Mmm bado kwanza kumpa Nyota hizo mpaka stori ichanganye kwenye namba 10 hivi maana hao waliopita walifika mpaka episod 50 na hatukutaka ziishe sasa na huyu tumpe muda
Kwenye masimulizi haya nakupa hngera make umejitahidi kufuata mtililiko wa story,tofauti kabisa na masimulizi uliyo yafanya na mchawi wa DODOMA mmetoka nje ya mada husika,mahubiri na story binafsi zmekua nyingi sana kuliko hoja ya msingi.mimi hyo story imenishinda sababu hiyo,nikaishia epsode ya5 tu.hata story ya msa chesa ilinishinda sababu misifa ilikua mingi sana hadi epsode nzima inaisha bila hoja ya msingi kuzungumziwa
Mbona part 3 unaichelewesha illa za hao wapuuzi makafiri wengine eti wameritadi unaziweka haraka drop part 3 uyu komesha yeye kasema ukweli na ninaipenda maana anasema yeye kafata uchawiii na nia yake ni uchawiii aafu hao mapumbavu wengine utaskia " nimekuwa muislam nikafunzwa uchawi sasa kila kitu ni shetani " Nyoooo mwana ku ya FIND mwana ku ya GET
@@benjathekingofficialshows huo huo Yesu mwenyewe atawakanaga mbele ya Allah akiwaambia siwajuwi wala hamna sehem ameshaga kuwa na mamlaka juu ya binaadam pasipokuwa Allah peke yake hana msaidizi kun faya kun atakalo liwe hamna mpingaji......
Ndugu Dunia hii kama hujawahi kukutwa na hivi vitu wala usihoji kusema ni vyakutunga, mimi sijawahi kuwa mchawi wala mganga na nilikua napinga hao wanaitwa Walokole, ila baada ya kunikuta Majanga ndio nikakubali hii Dunia inapande 2 yaani kwashetani na kwa Yesu Kristo na huyu Yesu ndio kilakitu hapa Duniani, Kuzimu mpaka Mbinguni.
ili uzidi kuchanua kikazi jitahid kusoma coment za wateja wako story nyingne nyingi znakosa Views coz mnaingza mahubiri na story binafsi sasa watazmaji si wa dini moja tu,ifanye kazi yako kua ya dunia nzima na dini zote dini pia story binafsi ziwepo kwa uchache sana knachobaki msimuliaji ajikite kwenye simulizi yake tu
Looh! Wanayatenda gizani ila Mungu yote anayabainisha kwa midomo yao wenyewe 😪😪😪😪😪
Hii Dunia inatisha duh
Story is very hot
Naomba atuonyeshe iyo alama tuone ya tumboni
Mwamba stori yake kali level za zabron, rwanda magere, mnyeshani etc
Kweli kaka kumbe umewaza kma mimi,, jamaa anasimulia kama zabron yani
Siku za mwisho Siri zote zitakuwa wazi
Naomba namba ya huyo jamaa Kama ni story ya kweli,
Jamaa kazipitia story za Davistaa alafu akamrudia na kumbutua Jamaa mbaya saana
Mungu atusaidie jamani. Damu ya Yesu itufunike.
Inawezekana hii ikawa stor bora kuliko zilizopita
Na imechangamka pia
Yes umeniwahi,umeona kwa jicho km langu.
We sio kwel
Kwel kabisa sikupingi
Mmm bado kwanza kumpa Nyota hizo mpaka stori ichanganye kwenye namba 10 hivi maana hao waliopita walifika mpaka episod 50 na hatukutaka ziishe sasa na huyu tumpe muda
Kwenye masimulizi haya nakupa hngera make umejitahidi kufuata mtililiko wa story,tofauti kabisa na masimulizi uliyo yafanya na mchawi wa DODOMA mmetoka nje ya mada husika,mahubiri na story binafsi zmekua nyingi sana kuliko hoja ya msingi.mimi hyo story imenishinda sababu hiyo,nikaishia epsode ya5 tu.hata story ya msa chesa ilinishinda sababu misifa ilikua mingi sana hadi epsode nzima inaisha bila hoja ya msingi kuzungumziwa
Kweli
Kwel Kuna muda wanaboa sana
Baba angu
Upo vizuri mzee baba
Davista muoga sana hutaki ujaribiw😁😁😁
Niko faster sana
Mr everything tupo pamoja 🌹 daa et bibi hapa najiskia vibaya lakin naendelea 🤣🤣🤣🤣
Baba angu!
Mwambie awe anasimulia hatua kwa hatua asiwe anaruka ruka ,mf ,akiwa kaburini aseme aliona nn kikawaje eeh jaman tunataka kujua
Next please interessiert
Sungamila boy kwenye muendelezo
Kaka unachelewa ziachia
Hivi uko kuzim aujakutana na ndugu zako waliokufa?
Mbona part 3 unaichelewesha illa za hao wapuuzi makafiri wengine eti wameritadi unaziweka haraka drop part 3 uyu komesha yeye kasema ukweli na ninaipenda maana anasema yeye kafata uchawiii na nia yake ni uchawiii aafu hao mapumbavu wengine utaskia " nimekuwa muislam nikafunzwa uchawi sasa kila kitu ni shetani " Nyoooo mwana ku ya FIND mwana ku ya GET
@@benjathekingofficialshows labdha wewe baba ako na mama ako wewe Majini..... Kafiri mkubwa laaana tulallah
@@benjathekingofficialshows laana inakusumbuwa akilini naona
@@benjathekingofficialshows kunapo wazima naona we punguani na laana ya mwenyezi mmungu iwe juu yakoo
@@benjathekingofficialshows huo huo Yesu mwenyewe atawakanaga mbele ya Allah akiwaambia siwajuwi wala hamna sehem ameshaga kuwa na mamlaka juu ya binaadam pasipokuwa Allah peke yake hana msaidizi kun faya kun atakalo liwe hamna mpingaji......
Davista inabidi uangalie wengine wanataka ku shine tu anagalia ata story zao utakuta wanapata shida saana kuelezea tofauti na story za ukwell
Kuna simulizi sedekia aliuliwa na kiongozi Mkubwa wa dini ambae bado ni maarufu, tupate ufafanuzi juu ya hili
hiyo ya wapi??
@@jesusislord9190 Radioni kitambo sana
Soma biblia hamna kitu kama mtu akifa anaenda paradiso..mtu huenda kaburini..Yesu mwenyewe alisema wote walio makaburini John 5:28...study the word!
Uyu jamaa anaeleza direct mpaka raha
Major historY
Nyie hyu msimuliaj kwa mbali namfannisha na Bashite....🤣🤣🤣 au basi nahis usingizi
Baba angu hahahahaha
DM tafuta mti mkavu maana alikundanganya kuhusu ndagu!
Jmni kipenzi Chetu Sedekia apumzke kwa Amani
Babaangu
Kufika Nigeria walitumia usafiri gani?
Wa 5 leo
Hii ya wa 5 mara wa 2 mara wa kwanza,ktk maisha ya kawaida huwa inawasiaidia nn????
Utapeli mtupu uyu apo wanatafutwa makolo wapigwe mijitu apo itamtafuta wapewe connection ya maua apo ndio watapo tapeliwa😃🤣
Atari na robo
Nina mashaka sana na hawa walokole, hizi story kama za kutunga vile. Lakini nawaza tuu.
Ndugu Dunia hii kama hujawahi kukutwa na hivi vitu wala usihoji kusema ni vyakutunga, mimi sijawahi kuwa mchawi wala mganga na nilikua napinga hao wanaitwa Walokole, ila baada ya kunikuta Majanga ndio nikakubali hii Dunia inapande 2 yaani kwashetani na kwa Yesu Kristo na huyu Yesu ndio kilakitu hapa Duniani, Kuzimu mpaka Mbinguni.
@@charlesmapunda5905 mmmmh! Lakini hadithi zao bana zinatuweka njia panda!!
ili uzidi kuchanua kikazi jitahid kusoma coment za wateja wako story nyingne nyingi znakosa Views coz mnaingza mahubiri na story binafsi sasa watazmaji si wa dini moja tu,ifanye kazi yako kua ya dunia nzima na dini zote dini pia story binafsi ziwepo kwa uchache sana knachobaki msimuliaji ajikite kwenye simulizi yake tu
Hko sahii
Hakianani siwezi kukupa pesa za bure skujui! Hata uje na dawa gani kwangu! Tena uspo kuwa makini wewe ndo utanipa pesa zako!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣