DUKANI KWA MEKU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024
  • Mkiona muuza duka kamuacha mtoto wake dukani ujue anamfundisha kuuza duka, Sasa wateja wenye tamaa msitumie hiyo nafasi kama fimbo.
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 460

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba 24 дня назад +369

    Umeuwa Sanaaaa Hii 😂😂

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 24 дня назад +6

      🎉

    • @muddimbappe
      @muddimbappe 24 дня назад +4

      😂😂😂😂😂😂

    • @chumizola1847
      @chumizola1847 24 дня назад +8

      @KitaleMkudeSimba Kaka Mkubwa, vp Bwakila hajambo?

    • @fatmamody9146
      @fatmamody9146 24 дня назад +5

      Kitale na kisosi tuna subiri mzigo 🙌🙌😇

    • @allyjafari8456
      @allyjafari8456 24 дня назад +2

      Bro tuletee vitu tucheke basi 🔥

  • @ZainaZaina-uo5hl
    @ZainaZaina-uo5hl 24 дня назад +62

    Naomba like kama unampenda joit 😂😜my favorite comedian in this generation 😂😂

    • @thomasndumbalo
      @thomasndumbalo 24 дня назад

      Sawa nipe no yako nikulike mrembo

    • @jacobmwalituke8981
      @jacobmwalituke8981 24 дня назад +1

      Omba na mboo kabisa

    • @thomasndumbalo
      @thomasndumbalo 24 дня назад

      @@jacobmwalituke8981 🏃🏿

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 24 дня назад

      likes uzipeleka wapi kenge wewe ?
      conent aweke Joti like upewe wewe?
      acha ushamba 😏

    • @irenembise541
      @irenembise541 23 дня назад

      @@jacobmwalituke8981 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @user-yh7ui7hw1i
    @user-yh7ui7hw1i 24 дня назад +31

    Tunaompenda nishai team strong tupo🥰🥰

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 24 дня назад +23

    😀😀😀😀tulioanza kucheka Joti anavyosomba vitu kwa buku 10 tujuane na kabla hatujajua kinachofata

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i 22 дня назад +6

    Ila joti ni best of the best. Huyu asilinganishwe na comedian wengine wowote

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 23 дня назад +17

    Baba kama kakuachaa wew maana yake kakuacha na mm😀😀😀😀😀😀

  • @mlewazitotv
    @mlewazitotv 24 дня назад +36

    Tunawapenda Sana mashabiki zetu

  • @user-ck7fi3bh3i
    @user-ck7fi3bh3i 23 дня назад +16

    Yaan kizito na mlawa ndo mmkuja kuzid kunichekeshaa na iyo mibao sasa ya meku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣akii nmchekaa jmn maisha marefuu kwa joti gonga like💃🏼

  • @annaki318
    @annaki318 24 дня назад +33

    Jamaniii leooo nimechekaa na jiranii yanguuu anaduka hua anamwacha mtoto auzee nimeenda kumuonesha hiii video kasema saiv haweki mtoto auzee duka maana anaogopa lisije kua duka la meku😂😂😂😂😂

  • @besteva499
    @besteva499 24 дня назад +21

    Joti umefanya ufara sana mwizi haibi sehemu moja mara piLi😂😂😂😂

    • @eddygonza891
      @eddygonza891 18 дней назад +1

      sasa si dukani kuna mtoto😂😂😂😂😂

    • @besteva499
      @besteva499 18 дней назад

      🤣🤣🤣

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 24 дня назад +5

    Duuuuh the most comedian from East Africa ❤🇨🇩♥️🇨🇩

  • @japhetlust5050
    @japhetlust5050 24 дня назад +10

    Mlewa noma sana cyo kwa cheko ilo😂😂😂😂🙌🙌

  • @wilsonjonas5481
    @wilsonjonas5481 23 дня назад +5

    Baba kauza Ng'ombe kapeleka Ng'ombe nyngne shulen😄🤪

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g 24 дня назад +8

    😂😂😂😂😂sasa ndio uchukue mkokoteni jamani nishai🤣🤣🤣🙌

  • @nickvon7640
    @nickvon7640 24 дня назад +19

    Uyu meku umuweke kwenye vipindi vingine vingine

  • @Marjeby
    @Marjeby 24 дня назад +11

    Masai Nyeupe Umeuaa sana Aiseee

  • @jevalineouma390
    @jevalineouma390 23 дня назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wenye duka msiwe mnaacha watoto dukani duka lingeisha na elfu kumi tu😅😅

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 24 дня назад +11

    Nimewai mapema leo kajizolea baba Ayupo 😂

  • @GatekaNene
    @GatekaNene 24 дня назад +26

    Baba kauza ngombe alafu kapeleka ngombe shuleni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nishai wewe MUNGU anakuona walahi😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 24 дня назад +41

    Majemeni mbona nyie mnapata likes me sipati. ?? Am from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 23 дня назад +4

    Baba kauza Ng'ombe kapeleka Ng'ombe shule😅😅😅😅😅

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf 24 дня назад +6

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas

  • @princecharmy6838
    @princecharmy6838 24 дня назад +8

    Ya leo sio kali tunamtaka KIBOGA😂

    • @JBB875
      @JBB875 18 дней назад

      Ya kiboga anaipatiaga kweli😂😂😂😂

  • @rahmahamis-yb9mw
    @rahmahamis-yb9mw 8 дней назад

    ila adam good brooo utafika tyu ishaallah

  • @benhanclove5997
    @benhanclove5997 24 дня назад +10

    Nishaiii Sasa huoo ni wizi Sasa 😂😂

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 24 дня назад +8

    Mungu wangu atakutafuna huyo muuza duka mmeze mjini shule baba una akili

  • @leonardtiato1219
    @leonardtiato1219 24 дня назад +4

    Jamaa si anamisha duka kabisa😂😂

  • @nickvon7640
    @nickvon7640 24 дня назад +8

    Tupo humu ni hatariii🔥🔥🔥

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 23 дня назад +4

    Sasa ndio usombe hivyo jamanii😂😂

  • @andersonmutta3807
    @andersonmutta3807 24 дня назад +4

    watu mnategesha hadi alarm kwa sabubu ya Joti🤣🤣

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 24 дня назад +3

    Uyo Mlewa mi Ana niuwaga kweli 🤭🤣🤣🤣

  • @imranimwanja7694
    @imranimwanja7694 22 дня назад +1

    Oy joti mwamba sana.
    Tanzania one, Africa unaona
    Nakukubali kaka joti

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 24 дня назад +1

    Never disappoint jotiiii 😂🎉🎉😂😂

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 21 день назад +2

    Joti ni chizi, unafanikiwa mara ya kwanza eti unarudi na mkokoteni😅

  • @user-dq5wt6cb6k
    @user-dq5wt6cb6k 24 дня назад +8

    Waomba like uwanja ni wenuu sasa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Gml-wi5nv
    @Gml-wi5nv 24 дня назад +4

    Taratibu jamni msije mkanikanyaga😂😂😂

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 24 дня назад +1

    Ila joti unavituko daaah, ila napendaga sana unavyoigiza mwanamke napendaga sana ukiigiza kiboga Yani ❤️❤️

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki 24 дня назад

      Mimi pia,,,kumbe tupo wengi tunaompenda kiboga

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 23 дня назад +2

    Hiyo hela ni kubwa mtoto mzuri mpka iishe😂😂😂

  • @Enocky-pv5ui
    @Enocky-pv5ui 24 дня назад +2

    A anko mindula😂😂😂😂😂

  • @annaki318
    @annaki318 24 дня назад +3

    Meku new comedian 😂😂😂😂😂😂

  • @Mr.kigoma
    @Mr.kigoma 24 дня назад +12

    Meku kasanuka😂😂😂😂😂 ila nishai😂😂😂😂😂🎉❤

  • @irinemtui4132
    @irinemtui4132 6 дней назад +2

    Wachaga wenzangu like hapa😂😂😂

  • @cleopaszebedayor
    @cleopaszebedayor 21 день назад +1

    The best comedian

  • @estersamson4827
    @estersamson4827 24 дня назад +4

    Wanahisi wengi mnao comment bado hamjaangalia move 😂😂😂😂sio kwa kudamka huko

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su День назад

    Hahaaaa we kiboko meku umetisha

  • @ramadhanimaricha3799
    @ramadhanimaricha3799 22 дня назад +1

    Tatizo nishai yuko speed sana...😅😅😅

  • @Luhalala
    @Luhalala 24 дня назад +1

    Dah 😊😊😊😊😂😂 joti hatari sana

  • @KondoRamadan
    @KondoRamadan 22 дня назад

    You killed this art

  • @mringitelevisa850
    @mringitelevisa850 21 день назад +1

    Mali zinaongezeka tu ilikuwa laki 3 asa ivi milioni 😂😂meku

  • @user-gi7cx2no2g
    @user-gi7cx2no2g 24 дня назад +2

    Burundi 🎉🎉mapema sa11 saiz ila tupo n'a nishai😅unamuibia mtoto ila nishai😂😂😂

  • @FestorMahika-mp7mu
    @FestorMahika-mp7mu 24 дня назад

    Umetisha kinomanoma joti💐💐

  • @FelisterNampoka
    @FelisterNampoka 22 дня назад

    Km kakuacha wewe,basi kaniacha na mm I like that 😂😂

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 24 дня назад +3

    🎉🎉🎉🎉😂😂😂 Joti nimoja Tanzania nzima.

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r 24 дня назад +6

    Nakubali sana joti unatoa vitu vikalii🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😢😮😅😊

  • @IbrahimAbdalla-ve1hi
    @IbrahimAbdalla-ve1hi 23 дня назад +1

    Umetisha kinoma bro nice job

  • @shiraz-tv
    @shiraz-tv 24 дня назад +3

    nimecheka sana 😅😅😅😅😅 kweli😊

  • @upendoponela3233
    @upendoponela3233 19 дней назад

    Umetisha mwamba🤣😂😂🤣😂😂😅😂😂

  • @ev.amanimwandodavid3653
    @ev.amanimwandodavid3653 20 дней назад +1

    Kama kakuacha wewe make kaniacha na mimi 😅😅😅😅 joti bwana

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 24 дня назад +22

    Waomba like mungu awalaani 😂😂😂😂😂

  • @kekekaka7315
    @kekekaka7315 24 дня назад +3

    Mwenye Duka he is from congo

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 23 дня назад

    Daaaaa😂😂😂😂 mmeua Sana sana

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 24 дня назад +6

    Na mm Leo nimekua wa 51

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 24 дня назад +6

    Nishai mtombangile kitwango mikazo miguno misuguano umetisha mzee 😂😂😂😂😂

  • @mariammkali5615
    @mariammkali5615 21 день назад

    Hongera sana masai nyeupe hakika umeweza kaka

  • @GatekaNene
    @GatekaNene 24 дня назад +2

    Duuh watu hamulali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dakika 11 mumejazan huku kwa comments but nawapenda san wapenzi wa Joti Kiboga ❤❤❤❤❤❤❤

  • @barakamalle2897
    @barakamalle2897 7 дней назад

    We kijoti kumbe we mwizi bhna

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 24 дня назад +1

    Sekunde tu Mimi wa mwanzo kulike na kucomment na kuwatch😅😅😅😅😅 nishai mtombangile kitwango mikazo miguno

  • @staziusmagoma4502
    @staziusmagoma4502 24 дня назад +2

    😂😂😂 Leo nimewahi aisee

  • @RashidiselemaniMgonela-nw7gl
    @RashidiselemaniMgonela-nw7gl 7 дней назад

    Umeua sana kaka😂😂😂😂

  • @roi2554
    @roi2554 23 дня назад

    Hivi nyi munamuelewa mbona kama ananichanganya huyu mtu😂😂😂😂😂

  • @MurijiMwema
    @MurijiMwema 24 дня назад

    Fantastic idea.😂😂

  • @Salma-zc1ec
    @Salma-zc1ec 8 дней назад

    Nakukubali sana shem

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 23 дня назад

    Kwemye kushtua kijoti ,daaah kitambo sana 😂

  • @lilianpuka218
    @lilianpuka218 23 дня назад

    Nishai wewe ni kwerere🎉🎉🎉❤😂😂😂

  • @shukunyoni6865
    @shukunyoni6865 24 дня назад +2

    Vochaa za kusugua 😂😂😂

  • @user-fq5qd1uh8h
    @user-fq5qd1uh8h 24 дня назад +1

    First viewer from kenya

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 24 дня назад +8

    manka amekupa bei gn huyu😂😂😂😂

  • @Edsonchima-fb6qb
    @Edsonchima-fb6qb 24 дня назад +3

    Nipo mapema top 100 tujuane kwa like

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 23 дня назад

    Baba manka 😂😂😂😂kunawatu wanamachaleeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣

  • @nkuxstv7891
    @nkuxstv7891 24 дня назад +2

    Wa kwanza jmn like kwa joti ap

  • @JeromeHerzon-sh3zb
    @JeromeHerzon-sh3zb 24 дня назад

    Umetisha Nishai😂😂😂

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki 24 дня назад

    Nishai ila wewe akili yako unazijua mwenyewe eti kama baba kakuacha wewe inamaanisha kaniacha pia mimi😂😂😂😂

  • @barakamalle2897
    @barakamalle2897 7 дней назад

    Umemtapeli mtoto kweli jamaa wangu

  • @dinotv1099
    @dinotv1099 21 день назад

    Meku akae akijua kuwa box la ASAS NA VOCHA YA AIRTEL HAJARUDISHIWA...IMEIBWA KWA BUKU TU😂😂😂😂

  • @JohnJastini
    @JohnJastini День назад

    Hahaha ni makimario au

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 22 дня назад

    😂😂😂 kama amekuacha wewe kaniacha na mimi😂😂😂

  • @anastaziuscyriacus5415
    @anastaziuscyriacus5415 23 дня назад

    Mlewa na mwenzie, wanafiki kinoma yaani😅😅😅

  • @Jumajey457
    @Jumajey457 24 дня назад

    Dah joti noma sna ww

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 24 дня назад +1

    Babahhh mlewa shewele

  • @faridaharuna2621
    @faridaharuna2621 24 дня назад +1

    Yaan Joti, wee acha tu.!!

  • @asteriaslaa5482
    @asteriaslaa5482 23 дня назад

    Ila joti jaman unajuaga mpaka unakera.... hahahahahaaa

  • @Official_armanmarcelo
    @Official_armanmarcelo 24 дня назад +2

    Mkali wao 🐐 👑

  • @MtituSalum
    @MtituSalum 23 дня назад

    🤣🤣🤣 unabeba duka zima maaanina

  • @muhibunjalale8701
    @muhibunjalale8701 21 день назад

    Yan nilijua tu hilo loba halifiki lazima tu lituliwe mtu atimue😂😂

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 23 дня назад

    Nilijua tu jot lazima abwage zigo akimbie😂😂😂

  • @RoseMary-jw2im
    @RoseMary-jw2im 24 дня назад +4

    Hii ni kali

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 23 дня назад

    Anahmisha duka😂😂

  • @moseschristina8377
    @moseschristina8377 24 дня назад +1

    Nimekuwa wa kwanza leo🎉

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 24 дня назад +1

    Oi oi oi no 1 leo

  • @JosephatWesonga-ef7gq
    @JosephatWesonga-ef7gq 23 дня назад

    Joti mwamba😂😂😂😂❤❤