Mambo ya erufi 2muachie mwalimu wa alfabeti hukooo chekechea,Tuutafute ufalme wa Mungu nayote tutazidishiwa,Pesa,Mapenzi,mke au Mume bora navingine kibao,sio mm hayoni maneno ya Biblia takatifu 💪💪💪
Kweli kabisaaaaaaaaa wala sio uongo hongera kwako wala hujakosea sehemu kila sehemu Unaonekana mbaya ata uwabebe mgongoni bado tunaonekana wabaya hutupa changamoto piya
Ukiforcus zaid kweny jina lako hutofanya chochote kwa kua kufanikiwa kupo kwa juhudi zako ,anaweza mtu akakuambia kua jina lako haliwez kufanya kitu katika maendeleo na ukakata tamaa mapema maana unaweza ukawa majina hayaendani na mkaishi maisha mazuri tu
Hii s huja koseya tuko wavumilivu sana na tunapitiya changa moto sana ila piya hatukati tamaa hata kidogo tunapenda kupata kile tunacho kipiganiya yani good😍💯💯💪
Kwenye R naweza kuamini kwenye mahusiano au ndoa kama inakuja na kuondoka vile na kwenye kusaidia Wallah ni kweli kuna mtu jina lake linaanzia R yaani anasaidia na anajitoa sana lakini yeye akipata shida sasa anaowasaidiaga wote wanapotea jamani
Kumbe ndomaana mimi ninasaidia sana lakn pale ninapo hitaji msaada ninaachwa mwenyewe!! Kumbe ni nature ya jina langu duh'yaan hii ni kweli kabisa,sasa nini kifanyike kama tiba,maombi au nn
Yaan kila kitu unasema kuhusu jina lina anza na K exactly ,my husband ni kevin but my God hivyo hivyo,Na jina langu la linaanza na S na niko loud, patient and so on exactly kama hivyo 😊
Hongera kuwa mkweli watu wanapinga tu lakin hawafanyi utafiti hata kidogo kuhusu majina yao lakin ndo hao hao kila leo hawatulii na mtu mmoja kwenye mahusiano yao leo yuko na huyu kesho mwingine kuhusu vipato huko ndo balaa
Haujakosea kaka mm R napitia wakati mgumu sana katika mahusiano yangu, kuumwa na miguu, presha, na ninajali sana haujakosea hata kimoja mwenyez MUNGU akubariki.
Hiyo Herufi F umesema kwelj kabsaa yaani Imani upendo na kujituma hapo sawa kabsaa na kukumbana na changamoto zakimaisha kweli nimepitia sana hadi kwenye ndoa Lakini Tushaolewa na S so imeshakua wacha tuwaachie mungu tu. Alhamdulillah 🙏
Du siku zote uwaga siaminigi aya mambo lakini leo uyu jamaa amesema kweli kabisa kuhusu jina langu Bacar siku zote nilikuwa najiuliza kwann mm nikipenda napenda kweli hivi na kwann usingizi unanijia kwa wingi hivi, leo jamaa amenijibu maswali yangu, asante saana kaka
@@sophierseyyd1162 mm Ni S Ila nilivyokuwa mdogo nilikuwa sipendi nyama yani ilikuwa ikipikwa mm siikuli Ila Sasa hivi adi wananambia ww ulivyokuwa mdogo ulikuwa upendi nyama Sasa uwo uchu umeutolea wapi
Kweli kabisah santii sana kwa mafunzo mazuri alafu sasa kuna haya majina ningeomba mnisaidie kama yanaeza endana please jina kama veronicah,verah, Richard ,Robert na mengine mengi yanaeza enda kimausiano au vipi naomba mnisaidie nipate kujua 👈👈👈👈👈
Hakuna cha majina kuendana wala nyota ndoa hupangwa na Mungu pekee hakuna mikosi wala nuksi kila ambalo mja anapitia ni kwa kudra ya Mola sasa mambo gani yakua uvae mavazi flani kwa sababu ya herufi ya jina? Na wengine washaanza kupanik tuacheni imani potofu leo hii kuna watu wakitaka kuowana mpaka watafute mtabiri eti kuangalia nyota hizi ni imani potofu tumtangulize Mungu kwa kila jambo
Hata Yesu alipewa jina na mw/Mungu kupitia malaika Gabriel, kabla ya binadamu sasa we umetoa point hii kupitia kitu gani.. msiwe watu wakujudge kabla yakuskiliza moaka mwisho. Amesema amefanya research kwenye vitabu vya imani. Usikulupuke. A good speaker is supoosed to be a good listener first.
Hata mimi kwenye R namuunga mkono na angelifafanua vizur ili tuepuke. Mimi niliota tu kitu na kikatokea nilisema kitu na kikatokea aisee naogopa hadi kusema sema.
@@kitonekantasha1687 Hata me jina langu kamili linaanziwa na herufi K nina hisia kali na kila ninachohisi kinatokea kweli, nina utambuzi wa hali ya juu sana mpaka najiogopa, na hapo kwenye changamoto ni kweli nina changamoto mpaka naiona dunia chungu😭😭😭
Jaman mie hadi watu husema ni mganga niseme kitu lazma kitokee yaan hyo pressure ya kushuka niko nayo khai na napenda saidia watu lakn npate shida uuwiiii ata wakunihurumia hakuna
Dada yangu anajina la p mumewe anajina la J Ila anapata tabu Sana tangia mumewe kamuo na kumzalisha ni Kama kamtelekeza watoto tunalea tu tufanyaje baba yao. Hajui hata majukumu yake kwahiyo anachoongea si wote
Yaan S umenisema kweli kabisaa nyama ndio kabisaa ni dakika 2 sikuachi nakupa neno lako sikai nakitu moyoni chakuniumiza, H ndio Husband wamie kumbe nilipata maono sana, Mungu tujalie ndoa idumu
Jamni Baba angu S&J ni Mama angu leo ndonimeelewa kwanini wamedumu kwenye ndoa yao bila migogoro ya mara kwa mara hadi sasa wanazeeka pamoja wooooh😍😍😍😍
ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15) Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11. A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5. Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....
@@fesalybrayan2884 jmn huyu jamaa hadi namuogopa kwel kabsa ss kna S tunapitia magumu sana kma mm hadi huwa namuulza mama mbona mm bado mdogo lkn mung ananpa majarbu makubwa kuliko umri wang?sasa nmejuwa ukwel naiman siku yang ipo
Wallah mimi inabidi nije mnipe hivyo vito/madini maana nina majina 2 Y&B na mume wangu ni S haaaa!!;hakuna kinachoenda taaaangu tumeowana na tuna watoto 3 lkn ni kubishana hatujawahi kukaa tukazungumza tukafikia muafaka ni kugombana baada ya dakika 5 japo hatupigani.
Mimi ni N&S yani badokidogo tu nitobolewe macho. Yani makasiriko kamayote nanimekufa nimeoza sijui niganyeje.sauti yajuu nakupenda kubembelezwa kama mtoto 🤦♀️😂😂😂😂
E tuko na vision siouwongo..wapi like za E
Elon Musk
Elice
UV
UV
Dah
Hizo ni hisia tu! Ni mungu pekee wa kukuchagulia mke/mume tena wa jina lolote na akakustahili maishan! Si upeo wa kibinadam usioweza ona ndan
Kweli mimi ni M na siwezi weka kitu kwa roho pia naheshimika kwa jamii si uongo letter M wapi like zenyu jameni👌👌👌
Kwana s na z awawez kushirikian
Me nahitaji kujua make watu tuna majina mawili mfano P na A yote majina yako sasa hapo nachagua lipi
Mimi piah,ila itabid nipunguze kuongea mana hahah
Mimi v lakin pia naheshimika kwa jamii
Christina s ni upepo na z ni udongo lakin Kama ni Christin wewe si ni c sio s
M Mimi ni kweli kbs ulichoongea like hapa kama umeanza na m
Allah atuepushe na ushirikina, amiin.
Hapo kwa M ni kweli yaani siwezi kukaa na kitu kabisa
Allahumma Amiin Yaa Rabbi
F. Umenipatia Mimi Nina huruma Sana kwa nduqu zanqu wenye herufi f. Unqa mkono
F kweli kabisa
Tupo pamoja tuna hisia kali
Kwel kabisa hatami ninahuruma san na najitoa san kusaidia watu ndugu
Nikweli my f hapa
yes
Sasa nyie msikilizeni huyo mkaachane na wapenzi wenu mungu ndo kila kitu katika maisha yote ya mwanadamu
Well spoken
Viburi vinawasumbua
Kbsa mwaya wat wanaweza achana
Kabisa Mungu ndo muweza wa kila kitu
Kwel kbx
M namtafuta mume mwenye jina la W
M finding W
Tafadhali 🙏🙏💞
Haa
Np mm
Kweli kabisa Asante kwa ushauli 🎉
Umejuwaje S mpenz wangu nimkali sana lakn anahuruma sana anatafuta pesa vibaya mno na anapenda langi nyekundu kupita kiasi 🤗🥰
Mambo ya erufi 2muachie mwalimu wa alfabeti hukooo chekechea,Tuutafute ufalme wa Mungu nayote tutazidishiwa,Pesa,Mapenzi,mke au Mume bora navingine kibao,sio mm hayoni maneno ya Biblia takatifu 💪💪💪
Sahihi kijna
Ansante
Kweli kabisa
A vp inaendanana ip dk
Daah ni kweli😂😂😂
Umesema kweli mm Jina linaanza na S na mme wangu Jina Lake linaanza na H. Asante sanaa
Kama langu Zena Lina maana ngani
B na f
Ni kweli jina jomutu
Shukran sana, surely Knowledge is here...!!!
Bravo Ayo TV
E nielfu yngu kweli ninauwezo na ndoto ndefu nikitangaza ata Kama nimeidiwa akotimii Asante kwa dalasa
Asante,,,Ila naiman MUNGU wangu wa mbinguni ananijuw vema kuliko yyt
Nakubali brother E na M zinaenda
Kweli kabisaaaaaaaaa wala sio uongo hongera kwako wala hujakosea sehemu kila sehemu Unaonekana mbaya ata uwabebe mgongoni bado tunaonekana wabaya hutupa changamoto piya
Ukiforcus zaid kweny jina lako hutofanya chochote kwa kua kufanikiwa kupo kwa juhudi zako ,anaweza mtu akakuambia kua jina lako haliwez kufanya kitu katika maendeleo na ukakata tamaa mapema maana unaweza ukawa majina hayaendani na mkaishi maisha mazuri tu
Oy jina linakuchochea kwenye kutafuta maendeleo
Hongela kwa kipawa icho bt naomba uelezee elufi E(Elizabeth)
Hii s huja koseya tuko wavumilivu sana na tunapitiya changa moto sana ila piya hatukati tamaa hata kidogo tunapenda kupata kile tunacho kipiganiya yani good😍💯💯💪
Kwenye R naweza kuamini kwenye mahusiano au ndoa kama inakuja na kuondoka vile na kwenye kusaidia Wallah ni kweli kuna mtu jina lake linaanzia R yaani anasaidia na anajitoa sana lakini yeye akipata shida sasa anaowasaidiaga wote wanapotea jamani
Kumbe ndomaana mimi ninasaidia sana lakn pale ninapo hitaji msaada ninaachwa mwenyewe!! Kumbe ni nature ya jina langu duh'yaan hii ni kweli kabisa,sasa nini kifanyike kama tiba,maombi au nn
Umeongea kweli mm nawasaidia sana lakini mwisho wa siku naonekana mbaya
Yes m tunatamba
😢
Ushajua sasa stop
Hicho kitu😂😂
P umepatia kabisa👍nitatafuta Mpenzi mwenyejina ya erufi g/j
Njoo in box p... I'm p lol
Lol karibu
Aaa mm prisca my husband justine
@@priscapaulpaul6254 mm
M..umepatia yani mule mule ..thanthee doctor.
Dah my brother saidi.... Ni mkar sana kwa mke wake...
Yeeees Am D and my Husband is I waaaao waoooh
Haaaahaaa
Yaan kila kitu unasema kuhusu jina lina anza na K exactly ,my husband ni kevin but my God hivyo hivyo,Na jina langu la linaanza na S na niko loud, patient and so on exactly kama hivyo 😊
Hongera kuwa mkweli watu wanapinga tu lakin hawafanyi utafiti hata kidogo kuhusu majina yao lakin ndo hao hao kila leo hawatulii na mtu mmoja kwenye mahusiano yao leo yuko na huyu kesho mwingine kuhusu vipato huko ndo balaa
Hapo kwa k umegonga ndipo napenda kusaidia but watu hufikiria nina roho mbaya but nikipatwa na shida sipati msaada
Me too
Mimi pia
Duuh! Ata selewi nioe jina gan jmn😭😭
Haujakosea kaka mm R napitia wakati mgumu sana katika mahusiano yangu, kuumwa na miguu, presha, na ninajali sana haujakosea hata kimoja mwenyez MUNGU akubariki.
Hiyo Herufi F umesema kwelj kabsaa yaani Imani upendo na kujituma hapo sawa kabsaa na kukumbana na changamoto zakimaisha kweli nimepitia sana hadi kwenye ndoa Lakini Tushaolewa na S so imeshakua wacha tuwaachie mungu tu. Alhamdulillah 🙏
Du siku zote uwaga siaminigi aya mambo lakini leo uyu jamaa amesema kweli kabisa kuhusu jina langu Bacar siku zote nilikuwa najiuliza kwann mm nikipenda napenda kweli hivi na kwann usingizi unanijia kwa wingi hivi, leo jamaa amenijibu maswali yangu, asante saana kaka
Ndio ujuwee
kweli kabisa100%
Naomba nbr ya whstp
Yaaani ukweli kabisaa Mweeee Mweee ulivyoongea ndivyo nilivyo
Hongera Sana kwa ufafanuzi ila Niko na sawali ,je erufi B inaweza kuoana na erufi M
Matwins wangu wanaazia na s wanapenda nyama hawo sema wanandoto kubwa wacha niendelee kuwaombea watt wangu ndoto yao ikuwe 🙏🙏🙏
napenda nyama kabisa
Kwenye nyama unambii kitu 😋😋
S
@@sophierseyyd1162 mm Ni S Ila nilivyokuwa mdogo nilikuwa sipendi nyama yani ilikuwa ikipikwa mm siikuli Ila Sasa hivi adi wananambia ww ulivyokuwa mdogo ulikuwa upendi nyama Sasa uwo uchu umeutolea wapi
Mimi no herufi G napaswa kua na mke herufigani
Ni kweli mimi ndivyo nilivyo msema kweli siweki neno rohoni na kweli mimi ni mkali na napenda nyama kama usemavyo na miguu naumwa na maono ninayo sana
Kwenye s umepatia kabisaaaaaa kiongozi wangu 🙏
🤣🤣🙏
Mh
Kwaio wey nimpenda nyama😂😂
Mimi ni S na Mpenzi anamajina yote ma2, D na M nimeona ukweli ndaniyake Yaani hujakoseya,hongera sana kwakipaji
Kweli kabisah santii sana kwa mafunzo mazuri alafu sasa kuna haya majina ningeomba mnisaidie kama yanaeza endana please jina kama veronicah,verah, Richard ,Robert na mengine mengi yanaeza enda kimausiano au vipi naomba mnisaidie nipate kujua 👈👈👈👈👈
Asantee sanaa kwa somo hili coz ume2fumbua macho
(M) Mussa kweli kabisa huwa nikisema kitu kinatokea pia sikaagi na kitu rohoni nakubaliaba na wewe🙏🏼
Hiyo R ni kweli kbs anajitoa kwa watu but yeye akipata tatizo anapambana kivyake.
Nakwambia acha tu
majina yetu ya R nikazi
Kazi kazi
Nimekukubali f Ni very bright Ila presha miguu
Jaman kaka unenigusa sanaaaaa yan kwa mpenzi wangu daaah mungu atuongoze tyfike salama
Yote uliyoyataja n kwel kwenye maisha yangu yapo
Yote uliyoyataja n kwel kwenye maisha yangu yapo
Daah jaman nimeamini sehemu kuna mahali nimejiona kabisa 😀😀 yaan ni balaa 😍❤
Wakina S tunajijua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I uwiiii nimecheka viburi😅😅😅
Yaan katuweza kabisaa mm nilikuwa na mahusiano na mtu mwenye heruf P ni ugomv kila siku kitu kidogo mwenzangu kanuna nabembeleza had nachoka
😁😁😁 Nina mdg Wang Yan nishid anitwa s
Am not yet married and I think I'll get the perfect one
Njooo kwanguuu
F upo sahihi mimi huluma ushauli maladhi mchanganyiko yaani sijuy utanisaidiajee nivae nini iliniwe sawa
Mke mwema anatoka kwa mungu maana cjaelewa chochote
😅😅😅😅😅
Jamani mm umenipati sana S kwa sauti maradhi kufanya kazi umenipatia
Ni kweli ulichoongea ase be blessed umenisaidia
Nikwer bhana yaan mm hapa n R halaf nimeolewa na P yaan Kila siku n vikwazo tu
Hakuna cha majina kuendana wala nyota ndoa hupangwa na Mungu pekee hakuna mikosi wala nuksi kila ambalo mja anapitia ni kwa kudra ya Mola sasa mambo gani yakua uvae mavazi flani kwa sababu ya herufi ya jina? Na wengine washaanza kupanik tuacheni imani potofu leo hii kuna watu wakitaka kuowana mpaka watafute mtabiri eti kuangalia nyota hizi ni imani potofu tumtangulize Mungu kwa kila jambo
Hata Yesu alipewa jina na mw/Mungu kupitia malaika Gabriel, kabla ya binadamu sasa we umetoa point hii kupitia kitu gani.. msiwe watu wakujudge kabla yakuskiliza moaka mwisho. Amesema amefanya research kwenye vitabu vya imani. Usikulupuke. A good speaker is supoosed to be a good listener first.
Mimi ni herufi M umepatia kabisa ❤️
Labisaa ase
Nsaidie Mimi B na mwenzanguY.
💯💯🙏
Apo kwa S nikweli kabisa.vyote ulivyo visema nikweli niko hivyo.
Imeisha iyo deo na Suzy😋😋😋
Yan hujakosea kaka iyo k ni 🔥
Jina langu linaanza na R hapo kwenye kuhic kitu na kutokea walah mwaka jana nillihic nyumban kuna msiba na ikatokea babu yangu kuzaa baba amefarik
Hata mimi kwenye R namuunga mkono na angelifafanua vizur ili tuepuke. Mimi niliota tu kitu na kikatokea nilisema kitu na kikatokea aisee naogopa hadi kusema sema.
@@kitonekantasha1687 Hata me jina langu kamili linaanziwa na herufi K nina hisia kali na kila ninachohisi kinatokea kweli, nina utambuzi wa hali ya juu sana mpaka najiogopa, na hapo kwenye changamoto ni kweli nina changamoto mpaka naiona dunia chungu😭😭😭
Mimi nilihisi mpenzi wangu kanisaliti na ikawa kweli
@@kitonekantasha1687 hata dada yangu yupo hivyo
Jaman mie hadi watu husema ni mganga niseme kitu lazma kitokee yaan hyo pressure ya kushuka niko nayo khai na napenda saidia watu lakn npate shida uuwiiii ata wakunihurumia hakuna
Dada yangu anajina la p mumewe anajina la J Ila anapata tabu Sana tangia mumewe kamuo na kumzalisha ni Kama kamtelekeza watoto tunalea tu tufanyaje baba yao. Hajui hata majukumu yake kwahiyo anachoongea si wote
Yan mi siamin jmn mi pia p mume wangu j lakini huo Moto wake si wakitoto hakuna maelewano
Yaan S umenisema kweli kabisaa nyama ndio kabisaa ni dakika 2 sikuachi nakupa neno lako sikai nakitu moyoni chakuniumiza, H ndio Husband wamie kumbe nilipata maono sana, Mungu tujalie ndoa idumu
Mi H wang ni msumbufu jaman😭😭😭🙌🏼🙌🏼
Mimi ni A na mpenzi wangu ni A vipi hiyo couple?
Umepatiya sana kwenye jina N&j
Waooo nimerudi online shehe musa
Aya wale wenye (s) tujuane hapa😍😍😍😍 I'm SHAMSA
Mimi ni Salim....
Tupo @chocolate
SABRINA HAPA 💞
Am saudah
Mmmh
herufi R mpooo ,watu na huruma zetu
Kwelii sana yanii mume wangu anahuruma hadi unawez kukasirika
Nimenyosha kidole
Tupo
Mm dada angu yupo tofauti na hizo sifa na yeye ni R
Tupoooooooooooooo😍😜
Kwenye Huyo herufi..I.umeongea kweli Wana biburi mno nililiona ilo nikaachana nae
Huyu jamaaa anajua hatari
😂😂😂ndgu yang umenfurahisha
Kaka masha'allah unajua
N kabisa yan nausingz mnoo😢😢 nawivu hatari sasjui naendan nanan mamae
Kwenye S naona kama kwel aisee 💪💪🙈
Nikweli kabisa m napenda ukweli kuliko uongo na nikpenda napenda kweli
Kabisa
Wow ameenda mulemule mm N na af mume Wang J na uloongea yote n ya kwel,,shukran
Ahahahaa na mimi ni mle mle
Umeona hata mm mulemule jamaa hakosei
ni kweli mimi ni Sara kwakweli uko sahihi kaka everything is true
Sana mm napenda sana nyama,pia siwezi kuongea saut ya chini,ila mm n mpole sana
Mm ni S Ila nilivyokuwa mtoto nilikuwa sipendi nyama
Umesema kwelii jmn haswaa hapoo pa kupenda nyama
Nauliza je umezaliwa
Mtu ukapewa majina mawil
Je yote yatatumika?
M kama M,umepita humooo humoooo yanini uweke vitu rohoni we sema mambo yaishe😂😂😂😂🤗🤗
Kweli kabisa ndivyo tulivyo ila timwshauriwa tupunguze kuongea mambo yetu tunabrock😁😁😁😁
@@mwazaninalapa8852 yaani hapo kwenye block hapo ndo shida inapoanzia
Yaani hapo umepatia sana aise.
Yani kwenye H, umeweza,aise tunapenda sana kubemberezwa
hahahaha hapo hapo
R.I.P Magufuli msema kwelii💔
Ongea kama huwa unakulaa
Na kweli bhna
Kwan magufuli jina lake lilikua linaanza na m??? Ni john
@@genovevatarimo3982 😁😅😄🤣😂
@@stevemoshi9857 nani huyo
Jamni Baba angu S&J ni Mama angu leo ndonimeelewa kwanini wamedumu kwenye ndoa yao bila migogoro ya mara kwa mara hadi sasa wanazeeka pamoja wooooh😍😍😍😍
Hongera mariam waombee dua zaid
Nimefurai sana kusikia elimu hii ya hetufi
ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things
All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15)
Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11.
A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5.
Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....
Guys, don't let the stars get in your eyes. Mtapotea! Trust God/Allah .
Jazaa kallahu khayran akhy, wallah umesema kweli. Hakuna vitu ka hivo shirk tu
Wow kwenye S hapo umenigusa Kila kitu duuuu! Kuna watu wanavipawa .... Barikiwa
Api kwenye s ni mama yangu kabisa hawezag kuongea pole pole hupenda nyama na mpambanaji 💃💃💃
Sikupingi mama angu hali bila nyama halafu haweezi kuongea polepole ila wanahuluma sana
@@fesalybrayan2884 jmn huyu jamaa hadi namuogopa kwel kabsa ss kna S tunapitia magumu sana kma mm hadi huwa namuulza mama mbona mm bado mdogo lkn mung ananpa majarbu makubwa kuliko umri wang?sasa nmejuwa ukwel naiman siku yang ipo
Nauuliza SnaR wakioana wataendana
@@hatibulaisser4858 ndugu mganga wetu anatuambia kuwa S unaendana na M pia wanaweza kuelewana na O lkn mungu kwanza
@@hatibulaisser4858 wanaendana S-I. S-A S-R
Yaani mm M umenigusa sanaaaa,ulivyo tabiri ndivyo nilivyo💯💯🤣🤣🤣tnx
💯💯
Asante kwa kuniambia
Yan kabisa....nimeamin...mm ni M....ktk maisha yangu....siwez kaaa na kitu moyon kabisa...nahis nisipo sema naweza hata kufa.....
Fact
Herufi gani inaweza kuwa xahihi kwenye mahusiano
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
Jamani Mimi naanzia erufi M Ila ulichongea ni kweli Mimi ni kilopo mnoooo siwezagi kukaaa na kitu rohoni nimeshangaa sanaa
😂😂
Tupo wengi jamanii atuna ata Siri😀😀
Mimi nahisi nimekuzidi masipidi 😂😂😂😂Ila saizi ntajifunza kukaaa kimya
Yaaan kama mm nlivo kiroporopo hahahaaa
@@monicamushi5192 😂😂😂😂😂😂
Hyu yuko sawa kbs. M yuko saw kabisa
Daaah kweli kabisa mm fahady kweli kabisa Yan presha ninayo kabsa
Mhn!! Sikuwa najua kuwa jambo JINA ni darasa kamili.
Hongera na ahsante sana.
Tupo wote
Wale wa W & M is 🥰🥰 tufahamiane jamani mie ni Winifrida
Winfrida my name
👍
Nipo
Sio kweli, nyie wasoma nyota nyie Mungu anawaona, imekatazwa ktk Biblia, Mm ni G na mke ni F, yaani mambo yetu ni bumbum knouma yan,
Kweli waongo me mme wangu herufi f na mm j tumeishi Sasa kwa miaka11 kwenye ndoa yetu. Nahatuna mpango wakuachana.
Kama mimi ni G mume wangu F natupo Pow sana mungu tusaidie tusije potoka na haya
🙄🙄🙄
Ukwel mtupuuuuu🙌🏻🙌🏻
Yaan uko sahihi mm ni M yaan siwezi kukaa na kitu moyoni au dukuduku lazima niseme ukweli na sipendi uongo yaan umeongea ukweli kabisa kwenye herufi M
Jamani herufi H moyo kulipuka ni kweli kabisa haki,ila kwenye mengine hapana
Sio yote unakuwa nayo coz mm nilidate na H na Kila kitu Ni sawa kabisaaaa
Wallah mimi inabidi nije mnipe hivyo vito/madini maana nina majina 2 Y&B na mume wangu ni S haaaa!!;hakuna kinachoenda taaaangu tumeowana na tuna watoto 3 lkn ni kubishana hatujawahi kukaa tukazungumza tukafikia muafaka ni kugombana baada ya dakika 5 japo hatupigani.
🤣
@@ruqaiyaalbalush3089 😅😅😅😅😅
Yaaaaani wewe baba ni umeongea ni kweli kweli mtupu mashaallah mmmmh mbona mimi umenigusa vyote
Dah kweli herufi P umepatia kbc mpenz wng anapenda kulala mno at jua kali mchana
Nakubali kaz zako kaka najifunza vitu ving sana kuhs journalism
Wakina B wapenda kulala jmniii...tujuajee hapa tuwe tunalala asee tusiumize mioyo yetu
😆 😆 😆 😆
Niko hapa ila kasema kwel
Tupo pamoja
Naweza kulala hata kwa saa 24
@@beatricepallangyo2821 yaan acha tuu jmnii
Sio kweli
😂😂😂🙌🙌piga kilele kwa h ake weeeeeeeeee.yaani umegusa mule mule h na s yaani 🔥🔥🔥🔥
Wallahy amenigusa sanaa kumbe naendana na bby wngu😂😂😂
@@salmasaeed9357 yaani atari mie ni h baby s yaani maupend km yote
Mimi ni N&S yani badokidogo tu nitobolewe macho. Yani makasiriko kamayote nanimekufa nimeoza sijui niganyeje.sauti yajuu nakupenda kubembelezwa kama mtoto 🤦♀️😂😂😂😂
@@nurukiingu9012 pole mwaya
Aisee umenilenga Sana kwa Drugi r
MY name is R. So you are correct 99%
Yaan umegusa kweli maan nyama napenda sana alf naongea kwa sauti hatar umegusa penyew2 🤗🤗🤗
Yani umenipatia sana Kama ulikuwa unaniona na mme Wang M jamani Kaka ww
Mm naitwa Sophia Yan hujakosea tabia zangu ni hzo hzo na nikivaa nguo nyekundu huwa napendeza Sana na mpenzi wangu anaitwa M.... Yan ni M duuh jaman.