HARMONIZE AKIFA HAZIKWI NA WAISLAM, DK SULE AFUNGUKA MAZITO, HAMO NI KAFIRI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 60

  • @Dully_One__OG
    @Dully_One__OG 7 месяцев назад +14

    Aukosei shekhe kama unaukubali uislam nipeni like zangu apa

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 7 месяцев назад +10

    Shekhe umezungumza vizuri nimekuelewa sana

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 7 месяцев назад +7

    Dada laylat mashallah umependeza uvae ivyo kla siku🎉🎉🎉

  • @Spagles
    @Spagles 7 месяцев назад +4

    Nikweli sekhe mungu ni mumoja na hakuna chochote chakulinganishwa na Mungu🙏🙏🙏🇹🇿

  • @BonfaceCharles-n8h
    @BonfaceCharles-n8h 7 месяцев назад +3

    Mimi dokta sule nimemuelewa sana tujifunze tuache kulopoka Ila harmonize angeomba msamaha na kutubu asiwe mbishi ajishushe

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 7 месяцев назад +2

    1983 ndo wamaliza class 7❤❤❤Allah akuongoze

  • @ramadhanisa6991
    @ramadhanisa6991 7 месяцев назад +6

    Jaman tunaongelea dini yetu waislam tulien

  • @jamalibaruti7126
    @jamalibaruti7126 7 месяцев назад

    Maashaalah dada yani unapendeza sana sana ukiwa kwenye mavazi ya starah Allah atujaalie udumu ktk kuhifadhi thamani ya mwili wako

  • @shabanimussa4269
    @shabanimussa4269 7 месяцев назад +4

    muambieni huyo mtu jamni asifanye ujinga katika imani mbwa mkubwa huyo mwenyezi mungu mlaani mbwa huyo

  • @Championmjeluman
    @Championmjeluman 7 месяцев назад

    Wewe sio mungu unaingilia kazi ya mungu wewe mwenyewe unayako hujui mwishowako

  • @SheheMrima
    @SheheMrima 7 месяцев назад

    Wallahi homonazi amekufuru shekhe litimie mkazo hili swala lisije likaleta madhara makubwa hapa duniani endelea kulingana alahh atakulipa inshaallah

  • @shabanimussa4269
    @shabanimussa4269 7 месяцев назад +3

    uyo anatakiwe waisilamu wamkalie chini anatakiwa atafutwe ajibu hayo aliyasema

  • @ramadhanisa6991
    @ramadhanisa6991 7 месяцев назад +4

    Nyie mnaongea kama hamjui bora mkae kimy Kiki ya mungu ww unajitambua kwel wamuache acheze dini atachezea dini zenu sio dini yetu

  • @hassansugha5935
    @hassansugha5935 7 месяцев назад

    Harmonize pumzi na kipato kinamtia kiburi na jeuri ila kwa ALLAHU angojee litakalomfika aamiin

  • @BarakaWicklifu
    @BarakaWicklifu 6 месяцев назад +1

    Anae hukumu ni Mungu wala SI Mwanadam

  • @Devi-uu1jg
    @Devi-uu1jg 7 месяцев назад +2

    Kweli kabisa

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 7 месяцев назад +1

    Mungu hana Dini mwenzio anaweza akatubu na akaingia peponi na wewe ukiachwa punguza maneno shekhe

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 7 месяцев назад +2

    Ametuumiza sana huyo Rajabu

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 7 месяцев назад

    Uko sawa sule kama hataomba msamaa asizikwe kiisilamu huyo alo jichora kama gazeti

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 7 месяцев назад

    Bangi zinamzingua na posh Queen ndio yeye anamuna malikia wake..mwanamke yeye anamuita mungu...amukufuru vibaya sanaaaaa

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 7 месяцев назад

    Huu ni ujinga kabisa, utaingiliaje fikra za mtu kwenye mambo ya kusadikika? Acheni kujipa mamlaka kwenye fikra binafsi za watu wengine

  • @ngumalimau5427
    @ngumalimau5427 7 месяцев назад

    Twaomba muelewe Huyo badogo alivyo ongea ....hata amekosa msameheni haina haja iwe ni issue ya kuombeana vitu visivyokuwa na miguu wala mikono...Msameheni

  • @domingosjohnraissemaikomai7930
    @domingosjohnraissemaikomai7930 7 месяцев назад

    Umeogea vizuri mungo ana dini

  • @Anonymous23216
    @Anonymous23216 7 месяцев назад

    Kwani kuzikwa kiislam kuna Faida gani. Sasa kaeni mkijuwa ya kwamba akifa huyo kijana atazikwa kwa heshma nyingi kuliko mwislam yeyote mnae mjuwa nyinyi. Mwacheni mtoto wa watu aongee anavojiskia bwana..

    • @MudrickBoy
      @MudrickBoy 7 месяцев назад

      Acha ukafir fala wew

  • @shomarimiyogutowanalalamik1136
    @shomarimiyogutowanalalamik1136 7 месяцев назад

    Huyo amonaizi mshenzi 1anatafuta Kiki Kwa kumkufulu mungu

  • @Arafat-q4w
    @Arafat-q4w 7 месяцев назад

    ACHA unoko sheghe Suleiman tunakupenda sana ufanye dini ceted uctuletee yakishki na afande sele nahisi utakuwa umenielewa kama kweli unafahamu dini

  • @wewa7329
    @wewa7329 7 месяцев назад

    Hahahaha sasa hapo harmonize kakosea wapi jamani c ujinga wa dini huo

  • @JacksonYesu
    @JacksonYesu 7 месяцев назад

    Kwani kakosea wapi sasa kuna anayejua sasa maumbile ya 6:04 Mungu sema huyu sure kumdharau tu mwanamke

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 7 месяцев назад +1

    Hivi kwann huwa mnahukumu wenzenu, ww mwenyewe hujatimia una madhaifu yako,mtoa hukumu ni mungu pekee

    • @zeyanaalgheithy6561
      @zeyanaalgheithy6561 7 месяцев назад

      Si wangemwita pemben wakaongea naye hizi njama za kupata pesa kutoka kwa harmonizr kwa sbb angen
      Mwita private

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 7 месяцев назад

      Huna unalolijua tulia au uliza wanaojua sule alishafafanua hamoniz kaongea hadharan na nimaaruf kisheria anatakiw asemw hdharan ww hata shule ulimp tabu mwalimu unaonekana

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 7 месяцев назад

    Shekhe, Sule huna Hali yoyote ya kumuingilie kwenye mawazo yake, kwa sababu ndio maono aliyonayo, Kama ulisema dini ziko nyingi na kila moja Ina Sheria zake,

  • @kassimussimachanoh6971
    @kassimussimachanoh6971 7 месяцев назад

    Nikiwa kuna moja tu kati ya kauli ya harmonaze hivyo alivyo sema. Pili mtamtenga kwa misingi gani? Wewe mwenyewe Huna hata uelewa.. Sio walamialidi niwalamiulad mkumbuke kama kosa hamlijuwi kuna biashara yeye anatangaza biashara yake. Kosa ni kama utafata mungu alisema kwa wafanya biashara walayazidu zalimina ilahasara. Kamahukuifafanuwa bizaa yako kwa mteja mfano samaki wa makopo(conserve) harmonaze kataka kufanya kitu ila mmechukulia vingine

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 7 месяцев назад

    Utakufa mwenyewee mungu hana hila kama hzooo

  • @BenedictoTebo
    @BenedictoTebo 7 месяцев назад

    We sheh mjinga sana hata akizikwa na masela poa tu kama huna akili

  • @asharamdan363
    @asharamdan363 7 месяцев назад

    🙆🤦😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ramadhanisa6991
    @ramadhanisa6991 7 месяцев назад +1

    Kiki akafanyie huko

  • @J74251
    @J74251 7 месяцев назад

    Shekhe tambua ata wewe sio mkamilifu tu hapa duniani kwa nini utoe hukumu kwani wewe ni nani unamrarua wewe kama nani acha kua na fkra potovu kaa ukijua mungu ndie anaejua hatima ya kesho yake sawa na sio wewe manake unaongea ubwabwa tu

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 7 месяцев назад

      www akili huna yaan maneno ya harm kashakufulu kwa mujib wa Sheria ya kiislam kusema lazima anatakiwa kutubu

  • @ramadhanisa6991
    @ramadhanisa6991 7 месяцев назад

    Tunamsomea dua huyu ss

  • @siphamathew503
    @siphamathew503 7 месяцев назад +1

    Kimebuka

  • @ramadhanisa6991
    @ramadhanisa6991 7 месяцев назад +1

    Toa dawa shekh

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 7 месяцев назад

    Mbona unahukumu unajuaje hukumu yako kuamini nijukumi ra muumi muombee siyo amuri mnakosea shehe hakuzariwa shehe asimfunge kidi akiaamua kufungua kanisa utamuhumu wewe hiyo niimani ya AMONAiZI siyo wewe

  • @zacharianyiti9386
    @zacharianyiti9386 7 месяцев назад

    Unakuta mwana kashatubu zake huko nyie mnabaki kusema kafiri

  • @kassimussimachanoh6971
    @kassimussimachanoh6971 7 месяцев назад

    Wewe kama nani hapo wewe pia ushajivisha kumhukumu harmonaze kwa cheo gani katika dini? (igijitanibu saba elmu 7)hapa wewe she he wa mchongo, hakika guzo za imani ni sita 6 kama hujuwi wewe nimuongo tafuta njia nyingine!!!

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 7 месяцев назад

    Team wasafi 😀

  • @AJ.m6jn
    @AJ.m6jn 7 месяцев назад

    We nani mavi tu

  • @LudovickMushi-y7y
    @LudovickMushi-y7y 7 месяцев назад

    Unatoa hukumu kama nani

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 7 месяцев назад

    Wacha upumbavu wewe mtangazaji. Muacheni rajabu aangamie hana wazazi huyu

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 7 месяцев назад

    Mjadala kama huo m naona n wakijinga harmonize n star hzo n Kiki tuu alafu ninyi mnachukulia seriaz

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 7 месяцев назад +3

      Usanii wake asimfananishe Mungu na jinsia yakike au yakiume

    • @habogorimanaathumani6125
      @habogorimanaathumani6125 7 месяцев назад +1

      Kiki sio kwa kufananisha Mungu na viumbe wake hilo linampeleka moja kwa moja kuwa Kafiri .kulingana na Imani ya kiislamu.