MKE AFICHUA SIRI YA MUME WAKE,MAPENZI YA JINSIA MOJA AMWAGA MACHOZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @GiftMadaraka
    @GiftMadaraka Год назад +3

    Nice ctory binafc nmejifunza kitu

  • @rahimaessa2552
    @rahimaessa2552 Год назад +14

    Nimefatilia hii story aisee congratulations my sister ❤❤❤

  • @يوسف-ح1ل9ن
    @يوسف-ح1ل9ن 2 года назад +17

    Ila mzungu ameingia pasipo ingilika mke hajielewi nimropokaji atare

    • @VioVioleth20
      @VioVioleth20 7 месяцев назад +1

      Mm nimemwona ni Kama amevurugukiwa akili

  • @duncanenyodi6222
    @duncanenyodi6222 10 месяцев назад +1

    Gift, unasura ya kuvutia sana. Tena mutanzania bwana.....waaaah. Labda tu iwe uzungu umepenya sana lakini iwapo mtanzania kweli kweli basi na ishuke neema

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 2 года назад +13

    Hujafika umepatikana..Ulaya maisha ni magumu sana.Tuulize sisi tuliokaa huku
    miaka mingi tutakuelewesha.Acha kujidhalilisha humu mitandaoni.utajiharibia.(Nimeishi Ulaya miaka 28 Sasa).

  • @hakunamatata9919
    @hakunamatata9919 Год назад +2

    Wazungu wengi maskin huko kwao maisha yako juu wanakosa hata wanawake wakua nao wanawake wa huko wengi wanataka hela,,,wanajifanya kwenda nchi maskin kupata wanawake kwasababu wanajua huku wanapendwa sana,na tunavyojua kuwashobokea kuzan wanahela ndio shida inapoanzia hapo,,,btw wazungu wachafu sana na wana roho mbaya,Hao Waitalia kwa ubaguzi marekani ikasome

  • @fatmasalim7035
    @fatmasalim7035 Год назад +7

    Asante dada unatupa funzo kwakweli

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 Год назад +6

    Dada zetu wa kiafrika wengi wao ni njaa na tamaa za kutaka maisha ya rahisi na kujiona fahari kuwa na mzungu bila kujali umri ! Wengi tu tunawaona wakiwa na vibabu vya kizungu

    • @MiziletiESENDI
      @MiziletiESENDI Год назад +1

      Kbs mm siwezi wengi wanaua watu na wengine wanakula

    • @KennyYahya-zm8km
      @KennyYahya-zm8km Год назад

      Ila umri sio tatizo mbona ikiwa kuna upendo wakweli tatizo ni tamaa tu

  • @bonita329
    @bonita329 Год назад +8

    wataliano ni washenzi sana .. mimi nimemuelewa sana huyu dada

  • @evansmbula984
    @evansmbula984 11 месяцев назад +3

    Hukuelezea historia yako vizuri, ili ingesaidia wadada wengine. Umeibania Sana mahali pengekua nipamaana. Haina maana kuielezea sababu ya kuibania.

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 2 года назад +21

    Uyu dada sio mtanzania ila very confidence:tafuta kazi hacha kuuza mwili

    • @samirakiango957
      @samirakiango957 2 года назад

      Nilihisi iko kitu kama sio mkongo basi watu wa mpakani na Burundi

    • @frankie6207
      @frankie6207 Год назад

      Huyu mbongo hata hicho Kiswahili chajiuza

    • @Carolbenny
      @Carolbenny Год назад

      Hizo l kwenye r eti amefulaia😂😂😂😂😂 huyu Kuna kabila au nchi inamuhusu😂😂😂😂

    • @Carolbenny
      @Carolbenny Год назад

      Anakasilika Yani hizi l, inawezekana anaongea ukweli ila kwenye kuelezea vitu havijapangwa vizuri ila it might be very true pole sana 😢😢😢

  • @dorcasmumo7136
    @dorcasmumo7136 2 года назад +3

    Pole sana lkn nauliza ulizaa mtoi ama vipi

  • @hasani565
    @hasani565 Год назад +14

    I believe her..what a strong sister..

  • @mwaliinromekenyaitaly2820
    @mwaliinromekenyaitaly2820 Год назад +2

    Jamaani, sio mzungu, ni mwitalia, hawa watu ukimwongelesha kizungu anaenda mbio.... so, yafaa mfahamu sio kila mtu mweupe mwaita mzungu.. wazungu ni British and America.

  • @halimaomar3280
    @halimaomar3280 2 года назад +15

    Huyu dada mrembo natural

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Год назад +1

    Mshenzi sana mbwa wewe hizi blal full kumamako🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 года назад +6

    Tamaa zake ndio zilipo mfikisha kisha mchuna mzungu alijua ni buzi la kuchuna kachuna kama unavyo jua shibe mwana haramu kisha shiba anza kumdharalisha vipi alivyo pata watoto 4 kwa umalaya

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 2 года назад +29

    Kuna vi2 vya aibu
    Kuongea kwenye media
    Kuongea vi2 vya chumbani/faragha....! Sijaona mantic ya kueleza ujinga huu

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 2 года назад +3

      @@ujumbekwawaulimwengu Sasa watu watajifunzaje nyie Siri Siri ndio nini??

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 2 года назад +2

      Aibu ya wapi wakati anawasaidia wengine wachukue tahadhari ya maisha

    • @MyJOSE2013
      @MyJOSE2013 2 года назад

      Wanawake huongea wapone nafsi. Wewe zidi kujikunyata kisha wajitia kitanz

    • @nahimanaaisha4284
      @nahimanaaisha4284 Год назад

      Mambo mengine sio yammitandao

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад

      Mtandao sio tbc

  • @rehemamsekeni8972
    @rehemamsekeni8972 2 года назад +16

    Pole sana dada ushauri wangu endelea kumuomba mungu endelea kuamini kuwa na imani na mungu kama unaabudu kwa mwamposa endelea usiache mungu anasikia na pia muombee mtoto huko aliko apumzike kwa amani wazungu wengine ni mashetani

  • @AliceMungai-yf7oe
    @AliceMungai-yf7oe 6 месяцев назад +1

    Watching from 254...

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 Год назад +4

    Mwanamke MashaAllah ❤

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 года назад +4

    Commander au Commandor 😂😂🤣🤣👏 mwanamke mzuri wewe na hodari lakini ni bahati mbaya tuu...

  • @susans4490
    @susans4490 2 года назад +4

    Mara alikupa laki sita za TZ mara umefika Dar ukachengi hela ule 😳🙄🏃🤣🤣

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 Год назад +25

    She's a good story teller and she seems to be honest and truthfully in everything she says. I empathize with her for everything she went through. I like her too

    • @RashidHaji-ts1ff
      @RashidHaji-ts1ff Год назад

      I’m t

    • @janetwangari9850
      @janetwangari9850 Год назад

      ​@@RashidHaji-ts1ff1

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 Год назад

      Sasa Dada nyie mnatuacha Sisi kaka zenu mnaolewa nawazungu,pole sana sister.

    • @Thevineyard9889
      @Thevineyard9889 Год назад

      @@raymondjohn3798 mapenzi hayajali mipaka, rangi wala ukabila. Haiwezi kuwa ajabu kwa wewe pia kutokea ukapendana na mama wa kizungu na kuwaacha dada zako wa ki - Afrika/Kitanzania wakilalama kama wewe!

    • @issasalmansomme580
      @issasalmansomme580 10 месяцев назад

      Uyu dada malaya tu

  • @SwaumuSwalehe98
    @SwaumuSwalehe98 9 месяцев назад +3

    Pole xan

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 года назад +8

    Uyu dada anakiburi ukienda ugenini niuwe mpole na shida ufwata shida ..alafu mwanzo ulipo fika apo kwake ulipadharau iyo sipoa ungeonesha upendo.

    • @happyhousekeeper
      @happyhousekeeper 2 года назад +1

      😄🤭 Amejifunza bila shaka, my dear nakukaribisha kwenye channel yangu jina Hello Happy Tz
      Hutojuta
      Tafadhali subscribe 🙏

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 2 года назад +3

    ndo mkome ooh naolewa na mzungu.
    Sasa mzungu kawa mdhunghu., analiwa yeye sasa

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 года назад +9

    Pole sana. Kweli ni mrembo. Napenda macho yake na meno yake. Atafute unalozi na kampuni za dawa za meno. Anaweza kufanikiwa. Ni mcheshi na kajieleza vizuri tu. Maisha ni changamoto. Mungu akupe wepesi usikate tamaa. Umri ni namba wewe sio wa kwanza. Na wengine wanalelewa na wazee kuliko wewe. Bahati mbaya haikuwa mtu mwema. Pole sana.

    • @mbarukiandrea5686
      @mbarukiandrea5686 2 года назад +1

      Kazingua mwnywe mim npo Congo huku lkn alichfmfnyia mzungu c hak wadada wa tz cjui wapoje anaongea ukwl il kazingua namjua vzr

    • @rahimaessa2552
      @rahimaessa2552 Год назад

      ​@@mbarukiandrea5686wee mongo😅😅😅😅😅

    • @lucyngigi7720
      @lucyngigi7720 Год назад

      Uongo mtupu

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 2 года назад +3

    Pole dadangu yote yatufika cc wanawake

  • @ramadhanineneza7317
    @ramadhanineneza7317 2 года назад +10

    Muongo huyu mdada ulipata vp passport bila birth certificate?story ya uongo hiyo pia wazungu wanaishi apartment za kupaga wanalipa kidogo kidogo mpaka hata miaka 30 ndo wanamaliza madeni kibao wazungu

    • @katalamohamed4305
      @katalamohamed4305 Год назад

      Sasa kwani mpaka aeleze mambo ya birth certificate si inajulikana ukitaka passport lazima uwe na hivyo vitu na sio lazima birth certificate hata mkienda mahakamani mnapata kiapo

    • @ZamiraMuhammed
      @ZamiraMuhammed 2 месяца назад

      Acha uongo unataka umaaruf mtandaon jamn

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +7

    Mulikorofishana Kwa sababu hukutaka kulawitiwa na yeye alikuwa keshazowea hayo kufanya na kufanyiwa na ilikuwa hao marafiki zake wanafanyana

    • @PeterMgani-v7c
      @PeterMgani-v7c 4 месяца назад

      Huyo muzungu alikuwa shoga huko kwao alikuwa anaenda kugogwa nyuma .mshenzi huyo..dada uliingia choo cha kiume

  • @JamesKahiu-q9k
    @JamesKahiu-q9k Год назад +1

    Uyu mwanamke mwongo sana ana hekaya za abunuasi na chaneli tofauti tofauti nimepitia hadithi zake za urongo zisipungue kumi

  • @omaryteddy62
    @omaryteddy62 2 года назад +11

    Mambo yenu ya sili muna tuletea kwenye mitandao kwa nini Kati hiyo ni sili yenu

    • @MyJOSE2013
      @MyJOSE2013 2 года назад +1

      Ndio watu wajue haya mambo yatendeka. Ziba masikio kama hutaki kuskia🙋

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 2 года назад +1

    Asante dada umefunguka

  • @tz5454
    @tz5454 2 года назад +9

    Watoto wangu Nimezaa halafu naulizwa unasitasita

    • @princessvivian0
      @princessvivian0 Год назад +1

      Unapenda mtu kuzaliwa naye unakana watoto wako ufala hiyo

    • @amourkarenzo9713
      @amourkarenzo9713 Год назад +1

      Iyo point ina ashiria ni story ya kutungwa.

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter 3 месяца назад

      ukiona hivo anadanyanya

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 Год назад +1

    Daa MashaAllah naskia sauti ya khaki kwa umbali

  • @rosewilliamson2153
    @rosewilliamson2153 Год назад +3

    Mkipata hawa watu mkae nao nyumbani . Uku maisha Ubadilika maana haupewi tena bali unajifanyia kazi

  • @melkiorgladness4696
    @melkiorgladness4696 Год назад +1

    Pole mwanangu..

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 года назад +7

    HUYU DADA USHAMBA NDIYO UNAOMSUMBUA,NA UJUAJI USIOKUWA NA MAANA.

  • @majimoto75
    @majimoto75 Год назад +1

    What is a starter?

  • @Kipepeo.zpt00
    @Kipepeo.zpt00 2 года назад +3

    Alipataje passport bila cheti cha kuzaliwa 🤔

  • @mariamsaid4978
    @mariamsaid4978 Год назад

    jamani lugha hizi. ana matatizo ya herufi .between L &R .ESIOPIA

  • @benardbwanali611
    @benardbwanali611 2 года назад +7

    Tamaa zako umekosa vijana acha uzushi wwe ulitaka pesa sio mume vuna ulichopanda vumilia ndo mumeo huyo mzee

  • @platinummarcus1341
    @platinummarcus1341 Год назад +6

    Huyu dada Muongo:
    Huwezi kwenda kupewa visa eti ukaenda na mabegi ili usafiri kabisa. Na pia huwezi kukata tiketi ya ndege kama hujapata visa, unachofanya unakata booking ya ticket ambayo haina malipo na hiyo ndo inakusaidia kupata visa. Ila hulipii kwani mashirika ya ndege yanafahamu kuwa unaweza lipa na ukanyimwa visa.

    • @abudoeugenio6903
      @abudoeugenio6903 Год назад +1

      Nakubariyana nawe bro. Ni uwakikishe umepata ruksa namaanisha visa ndo book ticket.

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 Год назад

      Mi nshawahi hiyo nlihakikishiwa inatoka siku hiyo na muhusika nlienda saa 4 nikachukua ndege ilikuwa inaondoka saa 11 jioni

    • @carolinemusimbi9232
      @carolinemusimbi9232 10 месяцев назад

      Sheria ya kuapply visa lazima ukate ticket na Hotel ya kwenye utaishi ama invitation ya anaekualika

    • @ChelseaBatano
      @ChelseaBatano 8 месяцев назад

      Yanii😂😂

  • @faithmackena6387
    @faithmackena6387 2 года назад +40

    She speaks the true I'm very sorry my sister

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 года назад

      Speaks the Truth of what? And sorry for what? Are you kidding? No way😂

    • @faithmackena6387
      @faithmackena6387 2 года назад +2

      Yes I'm feeling sorry for her 😞 kwa sababu nko na moyo

    • @faithmackena6387
      @faithmackena6387 2 года назад

      She make a mistake and she cleaning now 🙏🙏

    • @faithmackena6387
      @faithmackena6387 2 года назад +1

      Love your neighbour the way you love yourself🙏

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 года назад

      @@faithmackena6387 You feel sorry??!! Sorry for what, do you know the WORTH of SORRY?? Don't kid me,please!!😎

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 года назад +3

    Pole Sana ila jitahidi kwenye L na R.

    • @janetmuhando1419
      @janetmuhando1419 2 года назад

      Umeona eeeeeeeh ELO na ALA zote FLESHI TUU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 года назад +11

    Sasa mnafikiri wazungu wote wana gari ?bus, tram, train zipo

    • @IANA2030
      @IANA2030 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

    • @chantaltulizo5029
      @chantaltulizo5029 2 года назад +1

      Mzungu maskini mimi niko marekani hata wanipe muzungu kwa bure siwezi kwanza wachafu kazi natumika natumika nao ila wakija Africa wanajifanya watu wapesa hawana kitu hao

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 2 года назад

      @@chantaltulizo5029 Asante umeongea point sisi waafrika tunaanzani wazungu waarabu wahindi etc wanapesa sio kweli

    • @chantaltulizo5029
      @chantaltulizo5029 2 года назад

      Siyo kweli hawana pesa tunatumika kazi moja namwenye ana pesa ni mugumu saana pia huwa wanaomba barabarani nawenyewe tunawapa pesa ndio ukweli huyo

    • @stanleyguthia7771
      @stanleyguthia7771 Год назад

      @@chantaltulizo5029 maskini wako kila mahali duniani

  • @AsnatiHasani
    @AsnatiHasani Год назад

    Pole sana we dada lakini upunguze tamaa yapesa wazungu sio watu wazury

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 2 года назад +4

    Ati unafunga ndoa bila kuwashirikisha ndugu?? Hata ndugu mmoja hajui!??? 😪😪😪😪 Tamaa ya pesa za mzungu imekuponza rudi magotini kwa bwana nae atakurehemu

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад +2

    SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 года назад +12

    Hili dada lishamba liingo na jinga pia

  • @shejamy06
    @shejamy06 2 года назад +1

    Wesunion 😅😅😅😅😅 bustan ya mboga 😅😅😅😅😅😅 yaaaan hyo bibi popote alipo tunampa salute

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 года назад +9

    Ulipataje passport bila chet cha kuzaliwa?🙄 mana kwenye passport ndo muhim kua na chet cha kuzaliwa

  • @KharidHABONIMANA
    @KharidHABONIMANA Год назад +1

    Yooooo pole sana

  • @ramseykalu3911
    @ramseykalu3911 2 года назад +36

    A very good story teller.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Год назад

    Alichagua mwenyewe kwa kukidhi mahitaji yake mwenyewe bila kulazimishwa. Matumizi mazuri ya hiyari. Maelewano yao ...

  • @zainaburashidi3639
    @zainaburashidi3639 2 года назад +9

    Uongo mtu anatafuta kiki wallah kwa hiyo sisi tulio kuwa dar hatuzai

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 11 месяцев назад

      binti wa kiislam mwenzio huyo

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 2 года назад +1

    Thanks so much

  • @natalisaid5414
    @natalisaid5414 2 года назад +4

    Sasa umeondoka umepata faida gani sibora ungevumilia umekosa yote

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 Год назад +2

    Ilikiwa umepata dada 👏🤲🙏🏾

  • @missmrs829
    @missmrs829 2 года назад +4

    Huyu ni maraya aliye kosa soko 😅😅😅😅alafu ajielewi kuwa anajizalilisha 😁😁😁

  • @ramadhanineneza7317
    @ramadhanineneza7317 2 года назад +2

    Huyu muongo kuna baridi sawa ila nyumba zina heater usitufanye hatujafika Europe

    • @rosendile8235
      @rosendile8235 2 года назад

      😆😆😃😃😀😀😅😅

  • @doriskanyenda3978
    @doriskanyenda3978 Год назад +12

    Is she alright kweli? Una watoto wangapi, anajibu vitu anajichanganya mara three, mara wote wapo, mara mmoja bahati mbaya, halafu Tena wapo Watu 😢😢😢

  • @gisellkamikazi8337
    @gisellkamikazi8337 2 года назад +2

    Mmmmmh!!!pole san dada

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 2 года назад +6

    Wazungu wengi hasa wataliano mashoga

  • @msafiri85
    @msafiri85 11 месяцев назад +2

    umependa Tigo

  • @Sabrina1977-y
    @Sabrina1977-y Год назад +6

    WAZUNGU WENGI SANAAAAAAAAAAAA WAKO NA HIZO TABIAAAAAA!!!!! NDIO SABABU WANAENDA NCHI MASKINI KUCHUKUA WASICHANA WADOGOOOOOO!!!!!!!!!

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 года назад +1

    Uliwahi kabla hujamchunguza wenzio tunawasoma umekurupuka pole sana

  • @aminaolver5128
    @aminaolver5128 2 года назад +7

    Comments nyingi zina sema huyu dada nimuongo

  • @shi5a_
    @shi5a_ 2 года назад +2

    Msitiri usimfedheheshe mungu nawe atakufedhehesha mhh bado dunia haija kugonga

    • @najashdawood9680
      @najashdawood9680 2 года назад

      Hajitambui kabisa huyu dada gahba mkubwa huyu

    • @AwaShaban
      @AwaShaban 8 месяцев назад

      Chizii hili

  • @nasramohamed3353
    @nasramohamed3353 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣waina lilai waina lilai lajiuna. Jamani mbaavuuu zangu

  • @WinFriday-km2ob
    @WinFriday-km2ob Год назад +1

    Pole sana dad

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 года назад +5

    tamaa ya kupenda rangi nyeupe ,, ulijua umepata Tajiri na Kenya wapo wengi Tu wanaenda Italy na kufungiwa Kwa Banda la mbwa

  • @youngcleva7841
    @youngcleva7841 2 года назад

    SASA KUTOA SAUTI NDO NINI, MMEBOA KWA KIASI KIKUBWA SANA. Kuna massage tungepata lakini mnatoa sauti yoote

  • @mwaliinromekenyaitaly2820
    @mwaliinromekenyaitaly2820 Год назад +23

    Naishi Italy 🇮🇹 na hiyo ya kusema ati hakuna ugonjwa ni uongo mkumbwa sana. Hapa kuna pia Care Homes ya watu wanao Aids

    • @AnnPhillips-cp2zi
      @AnnPhillips-cp2zi Год назад +1

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @julietnderio5887
      @julietnderio5887 Год назад +1

      amesema mzungu kumwambia huko kwao sio mwing kama kwetu

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 Год назад

      Hi 👋

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 11 месяцев назад

      huyo mzungu as u can see he was just using that girl. and she dont have any knowledge

  • @hazinaamar3578
    @hazinaamar3578 Год назад

    Dada ni muongo sana jamani laa unasahau vingi unavo sema kwenye ndoa ilishindikana huna cheti Cha kuzaliwa hapohapo unasema paspot teari Sasa paspot utapata huna chet Cha kuzaliwa dada tupunguzie kidogo iwongo

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 года назад +5

    Tamaa kuolewaa na kibabu ulizani ukitwa babuuu utakua na nguvu Kama kijana kwanza angekupiga nyuma ungetwambia

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад

      😂

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад

      Kum buusti unaona ni sawa kunyoonyaa sawa kutiwaa sawaa sasa inakuaje kufirwa si sawa na wewe ni MKE wake wa halali 😢😢😢😢ata bongo hi ni kawaida tena sana ni kuwa watu hawasemi wewe umeona umdhalilishe mumewo kwa vile yamekushinda wenzio wanaililia nafasi hio ya kumpata mzungu huyoo. Sasa una nyumba umejenga?? Jibu ni no 😢

  • @enockondara8911
    @enockondara8911 11 месяцев назад +2

    Nice 💮🎉

  • @teetracebuddy4099
    @teetracebuddy4099 2 года назад +3

    Sio wazungu wote wanapesa au hawakosei ikumbuke wazungu pia ni binadamu km binadamu wengine pia ni wanaume kma wanaume wengine sasa nyie mbuzi mnaosema et ni uongo it's complicated story yye mwenye nayo ndo anazungumza acheni matusi na kumkshifu mtu kila mtu anae maisha anayopitiaaa 😏😏 pole dr japo story wamekudhurumu mbwa hiziii mtu anawapa really story ya maisha yake leo mnamuona koloo

  • @jenifferkakuvi2600
    @jenifferkakuvi2600 2 года назад +2

    Weeee naishi ndani ya Europe 🇪🇺 7 year's Russia 🇷🇺 1 year wacha kuzidisha baridi unazidisha

  • @ornellazamila7983
    @ornellazamila7983 2 года назад +4

    Ila huyu dada nimwongo cheki anavyo ongea kwakujiwaza waza😄😄😄

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 Год назад +1

    Si mwapenda pesa nyinyi endeleeni

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 2 года назад +7

    Nampenda huyu dada amenifurahisha kuogea ukweli

  • @VioVioleth20
    @VioVioleth20 7 месяцев назад +1

    Kwan mbona Kama akili yake haukosawa!!😢

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 2 года назад +26

    Ukweli wa hi story NI 15% kwenye 100%
    Ila Kama NI bando umefanikiwa kula bando langu...

    • @aftapat5365
      @aftapat5365 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 kama la shing ngap

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 2 года назад

      Bando limeenda 😂😂😂😂😂

    • @youngmaster4127
      @youngmaster4127 2 года назад

      Hahahahahahaha kwakwel

    • @ireneimbuhira7759
      @ireneimbuhira7759 2 года назад

      🤣🤣🤣

    • @wanaupendotv7183
      @wanaupendotv7183 2 года назад +5

      Mi najipendeyaga umbea ata wadanganye na relax tu kujisikiliya hestoriya ya maisha ya watu👌🏽👌🏽

  • @Rashadi-j8b
    @Rashadi-j8b Год назад

    Dada nikweli wazungu ndio wanaoleta maradhi Africa hilo wakubali wakatae mimi nawajuwa nishawasikia kwenye kikao chao wanajisifia jinsi wanavyo am 19:00 bukiza maradhi black people's dah siopoa ndugu msimpuuze

  • @lovenesyshoo6399
    @lovenesyshoo6399 2 года назад +6

    Hukuwa tu mvumilivu ungesubiri tu mbona angeona unakubaliana naye kila kitu anachotaka mbona ungembadilisha jinsi unavyotaka na angekukubalia nawe kabisa bila kupinga , na hivi ulishashika ujauzito ulikuwa ndio muda wako mzuri wakupata chochote unachohitaji kutoka kwake, na usikute jinsi alivyokuwa anachokufanyia alikua anakujaribu aone jinsi gani ulivyo mvumilivu na mkweli , kwani ndoa si kitu cha mchezo ukiingia ndani lazima uwe mvumilivu kwenye shida na raha.

    • @abigagogo3484
      @abigagogo3484 2 года назад +1

      Wew una juwa wajungu kweli ni urize Mimi naka🇳🇿

    • @lovenesyshoo6399
      @lovenesyshoo6399 2 года назад +2

      @@abigagogo3484 sasa nitajibu kama sina uzoefu nao nipo nao na ninaishi miaka 25 sasa , utanieleza nini

    • @asyakinega9945
      @asyakinega9945 Год назад

      Nyie nae tuleteeni story zenu😅😅😅

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад

      Hayoo ndio maoni yangu kabisa. Mwanamume ukimfurahisha kitandani kwanza mzungu utapata kila kitu. Mbona wakenya wamejenga ma hoteli Mombasa kibao kwa ku olewaa na wajerumani na wa swiss na urahia pia wanao yeye karudi bongo na matako yake mabichi na mdomo wa story nyingi za uwongo 😢😢😢

  • @kajinjirashid5590
    @kajinjirashid5590 2 года назад +1

    Wa italy haki..wanakula madada zetu na waume matako sana..🤣🤣🤣ogopeni wazungu jameni..mtakoma tu

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 года назад +9

    Upewe pesa kila mwezi na ukashindwa kujenga nyumba yako na wanao mh.aya kila mtu na akili yake.

    • @saifarafa8728
      @saifarafa8728 2 года назад +3

      Akili ni nywele. Watu wangine tukiwa hatuja pata kitu hua tuna mipango ya maana ukikipata akili zinakuaga si zetu

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 года назад

      @@saifarafa8728 kabisa

    • @mariamnuru9939
      @mariamnuru9939 2 года назад +1

      Nashindwa mm watu wengne 🤣🤣

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 2 года назад +1

      Inategemea na pesa Yenyewe Aliyo kuwa akitumiwa sio kila pesa inatosha kujenga kutokana na Hali yako ya Kimaisha..

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 года назад +2

      @@stevenlugojeremia2323 ukiwa na kidogo chako jitaidi kiwe kikubwa..niliwai kucheza mchezo wa sh.200 kila cku japo mchezo ulikusanya watu wengi wa dar. Na kila sehemu kulikuwa na kijumbe.mia mbili yangu ya kila cku nilinunua ardhi.

  • @JustinaFesto-ym9le
    @JustinaFesto-ym9le Год назад +2

    Pole mpendwa muombe mungu tu usikate tamaa

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 года назад +8

    Huyu dada muongo sana hv kweli mtu anakuuliza unawatoto wangapi unaanza kufikiri ndo unajibu yani stori nzima haijakaa vzr uongo mwingi

  • @graciousmbise5464
    @graciousmbise5464 2 года назад

    Sio vizuri kumdhalilisha huy mzungu tena kwa kumuonyesha kweny picha 🙄🙄sio vizuri hata huy mzungu atakuwa anaumia kwa hiyo hali yake hafurahiii

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 2 года назад +3

    Yaani wadada wengine mizimu kabisa..unamficha mzungu babu kuwa unao watoto 3 hile hali yeye mwenyewe babu,,uliua wawili kwa mdomo kududi pesa,,yote sawa usijutie lilofuata...je baba watoto 3 huko hai au?

    • @happyhousekeeper
      @happyhousekeeper 2 года назад

      😄😄 Jaman mizimu
      My dear naomba support yako kwenye channel yangu jina
      Hello Happy Tz
      Hutojuta nakuahidi

    • @salomemueni100
      @salomemueni100 2 года назад +1

      @@happyhousekeeper kwetu kenya hila napenda ndugu na dada zangu Tanzania.. nimeweza kuangalia channel yako ama kwa kweli umefanya mengi kama vile kuuza manyumba,upishi wa viungo tamutamu kama madazi, na historia yako kwa kweli nimependa.youtube ni channel napenda maana kuna mengi tu sana yakujifujia..
      Asanti.

  • @ChelseaBatano
    @ChelseaBatano 8 месяцев назад

    Kwnza Hana hata hela huyo mzungu itakua😂😂mzungu anajiweza na kujielewa hawezi kubali kukaa sehem cheap hata siku moja

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 года назад +4

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nyumba kama Dungu. Ndani mende kibao😂😂😂dah

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 2 года назад +1

    Kwa mini hukumwacha tangu Tanzania, vitu vingine sii vya kuongelea sehemu Kama hivi

  • @pambacharles8149
    @pambacharles8149 8 месяцев назад +3

    Uliangalia maokoto hukuangalia maisha, ulipenda pesa, acheni hiyo

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 2 года назад +2

    Lakini vipi ulipata passport bila cheti cha kuzaliwa?

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 2 года назад +4

    Pole sana Gift 😢 ……

  • @joycejonas3663
    @joycejonas3663 2 года назад +1

    Joyce jonasi