Masha Allah.. umesema.kweli sheikh Muhammad Bachu.. tatizo kuu ni wapi mtoto wako unampeleka.kusoma.dini. wallahi kama ungelijua hata ule munakasha wa Barzanji, ungejua unaenda kufanya naye mjadala ni mpiga gita na vinanda..usingepoteza mdaa wako.
ALLAH(SW) atuhifadhi na atulinde na atuepushe na kufuru,,,,,,,,,,,,,,,mda upoo jamnani tutubuniii hakika Allah (sw) ni mwenye kusamehe,,,,,,,Allah (SW) atujaalie tupate mwisho mwema tuingie katika pepo ya firdaus amiiiin ya rabbi
Muhammed bachu nafatilia sana mawaidha yako upo vizur si wote watokupenda ila wew bainisha haki Allah atakupenda hongera sana napenda mawaidha yako unazungumz vitu kwa dalili
Laahawl walaa quwwata illaa billaah! Kwakweli wazazi tunapaswa kua makini na kuchukua hatua stahiki kwa watoto wetu kupitia tukio hili. Pia Shekh Muhammaa kwakweli tunamuomba Allaah Azza Wajalla akupe umri mrefu wenye faida kwako na kwa ummah pia. Kwakweli umeongea vitu vya maana sana maashaa Allaah, wabaaraka Allaahu fiik.
Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wangu na akuzidishie Elimu na ufaham zaidi na zaidi uzidi kuwafahamisha watu dini ipoje na sivyo wanavyofikiria Allah azidi kukufungulia ufaham wallah wataelewatu
Shukran masheikh zetu kusimamia HAKI. Ila tusiumize vichwa vyetu,huyo msanii anasifa ya kuwa mfuasi wa sheitani. Anapo kufturu ndio naingia kwenye Ibada ya kisheitwani. Allah tunusurishe na huo upotevu.
Hata sis tumetoka madrasa hizi za maulid na mambo mengi ila namshkuru Allah sw kwa kuijuwa haki pamoja na familia yangu namshkuru Mola kwakuniepusha na batwil na kuijuwa haki
Mtihani wallai kijana Kaleft Group.. watu wanaomba mwisho mwema yeye Ndo anaharibu dakika za mwisho .. mungu amrejeshe kwenye akida .. maana wale wanaosema mungu ana mtoto mbingu zinatetemeka je kauli alotoa harmonize 😢
Muhammed bachu unafiks ujumbe sana Allah akuhifadh ila kuns watu wanakukejeli ila siku zote ukizungumza ukwel utachukiwa madui watakuwa wengi ilw Allah sw atawaongo endelea kutubainishia haki
Na Mungu siyo kiumbe hapo mwijaku katufunga Mungu kama ilivyo hajulikani kama hajulikani ni nani ila ni Mungu tunamuona Mungu kupitia ishara zangu na tunamjua kupitia ishara hizo
Nikweli Sheikh wng lkn wkt mwngn tusiwalaumu tu Wazazi Kuna Familia Wazazi wao hufanya Bidii ya kila namna lkn mwsh wa sku mtt akakosa Elimu au akabadilika ukubwan Na kuna watt wengn hata hai Wazazi hawawajui-mfano mtt analelew na Mzazi 1 tu na mwsh wa sku mtt akawa mweye juhud ktk Dini....Wallahu Aa'alam
Mmojawapo ya watu ambao haifai kuchukuliwa dini kwao ni wewe. Maana unatumia nguvu nyingi, siasa nyingi na propaganda tele kuwanasa, na kuwavuta watu upande wako. Hivi siku zote hamjawahi kuuona dharura ya kuwazungumzia wanamziki ambao ni waislamu waache kuimba mziki wa kishaitwan. Nyinyi Mashekhe mchongo bin propaganda Allah anawaona. Yaani siku zote Harmonize alikuwa mwema mpaka hivi majuzi ndio akaanza kufru hapo mbeleni hakuwa na kufru yoyote? Mungu anawaona.
@@jamilashabani8580 Ulionapi mtu wa sunnah muwaitao (mawahabi) kiwa mwanamziki au mpiga ramli mganga? Hao hupatikana kwa masufi tuu, waganga wapiga ramli waimbaji na wanaoabudu masharifu na makaburi yao.
TAFADHALINI MASHEKHE NAWAOMBA MUNATOKA KATIKA MALENGO YA DINI WAKATI TULIONAO SASA NIKUWAOKOWA UMMAH NA MOTO WA ALLAH AWE MUHUNI MCHAWI MZINZI MALAYA NAWENGINEO ZAMA ZILISEMWA ELIMU WASOMI KUTAKA UMARUFU NA SIFA SIO KULINGANIYA WATU WAIPENDE NAKUINGIA KWA DINI SHETANI AMEWAZIDI NGUVU DIAMOND KONDE BOY NA ALI KIBA SABABU YA MAISHA NA ANASA MASHEKHE HAMTUMII HEKMA YA QURAN NA HADITH ALLAH AWAPE TAWFIQ WARUDI KWA MUONGOZO KUMBUKA WANAMUZIKI WANAFILM WACHEZA MIPIRA WANATUMIYA KUANGAMIZA JAMII NA MWISHO WAKICHOKA WANAULIWA MFANO MINGI BOB MARLEY WHITENY HOUSTON CELINE DEON NAWENGI MAMBO YAKO WAZI SHUKRAN
Tatizo vijana kashfa nyingi kwa walimu wa mwanzo fanyeni subra kwani Wew unapata fursa ya kumjua bachu kuna wengine ata kanzu hawaijui acheni zalau kwa ndugu zenu
Bachu endelea kusambaza dawa sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah endelea kuwanyoshaa na waepukane na batili waje kwenye haki inshaallah Allah atawajalia kuijuwa haki
Ah ujue kuna mambo ni mtihani sana tena ni mazito sana kuyafanya katika dini japokua tuanayaona wanayafanya baadhi ya mashekh Mfano kama hilo la kupiga dufu makaburini na kulia makaburini
Huyu angelikuwa huku Saudi Arabia bila shaka angelishachinjwa mapema sana, ila kwa Tanzania hatofanywa chochote na yeyote atakayejitokeza kumfanya chochote kwenye mwili wake atafungwa, Cha kufanya basi TUMSH'TAKIE KWA ALLAH.
Kwa maana hii basi ata kwenda hija maka pia ni upuuzi katika uislamu, kwa sababu wanokwenda kule ni kwenda kudhulu kaburi pale maka. Ndugu Zangu waislam tutafute ukweli sisi wenyewe tusipelekwe kama bendera inavyopelekwa na upepo.
Wanamuziki mnajisahau sana, kumbukeni Allah yupo na mwisho baada ya maisha haya utaenda kuyajibu yote unayofanya!
Masha Allah.. umesema.kweli sheikh Muhammad Bachu.. tatizo kuu ni wapi mtoto wako unampeleka.kusoma.dini. wallahi kama ungelijua hata ule munakasha wa Barzanji, ungejua unaenda kufanya naye mjadala ni mpiga gita na vinanda..usingepoteza mdaa wako.
Maashallah, mwalimu wangu bachu, nakupenda kwa ajili ya allah.
ALLAH(SW) atuhifadhi na atulinde na atuepushe na kufuru,,,,,,,,,,,,,,,mda upoo jamnani tutubuniii hakika Allah (sw) ni mwenye kusamehe,,,,,,,Allah (SW) atujaalie tupate mwisho mwema tuingie katika pepo ya firdaus amiiiin ya rabbi
Amiin 😢
@@husna34562 amiiin habbt
Amiin
Insha'allah ❤
amiin
Muhammed bachu nafatilia sana mawaidha yako upo vizur si wote watokupenda ila wew bainisha haki Allah atakupenda hongera sana napenda mawaidha yako unazungumz vitu kwa dalili
Sheikh Muhammad Bachu Mwenyezi MUNGU azidi kukupa umri mrefu wenye kheri na akujaalie mwisho mwema Inshaallah
Amin
Laahawl walaa quwwata illaa billaah!
Kwakweli wazazi tunapaswa kua makini na kuchukua hatua stahiki kwa watoto wetu kupitia tukio hili.
Pia Shekh Muhammaa kwakweli tunamuomba Allaah Azza Wajalla akupe umri mrefu wenye faida kwako na kwa ummah pia.
Kwakweli umeongea vitu vya maana sana maashaa Allaah, wabaaraka Allaahu fiik.
MashaAllah Allah akulipe kher shekh Bachu
Allah akulinde Mohammad bachu
Allah azidi kuwahifadhi masheikh wote wenye kusimama katika haki kufundisha dini kama alivyofanya mtume, maswahaba na wema waliotangulia amiin.
Shekh wangu Allah hakuifazi haku zidishie neema na baraka tele
Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wangu na akuzidishie Elimu na ufaham zaidi na zaidi uzidi kuwafahamisha watu dini ipoje na sivyo wanavyofikiria Allah azidi kukufungulia ufaham wallah wataelewatu
Shukran masheikh zetu kusimamia HAKI. Ila tusiumize vichwa vyetu,huyo msanii anasifa ya kuwa mfuasi wa sheitani. Anapo kufturu ndio naingia kwenye Ibada ya kisheitwani.
Allah tunusurishe na huo upotevu.
MAA SHAA ALLAH
BarrakkAllah fiik. Ujumbe umetulia kabisa
Shekhe muhamani bachu twakuombea kwa Allha akuhifazi shekhe wetu na akupe umri mrefu ili watu wazidi kuifahamu haki na kuikataa batili.
Amin
Wewe Diamond kwa maneno yako umeritadi ,piga shahada na ufanye na toba nasuha
Ameen
Allah akulinde Insh Allah uzidi kutuilimisha nakupenda kwa ajili ya Allah
BACHU KAMA BACHU ALLAH AKULIPE KILA LENYE KHERI SHEKHE WETU
Waarabu hao wapiga gita eeehh Allah atupe mwisho mwema. Sheikh Muhamad Allah akuhifadh😊itikadi sahihi ni yamuhimu yaa Allah tuongoze
Allah atunusur atuepushe na kufuru na atujaalie mwisho mwema in Shaa Allah
Aameen
Masha Allah Sheikh, nlikua natafuta mtu ka wewe wa kuwaambia Hawa watu was Lamu ukweli. Wallah kwa kweli nakushukuru kwa upande wangu ❤❤❤
Watu wa lamu kina harmonise 😂😂😂
Shukrn sanaa sheekh Allah akuhifadhi❤❤upo sahihi,,watching from kenya🇰🇪🇰🇪
Hata sis tumetoka madrasa hizi za maulid na mambo mengi ila namshkuru Allah sw kwa kuijuwa haki pamoja na familia yangu namshkuru Mola kwakuniepusha na batwil na kuijuwa haki
Mtihani mkubwa sana huu
Mtihani wallai kijana Kaleft Group.. watu wanaomba mwisho mwema yeye Ndo anaharibu dakika za mwisho .. mungu amrejeshe kwenye akida .. maana wale wanaosema mungu ana mtoto mbingu zinatetemeka je kauli alotoa harmonize 😢
Kweli atubue asijibaba ishe
Mungu akubadilishe pua ya tumbiri
Kukufuru kukubwa uliodhahiri, Subhanallah,hyo ni bangi
Muhammed bachu unafiks ujumbe sana Allah akuhifadh ila kuns watu wanakukejeli ila siku zote ukizungumza ukwel utachukiwa madui watakuwa wengi ilw Allah sw atawaongo endelea kutubainishia haki
Na Mungu siyo kiumbe hapo mwijaku katufunga Mungu kama ilivyo hajulikani kama hajulikani ni nani ila ni Mungu tunamuona Mungu kupitia ishara zangu na tunamjua kupitia ishara hizo
Allaah akuhifadhiii! Shekh bachu❤
Nikweli Sheikh wng lkn wkt mwngn tusiwalaumu tu Wazazi
Kuna Familia Wazazi wao hufanya Bidii ya kila namna lkn mwsh wa sku mtt akakosa Elimu au akabadilika ukubwan
Na kuna watt wengn hata hai Wazazi hawawajui-mfano mtt analelew na Mzazi 1 tu na mwsh wa sku mtt akawa mweye juhud ktk Dini....Wallahu Aa'alam
Allah umuongoze kijana wetu
Atakaefahamu atafahamu laa watu kama wapo kishabiki zaidi bac ila hao wsikuvunje nguvu fanya kazi allah atawajalia iposiku w atafahamu nn unamainisha
Alhaa Akubariki na Akuepush fitin za duniya
Muhammad bachu Allah akupe uhai mrefu tuendelee kunufaika na madini yako
Subbhanna Allah, mola amuongoze kijana huyo , arudi kuwa muislam safi , Hakika kakosea sana
Allah akuhifadhi shekh Mohammad Bachu,
Allah hakuifadh. Na kila baya
Allah amlinde shekhe bachu 6:32
Watching from ethiopia kenya border mashAllah sheikh mungu akujazie kheir na akuongoze kwa njia kamili ya Tawhid
Sheikh huyo msaa nii jashakiri kama amemkosea Allah
Muombeeni Duah!!❤
Amefanyaa makosa makubwa mungu ampea mazingatio atubiea AMEEN YA RABII
Maa shaa Allah,أحبك في الله يا أخي
Mwenyezi Mungu asamehe na amuongoze
Shekha Allah akulipe nimekuelewa
Muhammad bachu Allah akuhifaz aamin
Asc ,,,Maa,SHaa,Allah,,Allahuma,Ahfith,,kullu Sheikh,,Allmusliiin☝️👍
Naukiangalia. Wanamuziki wote wametokea madrasa za madufu. Mtiihani. Allah atuongoze hawamashehe ubwabwa mtuhani.madufuni muzikitu .. zambi zilezile
Kwa hiyo na wanaziki wanao imba nyimbo zinazo itwa nashidi wametoka kwenye madrasa za dufu tuache chuki zisizo za maana ndugu
@@mzalendohasahuo ukweli wala hakuna mjadala
@@mzalendohasa kwani anashidi ni halali zone ni bidaa sugu hizo hazitakiwi ni walewaletu
Maneno ya kweli kabisa ,mashaallah
Upo Sahihi shekh langu
Ndo mana Allah kasema tusimfikirie san yupoje tutamkufuru ndo hivy sasa
Barakh Allah Kher sheikh
Uko vyema sheh masha allah
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Alhamdulillah, umetufunza na nimepata kitu kupitia video yako hii, Alhamdulillah
Allah ti abençoe irmao insha-Allah 🙏
Mungu hapiganiwi kwa Yesu Raha anajuwa sio mungu wa kweli ndio mana anafanya hivyo hebu hayo naayafanye kwa Yesu
1 Samweli. 15: 2-3 soma humo utaona kama Mungu wako anataka apiganiwe au vipi
Mashallah shekh
Muhammad bachu ❤❤❤
Masha Allah
Mm ningefurah ungemwita ukammkanya 🤝
Mungu=miungu shirki
Mwenyezimungu sahihi
Shukran Sheikh wangu
Shk Mohamed bachu uko miskiti gani nataka kuja kusikiliza kudba zako wallahi kwajili ya allah
Hua yuko Migadini sana sana,
@@habibasalim3092upo Kenya?
@@tztanzania2262 yes
kwani zanzibar hayupo tena au
Mmojawapo ya watu ambao haifai kuchukuliwa dini kwao ni wewe. Maana unatumia nguvu nyingi, siasa nyingi na propaganda tele kuwanasa, na kuwavuta watu upande wako. Hivi siku zote hamjawahi kuuona dharura ya kuwazungumzia wanamziki ambao ni waislamu waache kuimba mziki wa kishaitwan. Nyinyi Mashekhe mchongo bin propaganda Allah anawaona. Yaani siku zote Harmonize alikuwa mwema mpaka hivi majuzi ndio akaanza kufru hapo mbeleni hakuwa na kufru yoyote? Mungu anawaona.
Mashallah , mawaidha mazuri
Allah amuongoze
Mashallah mashallah,,shekh,,,pia nurudin kishik Allah amlipe,,kwaa Kaz nzr yake,, anayoyafanya kwenye din hi Allah amlipe,,popote alpo
Aaaamin..
Nampenda sheikh kishki kwa ajili ya Allah
Aamiin
Na mimi pia nampenda Sheikh Nurdin Kishki kwa ajili ya ALLAH
Subhanaallah,porque tanto shirk😢
Wanamiziki wa east Africa wanaodai kuwa ni waislamu wote ni wanafunzi wa masufi, masufi hufundishwa uimbaji kuanzia madrasa.
Ndio maana wengi masufi hupenda migoma
bachu alishindwa kwa elimu si kwa Gita
Acha zako Sikiliza yalio hapa uyafuate acha kusema watu bila ⁷bu et masufi kule madrsa hawafundishwi mzik bali kumsifu Allah na Mtume wake
@@jamilashabani8580 Ulionapi mtu wa sunnah muwaitao (mawahabi) kiwa mwanamziki au mpiga ramli mganga? Hao hupatikana kwa masufi tuu, waganga wapiga ramli waimbaji na wanaoabudu masharifu na makaburi yao.
Kwahaki ulionayonna unayo wapa watu sikilq mmoja atakupenda wako wenye husdaa ilaa toa haq sheikh wangu mpka itapokufika yakin😢
TAFADHALINI MASHEKHE NAWAOMBA MUNATOKA KATIKA MALENGO YA DINI WAKATI TULIONAO SASA NIKUWAOKOWA UMMAH NA MOTO WA ALLAH AWE MUHUNI MCHAWI MZINZI MALAYA NAWENGINEO ZAMA ZILISEMWA ELIMU WASOMI KUTAKA UMARUFU NA SIFA SIO KULINGANIYA WATU WAIPENDE NAKUINGIA KWA DINI SHETANI AMEWAZIDI NGUVU DIAMOND KONDE BOY NA ALI KIBA SABABU YA MAISHA NA ANASA MASHEKHE HAMTUMII HEKMA YA QURAN NA HADITH ALLAH AWAPE TAWFIQ WARUDI KWA MUONGOZO KUMBUKA WANAMUZIKI WANAFILM WACHEZA MIPIRA WANATUMIYA KUANGAMIZA JAMII NA MWISHO WAKICHOKA WANAULIWA MFANO MINGI BOB MARLEY WHITENY HOUSTON CELINE DEON NAWENGI MAMBO YAKO WAZI SHUKRAN
Walahawla walaquwwata illa-billaah, inakuwaje wazungu sasa hivi wanaukumbatia uislamu wakiwemo ma priests, khasara hii ya harmonize
Allah akulinde
Jivute kwa Allah upate radhi za Allah
Bangi ni mbaya kwakweli 😢😢😢
Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake sababu huyu ni msiba mkumbwa sana kufuru kama hiii Daah
Jazaakhallah kher
Mashallah huyu namfuatilia yeye na baba yake Shekh Nassoro Bachu
Ni kosa mpiga gita kumwita sheikh.
سبحان الله الله أكبر 😭😭😭😭💔💔💔 الله المستعان والله العظيم 🤲😭💔
Shekh nauwakika wengi wanachukia mawaidha yako2 lakin wengi wanapenda mawaidha yako ila mungu akipende zaid akulipe janna insha Allah
Allah akuhifadhi , akupe Umri mrefu wenye kheiri na Barka 🤲
Masufi wapiga madufu mtihani. Allah atuongoze atujaalie mwishomwema atuepushe na shilki
Wao ndio wanao sema hivyo ?
Tatizo vijana kashfa nyingi kwa walimu wa mwanzo fanyeni subra kwani Wew unapata fursa ya kumjua bachu kuna wengine ata kanzu hawaijui acheni zalau kwa ndugu zenu
@@HarunaRugusha kwani kanxu ndiyo kujia Dini. aundiyo. Kufata haki kanxu mavazitu
Dj said mwalim mkuu wa madrasa
Acha chuki
Bachu endelea kusambaza dawa sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah endelea kuwanyoshaa na waepukane na batili waje kwenye haki inshaallah Allah atawajalia kuijuwa haki
Kijana wape hao alllaah anapenda watu kama hao
Mashaalaa
Kiukweli hakuna mwenye kumjua Allah kiuhakika ya dhati yake,kikubwatu tuamini uwepo wa Mungu muumbaji wetu.
Subhanallah! Hawo wenye wako kwenye makaburi na dufu ni wapi? Msiba
Alaaaa dj said bwana
Ali iga hayo maneno kutoka kwa mwanamuziki mwenye asili ya kimarekani anayejulikana kama Shaggy katika ule wimbo wake strength of a woman.
Harmonize laanatullah
shekh bachu natka unipe dalili ya uharamu wa kuomba dua ya pamoja baada ya swala ya faradh
Suala zuri. Cku akikujibu na mm tafadhali nitumie hata inbox
Hakuna uharamu wowote sema mtume hajafundsha hvyo na mtume ndio kiigzo chetu kwenye kila jambo la dini
MTUME HAKUFANYA HILO JAMBO SHEKHE
@@niffonlinetz7214 sawa mwalimu
Kitu cha kwanza ninachompendea bachu simnafiki na haogopi kuchukiwa kwa ajili ya allahh
Kwa wenyw akili watafahamu hongera😊
man was created from the dust and in the dust you will return
Shukran
Yaarabi tupe mwisho mwema
Ah ujue kuna mambo ni mtihani sana tena ni mazito sana kuyafanya katika dini japokua tuanayaona wanayafanya baadhi ya mashekh
Mfano kama hilo la kupiga dufu makaburini na kulia makaburini
Subhaanallah
Huyu angelikuwa huku Saudi Arabia bila shaka angelishachinjwa mapema sana, ila kwa Tanzania hatofanywa chochote na yeyote atakayejitokeza kumfanya chochote kwenye mwili wake atafungwa,
Cha kufanya basi TUMSH'TAKIE KWA ALLAH.
AsamuAlyim