Mimi ni Victor Baraka kutoka Kenya naipenda kazi yako niko katika kidato cha pili katika shule ya kitaifa ya Maseno na naomba nijiunge na wewe naomba jibu lako ukipata ujumbe huu
SERIKALI YA TANZANIA, kupitia jamal april mnatakiwa kuwekeza sana kipaji chake tusing'ang'anie mpira tuu, hata jamal april ni uwekezaji mkubwa wa kuweza kujivunia kama nchi
Huyu jamaa kiboko sana ana kipaji sana anaongea lkn kama anakujengea picha flani hivi ni kipaji pekee kwa watu maalum, mashallah mr.jamal kazi nzuri sana ndugu yangu
Wewe jamaa wewe acha kufananisha pombe na mapenzi Socrates kabisa na jamali bwana wewe hao unaowasema ndio great thinker walioacha Aya anayoyasema leo jamali kupitia tafiti zao uyu anasoma Sana journals, researches, books na different sources ya kitu anachotaka kukijua Basi.
@@muharamally9915 uelewa gani Sasa icho alichokifundisha si Geografia kabisa ya kusoma tu nakupata maarifa ata we unaweza kufanya hvyo labda hutaweza endapo utakosa vyanzo vya maarifa Basi...uyo Ni mwalimu tu Kama alivyo Mgote 🤔😅
We nawe unakurupuka sasa ..... namzungumzia yule jamaa wa upande wa pili sio huyu .... na huyu akisimulia mtu mbaka unapata hamu ya kuludia mara ya pili story zake ila yule mwngine amna kitu yule kazi kutisha tsha tu watu
Jamal acha uzushi, dunia haitamezwa na jua ila kama unaeleza kutoa hadithi kuwafurahisha watu hiyo ni fani yako, lkn usiseme uongo siri ya kuisha dunia ni ya Mwenyezi Mungu tu.
THANKS PROFESSOR DR. JAMAL! I LOVE SCIENCE! SINCE I WAS SMALL GIRL N NOW STILL I LOVE IT! IM ALWAYS WATCH N LISTEN YR STORY BOOK N I LOVE IT! A MILLION THANKS! N GOD! BLESS U ALWAYS👌 AMEEN. TAKE CARE N BE SAFE ALWAYS👌🤝👏💙💜💚 👍🏽🙏👌
Great narration I must say. Though my Swahili prowess isn't that up notch; but I do enjoy your shows or rather stories. Keep up the good work Mr professor, you're an inspiration to many me not left out💪🙏
Nilipokuwa darasa la sita, nilijua umbali wa hapa duniani hadi kwenye jua. Km mill149.5. Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha hilo. Bado mpaka leo hii jua lanishangaza sana. Kwanza ni kubwa sana afu ina joto kali mno na nguvu ya ajabu sana. Mungu ni mkubwa sanaa. Atukuzwe Bwana muumba wa Mbingu na nchi.
i always mind whatever you say and i always learn each and evryday i watch your new video you are an inspiration i believe in you thank you so much for whatever you do
Una kitu Cha ziada bado hujatoa hiki ni kidogo watu Kama nyinyi serikali ziwe zinawatumia ungekuwa ulaya ungekuwa mbali iko siku usikate tamaa mungu akutangulie kwenye kazi zako
Allah ndio muumba wa kila kitu na ikiwa Allah ndio muumba wa viumbe kama hivi vikubwa vingine haviwezi kufkiriwa ukubwa wake na kuchanganya akili zetu wanadamu tambua kuwa Allah atawaonysha kila Alama Zake ili Mumuamini yeye pekee na msimshirikishe na chochote , lakini mwanadamu ni kiumbe kidogo lakini mwenye kiburi kuliko kila kitu SubhanAllah Turudini kumuomba Msamaha Allah ili tufaulu hapa duniani na kesho Akhera tufanikiwe kwa kuwa tutaonyeshwa kila Alama ili Mumuamini yeye pekee yake الله na mkimshirikisha basi umeumia braza Turudini kwa muumba aliyeumba hilo jua na tumuombe Msamaha kwa kuwa ni yeye 2 Allah Subhanahu wataalaلا اله إلا الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير ❤️🤲
Shukrani sana professor Jamal kwa uchambuzi wako,umeelezea vizuri sana mpaka imenikolea hii story Ombi langu kwako...tuletee party 2 ya hili jua........hongera sana na mungu azidi kukupa miaka mingi...
Prof.Jamal umenishinda tabia. Allah amekupa kipaji kikubwa sana pamoja na Elimu. Mashaallah. Nakupenda sana kwa sababu makala zako nyingi zinasaidia kuondoa upotoshaji kwenye jamii. Lakini pia makala zako zinasaidia kutangaza uwezo wa mkubwa alionao Mungu(Allah). Naimani ipo siku tutakutana tuongee
Jua Ndio sehemu ambayo Mungu anapitishia Nguvu za kufanya kila kitu kwa viumbe hai vyote Jmn hii Ni kweli Tena kweli kabisa ,siku zte tuishi kwa kutegemea nguvu za jua na sio akili
Yan sayans inaweza fanya uamini Mungu ayupo asa kifo Cha ulimwenguni munamanisha Mungu atafika mwisho wa maisha yake sabab kama Mungu anakufa akuna kinachobaki mana yeye ndo anayefanya ulimwengu uwepo
Mungu akaumba mwanga mkubwa utawale mchana na mwanga mdogo utawale usiku ikiwa na namaana ya mwezi lakini pia ukumbuke kwamba mchana na usiku viliumbwa hata hata kabla ya jua na mwezi Ila tuu jua na mwezi ni Kwa ajili ya muda na majira
I admire your narrations of various events and happening giving us knowledge of more things that we have known.... Kudos your Swahili expression is a notch higher.
Izo nyota nazo pia ni jua ,,ambazo ni kaka zake jua huyu tulie nae sisi na kila nyota inaukubwa wake ,,yaani Jua huyu kazidiwa na jua wa pili kwa udogo na jua wa pili kwa udogo kazidiwa na jua wa tatu kwa udogo INAENDA IVO MPAKA MWISHO WA MAJUA WOTE...M-galaxy ..HAKIKA MUNGU NI MKUBWA MNOO 🙏🙏
Hapana hayo ni miujiza ya Mungu tu jua ni jua na jehanam ni jehanam, ili tujuwe uwezo wake, ili jua litatumika siku ya hesabu tu litashuka na hatutokuwa na kivuri, ni story ndefu lakini jeahanam itakuwa in moto mkali kuliko jua.
Nitokea Kenya napenda sana hizi sitoria zak kaka like hapa Kama unapenda story za proffesa
Tuko pamoja
❤😂
😢😢
Tuko
Kama unamkubali jamal professor nipeni likes👏👏
Mi ndo wa salasa
Hakuna chombo cha kufika kwenye ☀️
My like Leo Mimi wakwanza professor 😌🤯
MUNGU APEWE SIFA DAIMA🙏
Amina
Amen...praise the king of kings🙏
Ni mkubwa mno tena anatishaa🙏
Amina
Amen
Mimi ni Victor Baraka kutoka Kenya naipenda kazi yako niko katika kidato cha pili katika shule ya kitaifa ya Maseno na naomba nijiunge na wewe naomba jibu lako ukipata ujumbe huu
Ok
Tukolimoya
Utukufu wa Mungu ni mkubwa mno na siri yake ni kubwa mno !! Atukuzwe Mungu 🙌
Amina🙏
Amen
Amina
Amen
hivi jua linafika kwenye sayari zingine??? kama mars na jupita??
Allah Akbar🙏🙏😭😭Mungu nimkubwa sana jamani njo maana hata vitu vyake nivikubwa sana zaidi ya hakiri zetu
Amen
Amen
Tunaomkubali Professor JAMAL Tujuane Hapa👇🏻
Mhh
Yaàå
Sawa
huyo sio jamal bhana jamal ameacha kazi wasafi sasa hv yupo Efm
doh abdallah mtga ndio yupo efm
Top 10 naomba like hata 10 jamani………ngoja kwanza nipotezee mawazo ya makato mapya,yaani siku hizi hakuna kuomba kutuma na ya kutoleaaaaaa
Pp
ppppp
Waaah
sanaa
SERIKALI YA TANZANIA, kupitia jamal april mnatakiwa kuwekeza sana kipaji chake tusing'ang'anie mpira tuu, hata jamal april ni uwekezaji mkubwa wa kuweza kujivunia kama nchi
Real kbs
Maan wanaushawish mzur kw story kuadsia n kujfunz
jamaa ana akil sana
@@mwanahawa6362 ni wewe
Hii.ni masomo tu ya kawaida nothing new,,,
Asante baba yetu jamal kwa kutufungua akiri zetu na upeo wa akili asante diamond kwa kumleta huyu profesa
Amen
Professor aise hii story uje utupe muendelezo wake ninzuri sana naimani vipi vingi sana bado vinavyo husu kuhusu jua 🔥🤝🏼📌
Huyu jamaa kiboko sana ana kipaji sana anaongea lkn kama anakujengea picha flani hivi ni kipaji pekee kwa watu maalum, mashallah mr.jamal kazi nzuri sana ndugu yangu
pia sifa nyingi sana ziende kwa Mungu wangu,mwema muumba kila kitu. Ameeen
Huyu jamaa angezaliwa zamani angewazidi akili akina Socrates,Kama unakubali gonga like
Unawajua hao watu ndugu uyu analudia tu mambo ya awo watu waliya fanya ata wakati tachi amna.
Wewe jamaa wewe acha kufananisha pombe na mapenzi Socrates kabisa na jamali bwana wewe hao unaowasema ndio great thinker walioacha Aya anayoyasema leo jamali kupitia tafiti zao uyu anasoma Sana journals, researches, books na different sources ya kitu anachotaka kukijua Basi.
@@elijahjacob7724 hata hivyo lazima tukubali uyu jamaa ana uelewa mkubwa🙌🏽🙌🏽🙌🏽
😅😅😅utani huo,mbona nikusoma tu,
@@muharamally9915 uelewa gani Sasa icho alichokifundisha si Geografia kabisa ya kusoma tu nakupata maarifa ata we unaweza kufanya hvyo labda hutaweza endapo utakosa vyanzo vya maarifa Basi...uyo Ni mwalimu tu Kama alivyo Mgote 🤔😅
Hii ndio yenyewe sasa #the_storybook
Sio ile ya kila story uchawi uchawi tuuuuuuu na ushirikina 🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hapo umedanganya aiseeee Mimi namfuatiliaga xana huyu jamaa
We nawe unakurupuka sasa ..... namzungumzia yule jamaa wa upande wa pili sio huyu .... na huyu akisimulia mtu mbaka unapata hamu ya kuludia mara ya pili story zake ila yule mwngine amna kitu yule kazi kutisha tsha tu watu
ulitumwa umsiklize?
🤣😅🤣😅
This is not just a story but a definition of truth
Aisee huy kaka noma
Unafundisha vizuri sana.
You deserve the name of PROFESSOR
Which kind of person are you man. U are blessing to us wanaopenda kukufatilia
Kama unamkubar jamaa huyu tupia apa like
MUACHE MUNGU AITWE MUNGU
Jamal acha uzushi, dunia haitamezwa na jua ila kama unaeleza kutoa hadithi kuwafurahisha watu hiyo ni fani yako, lkn usiseme uongo siri ya kuisha dunia ni ya Mwenyezi Mungu tu.
Huwez jua labda huo ndo utakuwa mwisho wa Dunia huo. Mwisho wa Dunia wa Mungu pia n nadharia pia ya din
Ukweli ndio huo wakisema msome mnakumbia umande hata mtume aliambiwa asome ukisoma unaelewa maana Kila kitu kimeandikwa
Nikweli.siri.yadunia.anaijuwa.ni.mungu.peke.yake.asateni
Unajua Sana kaka be blessed Sana professor!!!
Mbona pakuwa na usiku na watu hatupotei
Hakuna kitu kama hio
3
@@simonjulius833 qqqqqqqq1qqq
Ndugu Mungu kakupa kipaji Cha kipekee hongeraa huyu ndo msimuliaj Bora Tanzania 🌟👏
Jaman like za wasafi jaman 2juane apa WCB4life
King of the story all time
Wanasayans kuna siku mtaleta matatizo mkubwa duniani juu ya kihelehele chenu cha kutaka kuchunguza kila kitu cha Mwenyezi Mungu.
Nice 1 #professor🙌👌💯🔥🔥
Hakika umenifunza mengi ambayo ilikua siyajui👌💯. Mungu Akuzidishie Elimu ili uzidi kutuelimisha. AMIIN
Professional Guy! Genius.......!! ✔✔....I appreciate your stories
Nakukubali sana unafanya watu sasa tumjue mungu na tusiishi kama tulijiumba hongera sana na asante sana kutupa elimu
Asante kwa hekima among top 100
My all time fevorite story to listen every Saturday night thank you professor jamal my God bless you and add your knowledge
mwalimu wangu mkubwa ni physc neil de gress tyson na prof. jamaal ni narrator wangu wa muda mwingi hadi sasa❤🤍
Source yako
@@kanandahamis6239 check youtube channel yake na ana master class zake pia utapata
THANKS PROFESSOR DR. JAMAL! I LOVE SCIENCE! SINCE I WAS SMALL GIRL N NOW STILL I LOVE IT! IM ALWAYS WATCH N LISTEN YR STORY BOOK N I LOVE IT! A MILLION THANKS! N GOD! BLESS U ALWAYS👌 AMEEN. TAKE CARE N BE SAFE ALWAYS👌🤝👏💙💜💚 👍🏽🙏👌
Subhan Allah,Allah Akhbah🤲🏾
Thanks professor for your excellent narrations about various things in our planet
Perfection of geometry made possible for life on earth 🌍 thanks to light giving star that we call it our sun ☀️
Great narration I must say. Though my Swahili prowess isn't that up notch; but I do enjoy your shows or rather stories. Keep up the good work Mr professor, you're an inspiration to many me not left out💪🙏
Mh jamaa unajua Hadi unatisha na kunifanya niwaze kesho yangu mbele ya MUNGU
Wewe ni zaidi ya teacher 🔥💪
Oyaa iyooo kitu sio poa kabisa unitembea kwa jet unatumia miaka 19
Bila elimu ya Mungu mwanadsmu hupotea kabisa akijidanganya kuwa anajua juu ya uumbaji wa Mungu.
Proffesa unavyosimulia stori zako ndivyo unavyoweza kututeka sisi watazamaji kiuweli unakipawa cha kusimulia stori,napenda stori zako
Nilipokuwa darasa la sita, nilijua umbali wa hapa duniani hadi kwenye jua. Km mill149.5. Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha hilo. Bado mpaka leo hii jua lanishangaza sana. Kwanza ni kubwa sana afu ina joto kali mno na nguvu ya ajabu sana. Mungu ni mkubwa sanaa. Atukuzwe Bwana muumba wa Mbingu na nchi.
i enjoyed listening to story doctor Legend respect from Australia 2021 🙌
Daaaaaah!
Ngoja nisikitike kidogo.....
🤔😢😭
Like kwa mtaalam professor
i always mind whatever you say and i always learn each and evryday i watch your new video you are an inspiration i believe in you thank you so much for whatever you do
That was true
Una kitu Cha ziada bado hujatoa hiki ni kidogo watu Kama nyinyi serikali ziwe zinawatumia ungekuwa ulaya ungekuwa mbali iko siku usikate tamaa mungu akutangulie kwenye kazi zako
ULAYA HUYU ANGEKUWA BEST ZAIDI YA HAPA COZ NI MDADISI ILA KWA HII CONTENT KUNA LOTS OF KAPUYANGA ...
Hakika bado kuna mengi sisi binadamu hatuyafahamu🙌🏽 .Mungu atuongezee maarifa hongera sana Professor hata kwa hiyo hatua ya uelezeaji🔥👽
Huyu ndio Jamal ambaye baada ya Mtiga kuondoka alikuwa anabezwa na kukejeliwa!? Ama kweli usikubali kusikiliza sauti za wanaokuambia HUWEZI.
Aisee watu walimkataa sana lakini sasa anaonyesha uwezo
Ako vizuri sana anakubalika
Hapa Mtiga wenu akasome kwanza
Jamal is the best,
Allah ndio muumba wa kila kitu na ikiwa Allah ndio muumba wa viumbe kama hivi vikubwa vingine haviwezi kufkiriwa ukubwa wake na kuchanganya akili zetu wanadamu tambua kuwa Allah atawaonysha kila Alama Zake ili Mumuamini yeye pekee na msimshirikishe na chochote , lakini mwanadamu ni kiumbe kidogo lakini mwenye kiburi kuliko kila kitu SubhanAllah Turudini kumuomba Msamaha Allah ili tufaulu hapa duniani na kesho Akhera tufanikiwe kwa kuwa tutaonyeshwa kila Alama ili Mumuamini yeye pekee yake الله na mkimshirikisha basi umeumia braza Turudini kwa muumba aliyeumba hilo jua na tumuombe Msamaha kwa kuwa ni yeye 2 Allah Subhanahu wataalaلا اله إلا الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير ❤️🤲
Much respect ,more bless
Kali saaaana
Prof: Jamal salute brother
Duh kama wanaodhani jua ni Mungu kaka wapo sawa hivi😜
😂😂
JUA linaatari🙌🏼🙌🏼
Alaf nmeongeza concept zingine yan nakubali
Story ni tamu sana ya juwa ya mungu mimi ni mwana mziki ras edu 📡📺🇰🇪🇰🇪🇺🇲🇺🇲🇹🇿🇹🇿
Ukute jua ndio ndio mbinguni kwenyewe na motoni uko uko 😂😂😂😂😂 ndio maana mwanadam ajawai fika
Haaa😂😂
Duuh yawezekana
Daah itakuwa atari
Shukrani sana professor Jamal kwa uchambuzi wako,umeelezea vizuri sana mpaka imenikolea hii story
Ombi langu kwako...tuletee party 2 ya hili jua........hongera sana na mungu azidi kukupa miaka mingi...
Bro intro zako nazielwega kichiz
Big heart ❤️
Prof.Jamal umenishinda tabia. Allah amekupa kipaji kikubwa sana pamoja na Elimu. Mashaallah.
Nakupenda sana kwa sababu makala zako nyingi zinasaidia kuondoa upotoshaji kwenye jamii.
Lakini pia makala zako zinasaidia kutangaza uwezo wa mkubwa alionao Mungu(Allah).
Naimani ipo siku tutakutana tuongee
Thank you professor for teaching us the lesson of the sun
Andante prof,nakufatilia kills kipindi
“The true beauty of music is that it connects people. It carries a message, and we, the musicians, are the messengers.”
Respect Jamal from Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yani na kukubali sana wewe ni mkali kwenye sayansi you are member one be bless 🙏🙏
Kusema kweli, uyu Profesor Jamal anajuwa na ni mwenye elimu ya juu sana kuliko hata boss man wake ambaye ni mmiliki wa Wasafi TV.
Big up sana kaka.
Jua Ndio sehemu ambayo Mungu anapitishia Nguvu za kufanya kila kitu kwa viumbe hai vyote
Jmn hii Ni kweli Tena kweli kabisa ,siku zte tuishi kwa kutegemea nguvu za jua na sio akili
I admire you bro,much respect
Subhanallah mola wetu mtukufu atatupa kher za dunia na akhera Mana duuh jua likishuka itakuaje
I was waiting for it... Thanks
Kaka jamal una kipaji kikubwa kweli mpaka na ss tunajifunza kupitia kwako mungu akuzidishie amin
unavyotufungua akili , ile rolls royce ya mzee naseeb angekupatia tu 🤣🤣🤣
Ulikua wapi?
Jua itakamilisha kazi yake siku Yesu ataonekana juu mawinguni akija. Mariko mtakatifu 13 :24
Mastermind 🔥🔥🔥
Brooooo
mkongoo nambie
Mkongo nakukubari sana brother
Mambo VIP nzito apa umeondoka tunduma au
@@nzitogondwe9976 bado nipo
Hakika vipindi vyako vina mafundisho makubwa sana na kuwa fumbua watu kiupeo na kuelewa zaidi ,big up kazi nzuri unayo ifanya
Professor tume kufatiliya tukiwa 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Alhamdulilah mungu mkubwa mashaalah yy peke yake ndo anaujuwa umbaaj wake
Good lecture with good research
sir asant san unatisha sana allah akuwek tupate material mengine mashallah
Tuheshimiane, tueleze hiyo layer inayoitwa korona/corona! Kiundani zaidi!
🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah!! 😂😂😂😂😂
Hatar
I like you, am learning more about the world, continue taking me around the world ,you are my Teacher
Professor Jamal Mustafa .. thanks bro
Yan sayans inaweza fanya uamini Mungu ayupo asa kifo Cha ulimwenguni munamanisha Mungu atafika mwisho wa maisha yake sabab kama Mungu anakufa akuna kinachobaki mana yeye ndo anayefanya ulimwengu uwepo
Cosmology is my best subject
Absolutely
Mungu akaumba mwanga mkubwa utawale mchana na mwanga mdogo utawale usiku ikiwa na namaana ya mwezi lakini pia ukumbuke kwamba mchana na usiku viliumbwa hata hata kabla ya jua na mwezi Ila tuu jua na mwezi ni Kwa ajili ya muda na majira
Nadhan umekuwa mbunifu Zaid. Quality ya picha tofaut, tutorial, case study nk. Ubunifu huu unatufany atukosi Kila ikitoka mpya. Keep working hard bro
Aise kwakwer mngu kakujalia kipaj ch pekee umenifunza meng San Mr Jamal respect
Uhhh wa bongo Alivo anza Mlimpinga Eti mnamtaka Yule mwengine ona sasa leo Full kumsifia. 🤣 | Nyinyi kwakukatishana tamaa. 🙄🤕🤔
unazidi kunipa hamasa ya ya kuwa astronomist nifanye kaz na nasa enh Mungu wangu nisaidie
Perfectly elaborated sir, thanks for keeping us updated
Duuuuuh brother #jamal juwa kubwa kuliko dunia duuuuuh hapo umeupiga mwingiii punguza
Ongera san.broo like kwako kwa wingi
MC katebe Mr Halotel naipenda sana kazi yako ya usimuliaji wa story book
I admire your narrations of various events and happening giving us knowledge of more things that we have known.... Kudos your Swahili expression is a notch higher.
Izo nyota nazo pia ni jua ,,ambazo ni kaka zake jua huyu tulie nae sisi na kila nyota inaukubwa wake ,,yaani Jua huyu kazidiwa na jua wa pili kwa udogo na jua wa pili kwa udogo kazidiwa na jua wa tatu kwa udogo INAENDA IVO MPAKA MWISHO WA MAJUA WOTE...M-galaxy ..HAKIKA MUNGU NI MKUBWA MNOO 🙏🙏
daaah saa 10 hii....chukua like yangu mwanangu....salute sana
Hongeraaa sana profs jamali unanifanya nielewe mambo mengi sana
Naona jua ndio litakalo. Kuja kuwa jehanam😭😭😭😭😭
Umenifikirisha sana aisee.... inaonekana inaweza kuwa hivyo
Umefikiria kam mim
Hapana
Hapana
Hapana hayo ni miujiza ya Mungu tu jua ni jua na jehanam ni jehanam, ili tujuwe uwezo wake, ili jua litatumika siku ya hesabu tu litashuka na hatutokuwa na kivuri, ni story ndefu lakini jeahanam itakuwa in moto mkali kuliko jua.
wewe ni zaidi ya msomi na mfundshaji💪 am ur no 1 fan