendeleza kutoka na wapenzi wa. Zamani.hiyo ya simu hata mimi ex wangu nimemfuma tena kwa call sio texts. Ndo zenj hio

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 лет назад

    eti Zantel khaaa hahahah

  • @bakarimussa194
    @bakarimussa194 6 лет назад

    Ni wajibu wao kuchunguzana juu ya mayumizi ya simu zao .
    Na usipo muuliza yeye utaulizwa wewe na allah siku ya kiama. Lipi bora utachagua wewe mwenyewe.
    Kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa kwa anachokichunga .
    Dumisha ndoa yako na iamini ndoa yako kuwa ndio inayokutosha .

  • @utaani1
    @utaani1 6 лет назад +5

    Wanawake Hawana muda na waume zao Kwa ajili ya kuchat

    • @عايشهسعيد-ض5ذ
      @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад +3

      utaani1 na wanaume hawana muda na wake zao kwa kuangalia mipira na vedio chafu

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 6 лет назад +1

      yaani wote wamejikuta wako bize

    • @utaani1
      @utaani1 6 лет назад +1

      عايشه سعيد mwanamme ni kama mtoto mdogo Kwa hiyo mwanamke ndio anaweza kumuendesha mume wake kama remote kama utakuwa na muda na mume wako

    • @عايشهسعيد-ض5ذ
      @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад +1

      utaani1 kaka si wanaume wa siku hizi unamuenga enga kwa masingo maliwa vikuba full mechi chumbani raha zote unammalizia akitoka apo anakwenda kukuponda kwa kimada na ndoa nyingi wanaume ndo sababu baadhi ya wanaume hawaridhiki matamanio mengi mtu ana wake 4 na vimada kama kawa

    • @عايشهسعيد-ض5ذ
      @عايشهسعيد-ض5ذ 6 лет назад

      utaani1 mm mtaani petu kuna ndoa kumi na mbili zimetokea matatizo zote wanawake wameshinda kesi wanaume ndo wanamatatizo mtaani petu mm tena nimekuesabia kwa haraka

  • @ayshamahadhi1566
    @ayshamahadhi1566 6 лет назад +4

    Nikweli shehe hususa wanaume wamezidi

  • @utaani1
    @utaani1 6 лет назад +1

    Wanawake wakosefu wa malezi

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 6 лет назад

      utaani1 kwa hio ww umelelewa na mwanamme mbona unatukana wazazi wako ww alah ...hii inayokana na kua hakuna uwazi na uaminifu tu katika ndoa za watu lkn si sababu km hawana malezi.

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 6 лет назад +1

      na mama ako pia mwanamke sasa cjui unamaanisha wachache au wote?

    • @utaani1
      @utaani1 6 лет назад

      Ashmina Abdullah namaanisha bora ufuge mbwa kuliko mwanamke hasa wa unguja na pemba Hawana kheri

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 6 лет назад

      utaani1 ww jamaa utakua si mzima tena unakosea sana hayo maneno makubwa sana ..ina maana Allah hakuwajua wanawake ??na ndo akawaleta??basi bila ya wanawake ww usingezaliwa mbuzi ww heshimu wanawake ..ndo waliotuzaa ukitaka usitake hujakaa kwenye tumbo la mwanamme bali miezi 9 umebebwa na mwanammke leo unakunya mbovu...nakuhurumia kwa kweli inaonekana huna ata familia unazurura ovyo tu ndo maana hujui thamani ya mwanammke...ambae ni mamako ..dadako... ama shangazi yako pole sana.

    • @fatmaomar8022
      @fatmaomar8022 6 лет назад

      utaani1 nahis umechanganyikiwaaaaaaaaa, 😳😳😳😳😳😳😳😳

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Utaani usiseme ivo c wanawake wote waso Na malezi mm mume wng ninavo muenzi hajawahi pata mke km mm Na anasema Kwa watu kapita kwingi lkn mm aniachi Kwa jinsi ninavo mlea lkn kutulia tu ndo hawezi anatamaa ya ngono ,,,

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 6 лет назад

      علي البوسعيدي kkkkkk