IFAHAMU MAANA YA JINA LAKO NA ANAYEFAA KUWA MUME/MKEO “MAJINA MENGINE YANAKATAANA, MAAJABU 18”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 2,3 тыс.

  • @easthernaini7377
    @easthernaini7377 3 года назад +71

    E tuko na vision siouwongo..wapi like za E

  • @mellenmbaka8182
    @mellenmbaka8182 3 года назад +58

    Kweli mimi ni M na siwezi weka kitu kwa roho pia naheshimika kwa jamii si uongo letter M wapi like zenyu jameni👌👌👌

    • @christinalanda487
      @christinalanda487 3 года назад

      Kwana s na z awawez kushirikian

    • @primtivawillison1599
      @primtivawillison1599 Год назад

      Me nahitaji kujua make watu tuna majina mawili mfano P na A yote majina yako sasa hapo nachagua lipi

    • @maryjose1106
      @maryjose1106 Год назад

      Mimi piah,ila itabid nipunguze kuongea mana hahah

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Mimi v lakin pia naheshimika kwa jamii

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Christina s ni upepo na z ni udongo lakin Kama ni Christin wewe si ni c sio s

  • @Werema3760
    @Werema3760 3 года назад +16

    Hizo ni hisia tu! Ni mungu pekee wa kukuchagulia mke/mume tena wa jina lolote na akakustahili maishan! Si upeo wa kibinadam usioweza ona ndan

  • @ireneathuman5227
    @ireneathuman5227 3 года назад +220

    Sasa nyie msikilizeni huyo mkaachane na wapenzi wenu mungu ndo kila kitu katika maisha yote ya mwanadamu

  • @AishaGor
    @AishaGor 2 месяца назад

    Kweli kabisa Asante kwa ushauli 🎉

  • @frolasigala7196
    @frolasigala7196 3 года назад +100

    F. Umenipatia Mimi Nina huruma Sana kwa nduqu zanqu wenye herufi f. Unqa mkono

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 года назад +18

    Allah atuepushe na ushirikina, amiin.

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 3 года назад +18

    Mambo ya erufi 2muachie mwalimu wa alfabeti hukooo chekechea,Tuutafute ufalme wa Mungu nayote tutazidishiwa,Pesa,Mapenzi,mke au Mume bora navingine kibao,sio mm hayoni maneno ya Biblia takatifu 💪💪💪

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv 5 месяцев назад +1

    M Mimi ni kweli kbs ulichoongea like hapa kama umeanza na m

  • @magrethkawa4841
    @magrethkawa4841 3 года назад +7

    M namtafuta mume mwenye jina la W
    M finding W
    Tafadhali 🙏🙏💞

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 года назад +7

    Shukran sana, surely Knowledge is here...!!!
    Bravo Ayo TV

  • @roshichocolatee8084
    @roshichocolatee8084 3 года назад +72

    Aya wale wenye (s) tujuane hapa😍😍😍😍 I'm SHAMSA

  • @patriciacleopatra3695
    @patriciacleopatra3695 3 года назад +30

    Kwenye R naweza kuamini kwenye mahusiano au ndoa kama inakuja na kuondoka vile na kwenye kusaidia Wallah ni kweli kuna mtu jina lake linaanzia R yaani anasaidia na anajitoa sana lakini yeye akipata shida sasa anaowasaidiaga wote wanapotea jamani

  • @ndayikezececile2762
    @ndayikezececile2762 2 года назад

    Umejuwaje S mpenz wangu nimkali sana lakn anahuruma sana anatafuta pesa vibaya mno na anapenda langi nyekundu kupita kiasi 🤗🥰

  • @AhmedAhmed-zw8lc
    @AhmedAhmed-zw8lc 3 года назад +4

    Umesema kweli mm Jina linaanza na S na mme wangu Jina Lake linaanza na H. Asante sanaa

  • @emanuelleonard7284
    @emanuelleonard7284 3 года назад +4

    Nakubali brother E na M zinaenda

  • @cavangacavanga8231
    @cavangacavanga8231 3 года назад +26

    Du siku zote uwaga siaminigi aya mambo lakini leo uyu jamaa amesema kweli kabisa kuhusu jina langu Bacar siku zote nilikuwa najiuliza kwann mm nikipenda napenda kweli hivi na kwann usingizi unanijia kwa wingi hivi, leo jamaa amenijibu maswali yangu, asante saana kaka

  • @husseinbenitho7379
    @husseinbenitho7379 3 года назад +10

    Ukiforcus zaid kweny jina lako hutofanya chochote kwa kua kufanikiwa kupo kwa juhudi zako ,anaweza mtu akakuambia kua jina lako haliwez kufanya kitu katika maendeleo na ukakata tamaa mapema maana unaweza ukawa majina hayaendani na mkaishi maisha mazuri tu

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 3 года назад

      Oy jina linakuchochea kwenye kutafuta maendeleo

  • @anglepatroba4282
    @anglepatroba4282 2 года назад

    E nielfu yngu kweli ninauwezo na ndoto ndefu nikitangaza ata Kama nimeidiwa akotimii Asante kwa dalasa

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 3 года назад +1

    Imeisha iyo deo na Suzy😋😋😋

  • @mwanakheri169
    @mwanakheri169 3 года назад +38

    M kama M,umepita humooo humoooo yanini uweke vitu rohoni we sema mambo yaishe😂😂😂😂🤗🤗

    • @mwazaninalapa8852
      @mwazaninalapa8852 3 года назад +1

      Kweli kabisa ndivyo tulivyo ila timwshauriwa tupunguze kuongea mambo yetu tunabrock😁😁😁😁

    • @mwanakheri169
      @mwanakheri169 3 года назад +2

      @@mwazaninalapa8852 yaani hapo kwenye block hapo ndo shida inapoanzia

    • @malugukushaha6764
      @malugukushaha6764 3 года назад +2

      Yaani hapo umepatia sana aise.

    • @khamistungupu3238
      @khamistungupu3238 3 года назад +1

      Yani kwenye H, umeweza,aise tunapenda sana kubemberezwa

    • @mumyally5901
      @mumyally5901 3 года назад

      hahahaha hapo hapo

  • @زينابوو
    @زينابوو 3 года назад +31

    Matwins wangu wanaazia na s wanapenda nyama hawo sema wanandoto kubwa wacha niendelee kuwaombea watt wangu ndoto yao ikuwe 🙏🙏🙏

    • @shushu8105
      @shushu8105 3 года назад

      napenda nyama kabisa

    • @sophierseyyd1162
      @sophierseyyd1162 3 года назад +3

      Kwenye nyama unambii kitu 😋😋

    • @sandevobanboysandevobanboy8173
      @sandevobanboysandevobanboy8173 3 года назад

      S

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 3 года назад +1

      @@sophierseyyd1162 mm Ni S Ila nilivyokuwa mdogo nilikuwa sipendi nyama yani ilikuwa ikipikwa mm siikuli Ila Sasa hivi adi wananambia ww ulivyokuwa mdogo ulikuwa upendi nyama Sasa uwo uchu umeutolea wapi

    • @gsonboytz4424
      @gsonboytz4424 2 года назад

      Mimi no herufi G napaswa kua na mke herufigani

  • @jumapilijule4545
    @jumapilijule4545 3 года назад +16

    Mimi ni S na Mpenzi anamajina yote ma2, D na M nimeona ukweli ndaniyake Yaani hujakoseya,hongera sana kwakipaji

  • @elizabethseleman1529
    @elizabethseleman1529 3 года назад

    Hongela kwa kipawa icho bt naomba uelezee elufi E(Elizabeth)

  • @rosejulius1916
    @rosejulius1916 3 года назад

    Asante,,,Ila naiman MUNGU wangu wa mbinguni ananijuw vema kuliko yyt

  • @mussamchena9595
    @mussamchena9595 3 года назад +9

    (M) Mussa kweli kabisa huwa nikisema kitu kinatokea pia sikaagi na kitu rohoni nakubaliaba na wewe🙏🏼

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 3 года назад +20

    Kwenye s umepatia kabisaaaaaa kiongozi wangu 🙏

  • @scholasticajonathan2534
    @scholasticajonathan2534 3 года назад +4

    Wakina S tunajijua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I uwiiii nimecheka viburi😅😅😅

    • @scholasticalaurent1542
      @scholasticalaurent1542 3 года назад

      Yaan katuweza kabisaa mm nilikuwa na mahusiano na mtu mwenye heruf P ni ugomv kila siku kitu kidogo mwenzangu kanuna nabembeleza had nachoka

    • @beatriceenock2216
      @beatriceenock2216 3 года назад

      😁😁😁 Nina mdg Wang Yan nishid anitwa s

  • @sharifamohammed809
    @sharifamohammed809 3 года назад

    Hii s huja koseya tuko wavumilivu sana na tunapitiya changa moto sana ila piya hatukati tamaa hata kidogo tunapenda kupata kile tunacho kipiganiya yani good😍💯💯💪

  • @yotehapatv7705
    @yotehapatv7705 3 года назад

    Dah my brother saidi.... Ni mkar sana kwa mke wake...

  • @priscajustine2183
    @priscajustine2183 3 года назад +3

    P umepatia kabisa👍nitatafuta Mpenzi mwenyejina ya erufi g/j

  • @rehemanahoda4723
    @rehemanahoda4723 3 года назад +7

    Kweli kabisaaaaaaaaa wala sio uongo hongera kwako wala hujakosea sehemu kila sehemu Unaonekana mbaya ata uwabebe mgongoni bado tunaonekana wabaya hutupa changamoto piya

  • @mariabenedict328
    @mariabenedict328 3 года назад +73

    R.I.P Magufuli msema kwelii💔

  • @fakhriyaal-shabibi6865
    @fakhriyaal-shabibi6865 2 года назад

    Kwenye S naona kama kwel aisee 💪💪🙈

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 3 года назад +1

    Hiyo Herufi F umesema kwelj kabsaa yaani Imani upendo na kujituma hapo sawa kabsaa na kukumbana na changamoto zakimaisha kweli nimepitia sana hadi kwenye ndoa Lakini Tushaolewa na S so imeshakua wacha tuwaachie mungu tu. Alhamdulillah 🙏

  • @patriciacosmas5944
    @patriciacosmas5944 3 года назад +6

    Nimekukubali f Ni very bright Ila presha miguu

  • @sesiliasalleko2013
    @sesiliasalleko2013 3 года назад +16

    Yaaani ukweli kabisaa Mweeee Mweee ulivyoongea ndivyo nilivyo

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018 3 года назад +9

    Yaan kila kitu unasema kuhusu jina lina anza na K exactly ,my husband ni kevin but my God hivyo hivyo,Na jina langu la linaanza na S na niko loud, patient and so on exactly kama hivyo 😊

    • @hamisisha
      @hamisisha 3 года назад

      Hongera kuwa mkweli watu wanapinga tu lakin hawafanyi utafiti hata kidogo kuhusu majina yao lakin ndo hao hao kila leo hawatulii na mtu mmoja kwenye mahusiano yao leo yuko na huyu kesho mwingine kuhusu vipato huko ndo balaa

  • @rebekakomanya6964
    @rebekakomanya6964 3 года назад

    Haujakosea kaka mm R napitia wakati mgumu sana katika mahusiano yangu, kuumwa na miguu, presha, na ninajali sana haujakosea hata kimoja mwenyez MUNGU akubariki.

  • @magrethaminiel3393
    @magrethaminiel3393 3 года назад

    Waooo nimerudi online shehe musa

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 3 года назад +12

    Jamni Baba angu S&J ni Mama angu leo ndonimeelewa kwanini wamedumu kwenye ndoa yao bila migogoro ya mara kwa mara hadi sasa wanazeeka pamoja wooooh😍😍😍😍

  • @mauwashadrack8624
    @mauwashadrack8624 3 года назад +11

    Mimi ni herufi M umepatia kabisa ❤️

  • @situnayenge2292
    @situnayenge2292 3 года назад +18

    Apo kwa S nikweli kabisa.vyote ulivyo visema nikweli niko hivyo.

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 3 года назад +1

    Daah jaman nimeamini sehemu kuna mahali nimejiona kabisa 😀😀 yaan ni balaa 😍❤

  • @veronicahnyamweya2855
    @veronicahnyamweya2855 2 года назад

    Kweli kabisah santii sana kwa mafunzo mazuri alafu sasa kuna haya majina ningeomba mnisaidie kama yanaeza endana please jina kama veronicah,verah, Richard ,Robert na mengine mengi yanaeza enda kimausiano au vipi naomba mnisaidie nipate kujua 👈👈👈👈👈

  • @adrophjuliass9183
    @adrophjuliass9183 3 года назад +3

    Asantee sanaa kwa somo hili coz ume2fumbua macho

  • @rehemaliloko5700
    @rehemaliloko5700 3 года назад +6

    Kumbe ndomaana mimi ninasaidia sana lakn pale ninapo hitaji msaada ninaachwa mwenyewe!! Kumbe ni nature ya jina langu duh'yaan hii ni kweli kabisa,sasa nini kifanyike kama tiba,maombi au nn

  • @scholamatogolo3493
    @scholamatogolo3493 3 года назад +4

    Wow kwenye S hapo umenigusa Kila kitu duuuu! Kuna watu wanavipawa .... Barikiwa

  • @dedemishi3848
    @dedemishi3848 3 года назад

    Yaani mm M umenigusa sanaaaa,ulivyo tabiri ndivyo nilivyo💯💯🤣🤣🤣tnx

  • @priscachotela8397
    @priscachotela8397 2 года назад

    Jaman kaka unenigusa sanaaaaa yan kwa mpenzi wangu daaah mungu atuongoze tyfike salama

    • @fettykassim
      @fettykassim 2 года назад

      Yote uliyoyataja n kwel kwenye maisha yangu yapo

    • @fettykassim
      @fettykassim 2 года назад

      Yote uliyoyataja n kwel kwenye maisha yangu yapo

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 3 года назад +15

    Letter M let’s gather here❤️❤️

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 3 года назад +37

    Api kwenye s ni mama yangu kabisa hawezag kuongea pole pole hupenda nyama na mpambanaji 💃💃💃

    • @fesalybrayan2884
      @fesalybrayan2884 3 года назад +2

      Sikupingi mama angu hali bila nyama halafu haweezi kuongea polepole ila wanahuluma sana

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 года назад

      @@fesalybrayan2884 jmn huyu jamaa hadi namuogopa kwel kabsa ss kna S tunapitia magumu sana kma mm hadi huwa namuulza mama mbona mm bado mdogo lkn mung ananpa majarbu makubwa kuliko umri wang?sasa nmejuwa ukwel naiman siku yang ipo

    • @hatibulaisser4858
      @hatibulaisser4858 3 года назад +1

      Nauuliza SnaR wakioana wataendana

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 года назад +2

      @@hatibulaisser4858 ndugu mganga wetu anatuambia kuwa S unaendana na M pia wanaweza kuelewana na O lkn mungu kwanza

    • @shuukuchy6350
      @shuukuchy6350 3 года назад

      @@hatibulaisser4858 wanaendana S-I. S-A S-R

  • @reyhizza8312
    @reyhizza8312 3 года назад +40

    herufi R mpooo ,watu na huruma zetu

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 11 месяцев назад +1

    Nauliza je umezaliwa
    Mtu ukapewa majina mawil
    Je yote yatatumika?

  • @naominehemiah3306
    @naominehemiah3306 8 месяцев назад

    N kabisa yan nausingz mnoo😢😢 nawivu hatari sasjui naendan nanan mamae

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 3 года назад +8

    Hakuna cha majina kuendana wala nyota ndoa hupangwa na Mungu pekee hakuna mikosi wala nuksi kila ambalo mja anapitia ni kwa kudra ya Mola sasa mambo gani yakua uvae mavazi flani kwa sababu ya herufi ya jina? Na wengine washaanza kupanik tuacheni imani potofu leo hii kuna watu wakitaka kuowana mpaka watafute mtabiri eti kuangalia nyota hizi ni imani potofu tumtangulize Mungu kwa kila jambo

    • @michaelCmichael255
      @michaelCmichael255 3 года назад +1

      Hata Yesu alipewa jina na mw/Mungu kupitia malaika Gabriel, kabla ya binadamu sasa we umetoa point hii kupitia kitu gani.. msiwe watu wakujudge kabla yakuskiliza moaka mwisho. Amesema amefanya research kwenye vitabu vya imani. Usikulupuke. A good speaker is supoosed to be a good listener first.

  • @davidtemba4893
    @davidtemba4893 3 года назад +15

    Duuh Herufi D na S kwenye mahusiano 🙌🙌😍

  • @sophiethadei1554
    @sophiethadei1554 3 года назад +8

    Yaan umegusa kweli maan nyama napenda sana alf naongea kwa sauti hatar umegusa penyew2 🤗🤗🤗

    • @sabinastefhano8716
      @sabinastefhano8716 3 года назад

      Yani umenipatia sana Kama ulikuwa unaniona na mme Wang M jamani Kaka ww

    • @sophiarubambimpala5854
      @sophiarubambimpala5854 3 года назад

      Mm naitwa Sophia Yan hujakosea tabia zangu ni hzo hzo na nikivaa nguo nyekundu huwa napendeza Sana na mpenzi wangu anaitwa M.... Yan ni M duuh jaman.

  • @bakarimwayaga1003
    @bakarimwayaga1003 3 года назад

    Hongera Sana kwa ufafanuzi ila Niko na sawali ,je erufi B inaweza kuoana na erufi M

  • @linahjoseph6457
    @linahjoseph6457 2 года назад

    Yan hujakosea kaka iyo k ni 🔥

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 3 года назад +18

    Jina langu linaanza na R hapo kwenye kuhic kitu na kutokea walah mwaka jana nillihic nyumban kuna msiba na ikatokea babu yangu kuzaa baba amefarik

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 3 года назад

      Hata mimi kwenye R namuunga mkono na angelifafanua vizur ili tuepuke. Mimi niliota tu kitu na kikatokea nilisema kitu na kikatokea aisee naogopa hadi kusema sema.

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 года назад +1

      @@kitonekantasha1687 Hata me jina langu kamili linaanziwa na herufi K nina hisia kali na kila ninachohisi kinatokea kweli, nina utambuzi wa hali ya juu sana mpaka najiogopa, na hapo kwenye changamoto ni kweli nina changamoto mpaka naiona dunia chungu😭😭😭

    • @winnievenance3619
      @winnievenance3619 3 года назад

      Mimi nilihisi mpenzi wangu kanisaliti na ikawa kweli

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 3 года назад

      @@kitonekantasha1687 hata dada yangu yupo hivyo

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 года назад +2

      Jaman mie hadi watu husema ni mganga niseme kitu lazma kitokee yaan hyo pressure ya kushuka niko nayo khai na napenda saidia watu lakn npate shida uuwiiii ata wakunihurumia hakuna

  • @myrah.9937
    @myrah.9937 3 года назад +9

    Yeeees Am D and my Husband is I waaaao waoooh

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 года назад +7

    Ni kweli mimi ndivyo nilivyo msema kweli siweki neno rohoni na kweli mimi ni mkali na napenda nyama kama usemavyo na miguu naumwa na maono ninayo sana

  • @danielathanas5872
    @danielathanas5872 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 pesa inatafutwaaa nyie tuwe serious😂😂😂😂😂

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 3 года назад

    Sijaskia kuusu L nipeni Namba yake Tafadhalini 🤗🤗🤗🤗

  • @salmaomar8612
    @salmaomar8612 3 года назад +8

    Mhn!! Sikuwa najua kuwa jambo JINA ni darasa kamili.
    Hongera na ahsante sana.

  • @rodgersmenza5261
    @rodgersmenza5261 3 года назад +18

    Am not yet married and I think I'll get the perfect one

    • @mluziwajini4734
      @mluziwajini4734 3 года назад

      Njooo kwanguuu

    • @ddfatma4281
      @ddfatma4281 3 года назад

      F upo sahihi mimi huluma ushauli maladhi mchanganyiko yaani sijuy utanisaidiajee nivae nini iliniwe sawa

  • @mamalao8574
    @mamalao8574 3 года назад +7

    Hapo kwa k umegonga ndipo napenda kusaidia but watu hufikiria nina roho mbaya but nikipatwa na shida sipati msaada

  • @salomesaedy8186
    @salomesaedy8186 Год назад

    Hapo kwenye strong hapooo ndo penyeweeee❤

  • @salomesaedy8186
    @salomesaedy8186 Год назад

    Ukwel mtupuuuuu🙌🏻🙌🏻

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 3 года назад +4

    Hiyo R ni kweli kbs anajitoa kwa watu but yeye akipata tatizo anapambana kivyake.

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 3 года назад +4

    😂😂😂🙌🙌piga kilele kwa h ake weeeeeeeeee.yaani umegusa mule mule h na s yaani 🔥🔥🔥🔥

    • @salmasaeed9357
      @salmasaeed9357 3 года назад +1

      Wallahy amenigusa sanaa kumbe naendana na bby wngu😂😂😂

    • @hakikahoman615
      @hakikahoman615 3 года назад

      @@salmasaeed9357 yaani atari mie ni h baby s yaani maupend km yote

    • @nurukiingu9012
      @nurukiingu9012 3 года назад +1

      Mimi ni N&S yani badokidogo tu nitobolewe macho. Yani makasiriko kamayote nanimekufa nimeoza sijui niganyeje.sauti yajuu nakupenda kubembelezwa kama mtoto 🤦‍♀️😂😂😂😂

    • @hakikahoman615
      @hakikahoman615 3 года назад +1

      @@nurukiingu9012 pole mwaya

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 3 года назад +6

    Dada yangu anajina la p mumewe anajina la J Ila anapata tabu Sana tangia mumewe kamuo na kumzalisha ni Kama kamtelekeza watoto tunalea tu tufanyaje baba yao. Hajui hata majukumu yake kwahiyo anachoongea si wote

    • @paulinashembilu1093
      @paulinashembilu1093 3 года назад +1

      Yan mi siamin jmn mi pia p mume wangu j lakini huo Moto wake si wakitoto hakuna maelewano

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 3 года назад

    Jamani mm umenipati sana S kwa sauti maradhi kufanya kazi umenipatia

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 года назад

    Mungu hakuweka video kwenye bibilia au Qur'an kwasababu mke au mume anatoka kwake

  • @emmanuelmgaya6078
    @emmanuelmgaya6078 3 года назад +3

    Mke mwema anatoka kwa mungu maana cjaelewa chochote

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 3 года назад +4

    Wale wa W & M is 🥰🥰 tufahamiane jamani mie ni Winifrida

  • @mmangajuma5642
    @mmangajuma5642 3 года назад +31

    Kweli mimi M kweli umepatia 😂😂

  • @deboramilangasi5965
    @deboramilangasi5965 3 года назад

    Ni kweli ulichoongea ase be blessed umenisaidia

    • @rizikiyohana.5694
      @rizikiyohana.5694 3 года назад

      Nikwer bhana yaan mm hapa n R halaf nimeolewa na P yaan Kila siku n vikwazo tu

  • @mwatanosalum8269
    @mwatanosalum8269 3 года назад +1

    M upo sahihi😘😘

  • @jacquelinegg327
    @jacquelinegg327 3 года назад +14

    Sasa Mimi na mtu wote JJ hapo Nia akili square 🤣🤣🤣

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 года назад

      🤣🤣🤣😜

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 года назад

      Duh!yaan huyu mtu alieunda huu mtandao wa YTb alikuwa na akili sana,yaan hapa hata ukiwa na mawazo kias gan yaanaisha kabisa maana kuna watu humu ndan akili Yao wanaijuwa wenyewe

  • @fabiankilato6911
    @fabiankilato6911 3 года назад +15

    Guys, don't let the stars get in your eyes. Mtapotea! Trust God/Allah .

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 3 года назад +2

      Jazaa kallahu khayran akhy, wallah umesema kweli. Hakuna vitu ka hivo shirk tu

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 3 года назад +6

    Yaaaaani wewe baba ni umeongea ni kweli kweli mtupu mashaallah mmmmh mbona mimi umenigusa vyote

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 года назад

    M..umepatia yani mule mule ..thanthee doctor.

  • @RukaiyaAli-fx9km
    @RukaiyaAli-fx9km Год назад

    Naomb plz plz uelezee rangi kwajinsi yaherfi zote inayoendana km r ,a,m,s,l zote tujuwe kwasote usipitie kwa heruf chache t tunatk tujuw sote

  • @saralusinde53
    @saralusinde53 3 года назад +14

    ni kweli mimi ni Sara kwakweli uko sahihi kaka everything is true

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 года назад +2

      Sana mm napenda sana nyama,pia siwezi kuongea saut ya chini,ila mm n mpole sana

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 3 года назад

      Mm ni S Ila nilivyokuwa mtoto nilikuwa sipendi nyama

  • @hamisisha
    @hamisisha 3 года назад +7

    Wenye herufi zao wanajijua hapa kwenye R.F.K kuna hirufi 1 ni wife wangu nikilinganisha na maelezo ya huyo mtabibu ni sawa kabisa' kama unaamini ktk MUNGU inabidi kuomba kwelikweli sio kinafiki vinginevyo utaachana na huyo mwenza wako Automatically

  • @amiryjaphary3886
    @amiryjaphary3886 3 года назад +28

    Nimemkubali swahiba M & J maumivu ya moyo sio mchezo

  • @mwatimaabdallahaji2452
    @mwatimaabdallahaji2452 3 года назад

    Nakubali kaz zako kaka najifunza vitu ving sana kuhs journalism

  • @NireraJeanine
    @NireraJeanine Год назад

    Umepatiya sana kwenye jina N&j

  • @naomymuro2199
    @naomymuro2199 3 года назад +8

    Wow ameenda mulemule mm N na af mume Wang J na uloongea yote n ya kwel,,shukran

  • @perpetuemukerabirori5460
    @perpetuemukerabirori5460 3 года назад +3

    Asante sana kaka unanisema kwa herufu ya p😂😂😂😂

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 3 года назад +44

    Kiukweli hili ni Somo kamili ambalo watu tunatakiwa tukijue kiundani lina ukweli kwa asilimia 💯

    • @ruzisalm2031
      @ruzisalm2031 3 года назад +3

      Uongo mtupu mungu tu ndomwenyekujua mi km mm siamini mtu mwenzangu coz yeye nikm mm tu hawezi jua riziki au chochote kile mungu tu ndonaamini

    • @fatimamohammed8079
      @fatimamohammed8079 3 года назад

      Kabisa ukweli mtuptu

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 3 года назад

      @@ruzisalm2031 kwa kweli ni shirk wallah

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 3 года назад +2

    Umesema kwelii jmn haswaa hapoo pa kupenda nyama

  • @kerryrummy633
    @kerryrummy633 3 года назад

    Da hapo kweny H umepatia sana dah🤣🤣

  • @Bea_ray9556
    @Bea_ray9556 3 года назад +10

    ambae huko kwa relation n wamekutana B na G kama mim thumb up plz😂

    • @omarymgunya6747
      @omarymgunya6747 3 года назад

      Uuujjujuujjjjjjjj

    • @brotherstephenkmwaura1718
      @brotherstephenkmwaura1718 3 года назад

      Shida yako wewe ukipatia watu kitu au kitu uko na mashaka sana pia uko na Roho ya kuongea sana sasa unapatwa na mashida ju ya kuongea kwako

    • @jamest5828
      @jamest5828 3 года назад

      @@brotherstephenkmwaura1718 kwahiyo R na S hakuna kuelewana hapo au ndoa pia

    • @achouraachoura5763
      @achouraachoura5763 3 года назад

      Aiiii😂😂

    • @Bea_ray9556
      @Bea_ray9556 3 года назад

      @@brotherstephenkmwaura1718 kwahiyo Brother Stephen natakiwa niwaje?😑

  • @saraphinajosephaty2723
    @saraphinajosephaty2723 3 года назад +3

    Wallah huyu. Baba ni mkwel Sana kwenye heruf s nimejiona Mimi kbisa

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 года назад +9

    Kwenye Huyo herufi..I.umeongea kweli Wana biburi mno nililiona ilo nikaachana nae

  • @hellenkarano9790
    @hellenkarano9790 3 года назад +1

    Nimeamini M na J no wonder tunapendana ivo tena mpenzi wangu yuapenda kulala sana dio maana cwzagi kuweka siri 👌👌👌

  • @priscalugenge7985
    @priscalugenge7985 3 года назад

    Uyu kaka kama ameniona uyu P n mm tabia zote kila kitu kabisa na mpenz wangu J uwiiiiii👏👏👏