MAKONDA ASIMULIA MACHUNGU YA KUKAA MIAKA 3 BILA KAZI "UTAICHUKIA CCM, SIJALA MSHAHARA WANGU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 21

  • @davidtz1320
    @davidtz1320 14 дней назад +1

    Makonda ni kiongozi bora sana tena sana but moja kati ya pungufu alilo nalo anapenda kuonekana mwema muda wote na hapend kukosolewa ...but Endelea kupiga kazi bro hakuna mkamilifu

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali 15 дней назад

    Nabii Geodavie ni mnyenyekevu sana Huyu baba.. Mungu azidi kukupaisha🎉🦄

  • @TibaiganaSamwel-de3eg
    @TibaiganaSamwel-de3eg 15 дней назад +1

    Hongera sana Mh, Makonda

  • @emmanuelndotela9412
    @emmanuelndotela9412 15 дней назад +2

    Huyu ni mtu wa maana kabisa huyu.
    Umejua kutuleta pamoja kaka.

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 15 дней назад +1

    Mungu akutangulie kiongozi wangu Wa kuigwa

  • @delphinnkoma5757
    @delphinnkoma5757 14 дней назад

    Stay blessed man of God Makonda ❤🎉🎉🎉

  • @NdookiJacob
    @NdookiJacob 15 дней назад +1

    Mr Makonda Mungu Akusaidie.

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 15 дней назад +1

    Dah makonda kaokoka 🙏

  • @aisariomrema2529
    @aisariomrema2529 14 дней назад

    Mkimwendeleza huyu mtoto, mimi sijui. Usanii ni mwingi. Shauriyenu!!!!!

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 15 дней назад +1

    Amina 🙏

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 14 дней назад

    Kwa anayofanya Makonda siamini kabisa kuwa kafanya au anafanya maovu. Mungu asingemuwezesha kufanya anayofanya.

  • @HimidMkuya
    @HimidMkuya 12 дней назад

    Makonda anajikosha baada ya kutenda dhambi akiwa mkuuwa mkowa darsalamu huko Kilimanjaro anakaakwa udhuu na heshima

  • @mariamshabani7107
    @mariamshabani7107 15 дней назад

    Mungu apogee maombi yenu

  • @zablonmlazi4415
    @zablonmlazi4415 15 дней назад +1

    Huyu mtu akili nyingi sana

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 15 дней назад +2

    Una maneno mengi sana makonda kazi uwa inajitangaza yenyewe. Na wenye maneno mengi sio watendaji ni wzbabaishaji kazi ni vitendo.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 15 дней назад +2

      Unachuki tu Makonda ni mchapa kazi mzuri sana We kaa na na roho yako chafu Makonda yupo juuuuuuuu

    • @mungholomakalanga8958
      @mungholomakalanga8958 15 дней назад +1

      Wanaokudharau siku moja watakusalimia Kwa heshima❤

    • @martinsamwel9523
      @martinsamwel9523 15 дней назад +2

      Pole
      Wewe ni kipofu

    • @djurio
      @djurio 15 дней назад +2

      Tumekaririshwa vibaya. Mipango, utekelezaji na kuongea ni swala la nidhamu binafsi. Ukimya ukizidi unazika uwezo

    • @alexlesilwa1586
      @alexlesilwa1586 13 дней назад

      Wivu