SEBA WA MISUKOSUKO ALIVYO CHUKIA GHAFLA, SITAKI MASWALI KUHUSU FAMILIA YANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024

Комментарии • 117

  • @salimiddy1704
    @salimiddy1704 22 дня назад +7

    Yaan waandishi wa kwetu bhana, sijui mtabadilika lini, una mhoji mtu na anaonesha kutofurahishwa na maswali hayo unakazania kumuuliza tu, yaan mna boa san, jifunzen basi hata kwa akina Millard,

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 10 дней назад

      Si umbea😂😂😂😂😂😂

    • @leonardadd
      @leonardadd 9 дней назад

      Unga haipatikani kirahisi boss

  • @RobertErnest-ym9ij
    @RobertErnest-ym9ij 5 дней назад +1

    Huyu dada mumemtoa wapi Mbengo😂😂😂😂😂

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 25 дней назад +14

    Kuna jambo moja waigizaji na mashabiki hawajui. Hakuna fanikio kubwa katika usanii kama KUFAHAMIKA. Kitendo cha kufahamika sehemu nyingi za Tanzania ni mafanikio makubwa kwa msanii ambayo yatakurahisishia katika mambo yako mengi. Seba kajibu sahihi kabisa na kwa umakini wa hali ya juu. Mtangazaji jitahidi kuandaa maswali muhimu. Umeuliza maswali machache sana yakujirudia rudia. Kuna maswali mengi nje ya maisha ya msanii kama vile filamu ipi ilimpa changamoto ktk uigizaji, je, walikuwa wanakaa kambi siku ngapi kuandaa filamu fulani?.
    Je, filamu yake ya kwanza ilikwa ni ipi kuicheza?. Aliicheza mwaka gani?. Ilishutiwa kwa miezi mingapi?. Director alikuwa nani?, stori iliandikwa na nani? N.k
    Kuna mambo mengi ya kuhoji wasanii sio kama unavgowahoji akina Clam kwamizaha mingi wakati kuna mambo muhimu ya kuhoji utani unakaa pembeni.

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 22 дня назад +1

      Kweli kbs huyu bint hawagi creative mara nyingi hua anahoji kumuhusu mtu kama mudi mnyama bodyguard wa harmonize interview yote ilimuhusu Clam

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 22 дня назад +1

      @@fasterwalker1464 hapo ndipo wanafeli. Unamuita Seba unauliza maswali mengi kuhusu J Plus. Anza naye yeye kama yeye filmu zake na harakati zake. Kwamfano filamu za Seba yeye kama yeye ni ngapi?. Ipi ya kwanza na ya mwisho. Mbona mambo yako mengi sio familia tu

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 22 дня назад +4

    Yes Napenda watu km Seba hawatak maswali ya kijinga. Mtu mwenye kujielewa hawapendi kuhojiwa ujinga. Umbea tuu kutaka kujua maisha ya watu ndio iweje. Congratulations Seba

  • @patricksadiki254
    @patricksadiki254 11 дней назад +3

    Ni kama Seba akili zemeyumba kidogo ,

  • @chunaamina878
    @chunaamina878 6 дней назад

    Bangi sio mchicha huyu Seba kakausha hataki maswali mengi tuleteeni na J plus 😂🥰

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y 17 дней назад

    Mbengo Tv mko sawa.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 21 день назад +4

    Seba mtata kweli uwezi amini mwangalie sura tu

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 9 дней назад +1

    Mtangazaje jua kusoma mood, kuna utangazaji na mood , tujitahidi kuheshimu hisia na maamuzi ya mtu. Seba needs some psycholisifkts though

  • @user-dt5bk9ms1v
    @user-dt5bk9ms1v 14 дней назад

    Jamaa anahogopesha kweli yuko serious sana kbs

  • @Atb300
    @Atb300 24 дня назад +5

    Inahitaji akili nyingi mno kumuelewa uyu jamaa😂😂

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 24 дня назад +1

      Seba anaakili kuliko huyo anemhoji kakosa hadi pozi

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe 25 дней назад +1

    Pole sana ndugu mtangazaji yani mpaka anatoa oga kiuk we li.kama mtu ambaye mxhawai kugombana duh😂😂😂😂😂😂

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 24 дня назад +5

    😂😂😂😂😂😂Akamhojii mjombake kwa umaarufu gani alokua nao. Anw shukran Sana tumejua uhalisia wake si mtu wa mzaha mpaka kwenye filamu zake. Inspector imekaa mahali pakee

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe 25 дней назад +9

    Dah.seba mbona uko silias sana.ww ni kiooo cha jamii usiwe hivyo hata mashabiki tutakuogopa

    • @user-tw9wu2gz4g
      @user-tw9wu2gz4g 24 дня назад +3

      Stress. Watoto wadogo wametoboa wao hawaelewi.

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 20 дней назад

      @@user-tw9wu2gz4ghv wewe kwanini unapenda kuongelea watu kitofauti hakunaga siku ukaongea jambo la positive kila siku wew ni negative wew unamjua seba?au unahis kila mtu anapenda kuanika maisha yake mitandaoni?kuna wengin wanajilewa sio kila unalofanya liwe mtandaoni mjinga wew

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 9 дней назад

      ​@@user-tw9wu2gz4g😢 hapo kweli lazima awe na hasira

    • @boythenuru4125
      @boythenuru4125 6 дней назад

      Anazingua sana naona bangi au madawa yamempoteza huyo sio seba wa kipindi kile

    • @Zengeni-gz8fe
      @Zengeni-gz8fe 4 дня назад

      @@boythenuru4125 aisee😃😃😃unajua wengi walimic kumckia baada ya kimnya kingi .nn kimemsibu.lkn kwanza kawa mkali..ajuwi hii tabia ya msanii kuwa mkali na majibu ya ovyo tunapoteza mashbk.na hata siviii pia inashuka🙏

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 24 дня назад +2

    Utakuja pigwa😂😂😂😂Ww Dada Ila Nakupenda Bure. Ligi zako ni kina chanuo🤣🤣🤣. Una maswali ya kuchekesha ukija kwangu maswali yako yote nitakwambia No Comment

  • @HhosnaRashid
    @HhosnaRashid 20 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂ni atali sana duu m2 acheki

  • @filberthenrick
    @filberthenrick 16 дней назад

    Nakupenda bure seba

  • @davidkarisa8068
    @davidkarisa8068 21 день назад +1

    Daaaaah huyu mwamba hataki mchezo bana

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 15 дней назад +1

    Yan seba kajibu changamoto ambazo hajaulizw😂😂😂😂

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z 16 дней назад

    Seba ni mtata 😂😂❤❤❤

  • @dadygirija968
    @dadygirija968 23 дня назад +1

    angalia usijekupigwa apo maana naona kama dishi limeyumba😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-fe9jc5di9f
    @user-fe9jc5di9f 17 дней назад

    Unapendeza sana kipenzi ukivaa ushungi

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 22 дня назад +2

    Niupumbavu tu,na ujinga uliopitiliza.busara inatakiwa kutumika.Kwani seba anaumaarufu gani wa kutisha!? Unyenyekevu ni jambo la msingi.Unahojiwa unakuwa mkali,mkali unaonekana kama ni mtu uliyechanganyikiwa na maisha.

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 19 дней назад +1

    Mwandishi ufahamu wako mdogo. Jamaa kagoma kuizungumzia familia yake we unazidi kumpitisha humo.

  • @zully756
    @zully756 21 день назад

    Ana kiburi sana

  • @maimoongomah8730
    @maimoongomah8730 9 дней назад

    Pole shogaangu maana sio kwa mahojiano hayo hana busara majibu ya ajabu ajabu duuh 😢

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n 21 день назад +2

    Kafanya kweli maana interview iliyopita walimuona kama dishi limeyumba nilichukia sana walivomdisi huyu jamaa heshima kwake plz

  • @user-mr6mk1yq9m
    @user-mr6mk1yq9m 19 дней назад +1

    😅😅😅😅 mumbea amewahiwa

  • @user-jq2lk5tm3t
    @user-jq2lk5tm3t 24 дня назад +1

    ngumi zenyewe hajui kapotea huyo

  • @leonardadd
    @leonardadd 9 дней назад

    Huyu jamaa familia humuona aje 😂😂angekuwa hata babangu,,kuanzia saa moja hatuonani😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 22 дня назад

    mhhh pombe mbaya sana jamani

  • @vdhhhgduue3577
    @vdhhhgduue3577 20 дней назад

    Tumekumiss sana jamani sebaa upo wapi

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 10 дней назад

    Duh seba seba namkubali balaaaaa Hawa ndio walileta ngumi

  • @edibilychaula.3753
    @edibilychaula.3753 16 дней назад +1

    Mbona jeiplas hamumtafuti kwanin?

  • @KhmsNsr
    @KhmsNsr 25 дней назад +2

    Uyu jamaa yuko seriously anaweza kukupiga kareti ukileta swali ambalo nilakishoga shoga😂😂😂

  • @MariamOmary-uq3rs
    @MariamOmary-uq3rs 14 дней назад +1

    Mtangazaji unamoyo mbn mi ningesepa

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 19 дней назад +1

    Seba. Umenifrahisha. Saan. Wandishi. Wengi. Wana. Maswali. Yakisengee. Saana.

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 19 дней назад

    Wandishi mna subra jeur seba unajiharibia kazi

  • @user-tw9wu2gz4g
    @user-tw9wu2gz4g 24 дня назад +1

    Ila dada unajua sana. Tafuta midea ya hadhiyako.

  • @viaurfk
    @viaurfk 25 дней назад +1

    MTAFUTENI NA J PLUS MFANYE MAHOJIANO NAYE

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 8 дней назад

    Kweli walizingua kuitupia ile

  • @KaphiziJR.
    @KaphiziJR. 7 дней назад

    Dem huyo mpumbavu kakatiliwa swali lake analazimisha tu Hana akili huyo mwandidhi

  • @andrew0502
    @andrew0502 16 дней назад

    Huyu jamaa yupo serious sana duu!!

  • @KhmsNsr
    @KhmsNsr 25 дней назад +1

    Yaani uyu dada kama kuna mtu kajuta kumfata kumuhoji niseba.😂. Hatorudia teena kiherehere😂😂 ila mda mwengine kaz yakumhoji mtu nikurisk tu maana unaweza tarajia hiki ukapata kile inatgmea unamuhoji nani na kwa wakat Gani! Iyo karibu tena kwnza anaanzaje labda kukaribia tena weeee😂😂 mfano akirudi anasemaje 😂😂😂😂

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 22 дня назад +1

    Ww dada unaroho ngumu kumuhoji uyo mwamba

  • @stewartmgallah
    @stewartmgallah 9 дней назад

    Daaah huyu jamaa KIBOKO YA wanahabari

  • @IvanMgaya-hy8wr
    @IvanMgaya-hy8wr 24 дня назад +4

    Mtafute j plasi uy bangi

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 22 дня назад

      Hana bAngi ila mtangazaji ndo anafeli maswali yake hayana mvuto Kuna vi2 vng sisi kama watangazaji tunataman angeulizwa anakuja kuuliza umri wa seba mke wake watoto Sasa vyann sisi

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 17 дней назад

      Bongo hakuna waandishi waabari

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 15 дней назад

    Kiukweli mjombaako hatumjui hata kama ulimuhoji 😂😂

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 8 дней назад

    Huyu dada anapenda sana kurudia rudia maswali ...huwa anapenda kuuliza maswali yasiyo muhusu anayemuhoji

    • @LukasMeleka-ob8vw
      @LukasMeleka-ob8vw 4 дня назад

      Atapigwa na seba make jamaa hiri cyo lakuchuklia poa c unaliona lilivyo nunda

  • @lameckmangwenje2664
    @lameckmangwenje2664 22 дня назад

    Nmecheka seba alivyobadilka gafla 😂😂

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 21 день назад +1

    katangazaaaj zero ata mim ningekashushuaaaaaa

  • @Tatu-rr9ms
    @Tatu-rr9ms 20 дней назад

    Yan seba kawa kama chizi 😢

  • @user-mq3zm4rf6i
    @user-mq3zm4rf6i 8 дней назад

    😂😂😂seba

  • @amourrajab6061
    @amourrajab6061 20 дней назад +1

    Majibu ya Seba nimeyapenda

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 23 дня назад

    Huyo mtangazaji miyeyusho na ni mchoraji

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 22 дня назад +1

    Yani we dada mwandishi una roho ngumu uyu mwamba alivo serous huogopi pengine atakuja kukupiga karate 😂😂😂 me namuogopa hata hapa kwenye intavyu😮😮

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 22 дня назад +2

    Tia kofi huyo mtangazaji.wewe umeshaambiwa usiongelee familia yake bado unajishughulisha utatiwa light ya mdomo

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 9 дней назад

      Hahahahaa jamaa yuko serious sio poa

  • @MungoMungo-nx3ir
    @MungoMungo-nx3ir 3 часа назад

    Duuh

  • @user-vv6pr4bj8p
    @user-vv6pr4bj8p 23 дня назад +1

    Who is this guy...
    Ndo hawa akina TID

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 22 дня назад

    mhhh mbona kama wameshakujaza

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 17 дней назад +1

    UYU DADA MWENYEWE KAINGIA BARIDI KARUDISHA HAND BRAKE

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 22 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 19 дней назад

    KAZI yeny changamoto IPO kama kukuhoji ww changamoto

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 24 дня назад

    Ww mtangaazaji wengine hawataki hojiwa Acha kihere here utapigwa huyo jamaa yuko siryas

  • @David-if6nk
    @David-if6nk 9 дней назад

    Anaongea kama Jakaya kikwete

  • @vdhhhgduue3577
    @vdhhhgduue3577 20 дней назад

    Ila s3ba nimekumiss lakini majibu yako sijapendaaa unajisikia sana

  • @rashidhussein5998
    @rashidhussein5998 21 день назад

    mwandish unalazimisha unachokihitaji

  • @protamwenyegzaketv7408
    @protamwenyegzaketv7408 24 дня назад +1

    Watu WENYE akili kubwa ni ngumu kuwahoji na hasa wasiopenda show off

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 24 дня назад

      Hawa sio waandishi wauliza maswali tu, unaweza kujua mood na namna unaemhoji sasa Hawa unarudia jambo iloilo

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 9 дней назад

      😂

  • @Spagles
    @Spagles 23 дня назад

    😂😂😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 22 дня назад +1

    muwe mnawaacha walevi basi

    • @emmanuelmmbaga5209
      @emmanuelmmbaga5209 21 день назад +1

      Seba sio mlevi ni mtu anayejitambua nakujiheshimu, mambo ya mizaha hapend na maisha yake ni passanl, sio kila mtu ajue mambo yako.

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 21 день назад

    Hahaha seba mkali

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 21 день назад +1

    Bola jebrasi uyo siyo hata mapenzi hajui kubambeleza anaweza kukuaambia lete nataka humpi kofii

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 9 дней назад

      Hahahaaa huyo ndiye inspekta seba

  • @user-fq6xx4ww4c
    @user-fq6xx4ww4c 19 дней назад

    Uyu Dada anajiamin nn seba mwenyw kavurugwa

  • @diamondplutnumz4862
    @diamondplutnumz4862 12 дней назад

    Bangi tayar

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 18 дней назад

    Mtu gani ujeuri tu kwani ukisema una watoto watatu unapungukiwa nini

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 25 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman majibu wah

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 21 день назад

    Mmmmm seba nakuogopa mbona anatisha kakaa kijambazi kabisa nakupenda jebras

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 8 дней назад

    Daaah Seba akili zake zimeyumba kidogo tatizo madawa sana

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 16 дней назад

    Huyu jamaa anaonyesha ana maneno machafu Sana mmmh

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 22 дня назад

    Yes Napenda watu km Seba hawatak maswali ya kijinga. Mtu mwenye kujielewa hawapendi kuhojiwa ujinga. Umbea tuu kutaka kujua maisha ya watu ndio iweje. Congratulations Seba