TABIA ZA MAJINA YANAYOANZA NA HERUFI (F,R,M,H,S)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 45

  • @SadaBukuku-js1ej
    @SadaBukuku-js1ej Год назад +1

    nauliza Mimi ni A kutoka kwa baba kwa mama ni s nimempenda N je twaendana

  • @starlight8794
    @starlight8794 Год назад +1

    (A) nao pia hawaeleweki alafu niwajeuri na kiburi alafu ni domo zege sana yani niwazito kujieleza adharani kwa anae mpenda

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Год назад

    Watangazaj wajuaj sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Kweli baba akiniambiaga vitu vilikuwa vinatokea yeye ni f ndio ana upendo lakin ulivyosema ni kwel kabisa alisemaga tuone iyo safar kama itakuwa mana umetangaza na kwel haikuwaga

  • @FadhilSylivester
    @FadhilSylivester 9 месяцев назад

    Dkt mmniFadhil maliam nampenda sana ila kunakitu kimetokea kwake maada ya kusema kwa hasila nayeye anaitwa maliam tunaendana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Ndio kuna r uku anapenda kujivuna

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 3 месяца назад

    Wewe sio MUNGU,
    Mume wangu Mimi ni H,but ni MTU ambaye anapenda kujishusha Sana na hampendi watu wajue mambo yake. Ni MTU mwenye upendo wa Hali ya juu na msimamo mkali katika kitu anachokipenda,Yuko tayari kufanya chochote alimradi kumlinda anaye mpenda,halafu hawezi kusema uongo hats umfundishe hawezi kusema ulichomwambia ila ataitikia pale.😂

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Год назад +1

    Watangazaj mpunguze kelele bas yeye akae kimya muongee ninyi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Hawa wanaendana Aziza na shaban

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    😂nimewapenda bule

  • @rahmamsagati9231
    @rahmamsagati9231 Год назад +2

    Ss akina r Ni udogo. Vip ulisema tuoane na akiba aeiou na Hawa Ni Moto inakuaje hapa

  • @YustaMwakanyeta
    @YustaMwakanyeta Год назад

    Herufi T na herufi A je wanaweza kuishi vizuri. Wakioana?

  • @KautharMuhammed-s4v
    @KautharMuhammed-s4v 9 месяцев назад

    Kwel😂😂😂

  • @starlight8794
    @starlight8794 Год назад +2

    Sio S wote eti niwapigaji bwana mi mbona siko hivo na kama kua kwa mausiano mbona siwezu kum cheati ninae mpenda hapo nakataa ila kwa kufikiria mengine niki ongeleshwa hapo sawa nakubaliana nayo

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

      😂wengi wao wapo hivyo japo wanaupendo wa zati wakipenda wameipenda hawa

    • @shufaamakoko5477
      @shufaamakoko5477 10 месяцев назад

      ​@@VickKulekana-si1ibmm nataka mawasiliano naangalia namba sioni

  • @inukauleunywe5717
    @inukauleunywe5717 11 месяцев назад

    Guys life is so good...

  • @shufaamakoko5477
    @shufaamakoko5477 10 месяцев назад

    Mm nataka mawasiliano

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Kweli mariamu wengi wapo hivyo

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 года назад

    Aiseh navyojimwambafai sasa

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 Год назад +1

    Siyo Mariam wote, fanya Utafiti tena.

  • @FRMECHACKKYABU-ti7yn
    @FRMECHACKKYABU-ti7yn Год назад

    Kweli kabisa

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 2 года назад +1

    Kaka hujakosea mkewangu haeleweki

  • @fredrickinjere
    @fredrickinjere Год назад

    Ukweli mtupu

  • @azizyohana3153
    @azizyohana3153 2 года назад +2

    Mulijuaje huyo H anakuwa na matatizo ya tumbo na kichwa ? Na ako katabia kakuvimba

    • @happinessmtani7621
      @happinessmtani7621 2 года назад +1

      Hahaha siye wavimbaji hatari ila tumbo siumwagi

    • @azizyohana3153
      @azizyohana3153 2 года назад

      @@happinessmtani7621 Kuna mwenzako mvimbaji ila kichwa sasa , juzi limemuanza tumbo

    • @happinessmtani7621
      @happinessmtani7621 2 года назад +1

      @@azizyohana3153 mwambie apende sana kutumia karafuu analoeka anakunywa

  • @NataliaKelly-um9hb
    @NataliaKelly-um9hb Год назад

    S na h wakiona itakuaje

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 2 года назад +1

    O na S je

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 Год назад

    Mariam mm hapa mkweli alaf mpuuzi etiiiii?

  • @FrankAmoni
    @FrankAmoni 3 месяца назад

    F haujakosea

  • @simonyusuphkwigema3172
    @simonyusuphkwigema3172 2 года назад

    Kaka mimi ni s natakiwa nioe mke mwenye herufi gan

  • @SahraHalifa
    @SahraHalifa Год назад

    Wewe hujui lolote

  • @RamaBinda
    @RamaBinda Год назад

    Huyu jamaa anaongea ukweli kabisaa

  • @kilindaselemani4828
    @kilindaselemani4828 Год назад

    nilikua nataka nijue mim naitwa selemani mkewangu alikua anaitwa nohela alikua mcristu akawa amesilimu akawaameitwa sada vp hapo nisaw

  • @sophiasophia6500
    @sophiasophia6500 Год назад +1

    😭😭😭