PART1:GRACE MAMA ALIEAMUA KWENDA KUTAFUTA UTAJIRI WA KICHAWI ILI ATAJIRIKE NA KISHA KUTOLEWA FEDHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 79

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 2 года назад +9

    Pole sana haukuwa unaujua uislam , umeangukia tanga ....Allah akuongoze urud kwenye dini ya Haq.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 2 года назад +3

      😀😀😀😀 Kuna muda utafika hata Wewe utaokoka,

    • @abushaddad989
      @abushaddad989 2 года назад +2

      @@igurusitv6553 Yesu alikua ameokoka?

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 2 года назад +2

      Dini ndo nini mtafute Mungu sio dini

    • @chamipeter778
      @chamipeter778 2 года назад +3

      @@abushaddad989 Yesu ndiye mwokozi mwenyewe sasa aokokeje wakati yeye ndiye Bwana wa wokovu? Ukimkimbilia Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako umechagua jambo jema

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 года назад

      Okoka na umwamini Yesu,
      Huo ndio usalama wako

  • @charlestangawizi9191
    @charlestangawizi9191 2 года назад +16

    Davister Mata Mimi nimekuwa nikikufatilia tangu 2020, nilizipenda sana story zako na Mikasa, lakini Kwa sasa kwa mtazamo wangu naona kama story zako zinazingua zinanikata stim, jitahidi kutafuta watu wenye Mikasa kweli,

  • @rashidmsabah4739
    @rashidmsabah4739 2 года назад +6

    Yaan siku stori zako za ovyo sana nilizipenda san stori zako ila siku hizi zimepoteza mvuto kulingana na watu ambao unawachaguwa unatafuta watu ili mradi tu

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 2 года назад +1

    Part 2 na tafadhali iwe ndefu kidogo. Maajabu hayo.

  • @lucyjoseph4216
    @lucyjoseph4216 2 года назад +1

    Tunasonga vizuri...ndaani

  • @macamezunguzungu241
    @macamezunguzungu241 2 года назад +1

    Pamoja saana mr everything 💪

  • @godchoosen4830
    @godchoosen4830 2 года назад

    Tumeishia akavuta like sanduku olewako uvuke Apo Davista

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 года назад +1

    haya tunaanza iwe nzuri

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 2 года назад

    I like the way she is talking

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 года назад +4

    Alifanya vyema kuwa mkristo karibu Yesu anakufaidi.Waislamu wengine njooni kwa Yesu kwa sababu yeye ndiye Nuru na mukombozi bila yeye huwezi ingia mbinguni.

  • @odilomutalemwa3698
    @odilomutalemwa3698 2 года назад

    Akili ya Wanawake bwana eti cha maana mwenzao akaenda nunua kitimoto🤣😂😂🤣

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 года назад +4

    Waafrika, Gari na nyumba ndiyo maisha mazuri, how misleading 🤔🤔

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 2 года назад +1

    Mazingaombwe ya watoto wa shetani, anachukua laki 6 azalishe pesa kwako kwanini achukue asizalishe za kwake. Bwana Yesu Kristo ni mkuu kuliko wa gizani.

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 года назад +1

    Watu wenyewe wakienda kanisani wako nusu uchi dini gani wafanya ibada wako uchi:😭 kwa sababu hamjisitir vzr kuvaa vimini/ mibichwa wazi wanawake kuvaa surual vazi la kiume huu ni msiba siyo mpaka mtu afa

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 2 года назад

      Yani we mariam ..eti mibichwa wazi.. duh!! Sio kwa kutuchamba huku wajameniii...

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 2 года назад +2

    Brother Davista jaribu pia kuchanganya maudhui sio uchawi tu, Story za wazamiaji South Africa ama nchi nyingine, story za ujambazi pia yani, yani mikasa ya mitaani ambayo ipo real zaidi

    • @davidochieng7055
      @davidochieng7055 2 года назад

      ni kweli kabisa kuna mambo sana mtaani hata mm nilishaga toa hii hoja naona halifanyiwi kazi

  • @kelvindaud3461
    @kelvindaud3461 2 года назад

    Sawa sawa kaka pamojaaa sana

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 2 года назад +1

    Safi Davista

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 2 года назад +11

    Rudi kwenye Dini ya haki nayo ni Laila aila Allah Muhammad rasulullah Uku hakuna nambii anaye itwa Mungu.na hakuna miujiza ya janja janja sio hao wengine wanatumia uchawi kuombea watu kisha wanajiita manabii na watume Moto wanao kesho.

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 года назад +1

      Yesu Kristo ndiyo njia ya kweli na uzima. Yesu Kristo anakupenda sana Salma

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 года назад

      Yesu Kristo ndiyo njia ya kweli na uzima. Yesu Kristo anakupenda sana pia wewe Salma

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc 2 года назад +2

      @@sarahmichael7538 mi simpendi

    • @khadijabintmohammadbintmoh8026
      @khadijabintmohammadbintmoh8026 2 года назад +2

      Kwani huyu ni muislam anataka kuuchafua tu lakini alishindwa firauni wataweza wao.hapo alipo ukimwambia asome tu ayatulkursi hawezi

    • @wahidaabubakar9332
      @wahidaabubakar9332 2 года назад +1

      @@sarahmichael7538 akikuprnda ww inatosha

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад +1

    Pamoja sana

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 года назад

    Hiyo story imekatika ghafla mbona

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 года назад

    Ni mambo ya kutisha

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 2 года назад

    Mmhh tumeisha fika wafatiliaji wa Davister

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 2 года назад +7

    Hauwezi kuwa umesoma dini ukaritadi kirahisi.

    • @abushaddad989
      @abushaddad989 2 года назад +5

      Kama ulibeba mimba ukiwa form 2 dini ipi hio ulikua unajua ? SEMA umefuata urojo aja kusema sasa umemjua Mungu , .

    • @alimatambwe3402
      @alimatambwe3402 2 года назад +2

      Hakuwa na Dini yoyote ile anataka akashifu Dini ya Allah

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 года назад

      Waislamu huwa mnapaniki sana kwa sababu ya dini yenu.
      Naona Mungu wenu hawezi kabisa kuwapigania

    • @wahidaabubakar9332
      @wahidaabubakar9332 2 года назад +1

      @@sarahmichael7538 hata nyie mnapanik mbona hamnyamazi kwakua mtangazaji mwenyewe ni mkristo kazi yenu kuudhihak uislam nyie mkekua mwadhihakiwa mngenyamaza we vp wee!!!

    • @wahidaabubakar9332
      @wahidaabubakar9332 2 года назад

      @@benjathekingofficialshows siku moja utamjua Allah tu. Allah Akbar

  • @zahirrajab7713
    @zahirrajab7713 2 года назад

    Akunaga ela za ivyo ao wanakuaga matapeli dada

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 года назад +1

    Kwenye mimba hapo niuzembe wako mudada! Lakini kwa mengine lawama zote ni kwa wachawi! Kwa kweli wachawi sio watu wakuchekea,

  • @keitatv9219
    @keitatv9219 2 года назад

    Bro jaribu kubadili story mbona shuhuda n nyingi uchawi tu kila cku

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 2 года назад

    Hii ya leo ni kali

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 года назад

    Dini ya kiislam ni dini ya haki ya kweli Kakuna dini ya kweli ispokuwa uislam hizo zingine ni zimeanzishwa na makafiri :shauri zenu nyiye endeleeni tu mtajaingia Motoni :siku hiyo roho inakutoka na hautakuwa na uwezo wowote wa kuoongea wala ishara yeyote: ndipo utajuta

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 2 года назад

      Hahaha huo ni mtazamo wako tu

    • @mariamhamisi598
      @mariamhamisi598 2 года назад

      @@davidchesco1150 ndio wale wale wa kuupinga uislam🙄 shauri yako utakuja juta ipo siku

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 2 года назад

      @@mariamhamisi598 narudia tena huo ni mtazamo wako usilazimishe kila mtu aamin kama ww tunajua tunayemwabudu hio inatosha!!

    • @mariamhamisi598
      @mariamhamisi598 2 года назад

      @@davidchesco1150 tumuachia allah yaishe huo ni ujumbe tu ndugu siyo kulazimishana

    • @davidchesco1150
      @davidchesco1150 2 года назад +1

      @@mariamhamisi598 kweli sio kulazimishana ila w ndo umuachie allah mi namuachia Yesu

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 года назад

    Mr everything good

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 года назад

      Utatamani siku lau ungekuwa muislam, ati ulijua dini hujuilolote mpuuzitu wewe lkni one day makafir wote mtatamani mungekuwatu waislam, uislam hauhitaji mtu wala haulazimishi mtu, wewe mwenyewe ndio utautamani lakni itakuwa mumesha chelewa

  • @bobkariz5663
    @bobkariz5663 2 года назад

    Watching

  • @evans8557
    @evans8557 Месяц назад

    hello

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 2 года назад

    One

  • @emmyommy9012
    @emmyommy9012 Год назад

    32pl

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 года назад

    Imeishia paxuri

  • @j.jkitchens1797
    @j.jkitchens1797 2 года назад +1

    Too much of advertisement

    • @chaseborgia
      @chaseborgia 2 года назад +2

      Channel ya Davistar imekuwa kubwa, tuyaangalie mpaka mwisho alipwe awe vizuri alete shuhuda zaidi

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 2 года назад

    NIMESIKILIZA STORY NYINGI SANA ILA NAJIULIZA KWA NINI WOTE WAMEOKOKA NA WENGI WANASEMA WALIKUWA WAISLAMU,

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 года назад +1

    Sasa mkubwa wangu kwa kutufahamisha hapo mimi nataka kujuwa kutukataza watu wakubali kurubuniwa? Au tukutafutiye Pasta au tusifuate mambo hayo au tusikilize histori kwa mimi nakushauri hebu wafuate matajuli kama wakina M.Deuji au matajili ili na sisi tumfate njia aliofanya mpaka akatajilika sio wewe unawatafuta watu walio ota ndoto wanatudanganya hapa hiyo sio sawa mkuu.

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 2 года назад

    🤣🤣

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 года назад

    Huu ni upuuzi wa mtu mwenyewe, kwani hiyo mimba iliingia kwa njia gani, how low IQ you have, huyu aseme ana see addiction problem...ndiyo kama Hawa wamarekani website wanalalamika kila siku kuhusu wazungu na utumwa wa miaka 500 iliyopita wakati ni uzembe wao wenyewe. Hivi dini inamsaifia nini mtu katika kuboresha maisha? I don't get it. Wazungu wamewaachia dini wstu weusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣