Kayumba! Una kipaji kikubwa sana mdogo wangu. Endelea kuchapa kazi kuna siku watu wengi zaidi watakuelewa. Ni bahati mbaya sana kwamba muziki wa Tanzania umehodhiwa na majina machache. Lakini tungeangalia vipaji na ujuzi wa kuimba, sioni namna ambayo wewe ungekosekana kwenye waimbaji 10 bora hapa Tanzania. Nakutakia kila la heri na usikate tamaa.
Nakumbuka nililala saa 9 za usiku kuangalia mashindano yako mwaka ule hongera kayumba wenzio walio shinda bi ss miaka ya nyuma mpaka leo hawapo tena kwenye gem ww songa utafika tuu safali yako
Daaaa raha sana nyimbo zako zinapenya hadi kwa ubongo asiye kuelewa ana mtindio wa ubongo , mungu akubariki ktk kazi zako , waliosema umeoendelewa bss sasa watajua ukweli uko wapi
ushaur kwa kayumba tafadhar usije ukabadilisha tyun amabayo unaitumia kwa sasa .koz ni tyun nzur na ina kitu ndan yake.unaweza sana broo nandomana ngoma zako zote ninazo.shara up kwako
Tujuane tnao usikiliza huu wimbo zaid 2024
Tupoo❤❤
Kwel haichosh saut amazing haichosh kurudia Kam umerudia hii ngom Zaid y mar tan ngog like twend saw +254 itambe nakulubali San kayumba
Kayumba! Una kipaji kikubwa sana mdogo wangu. Endelea kuchapa kazi kuna siku watu wengi zaidi watakuelewa. Ni bahati mbaya sana kwamba muziki wa Tanzania umehodhiwa na majina machache. Lakini tungeangalia vipaji na ujuzi wa kuimba, sioni namna ambayo wewe ungekosekana kwenye waimbaji 10 bora hapa Tanzania. Nakutakia kila la heri na usikate tamaa.
Unajua hadi unakera an blood. Bonge la Toto
Bonge la hit
Bonge la song
Congratulations broo
One of my best song can't wait stop, your star have got shine like bulb so keep move on KAYUMBA
"nami huwa nazingatia, buku miambili zangu nazituliiza"
hiki ndo kipande kinanikosha, big up #Kayumba bonge la nyimbo hii
😂
Hiii ndo mixi ya bongo forever ,tofauti na wasani wasasa
Mbona kimia sana sikuhizi kijana,unatutesa wenziyo
bonge bonge bonge 😍😍😍latotooooooo 😍 kayuuuuuumba ww nouma Leo ndio nimekukubali dogo nice song
Bonge ranyimbo mdogowangu kza mngu anakuona
Ndio wewe uliye shinda bss 2015
nakukubali sana Kayumba
Bonge la Toto..ni shiida Nyingine 🔥🔥🔥
Ùk
Ndo yeye nampendaa San 🥰🥰🥰🥰🥰iyo sautiii 2 jmn
Big up kijana chapa kazi muda ukifika utaongea.Ninakukubali kitambo.
Hii ndio talent ya ukweli wapi like zangu
Sawasawa my lovely musician
Kama ww ni bonge la toto gonga like👍👇
Kweli hy kaka Anaweza sana tena nyimbo zake nazipenda sanaa kweli
Bonge la ngoma yaan kama nimelala nikilisikia tu naamka niimbe goma lina hisia hatari
kk nakkbali sana
Nakubal
Amn kwamba
The first time I saw you I knew you were going to be the winner. And yul go far .see yourself now..always thank God. You're going far. Una nyota
Bonge ya dude
Yaan naipenda ad bhac😘😘😘🌹🌹🌹
Bonge lenyewe Sijajmtia mbooni niaminicho mkufunzi moyo wako auzindua barakoa sawia zidi babu zindua
hongera sana Kayumba una nyimbo nzuri mno, wewe ni moto wa kuotea mbali.
bonge LA Toto
tunawashaaaaa moto
Nakumbuka nililala saa 9 za usiku kuangalia mashindano yako mwaka ule hongera kayumba wenzio walio shinda bi ss miaka ya nyuma mpaka leo hawapo tena kwenye gem ww songa utafika tuu safali yako
U9
H89
Hongera Sana Dogo ngoma hatariiiii
I never knew this guy. the guy is on fire I'm love with your music
kama unampenda my wako gonga like na kama unamkubali kwamba ni bonge la toto gonga like
binge LA Toto queen video nimekupenda bure
bonge la toto marafiki zangu wanamjua safi Sana Kayumbaaa
washaaaa motooooo dogo langu more motooooooo
Ndo yeye kayumba....nakupendaga kinoma
Wakimbize sanatu mzee wakazi huaga nakuelewa Sana piga kaz kaka
Dah mwanangu kayumba unajua hongera sana kaka
Bonge la ngomaaa. Bonge la video
Wow!!.. Kanumba umetisha jaman mwaaaaaaah..
Ñgoma kali mzee babaaa!!!!,kaza butiiii!!!,from j aka juñior
Pika pakua
That's awesome type Ya nyimbo Kama hii itakufikisha mbali stay here verse ya kwanza na coras nimezikubali mno keep it up and never give up
Kayumba fanya kazi
Kwanza UNA SAUTI NZURI
Pia UMEANDIKA VIZURI. Nakuhakikishia utapata VIEWS wakutosha
Napenda.nyimbo.za.huyu..kk.sana.kaza.utafika.mbali..
ni bonge la toto , bonge la ngoma nakubal sana kayumba og
Penda sana hii nyimbo jaman
Jamani wana Group Munipe ogera namimi mwezenu 🤲🤲🤲
Iko poa umetisha kayumba nimeielewaaaa sana
Ndio yeye Mwenye kisima changu chafurah😘😘😘😘😘😘
Bonge la jisongi kama ulivyo imba kaka ngoma imetuliaa sanaaa tu
Huu wimbo naupenda mpaka nikisikiliza najikuta nalia tu🥰🥺🥺🥺
My best song 2024❤❤
Kayumb mzik unaujua honger San @@@
Mbona uyuu jamaa mkalii saaana.!👏 Bonge la t...
Kakaangu nyimbo unajua kuzituliza daah💃💃💃💃💃
Waaaaaat!! That voice on top.. top..top.."bonge la toto"+254🌷🌷
Pp.
Nc kayumba kanzi Nzuri sanaa
Hakuna kukata tamaa pambana mdogo wangu kayumba
Kayumba ulikua na haki ya kuwa mshindi bss asee
Unajua sanaaaa, komaa utatoka
DamN!!!! Hili ni bonge la ngoma Mzee salute
🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupendaka bure kaka wewe nifundi good work
kayumba bado tuko na wewe mashabiki zako tunakuomba uwendelee paka mwixho usije ukatutupa tukakosa pakwenda ndugu
Mzig nauelew san huu❤❤❤
Sisi wakenya tumekubali hii ni bonge la ngoma
Donald from Kenya namkubali Sana kayumba kazi nzuri
Umeweza kayumba nakubali mziki wako umetulia
bonge la toto ngomakali sana
Umeyokelezea.hii.hongera kayumba
Jmn kayumba wewe🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Evaline Victory
🔥🔥🔥
Daaaa raha sana nyimbo zako zinapenya hadi kwa ubongo asiye kuelewa ana mtindio wa ubongo , mungu akubariki ktk kazi zako , waliosema umeoendelewa bss sasa watajua ukweli uko wapi
Haujawahi kufeli bro never dissapoiment l think yuo should be promoted much more with you TZ Social part form keep it up 💪
Unaweza,, pia kua na amani kilakitu huja kwa nafasi yake,, tena kwa kusud maalum kutoka kwa mwenyez, good song youb bro,
Ah! Mm cna maneno kwako nikiisikia saut yk napata homa gafla bonge la boy
Unajua sana broh
Huu music naupenda saana kupita maelezo🥰
Jamani uyu kaka a najuwa kuimba sna jamani iyi nyimbo na Ipenda sana
Daah mdogo wangu hujawah kuniangusha aisee
Kayumba wewe mzuri una sauti nzuri Madame Rita Hongera sana.
Kayumba ni moto.kama uko sawa na mimi weka comment.
buku 200 zako... anazituliza 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀aliy elewa ...naomba tucheke Hahaha
pumb na mb
Bonge langoma kiukwel dogo anajuwa sana kupita maelezo
imagine bss hawakumlipa pesa zake zakushinda mashindano usife moyo kayumba mungu yupo nawe
Sauti ya kumrudisha nyoka pangoni 💪💪😘😘
Baba bg up sanaaaa
Mziki mzur ,nakukubali sn janja
kayumba uwa wanitoa machozi nikikumbuka ulikotka kwa madam rita kule nakufatilia sana baba kaza
Nakukubali sana #kayumba
Napenda mziki wako myYoung keep movin blood...
Motivational Heart Love,,,,,,,
Skills is more raising, Bonge la toto,,,√√√√
Yaani skuizi unanikoshaa saana
Kila ngoma yako kali
Saluti saana
Simpo Wangu
Ngoma inawezaa kufanyaa utakee kuoaaa atakama ni beki 3 ... 😉 nyc song
Nimeamini watu hawajui nyimbo nzur jaman.huu wimbo mzur sana jaman
Bonge la ngoma, pambana mkaliiii, nakukubali san ngoma zako zote n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥hii imetisha knoma noma 💪💪
nyimbo nzuriiiiiii kazi nzuri. kayumba mungu azid kukubariki
Mwanangu husikate tamaa Unajua kama wao ila wanasifanya wanakukazia komaaa mzee, Good music good melody good vocaly
Dogo unajua sana na ulipaswa uwe level za juu katika mziki tofauti na ulivyo sasa
I love your voice 🔥🔥👌👌from 🇰🇪
ushaur kwa kayumba
tafadhar usije ukabadilisha tyun amabayo unaitumia kwa sasa .koz ni tyun nzur na ina kitu ndan yake.unaweza sana broo nandomana ngoma zako zote ninazo.shara up kwako
I really like his music...keep pushing that spirit.... Dope jamm
Dogopambana yaniwewenifundi kayumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
akika broo ukovizuri nakukubalii vibayaa! chananyavu mwamba
Yn uyo mwanamke akustaili kuwa bonge la toto
Piga kolabo na nandy hakika itakuwa ngoma kali
Ujama wampe tunzo kabisa
Penda sana kaka wangu wakalishe hivyohvyo my ndg
Uyu mziki naupenda mpaka basi jamani kwani like bei gani ili munipeye .
Ngoma kali
Umetishaa mzee baba
Asante kwa kuimba nyimbo kwa ajili ya mke wangu #ASOSIEEE💥💥
Pwahaaaahaaa