PART2:GRACE MAMA ALIEAMUA KWENDA KUTAFUTA UTAJIRI WA KICHAWI ILI ATAJIRIKE NA KISHA KUTOLEWA FEDHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 37

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 2 года назад +6

    Anasimulia vizuri, watu wa Mwanza hawajawahi kutuangusha kwenye kusimulia. Big fan of Davistar Media

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 года назад +4

    Yesu ndio njia ya ukwueli pia ya uzima

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 года назад +2

    Asante kwa muendelezo

  • @naifatcharles9247
    @naifatcharles9247 2 года назад +1

    Jina lenyewe siwema🤣🤣nimekupenda mama

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +8

    Mizimu ndo imewafanya waafrika kuwa masikini, mizimu haitaki maendeleo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 года назад +1

      He muheshimiwa Jay z unawajua kumbe hawa

  • @granceneema772
    @granceneema772 2 года назад +3

    Hao Majini Wanasubiri ushindwe ndio waje

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 года назад +1

    Hehehee jamani unaambiwa usilale siku 3 hatari kwelikweli

  • @magangiralucas6516
    @magangiralucas6516 2 года назад +3

    Shetan alaaniwe milele uyo umbwa wa dunia ibilisi

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 года назад +1

    Kumbukumbu la torati 18:10-11 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 года назад +1

    Ok 👌

  • @patrisami8405
    @patrisami8405 2 года назад +3

    Ana hadidhia vizur san 🙌

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 года назад +1

    Yani hapo kwa kwenda kanisani na kutenda uovu ndo kilichonipataga mm niliteseka mpk basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila mungu mwaminifu mnooooo

  • @allymwenda3145
    @allymwenda3145 4 месяца назад

    Sijawah kusikiliza story ya kisenge km hii,😮

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 2 года назад +1

    Kapigwa na kitu kizito kichwani

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 2 года назад +2

    Been waiting for this one 👊

  • @alawisalim9139
    @alawisalim9139 2 года назад

    Wow

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 2 года назад +1

    Waganga ni waongo! Anakupa utajiri lakini yeye ni maskini, ajabu sana.

    • @ruthwakesho7285
      @ruthwakesho7285 2 года назад +1

      Hapo umesema ukweli wa MUNGU, barikiwa sana.

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 2 года назад +6

    Mazingaombwe ndiyo kazi za wachawi /waganga maana ni maagent wa shetani.Walimdanganya eti kaulizia kondoo na mara ya pili eti alilala usingizi, ni utapeli mtupu wa shetani baba wa uongo.

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 года назад

      Waganga wenyewe wanatafuta pesa eti wakupe wewe

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 года назад

      Kweli wajinga ndio waliwao daah

    • @angelageofrey9756
      @angelageofrey9756 2 года назад

      Duu akili ni nywele

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 года назад +3

    😂😂😂 mganga wa mchongo

  • @vincentchogo282
    @vincentchogo282 2 года назад +1

    Hakupata gomba😅😅

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 2 года назад +2

    Mgaga tapeli

    • @nassormhamed5329
      @nassormhamed5329 2 года назад

      HUYU MAMA HODARI SANA MKWELI NGERUDI KWENYE USLAM ENGEFANIKIWA DINI YA HAKI.

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 2 года назад

    Wa kwanzaaa

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 года назад +1

    Ukute ulikuwa unaota! Kweli vya namna hio vinakuagapo?

  • @achsahcharles6728
    @achsahcharles6728 2 года назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂walikudanganya vizuri, eti usilale siku 3, wanakupa mission impossible

    • @ngarac2000
      @ngarac2000 2 года назад

      😜😜😜😜😜

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 года назад

      Mama ameferi kubadiri Inna lilah wainna ilah lajiun