PART1:KIJANA ALIEKUWA ANAWAUNGANISHA WANAWAKE FREEMASON BAADA YA KUINGIA NAO MAHUSIANO YA MAPENZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 80

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 года назад +5

    Mkaka mzuri lakini ako na shida akii Davista utanilipa Mb zangu stakubali leo 😂😂😂

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 года назад +2

    Asante davistar hata Mimi kabla niokoke niliwai pitia hiyo maisha ya kusingiziwa maneno

  • @estatemedia7219
    @estatemedia7219 2 года назад +2

    DM nakushukuru sana kwa vipindi vya Mikasa.Kupitua ushuhuda wa Kanyerere niliweza kujiunga na SDA na kuishika sabato.Hivi sasa naendelea na mafunzo ya kiadventista Kenya. Shukran sana DM na Golden Boy.God bless you.Hii ni Ministry kubwa sana DM.Usichoke.Endelea.

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 года назад +2

    Mwongo wew

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 2 года назад +2

    Leo umetupuyangishaa.....!

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 6 месяцев назад

    Davister kazi yako naipenda❤❤❤❤

  • @mpirabure7822
    @mpirabure7822 2 года назад +3

    25:39 kuhusu nini nikumbushe😁😁😀 jamaa hii story ametupiga mm sijaielewa kabisa

  • @mamanchuchu7969
    @mamanchuchu7969 2 года назад +2

    Uyo kaka anaushuhuda lakini hajuwi kuzungumza anaharibu

  • @emmanueljosephati3192
    @emmanueljosephati3192 2 года назад +2

    Jaama ana story nzuri lakn uwelezaji wake sio mzuri

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 2 года назад +4

    Mmmmhhh, hii ya leo hapana 😆 story ni kuhusu mandoto zake si mambo ya kweli hata kidogo. Pia unajua ukiwa na matatizo fulani ya kimawazo yanaleta ndoto kama hizi. Nimeshachoka mimi.

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 года назад +2

    Davista huyo msanii au hao wasanii ungemwambia awe anawaelezea kwa muonekano wao uhusika wao bila kutaja jina moja kwa moja

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад +2

    Nimetegea👂kusikia wapenda pesa

  • @josehkibona7565
    @josehkibona7565 2 года назад +3

    Mungu tupe Imani tulijue neno lako na kulifata na kulitumikia

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 года назад +2

    Katika ulimwengu wa kiroho nimekutana na davista yaani tulipiga sana maombi

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 года назад +1

    Pamoja saana Mr everything 💪

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 года назад +2

    Pamoja sana

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 2 года назад +2

    Safi sana

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +1

    Daimond na rayvaani.ndio mabint hata muonekano unajulisha wanavyojipura

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 года назад +1

    😂😂😂😂😂Sasa mmefanya Maubirii na mifano sasa akii leo mmejuwa kunibowa

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 года назад

    Mim ni mshabiki sana wa Davistar Mata lakini huyu jama story yake haikunyooka.

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 года назад +1

    Sasa mbona stori haina mwanzo inavipande vipande tu

  • @selinamrikaria6143
    @selinamrikaria6143 2 года назад +6

    Mwambie aanze jinsi alivyoanza!. Kusoma, mpaka kuingia huko ushetanini! Yani historia yake, hapo ndo tutaelewa.

  • @achsahcharles6728
    @achsahcharles6728 2 года назад +2

    Davistar story haina mlolongo, jitahidi kumuongoza jamaa aende katika mtiririko, haendi, harudi, hatuelewi

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 года назад +3

    😂😂😂😂😂Davista nimekusoma hata wewe hyo story inakuchosha na unatamani amalize uzime kamera

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 года назад +2

    Mmmmh hapana jamani wanawake vijana mutafuteni MUNGU SANA HALI NI MBAYA MNO AAA INAUMA UNAZINISHWA BILA KUPENDA UNAPELEKWA KWA FEEMASONI BILA KUPENDA AAAA MUNGU TUSAIDIEEEE SS NA WATOTO WETU AAAAA NAUMIA

  • @gamaneliphaz7716
    @gamaneliphaz7716 2 года назад +2

    simulizi hii haina ukweli wowote na ukitaka kujua kama ni story ya kutunga utaiona mwanzo wake kama hii

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад +1

    Wacha niende kwa golden boy

  • @emmanueljosephati3192
    @emmanueljosephati3192 2 года назад +1

    Sijaelewa mwanza wake davistar muurize maswali

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 года назад +2

    Mhiiii hii story natamani ange Pewa macheni atiririke nayo wallahi ndo inge noga🤒

  • @nickolousrajabu5001
    @nickolousrajabu5001 2 года назад +1

    Tupo pamoja

  • @deadcrush
    @deadcrush 2 года назад +2

    Kuwa na magari ndo ufreemason?

  • @abdallahrenatus524
    @abdallahrenatus524 2 года назад

    Huyu hayuko organized

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 года назад +1

    Mbona anakaa Mnaigeria huyu mbongo kweli??

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 2 года назад +1

    hebu nivute stool hapa kuna mambo na basi

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 года назад +2

    Davista unazingua huu ushuhuda hauna maana yyte umeshauharibu kwani ww watu wakitajwa na cc tukajua unapungukiwa nn

    • @eliyaerick5182
      @eliyaerick5182 2 года назад

      Sheria inambana....n makosa kisheria

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 года назад +1

    nipe mkono tushindane huniwezi kiuchawi kipesa

  • @aminarajabu5795
    @aminarajabu5795 2 года назад

    Sasa listory gani hili!? Nyie nanyi muwe mnachunguza kwanza story kabla hamjatutupia 😏

  • @cathykayinga9327
    @cathykayinga9327 2 года назад +1

    Mhh

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 2 года назад +2

    🇧🇮🇹🇿

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 года назад +2

    Sjui kama ndo kichwa cha habari! Lakini kama ni ndoto, Kila mtu anaota sana tu! Ndoto tunazo, TuKianza kusimulia ndoto humu, Ni wooooote tutasmulia!

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 года назад

    Story yake huyu jamaa anakoroga koroga,point zake hazieleweki,boring kumsikiliza.

  • @jamesmbogela4710
    @jamesmbogela4710 2 года назад +1

    davistar watu kama hawa ndo wanafanya fan base na follower wako wasiongezeke ivo nakushaur jaribu kuchagua story za kurusha mfano hii ndoto hukua nahaja ya kuirusha

    • @dsgroup6093
      @dsgroup6093 2 года назад

      Tumchangie apate camera ili tuwe wazur kwenye kutoa mawazo na kuchangia kiuchumi pia

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 2 года назад

    kabla sijasoma sijasikiliza story huwa nasoma comments kama kumi ilinisipoteze muda wangu... kaka mimi ni mfuatiliaji wa story zako sana na huenda watu wengi wana penda vipindi vyako.. nakushauri usije ukajiharibia kama wengine au watu kukukimbia. jitahidi uepuke story za kusadikika kama story hakuna ni bora usipost kabisa... yani mnakazana tu kuongea kuhusu manabii.. uhalisia wa story hauna kchwa wala miguu.

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 года назад +1

    Huna lolote

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 года назад +1

    kwani catholic sio kanisa la kiroho

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 года назад +1

      Sio kanisa la kiroho, makanisa ya Kiroho ni makanisa ya Kipentekoste yaani yakilokole,Katholiki ni Kanisa kama Kampuni fulani hivi tena yakisiasa

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 года назад +1

      @@charlesmapunda5905 kwani wanatumia biblia hiyo hiyo au...biblia nyingine

    • @ellyjoshua3125
      @ellyjoshua3125 2 года назад +1

      @@jesusislord9190 wanatumia biblia Ila hawaifati unavyotaka,mfano wanabatiza watoto wadogo

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 года назад +3

      joshua joshua kwani catholic hawabatizi watu wazima??? catholic wamekuambia usifunge na kuomba.
      100% kila wanachokofanya catholic kipo kwenye biblia...wale ma padre hawana biashara zaidi ya biblia..
      nenda kwa wachungaji wako.
      wanabiashara binafsi kibao.
      catholic ni kanisa mama bila catholic usingewaona hao wachungaji wengine..

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 года назад

      @@jesusislord9190 Kweli kanisa mama lakini unajua historia yake lilivyo anza? Pili Mapadre kibao tunao mitaani wanawatoto na wanawake walio wazalisha wamefunguliwa Maduka na Manyumba wamejengewa, unapo sema wanatumia Biblia kwenye miongozo yao sikatai lakini wana vitabu vyao vya Sala na muongozo wa ibada wa mwaka mzima naongea hayo mimi nimesali humo zaidi ya miaka 20 nimetoka humo nakusali kwenye makanisa ya Kiroho tofauti ni kubwa sana hata mzuka wakumpokea Roho Mtakatifu unaupata na unampokea huko unakosema kanisa mama huwezi pata huo mzuka, na nisehemu gani kwenye Biblia inasema tumsalie Bikira Maria? Na bado Biblia imekataza kuabudu Sanamu lakini Katoliki ndio kwanxa wamejaza masanamu kanisani. Na huu utaratibu wa kumsujudia papa kama yeye ni mtu asie na dhambi umetoka wapi? Maana kwenye Biblia hakuna hivyo vitu ndio maana nikasema huko utaratibu wa watu wachache ndio unafuatwa ila huku kwenye Pentekoste ndio kunajitahidi kunyoosha kweli pamoja na Sabato sio Katoliki inapotosha wengi sana

  • @Qaswararafashion5041
    @Qaswararafashion5041 2 года назад +1

    Huyo wa Maruku Bukara wa kihome boy Aseeee