KAYUMBA - MAPENZI YANAUMA (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 616

  • @elineokusiluka9683
    @elineokusiluka9683 3 года назад +54

    Tunaomkubali kayumba kwa moyo wote tujuane🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ZuberiMcheto-jy3rx
    @ZuberiMcheto-jy3rx Год назад +25

    Jamni tupo wangapi 2024 tulokuja kuixkiza tena ingoma jameni

  • @ShallzBaro
    @ShallzBaro 3 года назад +88

    From Kenya..namkubaligi Sana huyu Dingi... 🔥 🔥 Mashairi,sauti na mipangilio ya nyimbo..hatari

  • @AlexMbagata
    @AlexMbagata 10 дней назад

    Nyimbo Kama hizi sisi tunashindwaje kufurahi jamani kazi ya sanaa Safi kabisa🙏🙏🤸

  • @VeronicaKaria-b3i
    @VeronicaKaria-b3i 16 дней назад

    Wimbo wangu pendwa. ,2025 aisee naurudia kila mara

  • @AbdallahTinga
    @AbdallahTinga 2 дня назад

    Jamani Mapenzi Yanauma😢😢😢 #Yankolowski 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RashidMpemba-d2l
    @RashidMpemba-d2l 6 месяцев назад +3

    Daah yaani leo baada ya kuumizwa ndo nimejuwa kuwa kayumba huu wimbo alimaanisha,😭😭😭😭😭👉💘

  • @rajabtwaha3035
    @rajabtwaha3035 2 года назад +1

    Hii nyimbo Kali Sana Tena Sana sijui kwann ujaipa promo wakati ni nyimbo Bora Sana

  • @cuteprincess7728
    @cuteprincess7728 2 года назад +1

    kayumba umetisha sana kaka hili goma daaah mbona umenigusana sanaa hakika umeupiga mwing sana brother awoteeeeeeeee yaaaap yeeeeba

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 3 года назад +2

    kayumba hongera sana
    unajua sana broh
    MUNGU akupiganie mambo
    yawe bora zaid maan juudi zinaonekan

  • @nasimentoj
    @nasimentoj 3 года назад +137

    This guy deserves more💥 much love from Kenya. Wapi likes za kayumba

  • @dammyboy5282
    @dammyboy5282 3 года назад +11

    Basi huyu mwamba hajawahi kukoseaga,nakwamini sana Kayumba,you are going far🔥

  • @amosmgaya2187
    @amosmgaya2187 3 года назад +1

    Nakubali Sanaa bro wangu miyee alex kitenge mutoto wa Congo 🇨🇩🇨🇩👈

  • @brianseda1842
    @brianseda1842 3 года назад +21

    Kayumba is the best artist in Tanzanian. this guy always kills it. much love ❤❤

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 3 года назад +1

    Umetisha kayumba

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 года назад +11

    Mistakes you have is that you love some girl and she hate u 😢😢 love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bakaringungu394
    @bakaringungu394 3 года назад +1

    Kayumba ni mtaalam haswaa

  • @PLoveofficial
    @PLoveofficial 3 года назад +2

    My favorite song My Brother Kayumba Umeuwa Sana Daah Kwasiku Naitazama Mara 30

  • @GirsiaMwesa
    @GirsiaMwesa 28 дней назад +1

    Nani akosaki kuona mwimbo wa kayumba savile mie nipe 🖐️

  • @naftalnjoga5433
    @naftalnjoga5433 2 года назад +9

    This boy is underrated,,can't stop listening to his music,big up sana

  • @nyandwiniyera5535
    @nyandwiniyera5535 2 года назад +7

    Love u kayumba from 🇺🇸 l really support your Music ❤️❤️

  • @CRISPINIKALUNGA
    @CRISPINIKALUNGA 5 месяцев назад +2

    Salute bro

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 Год назад +1

    Wimbo wangu pendwa kayumba km kayumba 🎉

  • @junioryengo7682
    @junioryengo7682 2 года назад +6

    Trop lourd ce song, c'est l'Afrique qui gagne

  • @scoshlyayuma
    @scoshlyayuma 3 года назад +8

    Shout here from kenya.. you give me what I want.. your music is my medicine.. keep it up ours.

  • @rashidikawanga2941
    @rashidikawanga2941 3 года назад +1

    Jamaa ni nomaaaa sana kwa hiz nyimbo aiseeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹🌹 YANAUMA 😔😔😔🥺🥺🥺🥺😢😢😢😭😭😭😭

  • @nshimirimanaamina3828
    @nshimirimanaamina3828 3 года назад +2

    Mapenzi Yanauma nyie😭😂 my favorite song ❤ pambana brother kama kipaji unacho 💖❤😍

  • @princeley1956
    @princeley1956 3 года назад +12

    Your songs are my favorite ever 💥🔥 l do really love your hits brother man, from Zambia 🇿🇲

  • @elifrewjohn8723
    @elifrewjohn8723 3 года назад +37

    Don't change my brother, you're so best in arts

  • @p.alexii6170
    @p.alexii6170 3 года назад +30

    I love it wen I see notification shows someone liked ur comment and u have 100 new subs it always put a smile in my face and make me work tirelessly 💯🔥

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 3 года назад +1

    Hatr xan

  • @ShamsiaMasoud
    @ShamsiaMasoud 6 месяцев назад

    Mungu kakupa kipaji cha aina yako uko tofaut na wengine wqsikulinganishe hufanana ni nao bana we unaimba

  • @jacklineaveline3711
    @jacklineaveline3711 3 года назад +7

    Nice story keep it up real talented 👏

  • @mariamhussein1805
    @mariamhussein1805 2 года назад +1

    Kali xana mkali

  • @alistarmuhamed1574
    @alistarmuhamed1574 2 года назад

    I really went through all this bro ur atrue love story teller...surely zidisha moto💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣💣💣👌👌👌

  • @sabreenbonaya2520
    @sabreenbonaya2520 3 года назад +5

    Kweli kabisa on point mapenzi yanauma. Kazi nzuri bro

  • @SophiaKileo
    @SophiaKileo Год назад

    Nimebadili nimeshindwa ❤❤

  • @Josphinemukuni.
    @Josphinemukuni. Год назад +2

    I really like your voice,, you never disappoint much love 🇰🇪💕💕

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 3 года назад +11

    very talented guy keep going kayumba we love you🔥

  • @lyricsstudioMsolid
    @lyricsstudioMsolid 3 года назад +1

    From 🇹🇿. Nakubali sanaaaa story ya video director #msolidsLs.
    Big up director#Majag

  • @danniebrownke4152
    @danniebrownke4152 3 года назад +14

    Damn, nice vibes......love the song all the way from Kenya kayumba tunakutambua bro🔥

  • @wasafiisayaelisha3314
    @wasafiisayaelisha3314 3 года назад +4

    Kayumba umetisha sana hii ni funga mwaka🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @fikirisefu8900
    @fikirisefu8900 2 года назад +2

    This guy is super talented katika hizi kazi shida hana bahati

  • @adammustafa5428
    @adammustafa5428 3 года назад +20

    Big up man, you so talented..push more forward you are almost there 🙌

  • @joshuakimwogo3045
    @joshuakimwogo3045 2 года назад +1

    Uko sawa kwa ngoma zako

  • @Lumegilemukata
    @Lumegilemukata 3 года назад +2

    Kayumba big up my brother 🙏🙏..kweli Mapenzi yanauma😪😪

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 года назад +1

    Dah nice song...MyFvSong

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 2 года назад +1

    From tz to much sana brother

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 3 года назад +1

    Nataka tufanye kazi Boy

  • @princessmarry2568
    @princessmarry2568 3 года назад

    NimeIcheki Hii Video Mara mia mia🥰🥰🥰I love Voice I love ❤️ Kayumba 💕🌹🌹

  • @yazidi12titho39
    @yazidi12titho39 2 года назад +2

    Jaman kayumba noma

  • @stellamaendeka9164
    @stellamaendeka9164 3 года назад +5

    Good! You're very tellented,woooooow my brother

  • @FurahaWiganga
    @FurahaWiganga 5 месяцев назад +3

    Hata mimi naingalia mara tatu kwa siku

  • @alistarmuhamed1574
    @alistarmuhamed1574 Год назад

    Yani nakukubali Sana bro kwa kazi zako jah bless🔥🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾👊🏾

  • @omarmazoka5063
    @omarmazoka5063 3 года назад +20

    Kayumba vc é terrível💪💪🇲🇿🇲🇿

    • @mwakafrancis2348
      @mwakafrancis2348 3 года назад

      From kenya
      Jamaa katika wasanii tz ambao wameshushwa kwa ajili ya kusisimua na kuteka myoyo ya watu kayumba ni moja na nambari moja n yake,kwa kipaji chake kinaeleza wazi maana ya mziki n nini?sio bora mziki bali mziki bora ulio enda shule.....

  • @uchebetz7284
    @uchebetz7284 3 года назад +2

    Daaa wee jamaaa ujengewe sanamu pale mafyati mbeya unajua sana❤️

    • @tinnahmndeme9350
      @tinnahmndeme9350 3 года назад +1

      Respect kayumba welcome IRINGA my best artist

  • @calvinsilayo2052
    @calvinsilayo2052 3 года назад +4

    Bonge la ngoma kayumba🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @divinahkerubo8635
    @divinahkerubo8635 2 года назад +2

    This is a banger 🔥 🙌 👌 much love ❤ from Kenya 🇰🇪 🇰🇪

  • @josefomoisestadeu106
    @josefomoisestadeu106 3 года назад

    Kazi mzuri best naso,,,kutoka msumbiji wilaya mueda

  • @NicolausJoseph-r7y
    @NicolausJoseph-r7y Месяц назад

    Well done Kayumba I love this song wow so powerful song

  • @Instatrend795
    @Instatrend795 3 года назад +20

    Love from Nigeria 🔥❤️

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 3 года назад

    Tukiacha unafiki Huyu jamaa hana ngoma mbaya,,,wapo wasanii wakubwa bongo wanazinguaga baadhi ya ngoma lkn sio kayumba,,,Amin

  • @Itambu
    @Itambu 3 месяца назад

    Muziki mtamu jamaa ana sauti ❤

  • @kingmtz5740
    @kingmtz5740 3 года назад

    Nacho penda huyu jamaa hafati upepo,amapiano imekuja ila yeye amebaki kwenye Radha ya bongo,hongera sana.

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 3 года назад

    Unanyimbo Kali Sana Sana kiasi kwamba yule bwana mkubwa alietoa kiwimbo Kwa kuwaiga makomando hakufikii tumuache amalizie kutamba karibu atawaachia na nyie mpande kilelenii🔥

  • @SofiaMasawe
    @SofiaMasawe 9 месяцев назад

    😭😭😭😭😭😭kinachoniuma mudamuda nimepoteza we habar hauna

  • @ishakasaid5843
    @ishakasaid5843 3 года назад

    BSS product! Funga mwaka! Kanikumbusha kipindi cha.....
    Mazoea
    Mama
    Mapenzi Yanauma

  • @hevizymatho7853
    @hevizymatho7853 Год назад

    Nyc song...ungekua ukanda dvd nyuma ningerudisha

  • @senitoabacartamba2592
    @senitoabacartamba2592 3 года назад +6

    Parabéns pelo trabalho gostei muito da sua música é a mensagem 🔥🔥💪💪🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @husseinathuman7532
    @husseinathuman7532 2 года назад

    Nyimbo kali sana...tumpe saport ya nguvu huyu jamaa anajua sana

  • @Jerome674
    @Jerome674 3 года назад +35

    Never disappoint🔥🔥 huge fan since day one

  • @SylvesterTito-m6z
    @SylvesterTito-m6z Год назад

    Kayumba huna baya kka nakubali Sanaa ngoma zako 1:08

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад

    *Kuna KAYUMBA mmoja tu* 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Ngoma tamu balaaaaaa

  • @billionnirmpesa9315
    @billionnirmpesa9315 3 года назад +1

    Nakukubali sana kijana wangu dragon

  • @eliasjuniormusic0113
    @eliasjuniormusic0113 2 года назад

    kali bro kweli yanauma mapenzi wakati hanakuacha yule unapenda

  • @MashabikiwambossoOfficial
    @MashabikiwambossoOfficial 3 года назад +15

    Much Love with this song ❤️🔥🔥

  • @johnsonrizick513
    @johnsonrizick513 3 года назад

    Kayumba, unaimba nyimbo zenye hisia kali tena zinafunza, funika hao wanaojiita simba

  • @gladyskajuju3562
    @gladyskajuju3562 3 года назад +4

    My favorite artist,
    We love you in Kenya

  • @opahomba642
    @opahomba642 3 года назад

    Na kukubali Sana my super star love you from zambia

  • @Waareal
    @Waareal 29 дней назад

    Kayumba sipo tz lkn nina tunzo yako ya hii nyimbo🎉🎉

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 3 года назад

    We jmaaa huu wmbo kma movie duuuh we kiboko mashaili ylioenda shule

  • @salminathuman2304
    @salminathuman2304 3 года назад +1

    Ngoma kali sana

  • @rashidikahite4757
    @rashidikahite4757 3 года назад +4

    You're the best actor my big brother

  • @ashuraSekutule
    @ashuraSekutule 10 месяцев назад

    Mkali wangu nakukubali Sana unatoa bonge lazawadi kwetu hauna Naya kaka

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 Год назад +1

    Grande trabalho junto com sua mensagem. Kweli mapenzi yanauma. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 3 года назад +1

    Hatareee sana fundi

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 года назад +1

    🔥🔥🔥
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alibee2543
    @alibee2543 3 года назад +29

    The story itself so dope🔥

  • @shadrackkimario2944
    @shadrackkimario2944 3 года назад

    Kayumba ana kitu, atafika mbali.. namkubali sana huyu mwamba

  • @alfanimussa8279
    @alfanimussa8279 2 года назад

    Hujawai kufeli king kayumba naelewaga sana kaz zako 💥💥🙏🙏

  • @shomalisefu273
    @shomalisefu273 3 года назад +2

    Tunaisubir kwa Ham Naamini nitakuwa wakwanza kuitazama

  • @kayumbafance2642
    @kayumbafance2642 3 года назад

    Hivi huyu msanii mbona mkali kinyama anaweza sio kidogo

  • @sarafinapeter1059
    @sarafinapeter1059 3 года назад +1

    Hatali sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 года назад

    Movie lakutisha kideo kikali mnooo, 🔥🔥🔥🔥

  • @kivurugotz3509
    @kivurugotz3509 3 года назад

    Umeimba maisha yaliopita na yanayokuja na yasasa we dogo ni talented 🙌🙌🙌🙌

  • @richardmteka6586
    @richardmteka6586 2 года назад

    Bonge Moja la video pongezi Kwa direct Kwa tungeneza vizur hii story

  • @fabianbrian8256
    @fabianbrian8256 2 года назад

    Kayumba.... Uaga kuna miziki ikiimba naiskiliza kwa shangwe wala sikuwai kujua kama ni nyimbo zako

  • @rashidedisonkarabu769
    @rashidedisonkarabu769 3 года назад +1

    Kali 💥

  • @burudatv751
    @burudatv751 3 года назад

    Kayumbaa huboi hupoi mzeee,kwenye game ya bongo hakuna Kama wewee

  • @ArbinaKayumba
    @ArbinaKayumba Год назад

    Kayumba is the best