KADRI UNAVYOKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA TEND0 LA ND0A NDIVYO UNAVYOZIDI KUWA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 63

  • @barakasimon2075
    @barakasimon2075 21 день назад +17

    Kuna faida kubwa zaidi ya kutokufnya ngono kuliko kufnya

  • @davidkadomola4220
    @davidkadomola4220 21 день назад +16

    Uongo mtupu mi niliwahi kaa miaka 3 bila kufanya na hakuna chochote kilichonipata .Acheni kupotosha jamii

  • @VivianWilly-g2u
    @VivianWilly-g2u 15 дней назад +1

    Mmmh! Hapanaaaa, hapo umetupga kitu kizto, tabia hutofautiana, nakaa muda mrefu na Niko sawa.

  • @leahjohn4734
    @leahjohn4734 20 дней назад +4

    Operation chochea uzinzi 😂😂 Asante Kwa ushaur mway

  • @esthermwita3234
    @esthermwita3234 21 день назад +2

    Asante sana nitajaribu

  • @SesiliaMwengwa
    @SesiliaMwengwa 22 дня назад +4

    Asante 🎉🎉🎉🎉

  • @highskills5883
    @highskills5883 3 дня назад

    Ni kweliiii anayosema nendeni mkagugo na kufanya research acheni porojo za waswahili

  • @norahtsakiris4355
    @norahtsakiris4355 16 дней назад

    Si kweli hii tupo sawa na pia najiaminu 100/ sina wac wac. Nashukuru nalala vizuri sana

  • @JenilozaElisha
    @JenilozaElisha 18 дней назад +1

    Mengineee kujiendekezaaa t

  • @JoslayMwenyekiti
    @JoslayMwenyekiti 22 дня назад +3

    Asante❤

  • @GilbertSambaya
    @GilbertSambaya 22 дня назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤

  • @ElishaSaidi-nu5xt
    @ElishaSaidi-nu5xt 22 дня назад +1

    ❤❤

  • @vitrahbongz9420
    @vitrahbongz9420 20 дней назад +1

    Vp kuhus sis tunaojichkulia sheria ya mkonon (*yet*)?

  • @harry5395
    @harry5395 11 дней назад

    Sikweli, Wanaume wengi Japan ni virginity na wengine kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa sababu ya ubize, lakini wapo vizuri kitechnology na maendeleo kuliko Afrika tunaoweka tamaa zakimwili mbele kuliko maendeleo.

  • @muharamimuharami-b3l
    @muharamimuharami-b3l 21 день назад +2

    🎉

  • @ndugaijacob359
    @ndugaijacob359 21 день назад +1

    Ndugu wa Fafanua Tv ukifanya tendo LA ndoa Kwa kutumia kondomu inakuaje?

  • @saidimagambo
    @saidimagambo 4 дня назад

    mi naisi kwawale wapenda ngono ndo inawatokea hi ilawale wasiopenda saana ngono iwatokei

  • @JoyceKambona
    @JoyceKambona 17 дней назад +1

    Mnamaliza TU MB za watu,hii ni dhambi

    • @AniphaMajige
      @AniphaMajige 17 дней назад

      🤣🤣kabsaa kuwafanya watu wawe wazinzi zaid

  • @HappySawala
    @HappySawala 16 дней назад

    Hapo tupo kudanganyana duh kuchochea uzinz

  • @EvaMwalusamba
    @EvaMwalusamba 18 дней назад

    Napita tu

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 18 дней назад

    Very true 💯
    Biologically researched (reproduction & coordination esp endocrinology)
    Also...
    Related to God's creation
    "Akamfanyia msaidizi" sio wa kumfulia nguo

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 21 день назад +5

    Vipi kuhusu mapadre ambao hawaoi?

    • @ZahraAlly-wq4ku
      @ZahraAlly-wq4ku 21 день назад +1

      😂😂😂😂

    • @HighTemper-x9e
      @HighTemper-x9e 21 день назад +1

      Hakuna binadamu anaeishi bila kufanya mapenzi .........

    • @annethsongwe6063
      @annethsongwe6063 21 день назад +3

      Wanakuwa hawajawahi kufanya coz wanaanza mafunzo wakiwa bado hawajabalehe hivyo haina shida kwa ambaye hajawahi shirik tendo

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 21 день назад +1

      Wanafira watt wa kiume

  • @florencekanze
    @florencekanze 21 день назад +5

    Kamakunamtu anakubaliana nahaya basi tuko pamoja yote yaliyo tajwa mm yananitesa sana😢😢 mwenza njoo uniponye basi😮😮

  • @BernadethaRobert
    @BernadethaRobert 17 дней назад

    On my way, napitia coments

  • @VeronicaBayyo
    @VeronicaBayyo 20 дней назад +1

    Hapo inategemea na aina ya mtu

  • @ApolinaryBiyengo
    @ApolinaryBiyengo 21 день назад +2

    Hapo anazungumzia waliokuwa nanafanya wakaacha kufanya,,

  • @HassaniYusufu-x2o
    @HassaniYusufu-x2o 21 день назад +7

    Jaman nashukuru mi na miaka 2 sijashiriki tendo nahis mwil mchov pia sipat usingizi napata tabu mwil haupo sawa haya yotee yametokea coz mwanaume alinitelekeza na manyanyaso makali naogopaa

    • @pascofp145
      @pascofp145 21 день назад +5

      Hassani yusufu wewe nimwenamke

    • @merymahu4500
      @merymahu4500 21 день назад +1

      Pole sana mwaya

    • @Liyale_Kid_Gold
      @Liyale_Kid_Gold 21 день назад +1

      Hao wanaumgiwa account hao

    • @rhinokingofficial5491
      @rhinokingofficial5491 21 день назад +2

      ​@@pascofp145 nimeshangaa kama ww daaah 😂😂😂

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 20 дней назад

      Acha kutudanganya wewe,sisi siyo watoto wadogo.mpaka uje tukukague ili tujilizishe.hayupo mwanamke anaeweza kukaa miaka miwili bila kuliwa,wadanganye wengine.

  • @JacklineGogo
    @JacklineGogo 20 дней назад +1

    Huo ni uongo

  • @JoyceKambona
    @JoyceKambona 17 дней назад

    Kama mwanafalsafa aliefundisha kwamba mwanadamu anajifunza kwa uzoeshi ,kwa hiyo hata mapadre hawafanyi ni uzowefu TU nakujinyima unaweza usiwe kama Bata.

  • @maryfides591
    @maryfides591 20 дней назад +1

    Nyie ni waongo mtu hakifiwa na mme hanaweza kukaa hata miaka 4 mpaka 4 mbona hawahadhiliki?

  • @NecholuosBenjamin
    @NecholuosBenjamin 19 дней назад

    Mimiap

  • @marcolullanga6639
    @marcolullanga6639 20 дней назад

    Nani kakuambia mapadre hawafanyi tendo la ndoa?

  • @JoyceKambona
    @JoyceKambona 17 дней назад

    Uwongo mtupu mbona mtu anakaa hata miaka thelathin na uyko mtuvu TU mnafundusha uhuni na tamaduni za wapi hizi?

  • @boniphacefrances
    @boniphacefrances 20 дней назад

    Wanafunzi O na A kazi ipo

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 20 дней назад

    Mbona machangudoa wengi wako low.Binafsi kwa leo sijakuelewa

  • @EliasLucasjr
    @EliasLucasjr 20 дней назад

    kama huna hisia je?

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 21 день назад +2

    Kwa hiyo mapadre hawana ufanisi damu haizunguki vizuri acha uongo weweee

    • @makukamakuka1390
      @makukamakuka1390 21 день назад +1

      Unayajua ya sirini mwao?
      Subiri tu utajua muda si mrefu.

    • @Aloyce-j6n
      @Aloyce-j6n 21 день назад

      Mwambie achunguze​@@makukamakuka1390

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 21 день назад +1

    Asante sana