Kosa la Manara ana changamoto ya kwenye kufuata leadership, ila anachokiamini ukimpa kazi muache ajitoe kwa 100% ,ikitokea umempangia cha kufanya wakati huna weledi nalo basi Hapo ndio tatzo lilipo..kiukweli Manara very very Talented, katika kitu Ninachoamini siku Akimiliki Timu hapo ndio Full Talent Tutaiona.
Nilisema mimi yule alosema wapunguze wachezaji wa kigeni aliona leo na Haji amesema team ya taifa inaferi kwa sababu wajezaji wachache walione hili jambo liko very true
Kitu ninachofaham watu wanashindana matakwa but love always will still there, kama yanaisha ujue haukuwahi kumpenda.so inawezekana manara hakuwahi kuipenda simba zaidi yakushabikia na kama aliipenda basi nikweli bado anashangilia chooni
Nawaambiwa Ukwel Kabsa Sasa Hv MANARA amebadilika Sna Napenda Sana Jinsi Akiwa Anazungumza Khs Football Ya Tanzania Na Huu Ndio Ukwel Timu Zetu Zinahitaji Kuwa Academy Za Kisasa
Gonga like, kama umegundua kuwa aliye mvalisha Manara ni Zaiylissa! Maana hiyo kofia sikujali sana but hilo shati (blauzi) Tuanzia kwene vifungo then mengine yaendelee....
Kwasisi watafutaji tunakuelewa sana Haji, tz tunatabia ya kutengenezeana chuki na chuki yetu huambukiza.. muda mwingine unachukiwa, ila hujui kwann unachukiwa
Mungu Hawezi Kupangiwa Kukupa,Manara Kapewa Na Mungu Kalama ya Ridhiki, Kokote Anang'ara hivyo huyu Ni Mwamba Kokote anapokuwa,Mungu Aendelee Kumpa dhima Yenye Busara Na hekimA
Milard Ayo brand kubwa🙌🙌🙌 Mungu aendelee kukufungulia mwamba mtu smart sana.
Waliokuja baada ya kuona vipande Instagram wana like hapa 🎉
😂😂😂
Na tupunguze umbea hautupeleki popote,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
🤣🤣🤣🤣🤣 umbea tuuu
Hahaaaaa ila wewe kam unanisema vilee
Semaji ni mmoja tu MANARA🎉
Jeri Muro.
Upo vizuri kaka wanayanga tunakupenda Rudi uisaidie timu yetu
aisaidie kwenye nn sasa
Kwa maono hayo ya Manara ya kutengeneza wachezaji namsupport kwa asilimia 101%👍🏽
Kosa la Manara ana changamoto ya kwenye kufuata leadership, ila anachokiamini ukimpa kazi muache ajitoe kwa 100% ,ikitokea umempangia cha kufanya wakati huna weledi nalo basi Hapo ndio tatzo lilipo..kiukweli Manara very very Talented, katika kitu Ninachoamini siku Akimiliki Timu hapo ndio Full Talent Tutaiona.
Nakukubali sana kaka angu manara my roll mode
This guy jmn Mungu kampa kipawa chake mwnyw I love him so much ❤❤
Very good Nice one 😮
Manara ata umchukie unajisumbua tu ni talent kweli kweli ni kipaji cha kuzaliwa binafsi namkubali sana ni msemaji kweli kweli
Kuliko Dr. Licky??
😂😂😂manar mlopofu huy mchambuz wa sok ni dr leacky
Mwombe akuoe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nchi hii
@@innocentchacky6126 mpelekee baba ako amuowe mbwa na anything kiwete wewe mja wa laana mshezi we
Manara kw yanga ni muhimu ....saport ya manara hakuna wa kufika ❤❤❤❤
Well spoken Manala
Miliard❤❤❤
Namkubali sana huyu mwamba madhaifu yake tukiyaweka kando huyu mwamba anamjua mpira na nisemaji haswaa🤝
👏👏🤝
Anajua mpira kuchambua,kucheza, kujifanya timu isongembele kwa mitazamo yake au mbinu za kuwatia moyo wachezaj na mashabiki?
Ucjaribu uwe karibu
Mpira upi?
Hayo madhaifu unayotaka kuyaweka kando ndio tatizo lake😂😂
Manara the genius🎉
ukiwazq mbali sana utaona Mpira wa tz unamuhitaji manara sana
Swadakta
Sure mzee
Ameongea facts sana
sema unamtaka ww kwwko
Ila manara ni mtu wa football kweli kweli jamaa anauchambua mpira vizur harafu anahistoria ya mpira congratulations bugat haji manara.
Heli Bugatti
This Gentleman very intelligent.
Safi sana Haji Manara anzisha timu yako haraka sisi tupo nyuma yako. Ila iwe haraka tutakufuata
Bugatti ni brand ya mpira wa Tanzania binafsi mi namkubali sana uongo mbaya
sema hiki kiumbe hiki wakiache ban mungu pekee ndoanayejua ila hiki nikichwa cha mpira wa tanzania anakitu chake pekeyake
Ana Jua sana mpira manara
Millard Ayo🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Correct discours
Nimekusoma manara vyema sana
Ukute manara kakasirika ndo maana Yanga haifanyi vizuri😁... msitafute mchawi.. hii hapa point. Mkamuombe manara msamaha. Tunakukubali Manara
kwa sababu yy ndo anawapelekaga kwa waganga
😂😂😂
@@violetlongo5087 huo ndo ukweli usicheke 😂
Mi pia nimewaza ivo ukute 😂😂
😅😅😅😅😅😅damu yake ndo uganga wenyeweee yakhe
Huwa namkubali manara ❤
MWAMBA SANA. 🎉🎉
Génial
Watanzania Kwanini Harmonize Mzee Popo alituma Popo kwake Diamond.. Harmonize ni laana kwenye Sanaa yetu Tz 💯😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
We mzee sound sana😂😂😂
Jamaa anajua sana
Huyu jamaaaa anajua mpiraaaa
Correct haji
Jamaa anaujua Mpira kweli kweli 🙌
Mimi nitakuwa shabiki wa timu yake. Nakukubali sana
Nilisema mimi yule alosema wapunguze wachezaji wa kigeni aliona leo na Haji amesema team ya taifa inaferi kwa sababu wajezaji wachache walione hili jambo liko very true
Kaka manara mm namkubari san
Wanao mkubali haji konga like
Manara mwamba kabisa
Ally Kamwe anajitahidi sana....ila ukweli ni kwamba kwenye kuamsha hamasa Manara anauwezo zaidi..
Very true
Kwenda zako huko yeye anataka maugomvi tuu hataki amani
Aligombana na mama ako?@@NailaMickey
Ilo kweli jamani
Amempiga mke wako lini na huo ugomvi?@@NailaMickey
nimemsikiliza vizuri sana jamaa, ila nilichokiona kwake ni MBINAFSI.. Tumuombe sana Mungu atuepushe na roho kama ya Manara
Kitu ninachofaham watu wanashindana matakwa but love always will still there, kama yanaisha ujue haukuwahi kumpenda.so inawezekana manara hakuwahi kuipenda simba zaidi yakushabikia na kama aliipenda basi nikweli bado anashangilia chooni
Manara ni mmoja dunia nzima❤❤
Hellow prof.Haji Manara aisee niseme ukweli nimesajiri leo lain ya tigo kisa interview ya manara brother
Hongereni tigo mmejuwa kiki😂😂😂😂😂
Naomba namba ya Haji
Manara anaweza kuwa ni Tatizo ndani ya Uongozi lakini anachangamsha sana Soka. Ana kipaji chake mbali na upungufu wake
Ndio ukweli kaka unao maliza
Maji ya Afya siku hizi 700🔥🙌
Manara ni mtu sahihi sana yanga nao wameshajichanganya
Bro upo sahihi kwa kikomo cha ufikiri akili yako, but professionally haiko sawa
He is not professional at all! Anafaa kukaa kwenye baraza la wazee tu ila sio kwenye management level AT ALL!
Kiufupi manara umefanya kazi kama mtumwa pale utopolo maana umenunuliwaaaaaa
Manara tv
Hii imeendaaaa
Ndo avae kofia ya Zaylisa?
Uyu mwamba ana mapungufu sema ni mt smart san
MANARA WE SIMBA KI AINA
Nawaambiwa Ukwel Kabsa Sasa Hv MANARA amebadilika Sna Napenda Sana Jinsi Akiwa Anazungumza Khs Football Ya Tanzania Na Huu Ndio Ukwel Timu Zetu Zinahitaji Kuwa Academy Za Kisasa
Huyu jamaa ana tatizo Fulani ...
He should find solution of his problem
Dunia unachopanda ndo Utakachovuna.
Yanga Wamepanda Manara Watavuna Manara.
mimi ni shabiki wa yanga ila huyu bugati wangempa eneo lolote anafaa sana na kama gsm anamlipa tatizo lipo wapi ana nyota kali sana bugaa❤❤❤
Nikweli Lakini Nyota Inamuda Maalumu. Hivyo Nimuhimu Kuupatiliza
Huyu jamaa jini wa mpira akahama tu timu inaharibu sijuw why lakin ukwel usemwe linamaarifa ya mpira inafaa kua kocha😊
Unajua kujibu kwa mpangilio mkubwaaa sanaaaa but najifunzaaa kwako manara
manar Leo nimekuelewa,ni kama enz ya Simba aisee sf sana
manara ni star than wote kwenye industry ya mpira ndo maana hawampendi pande zote wakuu wa A na B.pia na TAFOFE.
Tabora united fc is typing 😂😂😂
Sema MANARA anaujua mpira
❤❤❤❤❤
rais wetu Hersi amekosea sana kumpotezea Bugati, ukweli manara ana nafasi yake kubwa sana kwenye soka kuliko kamwe. Ni maoni yangu kama mwanayanga
Umuhimu wa Bugatti Yanga ni UPI toa mfano 1
Hauna sera ww
Acha unafiki na hatuungan na wewe
Kamwe tunamkubali kinoma
Mchukue manara kaa nae kwako
Kuma ww kama huna point tulia umuhim wake nini
@@EsteregiusShostenesunavotukana matusi ya nguoni ndio wewe unatoa point sasaa?
Mm ni simba na mtu alifanya nipende mpira ni huyu Bugatti 😅
😂😂😂manar akion hamfany anachotak anaanza kulopoka hat simb alikuw hiv hiv inaoneka yanga ametengwaa😂
Nishaelewa sasa yaan manara ana vitu vitu kugombana na gamondi na kununiana na her tu team imeanza kuyumba??Asante manara endelea kufanya mambo😂😂😂😂
Manara ana karama Yake kwenye soka upande atakao kwepo lazima wafanye vizuri. onyo! sitaki mtu kuvamia comment yangu kwa matusi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@AwardHakimu
@@adelaphilip8089😂😂
Ndiomana tangu yanga ifungwe anafuraha sana anapost anaenjoy😂😂😂
Wanaoamini yanga bingwa 🏆 2024/2025 like apa
Yanga bingwa jamani hayo ni matokeo tu ya mpira kama team zingine
Mh..kama unaota amka ivi unaona simba atafungwa na nani hizi team ndogo wao wanapata magoli mengi na pont 3 sisi aaah 😢
@@aishabakari8040Acha hzo wewe, hao Simba wasikupe presha
Jamani 0677 ya tigo ni ya mwaka 97?
Gonga like, kama umegundua kuwa aliye mvalisha Manara ni Zaiylissa!
Maana hiyo kofia sikujali sana but hilo shati (blauzi) Tuanzia kwene vifungo then mengine yaendelee....
Kaarine hii tulio nayo cyo jaabu Ajabu Akivaa Sigiria n Bigin tu
Hhhhhhhh 😂😂😂😂
Manara semaji ladunia
Bugatti ni brand ya mpira wa Tanzania binafsi mi namkubali sana uongo mbaya anajua na anakumbukumbu sana huyu jamaa
Kwasisi watafutaji tunakuelewa sana Haji, tz tunatabia ya kutengenezeana chuki na chuki yetu huambukiza.. muda mwingine unachukiwa, ila hujui kwann unachukiwa
Mimi ni mwanasimba ninayemkubali sana manara
Hajji manara football inahitaji akili yko
frida ìyo kofia aikutowi vizur bana
ILI UENDE MJINI LAZIMA UPITIE MGONGO WA SIMBA, SIMBA IS A BIG CLUB BROOO,WHETHER YOU LIKE IT OR NO...
Manara ulinifanya niipende yanga Sana kwa Hamasa yako , si Mimi Bali ni wengi tunakupenda Sana Manara Ila Manara Na Millard mpo vizur Sana .
This Gentleman so called Manara Hajj, knows what he is talking.
Let us walk his talks.
Yangu hawamhitaji Manara
Mara Simba mara Yanga
Sema manara hampendi Ali kamwe nimeligundua ilo 😢
Na ali kamwe je
Alikamwe hampendi ibwe😂😂😂😂 na ibwe hampendi Ahmed ally 😂😂😂 kwahy tuseme wote hawapendan
Ayo nahitaj wifi ya tigo naipataje
I like frida aman so calm,I really admire him.
Him or her!?
@@gregorybakuza5796kingereza kilikuj na meli ndg yng😂😂
Him tena@@BEATRICEMASEKE-x5i
😂😂😂😂
Him😂😂😂😂
Dah Hadi home,
Kumrudisha Manara Simba, litakuwa kosa kubwa! Ni vizuri kuwa na watu wenye msimamo na sio vigeugeu!
Hata hivyo haiwezekana hamed ally anatosha
Kabisa Ahmedy semaji letu tunampenda❤❤❤❤❤❤❤anatoooosha
Hawezi kurudi huyo
Anekwambia anataka kurudi au umbea na kukurupuka
@allymatilda7519 hatumtak kwendra Huko Na makasiriko yako utopol wew
Ongeen nae vizuri atasema yote 😂😂au embassy mpen kama pact 10 yaan shwaaaa😂😂
Manara hyo sio tigo ni buzzy.tuwekane sawa.
Huyu jamaa maneno yote ana ubinafsi ndani yake
Haji anajua sana
Shida ya manara ana nongwa
👍👍👍👊👊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vibaya mnoooooo
Mno😂😂😂
Hadji ni lidude likubwa i admire this guy very skillfull 😂
Ndiye aliyenifanya niipende simba alipoondoka nikipata tabu sana niliwaza hata kuhàma nae lkn bado Niko simba. Aje tena.
Mungu Hawezi Kupangiwa Kukupa,Manara Kapewa Na Mungu Kalama ya Ridhiki, Kokote Anang'ara hivyo huyu Ni Mwamba Kokote anapokuwa,Mungu Aendelee Kumpa dhima Yenye Busara Na hekimA
Manara anajua mpaka anajua...
Mke na Mme ni tofauti na mpira maana kwenye mpira Alo kukera ni watu ambao ni viongozi wa Tim lakini siyo Tim acha uongo 😅
Waliokuja baada ya kuona vipande instagram wana like hapa 😊🎉