Dada huwezi kusalimika Kwa kukimbilia Kwa rafiki Yako. Njoo hapa Kimara Temboni Kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha Ili akuombee na kukuachanisha na hizo roho za kuzimu. Karibu sana Kwa Yesu na utakombolewa na kuanza ukurasa mpya wa maisha.
Itabidi ushikamane na ibada Sanna na ukumbuke kumtegemea ALLAH HUAKBAR kwakila jambo Nasio kutegemea kitu kisichokua ALLAH matokeo yake ndio hayo SHEYTWANI daima hakupi kitu buree lazima utalipa tuu na malipo yake ni kumkufuru ALLAH Lakini msada wa ALLAH hauhitaji malupo wala sadaka wala nini TUMTEGEMEE ALLAH HUAKBAR KWAKILA JAMBO
Uyu mama mwongo sana anajitangaza uchawi wake. Bosi wake anasema kiswaili? Uko kwa mamkubwa ao kwa rafiki yako mbona umechanganikiwa bibiye 😅 Ukweli hufichwi nikama mimba 😊 Usitafute sifa kwenye ma social media 😂 😂😂kama Sheni na bibi wamyaka 60😂😂😂
shukran ....Halima.usimtowe mwanao mbona Hawajitoi wenyewe wayaone hayo Mateso ......Kwani lazima utajiri utoe mwanao kwa Manufaa gani ikiwa Mola amekupa Akiwa mzima wewe wampeana kwakuwa Hana Thamani wewe diwe mwenye Thamani........kiumbe kiovu Kichafu kibishi.....mwisho wa yote utarudi kwake yeye mumba wako. kwa ujinga wamwanada unakitii kiumbe kiliotiwa uhai niMwenyezi Mungu...ulindanganywa ninani shetani jini ibilis hawana uwezo wowote kuhusiana na uhai Mwenye uwezo wauhai tu niALLAH.s.b.w sijui jini lussifa shatan kibwengo....ukwaju porojo vyote hii lazima tena sikia kwamamini lazima uhai wao urudi kwa Mwenyewe......Je wamjua...kama humjui usidangannywe ni wapumbavu . Mwenyewe ni.......ALLAA....s.h.w kazi kwako. shukran❤🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪🇰🇪❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤ 39:27
Dada kimbilia kimara temboni kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha utapata ufungulivu hayo majini hayatakudai damu tena utakuwa huru kuliko kukimbilia kwa rafiki wakati pete inauwezo wa kumtoa kafara hata huyo rafiki yako😮😮
Mdogo wangu hakuna awezae kukuokoa na hilo isipokuwa ni mungu pekee na kwa kumwamini yesu kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako suluhisho pekee ni yesu tu
Uyu dd nimemsikiliza vzr tena hata oman apajui uyo bosi wake alikua anaongea nae lugha gani ww dd malaya mkubwa ww usituhalibie oman ye2 nchi ya amani tena koma 😂😂
Muongo mkubwa moto unakungoja pesa uliyopewa haitakusaidia chochote mchawi ukome Oman Habari zote za boss ulizia hata kwenda kwa Ustadhi na huyo mama arudishwe nyumbani kwao wewe ubaki na boss Si pete tu ingekurudisha Tz Mkataba Oman ni miaka miwili wee kizabizabina nyooo
Dada huyu muongo sana hakuna mtu anae teswa oman,huyu ni wale ambao hawapendi mendeleo ya mtu Hayo mengine ya pete ni imani za kishitikina usidanganye watu Una taka umaarufu😂😂
Dunia simama nishuke maana ulimwengu umejaa watu waongo,jamani kumbe kutafuta umarufu ndiyo hivi,ustar siyo lazima uimbe au uwe muigizaji jamani,hata ukitafuta story za kwenye movie tena hasa movie za wa Nigeria 🇳🇬 ukauvaa huusika,basi tiyari ushakuwa maarufu,sivyo jamani,dada anaelezea hadithi za kwenye movie za kinaigeria kabisa,mungu akusamehee sana kipenzi na akupe muangaza ,akutoe kwenye kiza cha wachawi,maana naona wewe na huyo mama yako muna mpango wakuingia kwenye ushirikina,shindwa na ulegee😢
Japo story ni ya uongo au promo ya mganga lkn nimefurahi kwa kuwa waalabu wanawatesa sana wafanyakazi, haswa ukisikiliza story za wanawake wa Kenya waliorudi arabuni waliopitia madhila makubwa
Huko Africa wanaume wengine na sio wote wanazini na ma yay wa nyumbani wafanya kazi za nyumba! Wanawaacha wake zao wanawapenda wafanya kazi kwa kuzini nao sio uarabuni tuu huko ndio sannaaa mambo hayo yanafanyika! Lakinj mbona hamyasemi!? Ili itakuja kuonesha kuwa nyie watumishi waking ndio makhabbithi uzini na warmer wa madamu zenu na mimba wanatiya na kuwaowa wanawaowa juuu ya wake zao. Na mke masking ya MUNGU HANA KILMA YA KUSEMA NENO KWA MUME! ALAU HUKU ARABUNI WANAWAKE WENGI WANAFANYA KAZI NA WANA VYEO WANAWEZA KUJITEGEMEA WENYEWE JE!? HUKO WANAWAKE WENGI GAWANA KAZI WALA KIPATO CHOCHOTE KILE NDIPO MUME ANAMTAWALA MKE SASA! ANAVOTAKA YEYE😢 AUDHU BI LLAH MINA SHEITTAN RAJEEM!😢! SO MANY AFRICAN ASIA HOUSE MAIDS ARE IN OMAN! NA HATA SIKU MOJA HATUJASIKIYA MTUMISHI WA NYUMBANI KUTESWA WALA KUDHULUMIWA. ILLA WAO HAO WATUMISHI WA KIKE NDIO WANAWACHUKUWA WAUME ZA MADAMU ZAO. ILI KWAAJILI YA TAMAA YA PESA N KUJIFANYA YEYE NDIE MWANAMKE ANAWEZA KUMGHILIBU MWANAMME ANAVOTAKA YEYE MPAKA AMUACHISHE NA MKEWE IKISHA ANAJITAWALA YEYE NDANI YA NYUMBA YA WATU WENYE WATOTO WAMESHAZAA NA WENGINE KUJUU PIA WAO MA YAYA WA AFRICA WAZIBOMOWA NDOWA ZA WATU😢! WENGI WAO HAO NDIVO WALIVYO! PESA WANEWEKA MBELE KULIKO IHSANI NA ADABU NA UTU! HAO WATUMISHI WA AFRICA. HUSIKII KWA MAYAYA WA HINDI WALA WA PHILIPINS WALA WA ASIAN ! ILLA FROM AFRICA ONLY DIO WANOVITUKO VYA KILA NAMNA😢! ALLAH AWAHIDI NA JAMIAN. AMIIN🤲 BORA SERIKALI YAO IWAFUNGIE WASIJE UWARABUNI HATUWAKI KWA SABABU HAWANA KHERI WALA SHUKURA HAO WENGI WAO😢! NA SIO WOTE!
Yani we dada Mungu anakiona ujue,umesema ulipanda ndege bila kumtaarifu mama yako ukamkuta uwanja wa ndege je uko kwa rafiki yako ukumkuta?fara sana wewe
Uyu hajawahi kufika oman mara eti pesa pound. Mara dactari wanyimbani😂 yani were fala kweli. Oman nzima hayupo dactari wanyimbani wanaenda Royal hospital.
Japo story ni ya uongo lkn kwa upande mwengine nimefurahi, waalabu huwatesa sana wafanyakazi haswa ukisikiliza madhila wanayopitia wanawake toka Kenya walioenda kufanya kazi arabuni 😅 imenifurahisha kuwa mualabu nae kapata shughuli japo ya uongo uongo😂😂
Kama ni kweli ulipo toroka kwenda kwa rafiki yako na kutoa hiyo habari, basi mama mkubwa atatumia pete yake kujua uko wapi. Acha uongo na uombe Radhi kwa uongo wako au hiyo pete itakudhuru.
Yaan kwakeli huyu dada ni muongo kama nin kwanza story yake inaonesha kuwa hujakaa Oman kwa mda kwamaana hata lugha hakuijua vipi malumbano ya kifamilia aliyaelewa kiasi hicho?? Na in short tyu nimuongo hatari
Dada huwezi kusalimika Kwa kukimbilia Kwa rafiki Yako. Njoo hapa Kimara Temboni Kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha Ili akuombee na kukuachanisha na hizo roho za kuzimu. Karibu sana Kwa Yesu na utakombolewa na kuanza ukurasa mpya wa maisha.
Amen
Acha huo ushaur wakipuuzi ww
Huo nao ni upuuzi pia, atatoka kwenye ushirkina unampeleka kwenye ushirikina mungine.
Itabidi ushikamane na ibada Sanna na ukumbuke kumtegemea ALLAH HUAKBAR kwakila jambo
Nasio kutegemea kitu kisichokua ALLAH matokeo yake ndio hayo SHEYTWANI daima hakupi kitu buree lazima utalipa tuu na malipo yake ni kumkufuru ALLAH
Lakini msada wa ALLAH hauhitaji malupo wala sadaka wala nini
TUMTEGEMEE ALLAH HUAKBAR KWAKILA JAMBO
Wewe Muongo sana Kwanza uwoo mchezo unaufanya.
Omn hawatumii pound. Pole sana kwa mitihani.
Pole sana dadaang ila ninachokushaur nenda kanisan kukimbilia kwa rafiki yako sio kutatua tatizo bado utazid kuandamwa.
Looooh astaghafrullah muongope mungu wako ww mwanamke kwann unawazalalisha hivo binadamu wenzako 😢😢😢
Ungeiambia pete nirudishe nyumban wewe muongoooooooo😂😂😂
Mimi nipo omani wacheni uwongo msichauwe utu wa mtu na ww dada mungu anakuona tafuta pesa kwa njiya nyingine
kwa kwel🤔
Wa omani mwenzangu bravo
😅😅😅😅Muongo huyu nae mambo ya jamila na pete ya ajabu pumbavu hajui hata pesa ya oman inaitwaje😂😂😂😂😂kwendraaaaa
Rejeeni kwa Allah
Huyoo ata oman akujui kama ela tu ajui inaitwaje haache story za uwongo muohopeni Mungu kutangaza Sonoma na humorous ata ww mtangazaji muogope Mungu 😢
Uyu mama mwongo sana anajitangaza uchawi wake.
Bosi wake anasema kiswaili?
Uko kwa mamkubwa ao kwa rafiki yako mbona umechanganikiwa bibiye 😅
Ukweli hufichwi nikama mimba 😊
Usitafute sifa kwenye ma social media 😂 😂😂kama Sheni na bibi wamyaka 60😂😂😂
shukran ....Halima.usimtowe mwanao mbona Hawajitoi wenyewe wayaone hayo Mateso ......Kwani lazima utajiri utoe mwanao kwa Manufaa gani ikiwa Mola amekupa Akiwa mzima wewe wampeana kwakuwa Hana Thamani wewe diwe mwenye Thamani........kiumbe kiovu Kichafu kibishi.....mwisho wa
yote utarudi kwake yeye mumba wako. kwa ujinga wamwanada unakitii kiumbe kiliotiwa uhai niMwenyezi Mungu...ulindanganywa ninani shetani jini ibilis hawana uwezo wowote kuhusiana na uhai Mwenye uwezo wauhai tu niALLAH.s.b.w sijui jini lussifa shatan kibwengo....ukwaju porojo vyote hii lazima tena sikia kwamamini lazima uhai wao urudi kwa Mwenyewe......Je wamjua...kama humjui usidangannywe ni wapumbavu . Mwenyewe ni.......ALLAA....s.h.w kazi kwako. shukran❤🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪❤🇰🇪🌹🇰🇪🇰🇪❤🌹❤🌹❤🌹❤🌹❤
39:27
Dada kimbilia kimara temboni kwa mtumishi wa Mungu Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha utapata ufungulivu hayo majini hayatakudai damu tena utakuwa huru kuliko kukimbilia kwa rafiki wakati pete inauwezo wa kumtoa kafara hata huyo rafiki yako😮😮
We dd Acha uongo Oman hupajui pesa pia hujui inaitwaje mara kwarafiki mara nimeandaliwa na mamakubwa we mungo xna
Mdogo wangu hakuna awezae kukuokoa na hilo isipokuwa ni mungu pekee na kwa kumwamini yesu kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako suluhisho pekee ni yesu tu
Yesu Kawa mungu eti kiroho 😂😂😂
Uyu dd nimemsikiliza vzr tena hata oman apajui uyo bosi wake alikua anaongea nae lugha gani ww dd malaya mkubwa ww usituhalibie oman ye2 nchi ya amani tena koma 😂😂
Usiseme hivyo wanafanyiwa Mambo ya ajabuvsana
ACHANA NA USHIRIKINAA NENDA KWA USTADH AKAKUOMBEEE DUAAA
Muongo mkubwa moto unakungoja pesa uliyopewa haitakusaidia chochote mchawi ukome Oman
Habari zote za boss ulizia hata kwenda kwa Ustadhi na huyo mama arudishwe nyumbani kwao wewe ubaki na boss
Si pete tu ingekurudisha Tz
Mkataba Oman ni miaka miwili wee kizabizabina nyooo
Ww dada mnyama sana kwa unyama huu dunia simama mie nishuke maana hali ni tete
Acha zako wewe😅i😅😅😅😅😅😅🎉😅😊
Kwaio mama yako mkubwa pete hanayotena mpaka asijue ulipo wakati ulipokua omani alikua anajua kila unalofanyiwa.hahahhahh MB zangu jaman
😅😅😅😅😅😅
😅😅Mtihani Kuna watu ni waongo atari
😅😅😅😅😅
mnafiki mkubwa wewe dada muogope mungu mimi nipo omani akunakitu kama hicho
Mmb
Ulikuwepo kwenye maisha yake au ndio Uswahili wakuyajua mambo yote kwenye dunia
Ulikuwepo kwenye maisha yake au ndio Uswahili wakuyajua mambo yote kwenye dunia
Muongo sana niko Omani mwaka wa 6 Sasa hayo mambo sijawah yaona kabsa
Dada huyu muongo sana hakuna mtu anae teswa oman,huyu ni wale ambao hawapendi mendeleo ya mtu
Hayo mengine ya pete ni imani za kishitikina usidanganye watu
Una taka umaarufu😂😂
Mwongo mkataba wote oman ni myaka 2😂😂😂 mouuzi mkubwa. Unda story za kweli apana kudaganya chefu
Muongo Sana tena mmh story ya uongo lol😅😢😢😢
Huyu dada ndio wanaosababisha wenzie wafungiwe watu hawan shukran
Nenda kanisani weweeeh.Hata izo shuhuda hazitausaidia kitu.
Nenda kwa kuhani musa au gwajima au matembele ya pili utasaidika kutoka kwene hiyo mitego
Usiwavunjie wenzako riziki kwenda omani unasema uogo tu hapo
Wewe utakuwa msaliti acha aseme ukweli kwani alikokuwa ndo ulipokuwa wewe.Usitake asiseme ukweli acha aseme tabia za kirimbukeni acha.
Acha uongo kweli uingiliwe na bosi wako kinyume cha maumbile halafu usipige hata kelele usitudanganye
.ukitaka pesa omba siyo uongo.oman niwatu safi achauongo
😢tokaaaaa.mbwaa wew mbea mkubwa
Pete ya Jennifer 😂😂😂 uwongo huo ni pete ya Jennifer hiyo rudisha
Dunia simama nishuke maana ulimwengu umejaa watu waongo,jamani kumbe kutafuta umarufu ndiyo hivi,ustar siyo lazima uimbe au uwe muigizaji jamani,hata ukitafuta story za kwenye movie tena hasa movie za wa Nigeria 🇳🇬 ukauvaa huusika,basi tiyari ushakuwa maarufu,sivyo jamani,dada anaelezea hadithi za kwenye movie za kinaigeria kabisa,mungu akusamehee sana kipenzi na akupe muangaza ,akutoe kwenye kiza cha wachawi,maana naona wewe na huyo mama yako muna mpango wakuingia kwenye ushirikina,shindwa na ulegee😢
Japo story ni ya uongo au promo ya mganga lkn nimefurahi kwa kuwa waalabu wanawatesa sana wafanyakazi, haswa ukisikiliza story za wanawake wa Kenya waliorudi arabuni waliopitia madhila makubwa
Lengo lako ni nini kama siyo kunadi ufirauni wewe muongopeni mwenyezi MUNGU kaburini ni kuzito
Huko Africa wanaume wengine na sio wote wanazini na ma yay wa nyumbani wafanya kazi za nyumba! Wanawaacha wake zao wanawapenda wafanya kazi kwa kuzini nao sio uarabuni tuu huko ndio sannaaa mambo hayo yanafanyika! Lakinj mbona hamyasemi!? Ili itakuja kuonesha kuwa nyie watumishi waking ndio makhabbithi uzini na warmer wa madamu zenu na mimba wanatiya na kuwaowa wanawaowa juuu ya wake zao. Na mke masking ya MUNGU HANA KILMA YA KUSEMA NENO KWA MUME! ALAU HUKU ARABUNI WANAWAKE WENGI WANAFANYA KAZI NA WANA VYEO WANAWEZA KUJITEGEMEA WENYEWE JE!? HUKO WANAWAKE WENGI GAWANA KAZI WALA KIPATO CHOCHOTE KILE NDIPO MUME ANAMTAWALA MKE SASA! ANAVOTAKA YEYE😢 AUDHU BI LLAH MINA SHEITTAN RAJEEM!😢! SO MANY AFRICAN ASIA HOUSE MAIDS ARE IN OMAN! NA HATA SIKU MOJA HATUJASIKIYA MTUMISHI WA NYUMBANI KUTESWA WALA KUDHULUMIWA. ILLA WAO HAO WATUMISHI WA KIKE NDIO WANAWACHUKUWA WAUME ZA MADAMU ZAO. ILI KWAAJILI YA TAMAA YA PESA N KUJIFANYA YEYE NDIE MWANAMKE ANAWEZA KUMGHILIBU MWANAMME ANAVOTAKA YEYE MPAKA AMUACHISHE NA MKEWE IKISHA ANAJITAWALA YEYE NDANI YA NYUMBA YA WATU WENYE WATOTO WAMESHAZAA NA WENGINE KUJUU PIA WAO MA YAYA WA AFRICA WAZIBOMOWA NDOWA ZA WATU😢! WENGI WAO HAO NDIVO WALIVYO! PESA WANEWEKA MBELE KULIKO IHSANI NA ADABU NA UTU! HAO WATUMISHI WA AFRICA. HUSIKII KWA MAYAYA WA HINDI WALA WA PHILIPINS WALA WA ASIAN ! ILLA FROM AFRICA ONLY DIO WANOVITUKO VYA KILA NAMNA😢! ALLAH AWAHIDI NA JAMIAN. AMIIN🤲 BORA SERIKALI YAO IWAFUNGIE WASIJE UWARABUNI HATUWAKI KWA SABABU HAWANA KHERI WALA SHUKURA HAO WENGI WAO😢! NA SIO WOTE!
Huyu Dada muwongo sana nyau uyu ndokwanz namsikiha yeye
Ulifanyiwa wewe nyoosha maelezo😂😂😂
Acha uongo dada 😘
We Dada mwongo akuna mkataba wa miaka nne ni miaka miwili 2 ukimaliza ndo unaongeza Tena miwili ila wwe Dada 😅ni hatari
Yani uwongo mwengine hadi shetani anakaa pembeni anachukua noti.
Wewe ni professor wa uongo sijawahi kuona muongo kama wewe vipi wewe unayajua mambo yote hayo shenanigans mmoja fitnaa mmoja
Uongo mtupu mara hapa ni Kwa shangazi kaniandalia mara tena nyumbani Kwa Rafiki angu 😂😂
Yani we dada Mungu anakiona ujue,umesema ulipanda ndege bila kumtaarifu mama yako ukamkuta uwanja wa ndege je uko kwa rafiki yako ukumkuta?fara sana wewe
Pls pls mongo Sana 🙏🙏🙏😂😂😂😂
Hii stori ni ya mchongo wanauza mb tu hakuna ukweli hapa mipango
Muwongo sana ukifirws mara.mbili tu usizahe uwongo sana tena mbeya
Mmmh haya mapya
unavotudanganya hivo iyo pua na macho ndo vinazidi ukubwa😢
Umekuja kivyenqine leo😅😅😅
😂😂😂😂
Uyu hajawahi kufika oman mara eti pesa pound. Mara dactari wanyimbani😂 yani were fala kweli. Oman nzima hayupo dactari wanyimbani wanaenda Royal hospital.
Hujenda Oman ww mbona mara zote unataja £££ paund
🤣🤣🤣🤣
Kwanza Omani hAkuna paund huku ni rial tumble mitaa ya Omani na unakaa wapi oman nitakuja kukuona
😂😂😂wamekuweza hakuna anaye kuteteye hhhhhh
Mara moja ulikosea ukasema upo kwa shangazi halafu foxe wakakata ukasema upo kwa shoga uwongo mtupu
Pole sana mkasa huo
Japo story ni ya uongo lkn kwa upande mwengine nimefurahi, waalabu huwatesa sana wafanyakazi haswa ukisikiliza madhila wanayopitia wanawake toka Kenya walioenda kufanya kazi arabuni 😅 imenifurahisha kuwa mualabu nae kapata shughuli japo ya uongo uongo😂😂
mwongo hujawai kwenda oman nakujua upo tabata shule nyaluela achen kudanganya watu
Wewe bint no muongo sana ba hiyo story ya kutunga
Dada anajieleza lakini pointi zake ni zile zile za marejeo. Havutii sana kumsikiliza.
We kwa nza ni mchawi kendal zako
Kwa kweli huyu hajawah fika hata huko Oman kwenyew anatunga simuliz mpumbav ww acha kuaibisha watu mshenz wewe nyoooooooooooo😭😭😭😭🦴🦴
Huyoo mwanamke mwongooo kabisaaa.
Dada muogope Allah mbona unaleta zama za zamani sana
Kule kasema jina lake Halima hapa kasema🤭
Naomba niuzie hiyo pete
Muwongo sana dada pete gani hiyo
Uyu anamambo mawili kutangaza ukamrutu nimsodoma. Uyo pili kutukana uislamu wanategemea majini naniwatu wanapenda machafu unajipya fara WEWE
Unasafiri bila ticket ya ndege jamani?
Hata ukitoroka anakuona
Kama ni kweli ulipo toroka kwenda kwa rafiki yako na kutoa hiyo habari, basi mama mkubwa atatumia pete yake kujua uko wapi. Acha uongo na uombe Radhi kwa uongo wako au hiyo pete itakudhuru.
Toka lini wa arabu wakatumia paund jamani uongo huu
Mh 🎉🎉🎉
Ulikumbuka baibui lako alilokupa mwarabu
Ongoo kubwahili Oman hawatumii paund nalugasio Kiswahili ogooo kubwa hilii Lina Laana inaonekana
Hakuna Dr wanyumbani uyu dada nitapeli
Yaan kwakeli huyu dada ni muongo kama nin kwanza story yake inaonesha kuwa hujakaa Oman kwa mda kwamaana hata lugha hakuijua vipi malumbano ya kifamilia aliyaelewa kiasi hicho?? Na in short tyu nimuongo hatari
Mkija oman mkishindwa Kaz naanza kuongea maneno ya uwongo
Hii stor umetunga miezi mingapi
Kumfira amfire yeye kisha alalamike yeye ujinga gani huo ime kula kwake basi
Nikiona tu foxe nakasirika waongo tupu siyo Kweli
Nitakuunganisha na rafiki ili mfanyne ze comed
Freemason ninjaatu subuhana Allah
Huyo mama muongo mara anastory tafauti hata njinji watangazajimumezidi
Dada nenda kwenye maombii ya walokole
Inawezekanaje hajui hata nipesagani zinatumika huko Uarabuni?
Hii ni tamthilia au?
Yani we Dada uso wako unaonehsa kama unacho ngoe ni uwongo huna hata aibu nipo Omani Nina myaka 6 Sasa sijawahi kuskia hayo una yoya ongea
Kubalini yesu
Murudie mungu wako
Huyu ni mshirikina na kuhusu pete ni Kuwataftia waganga kazi tuu kutangaza pete
Mbona sielewi huyu dada kama muongo vile
Acha uongo wa nyumban kwen weee
Mbeya sana
Uogo mtupu omani kwanza utaondoka bila bosi wako kujuwa sasa mbona pete haionesho umekimbiya wapi
Usalama wako dada kimbilia Boko magengeni njia ya kwenda bunju ndipo Kuna usala wako nitafute
Sio kweli
Uongo mtupu story ya kutunga
Ww dd muongo hata kusimulia kwako unataka kiki za mitandao uo ni uchawi ww mchawi na Uyo mama yako mkubwa mchawi ila acha kuchombeza mitandaoni
We Acha uduanzi Huna data pss kendal mchawimkubwa ww
Wewe muongo na hiyo pete yako nahuyo mama yako
Hakika mambo yame taladady
Kwa nini usizae na yule mwarabu
Dada stori za pete ni ushetani mtupu.
Wewe dada ogopa mwenyezi mungu walabu wewe unawazidi kingazandani mupumbavu wewe
Acha uongo wanaongea kiarabu weww ulikijuaje kiarabu