Siyo kweli kwa habari ya kujiinua, Ni watu simple,wanaoridhika na hali zao. Ni eapenda Amani,hawapendi kuona MTU anaumia. Ni watu hawapendi kushirutishwa,ni watu wanapenda kufanya wanachotaka wao. Wanapenda ku-relax na wakati wankazi ni watu wa KAZI tena hupenda KAZI za field.
Siyo kweli kwa habari ya kujiinua,
Ni watu simple,wanaoridhika na hali zao.
Ni eapenda Amani,hawapendi kuona MTU anaumia. Ni watu hawapendi kushirutishwa,ni watu wanapenda kufanya wanachotaka wao.
Wanapenda ku-relax na wakati wankazi ni watu wa KAZI tena hupenda KAZI za field.
Kina nani sasa
@SalmaHemedy-fb8eo Kwa we husomi?si usome uone ni herufi gani hizo??
Napenda Kuwuliza Kama M mwanamuke S mwanaume banaendana kimapenzi asanteni❤❤❤
Amina shukrani sana
😂😂kina h tumefikwa napenda vitu vizur na sipendi kushindwa kirahis
Nina jina mbili sasa sijui nyota yangu vizuri
Khadija jina lake linaanza na herufi gani au nisaidie
Khadija herufi k
@@SharifuRugema Asante
Khadija ni H iyo unaangalia Jin's unavotamka siyo unavoandika
Linaanza na d
Khdija ni h
Samahani jesiwezi kuuza nguo
Weye c tupo😅😅
Hapo kwenye s umenigusa asee napenda sana kufosi,mpka nilishawahi kuitwa king'anga'nizi😂
Sheikh mimi binanyita ya S ninamtihani nyingi tu sikai na mume mimi mbishk sana ninataabu mingi
Mimi kabisa😅😅😅
S ni wakali sana pia Wana maamuz magumu
Nikweli kabisa
Apo kwenye kufos s ujakosea😂😂
P na s zinaendana
Rangi inayowafaa watu wenye herufi s
Lavender blue white green
Habari kwahy s na h zinaweza kuoana?
Inawezekana
@@MAAJABU18TV jaman nampenda sana huyu mtu h kama inafaa nasgukurun sana jaman na je hizi changamoto za kuumwa kichwa miguu na tumbo napataje msaada?
MashaAllah
Bila shaka
@@happinessmtani7621 habari umemaanisha kwamba h na s zinaendan bila shaka au bila shaka kiaje
Herufi m mwanaume na h mwanamke kimahusiano mapenzi ndoa wanaendana?
Nzuri sana iyo couple🎉🎉 . tafuta video ya shehe mussa alivoizungumzia hy
Kwa hiyo s na c tunaendana ?
Haziendani😅😅 coz nyie mnatabia zinazofanana
Kabisa yaan huyu ni mm kabisa 🤣
Aisee! Kama kweli 🙆 hapa kwenye herufi H Nafos hata kama Sipendw
duuu
😂😂 kabisa sina msimamo kila siku nabadili mawazo😮😢
Hahaha
Acha shirki jahili wewe