MPANGO WA BINADAMU KUIHAMA DUNIA NA KWENDA KUISHI SAYARI YA MARS (The Story Book)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 851

  • @jumannebilal771
    @jumannebilal771 4 года назад +27

    tunakuomba msamaha professa jamal kumpa heshima mhudumu mtiga abdallaha aliyekua anatuletea chakula kipindi na kukudharau wewe mpishi mwenyewe 🙏🙏🙏tusamehe sana hatutakuja kukudharu tena mpishi mkuu wa hiki chakula bora cha ubongo🙌🙌🙌🙌

  • @ramxoketti7521
    @ramxoketti7521 4 года назад +85

    Yan ikifikaga ijumaa usiku akili yooote ni storybook Kama sina bando Bora nikakope ❤️❤️

  • @maulidsaid9448
    @maulidsaid9448 4 года назад +96

    Kama na wewe bado unajiuliza maswali mengi kuhusu vitu kama hivi na hupati majibu gonga like ya nguvu hapa twende sawa 😀

  • @kebrinmasanyiwa4741
    @kebrinmasanyiwa4741 2 года назад +4

    Very good. Proud of you

  • @josephraphael7543
    @josephraphael7543 4 года назад +57

    Kazi nzuri jombaaa mie kama mwalimu wa history na jiografia nimekuelewa unanipa maujanjaaa
    Asante chief

  • @roykips8225
    @roykips8225 3 года назад +4

    Hujambo prof Jamal April, napenda sana historia, hongera from Kenya

  • @patelneonrawfuns3742
    @patelneonrawfuns3742 2 года назад +11

    It will end in tears , God knows why He put people and life on Earth only

  • @ibnismail8831
    @ibnismail8831 4 года назад +96

    Bonge la professor akili nyingi n mawazo telee
    Jama Mustafa.. jamal April..Ahsnte💪💥

    • @ramadhanimwanyumba2955
      @ramadhanimwanyumba2955 4 года назад +1

      Kweli kabisa jamaa fundi

    • @ibnismail8831
      @ibnismail8831 4 года назад +1

      💪🤜

    • @dadybjustice5901
      @dadybjustice5901 4 года назад +4

      Jamaa Ni fund ila yule Mtigah ana Radha ya kipekee ,bac tu alizingua

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 4 года назад +1

      ruclips.net/video/wRPhZP2M9WQ/видео.html
      👆👆👆👆👆👆
      Mfahamu shujaa aliekimbia Tanzania 😱 na kwenda kuiongoza Zimbabwe kivita kuipindua serikali 😳 Nimekuwekea video Gusa link

    • @ibnismail8831
      @ibnismail8831 4 года назад +2

      @@dadybjustice5901 yeah mtiga ndio lkn sie wengne tushamsahau maan April kawa mbunifu n anajua kuandkaah n saut ineshakaa saw

  • @evancemwaijulu9117
    @evancemwaijulu9117 4 года назад +4

    Sio taratibu ila kwa uharaka umerufanya tuone mtigana n wa kawaida sanaaa...umetuaibisha tulokubeza mwanzo big up professor

  • @Thebking
    @Thebking 4 года назад +113

    the story book Number one..!!

    • @sumeyyaabdallah99
      @sumeyyaabdallah99 4 года назад +1

      Bigg una mtu na nusu hpa #Professor

    • @barakabaraka9290
      @barakabaraka9290 4 года назад

      simba kweli au?

    • @rojamabiashara861
      @rojamabiashara861 4 года назад

      Ni kwer

    • @zekoboy9895
      @zekoboy9895 4 года назад

      Nakubali mtu nanus ukoseag

    • @tanunewstz
      @tanunewstz 4 года назад

      Kaka na ww hua nakufikiriaga sana akili zako maana unawazaga beyond in 3, 6 and 9 kaka simba na team yako hongereni mungu azidi kuwasimamia.

  • @muhammedibnrajab2974
    @muhammedibnrajab2974 4 года назад +12

    Ya leo noma sana gonga like kama we ni fun wa the story book #mohatvkenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alphakimaro1142
    @alphakimaro1142 4 года назад +3

    Hongera Sana Kaka uko vizur nafatilia Sana vipindi vyako

  • @nyamwekomakunga9594
    @nyamwekomakunga9594 3 года назад +1

    Nampenda sana huyu msimuliaji daah Safi sana Mungu akubariki sana.

  • @ivanosiah5223
    @ivanosiah5223 4 года назад +60

    ata me jaman naomben like japo at wew unayesoma comment jaman🙏🙏🙏🙏

  • @stegojunior6073
    @stegojunior6073 4 года назад +3

    Nimeipenda hii sana kazi zuri

  • @johnrogasiani
    @johnrogasiani 4 года назад +8

    Asante baba yao master Jamal mustapha 🙏🙏💯💞 nimekuelewa vizuri sana 🙏🙏

  • @khalefmohd9434
    @khalefmohd9434 4 года назад +2

    Nakikubali san kipindi hichi💯👌#The story book

  • @seifmeja6056
    @seifmeja6056 4 года назад +61

    Nyie Wa Mars Nendeni Tu,Me Nabaki Zangu Duniani🙌

  • @jozzsimbatv1199
    @jozzsimbatv1199 4 года назад +10

    Hiv like zina kaz gani jaman ebu npeni namm nizione

  • @jonaboy2569
    @jonaboy2569 4 года назад +2

    Jamal we ni zaidi ya mwalimu hupo vizuri sana broo

  • @rasheedyahmady6867
    @rasheedyahmady6867 4 года назад +19

    Pesa kidogo2 wote mnataka kuamia Mars,,,,,......like zenu kwa professor Jamal 🔥

  • @geraldmollel30
    @geraldmollel30 2 года назад +9

    big up Prof Jamal fanya na endelea kufungua akili za watu wenye uvivu wa kusoma na kufatilia mambo kiundani kupitia story zako tamu ✌️✌️

    • @mwalamiyousouf9380
      @mwalamiyousouf9380 2 года назад +1

      Kaka upo vizuri,Mimi napenda uandae nyingine ambazo ni za space
      Napenda uizungumzie tita n,kepla Andromeda na vinginevyo, Asante

  • @salaamutv4259
    @salaamutv4259 4 года назад +9

    The first period to appreciate in wasafi media ,

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 4 года назад +149

    KAMA UNAIKUBALI THE STORY BOOK NA WASAFI TV ACHA MAJUNGU GONGA LIKE YAKO HAPA

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 года назад +3

    Mungu awabariki sana kwa story Book

  • @deestarsniper3315
    @deestarsniper3315 4 года назад +30

    F 🔥
    Professor
    Ila like zinasaidiaga nn kwani?
    Hem nipeni na mm leo 😁

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 4 года назад +24

    Waende tuu watuache kwenye dunia yetu, watupunguzie Jam 🤣🤣

  • @jeromemlaule9332
    @jeromemlaule9332 4 года назад +65

    Kama umependa the story ya leo gonga like twende sawa

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 4 года назад +3

    Asante sana professor 🙏🙏😘😘❤ sie wengine tupo tu wallahi hatujui yanaojiri duniani zaidi ya kuamka nashukuru allah kumbe wenzetu pmj nakushukuru lkn wanafanya mengi mno

  • @godfreydeogratius7810
    @godfreydeogratius7810 4 года назад +43

    👑HIMSELF JAMAL APRIL 🙌THE STORY TELLER LEGEND💪

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 4 года назад +7

    Professor @jamal king of story in the world 🌎🌎

  • @unicelldoughman3872
    @unicelldoughman3872 3 года назад +1

    No day human being will be like God, God have mercy on ur people. Lucy Kenya.

  • @abukhaulatibrahim7521
    @abukhaulatibrahim7521 4 года назад +13

    Story za kisanyasi huwa ni 🔥 🔥

  • @theuriwamuigai4287
    @theuriwamuigai4287 2 года назад +2

    Watching from new city nakuru kenya

  • @SalmaMhando-p6q
    @SalmaMhando-p6q Год назад +2

    Kwan mungu mjinga kutuwek tuish dunianii

  • @joashlusije6550
    @joashlusije6550 2 года назад +5

    Ndugu naomba Mungu akulite kwa kila makum yoyote from kenya

  • @aloycemazikuoffocial4261
    @aloycemazikuoffocial4261 4 года назад +62

    Swahili sound good respect to you guy here from Zambia🇿🇲🇹🇿

  • @jurakijuraki8870
    @jurakijuraki8870 4 года назад +3

    Unatoa Story tukiwa tumeshachoka kusubili jitaidi basi kuwa unawaisha Story Nakukubali sana

  • @slemdj
    @slemdj 4 года назад +3

    Nakukubali sana Kitu unachokifanya sio cha kawaida unajua sanaaaaaaa🙏🙏🙏

  • @lutusigaza2148
    @lutusigaza2148 4 года назад +8

    Kupitia story book hii nimepataa kuamini kuwa wazungu sio watu was kawaida yani wao wanawaza Sana kwenda juu sis ngozi nyeusi tunawaza kufanya kazi na kujenga nyumba tuu basi

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 4 года назад +21

    The Story Book... Chapa kazi... Good Job

  • @mohamediramadhan5230
    @mohamediramadhan5230 4 года назад +6

    Na mm leo nmewai wa 44 like jaman kwa profesor jamal

  • @nelsonkabora2291
    @nelsonkabora2291 3 года назад +4

    Jamal you should do this more and more you are the best

  • @michaelpaschal5679
    @michaelpaschal5679 4 года назад +8

    the story it's good and clear .... Bt ngependa kipind kijacho ujarbu kutuelkeza kuhusu miungu ya kigiriki 💪💪

  • @smartmp9681
    @smartmp9681 4 года назад +2

    Safi sana ...stor book ..napenda kuwa astronaut

  • @SalmaMhando-p6q
    @SalmaMhando-p6q Год назад +5

    Ulio angalia ten 2023 wek likes za kutosh

  • @isabellerehema2912
    @isabellerehema2912 4 года назад +2

    Your cool Professor 👨‍🏫👌👌

  • @linahdbarnabas4029
    @linahdbarnabas4029 4 года назад +5

    Professor naipenda lafudhi yako sana na unasimlia kwa hisia kali

  • @stevenshija2848
    @stevenshija2848 4 года назад +15

    Nice brother, unanifungua sn akili yangu, respect ✊.

  • @robertfrendrick
    @robertfrendrick 4 года назад +3

    Huyu jamaa anajua sana Jamal your a great story teller 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @Uzima1213
    @Uzima1213 4 года назад +14

    The story book 📚 hinanielimisha vingi sana bana unatisha sana brother

  • @fatmamustapha6929
    @fatmamustapha6929 4 года назад +12

    Mungu aniweke nikapate na kujenga huko Mana sayar hii ni ngumu Sana😣🙏Mara corona sijui nn aah🚶🚶

    • @sumaiyamahamoud2488
      @sumaiyamahamoud2488 4 года назад +1

      Mie nitakuja kutembea nitakua mgeni wako inshallah ila makazi yngu hapa hapa tukijaliwa

    • @ameliawayua142
      @ameliawayua142 4 года назад +1

      Uko mtaishi na Binadamu wanaitwa Aliens. mimi sitaki kuona macho ya hao Aliens☺️☺️

    • @asiaaliahmed4744
      @asiaaliahmed4744 Год назад

      😂😂😂

  • @oliverntumba
    @oliverntumba 5 месяцев назад

    Keep it up professor u always blessing my heart with the true stories. One love from South Africa

  • @expert5898
    @expert5898 4 года назад

    Mpo vzr sana aise

  • @SwahiliTraderFx
    @SwahiliTraderFx 4 года назад +98

    kama na wewe ni mmoja wa wale wabongo tutakae achwa duniani, tukigonga supu ya pweza na alkaswis gonga like. mars hakuna pweza wajumbe mtapata tabu

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 4 года назад

    Mmmm mungu nisaidie hakika sayansi jogharafia haijamuacha mtu salama katika kuamini ningumu Sana kuamini

  • @daudimussa4507
    @daudimussa4507 4 года назад +9

    Like Jamal u totally inspire me

  • @suzanmshakangoto2171
    @suzanmshakangoto2171 4 года назад +3

    mnasemaje atuletee story ya j.k. nyerere keep this sign 👍

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 4 года назад +6

    Leo nmekuwa wa Mwisho, sijasikiliza wala kuona ila naamini ni Madini makini sana, tuko pamoja Pof Jamal.

  • @estherlufingo7299
    @estherlufingo7299 4 года назад +6

    Naiona The 100😊

    • @samiaissa2780
      @samiaissa2780 4 года назад +1

      Kabisa, alafu sikuimaliza inabidi niitafute

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 4 года назад +11

    Kama unaikubali the story book acha majungu na wivu gonga like yako hapa

  • @yasinadan3356
    @yasinadan3356 2 года назад +4

    Jamal this channel became my favourite due to you.All love from scotland

  • @bettywaudiwaudi8712
    @bettywaudiwaudi8712 4 года назад +11

    Much love from Kenya

  • @hustlertv1683
    @hustlertv1683 4 года назад

    Talanta sio ndumba, hichi ni kipaji cha kipekee. Hongera Jamal

  • @shukcan9463
    @shukcan9463 2 года назад

    Safi sana brother

  • @faithimanisoni3814
    @faithimanisoni3814 4 года назад +20

    Wow, so interesting I love everything about planets ❤

  • @JumaShaaban-zb7xb
    @JumaShaaban-zb7xb 11 месяцев назад +2

    Wow I like this planet

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 4 года назад

    Duu noma sana jamali

  • @pinkybeautysalon373
    @pinkybeautysalon373 4 года назад +5

    Just fantastic I love it

  • @burudanitv9896
    @burudanitv9896 4 года назад +1

    Asante sana kwa kuteelimisha

  • @pasamcb3260
    @pasamcb3260 4 года назад +1

    Nomaa sana

  • @kondegangfans7368
    @kondegangfans7368 4 года назад +5

    Kipindi changu pendwa kutoka wasafi 🔥🔥. #kondegang4life

  • @kijitutunis6250
    @kijitutunis6250 4 года назад +2

    Ni alikasusi sio alikasusu lakini unajua kaka hongera sana

  • @manufledkapinga1402
    @manufledkapinga1402 4 года назад

    Nomaa Mzee bongo tuna pro. Fesa

  • @emanueldanstan8904
    @emanueldanstan8904 2 года назад +3

    I got you prof..(you're stories is a key of my knowledge)

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 Год назад

    Wooooow!!!!!! Just wow❤

  • @jimmykhurana3683
    @jimmykhurana3683 3 года назад +9

    Kiukweli dunia ndio kila kitu mana ipo katk vitabu vya dini zote na mwisho wetu ni apa duniani uko tunatapa tapa tu dunia imejaa mengi na ina baraka kubwa tuache kuchunguza mungu mengine tuache tu yapite mana apo tunaingilia mpango wamungu ao watakao tupeleka watajiita mungu na kuonesha kuwa wao ni kwa uwezo wao mungu ameumba dunia akatawalisha manabii ktk dunia bas dunia ndio makaz yetu adi mwisho wetu 🙏🏻wanasayansi awa wana tapatapa kweli akimungu wana mchunguza sana mungu

  • @evansmusyoka5215
    @evansmusyoka5215 Год назад +1

    Everything according to me is possible because aeroplane one day didn't exist but with time it can to existence and fully functional, transportation of human from one continent to another through the air being a dream come true..God is working in beings and that's y i concur with him in HIS CREATION that he mad man in his image,a special being...with full capacity to create as it is the CENTRAL CHARACTER of the GOD OF CREATION

  • @paulinakamisa2545
    @paulinakamisa2545 2 года назад +5

    Good researcher and story teller salute man

  • @elishadesela269
    @elishadesela269 4 года назад +1

    Anafaaa ,nimeipenda one love jamal

  • @feredinandmnubi6092
    @feredinandmnubi6092 4 года назад +4

    Pamoja Sana Kaka♥️♥️

  • @Uzima1213
    @Uzima1213 4 года назад +1

    Bwana unatisha sana ☝️☝️☝️

  • @jastinshantiwa3444
    @jastinshantiwa3444 3 года назад +4

    It is wonderful indeed

  • @owlbig
    @owlbig 4 года назад +2

    Asante sanaaa brother

  • @Sammy-u9c
    @Sammy-u9c 10 месяцев назад

    NYC one bro

  • @juniormakyao3739
    @juniormakyao3739 4 года назад +5

    I love your story's

  • @vedastusrobert7744
    @vedastusrobert7744 4 года назад +2

    The story book naipenda xan

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 4 года назад +7

    Inaonekana story hii imewaacha watu midomo wazi👻nimepitia coment karibuzote lkn wengi wameishia kuomba like tu😂
    NB mungu aliuumba dunia kwa makusid yke, huko mars hakuna maisha tuwaache wazungu wakateketee sisi tutabaki inawezekana tukawa ndo inch ya ahadi aliyotuahidi mungu🙏🙏

    • @emanueldanstan8904
      @emanueldanstan8904 2 года назад

      Paka lini utawaachia wazungu?.lini utafanya nawew?(huna akili dogo)

  • @christophermpangala9067
    @christophermpangala9067 4 года назад

    Hongera sana

  • @gloriaako7225
    @gloriaako7225 4 года назад +8

    Much love ❤️❤️❤️ The story book

  • @iddymaeda2779
    @iddymaeda2779 4 года назад +6

    Professor 💯💯

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 4 года назад +13

    Hakika Allah ni mkubwa kwa kila jambo na kitu tunachokiona kutoka kwake

  • @charleskatabila7858
    @charleskatabila7858 4 года назад +1

    Xafi xan jamaliiiii

  • @barakabisendo5921
    @barakabisendo5921 4 года назад +1

    I like it

  • @lindakawey1588
    @lindakawey1588 2 года назад

    Proff ur closing remark was amazing

  • @freba6633
    @freba6633 4 года назад +1

    Tupo tofauti sana na watu wenye ngozi nyeupe,hebu fikiria,mtu anapanga kufanikisha jambo lake kwa miaka 10 hadi 20 ijayo.hafikirii kushindwa,hafikirii kifo,hafikirii chochoti bali ni kujikita katika kukamilisha jambo lake...lakini angalia sisi waswahili na mipango yetu tunayojiwekea,imezidi sana mwezi mmoja na hata tukijaribu na ikashindwa tunaiacha kabisa,,,,nimejifunja kuwa na longtime planing na kushikilia mpango wangu hadi ukamilike.thank you bro.

    • @kisiwaPanza
      @kisiwaPanza Месяц назад

      Kuna kifo pia Ujipange Nacho.. Maana Hio Mipango Yako au Yao yoote Kifo Ndio Hustopisha Kila Kitu.. Hao Wazungu Walituletea mifumo ya Kuto Kushuhulika na Anasa za kidunia Ndio Maana maasi Kila kukicha

  • @Lamecksultan
    @Lamecksultan 4 года назад +151

    Nipate na likes na mimi leo Bas! 😂🙌🏻💕

  • @djnizoh
    @djnizoh 6 месяцев назад +3

    Tunaoangalia 2024 gonga like

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 4 года назад

    big up sana kaka kipindi chako kizuri

  • @thierybien7051
    @thierybien7051 4 года назад +2

    Staki kumkufuru Mungu nabaki bongo hapa hapa