USO KWA USO DK SULE AMALIZANA NA HARMONIZE, WAMEKUWA MARAFIKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 51

  • @mtumwasamaki
    @mtumwasamaki 6 месяцев назад +3

    Kwa kuwa karejea na hakuonesha kiburi basi Allah amuongoze na atuongoze na atujaalie tufe tukiwa tumeridhiwa n Allah

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 6 месяцев назад +4

    Mashallah Allah atupe mwisho mwema inshallah lkn pia nitakua mchoyo wafadhila kama sitokusifia mtangazaji umependeza ulipojistiri vizuri sana mashallah

  • @OMARISAIDI-mx8yd
    @OMARISAIDI-mx8yd 6 месяцев назад

    Ongera sana sule mungu akilinde kwa ajuli ya kulekebisha vijana

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo 6 месяцев назад +2

    Uwe unavaa hivyo hivyo ukivaa stara mashaallah unapendeza pia ni sheria ya dini ukumbusho huwafaa wenye kumcha Allah

  • @EzekelElias
    @EzekelElias 6 месяцев назад +3

    Nimekupenda bule mtangazaji

  • @shmohd11
    @shmohd11 6 месяцев назад +4

    Huyo kijana na wenzake kutubu kwao ni kuacha mambo hayo ya usanii wa Muziki, lakini huu usanii wa kutubu sehemu ya makosa, tusiufungulie mlango mpaka masheikh kuwajadili

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 6 месяцев назад

      Uhakika hasaa, maana ilo la muziki naona wamelifumbia macho , sawa lile kosa la kufuru na hili la muziki lisiachwe watu wa kawaida wakaona sio kosa

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 6 месяцев назад

      Fact

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 6 месяцев назад

      washakana mpaka bas kuhus mzik washakana iyo ndio njia alioichagua ila keny kumkufur mungu haachwi mtu

  • @AmiriShabani-t2n
    @AmiriShabani-t2n 6 месяцев назад

    2:01 nakukubari sana ray sifuatilii habari ila wewe kila kitakacho endelea kwako mm nomba 1kuku fatilia napenda sana utendaji wako wakazi aisee mungu akuweke

  • @AmAlialaa
    @AmAlialaa 6 месяцев назад +1

    Mpendwa.umependeza.sana.usiache.hayo.mavazi.nshallaha

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 6 месяцев назад +8

    Huyu mtangazaji angejua akivaa hivi anapendeza 1000...% asingekuwa anavaa vile. Nashindwaga kuelewa. Hivi kuwa mjanja mpaka ukae wazi?....

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 6 месяцев назад

      Hapana kaka huyu anajitahidi maana yupo ktk ile foolsh age maana yupo kati kati ya mambo mtihani umri huu ni mtihani unazunguukwa na kundi la wenzio wa umri wako sisi wote tulipitia hayo mpaka kunyooka leo tunashukuru tupo ktk kufuata njia ya sawa na huyu msichana amejitahidi inshaalah Allah atamuongoza awe sawa zaidi anafaa kuwa mke 😂 akipenda basi ntaongeza mke wa pili

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 6 месяцев назад

      @@Kabeya410 ni kweli, lakini angejijua akivaa hivyo anavyopendeza asingekuea anavaa vile...

  • @AliHamad-xl2mm
    @AliHamad-xl2mm 6 месяцев назад +3

    Docter sule nywele uskate ivo itakushusha hadhi yak

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 6 месяцев назад

    Asante baba nakuaminia.lugha fasaha kabisa.kila MTU anaelewa.tena MTU Ni juu yake kuacha au kuendelea na maasi yake.

  • @AssumaniAssani-tx7ym
    @AssumaniAssani-tx7ym 6 месяцев назад +6

    Buja mi wa kwanza🤗

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 6 месяцев назад +1

    Touba kiufupo ni Kurejea kwa Allah s.w kwa kujutia, na kuazimia km hautorejea tena ktk zambi hyo. Touba inakuwa ni siri, na ni Mafungamano na Allah,

  • @hazardmjeshi5200
    @hazardmjeshi5200 6 месяцев назад +3

    Ww muandishi unapenda kurejeaa mambo yaliyokua yasha isha NA ww kuna uwezekano ukawa unapata zambi mana mdawote mungu mwanamke mungu mwanamke hem acha ayoo mashwali ya kizushi

  • @eddymaphy
    @eddymaphy 6 месяцев назад +1

    Aamin yarabbil'alamin ❤

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 6 месяцев назад +1

    Good job 🙏 🙏 🙏

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 месяцев назад

    Hao wamezoea kuichafua DINI YA HAKI.. je Hamuoni wanafanta JINI DAIMA.KARIBU YA RAMADHANI.NA PIA KTK RAMADHANI YENYEWE? ??

  • @robertmweve7215
    @robertmweve7215 6 месяцев назад

    Dada niambiliye dr anijimbu kwa audio zangi pls

  • @IbraahimSkochi
    @IbraahimSkochi 6 месяцев назад

    Kwahiyo mashee wasivae pete mbona nyinyi mwavaa mpaka cheni na hamsmemwi

  • @RehemaMgongwe-di3yf
    @RehemaMgongwe-di3yf 6 месяцев назад

    Amefanya vzr kuliko angekaa kimya ila asirudie kujiona yeye anaweza

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 6 месяцев назад

    Apate "ndoa" Ameen Yarrab

  • @JumaMohd-uv5ki
    @JumaMohd-uv5ki 6 месяцев назад

    jamani tufanyeni mambo mengine hayo ya harmonize tuyaacheni tena uyo mtu anamambo yake
    na kesha achia nyimbo
    ndani yake kuna maneno anayosema
    mama ni mungu wa pili
    hii imekaaje?
    huyu mtu muacheni tu na mambo yake

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 6 месяцев назад

    mimi kwa majina naitwa mwalimu mzaliwa wakenya lakini siishi afrika ninachotaka mimi nataka kuslimu je kuna uwezekano mimi na wewe kuonana. ASANTE

    • @twalibfaqih9385
      @twalibfaqih9385 6 месяцев назад

      Fanya haraka ndugu yangu ukimbilie iyo kheir nenda hata kwa ustadh yoyote anayejuwa taratibu ili akusilimishe inshaallah

    • @HarunaRashid-d7f
      @HarunaRashid-d7f 6 месяцев назад

      Kuslilim ni ruksa mwalim Mzaliwa,karib sana

    • @aishakh5046
      @aishakh5046 6 месяцев назад +1

      Mashallah karibu katika njia yahaki

    • @eliasaamina9165
      @eliasaamina9165 6 месяцев назад

      Sema ash'hadu an lailaha ilallah wa ash'hadu ana muhamada rasulullah

  • @shmohd11
    @shmohd11 6 месяцев назад

    Usanii kama huu wa akina Nanihinooo, ni haramu ktk Uislamu. Sasa uharamu wa miziki hamuuongelei, bali mnaongelea hilo la kijana kuropoka maneno ya kuvunja imani ya Kiislamu

  • @JuniorMarioKulapai-vs4hd
    @JuniorMarioKulapai-vs4hd 6 месяцев назад

    Vocês estão a exagerar, cá em Moçambique temos uma escritora que disse Deus é uma mulher, e africana.qual é o problema cada um tem seu pensamento

    • @armandoleonardo6966
      @armandoleonardo6966 6 месяцев назад

      São confusos essa gente tanzaniana. Eu não vejo nenhum problema ao lado de Harmonize por que aquela foi a posição dele .

  • @Saalimmakasia
    @Saalimmakasia 6 месяцев назад

    Naweww uwache.kuropoka katika mambo ya kielemu ,

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 6 месяцев назад

      Hamna sheikh hapa ni mpumbavu2

  • @salumngakonda2182
    @salumngakonda2182 6 месяцев назад

    Siyo kuomba msamaha tu ni kuacha yale ambayo mwenyenz ameyakataza. Aache kuchora tatoo na kutoboa pua.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 6 месяцев назад

    Kama amerudi mwambie sasa aowe awache kuishi kizinaa

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 месяцев назад

    Huyu ndio sure ninae mfahamu

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 6 месяцев назад

    sasa ataacha kuimba au kuoa

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 6 месяцев назад

    Bule ni muislamu au mukiristo?

  • @geofreyukason
    @geofreyukason 6 месяцев назад

    Dk sule mwamba

  • @Raluba
    @Raluba 6 месяцев назад

    Kwani uyu DK Sule izo pete kubwa ni zanini?????

    • @HassanSadiki-l5c
      @HassanSadiki-l5c 6 месяцев назад +1

      Sio Pete ni Tasbih

    • @IbraahimSkochi
      @IbraahimSkochi 6 месяцев назад +1

      Babu Pete ni urembo kwahiyo machete wasivae Pete mbona nyie mwavaa adi macheni

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 6 месяцев назад +1

      Wewe pete yake inakuhusu nini?wewe vitu vyote ulivyovaa nani anakukagua?

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 6 месяцев назад

    Munafiki mkbwa xna huyu jamaaa..who are you to judge!? According to the books says don't judge if you haven't bein judged.

    • @diagfinamix1861
      @diagfinamix1861 6 месяцев назад

      Who are you to support the guy tells the boobs in front of society , none came to judge but he proves the stupidity .