PART1:PAULO MCHAWI MKUU ALIEKUWA ANASAFIRI KWA UFAGIO KWENDA BARA LA ULAYA KUROGA AKUTANA NA MAPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 34

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 месяца назад +10

    davi kipinde kile uko kimya kumbe ulikuwa una kusanya kazi maana ninaona bandika bandua hatupoi kigongo baada ya kigongo Asante sana mtumishi

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 2 месяца назад +2

    Ubarikiwe sana kupewa jina kutoka kwa Yesu Kristo aliye Bwana na mwokozi wetu. Ubarikiwe sana mtumishi

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen 2 месяца назад +1

    Asante Sana mtumishi davistar kwa kutuletea story nzuri mpya ❤❤🎉🎉

  • @vitaasumani4613
    @vitaasumani4613 2 месяца назад +1

    Bwana asifiwe sana, nahulizia ile Uchuhuda wake wa zamani

  • @AbigailGlory-p4k
    @AbigailGlory-p4k 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana Davistar mata tunaomba namba 2.

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 2 месяца назад +2

    Safi sana dm

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 месяца назад

    AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sana

  • @Focus_Mengi
    @Focus_Mengi 2 месяца назад

    Amen. Another powerful testimony! Thanks for your hard work… & blessed brother Davistar.

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 2 месяца назад

    ubarikiwe kwa jina la yesu

  • @MarthaZabron-v9b
    @MarthaZabron-v9b 2 месяца назад

    Mhuuu! Bila Yesu ni kazi kweli

  • @dennisndare1237
    @dennisndare1237 2 месяца назад

    Ninabarikiwa sana

  • @charigrace5993
    @charigrace5993 2 месяца назад

    NAOMBA MAJINA KAMILI YA MCHUNGAJI PAULO

  • @minjanavigator8552
    @minjanavigator8552 2 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 2 месяца назад

    Shukran

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 месяца назад

    Ole wangu na dunia hii

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 2 месяца назад

    Vituko kweli kweli. Looo!!! Mtu anakuwa desk🙈🙈

  • @aimeelacongolaise5881
    @aimeelacongolaise5881 2 месяца назад

    Naona anaruka

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 2 месяца назад +1

    Nataka hio kazi

  • @mwihakiwairimu7804
    @mwihakiwairimu7804 2 месяца назад

    Mafunzo mengi

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 Месяц назад

    Je?Yanaukweli Ayo Ayasemayo Walio Namashaka Kama Mie Gonga Apa Tushuke Tumefika

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 2 месяца назад

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @KabebeMazambi-w9u
    @KabebeMazambi-w9u Месяц назад

    Unaacha mavi unashika mkojo bado MwenyeziMungu anakukasirikia., makafiri, washirikina wooote Allah atawaweka jahannam. Biblia 12:29 matayo yesu anasema enyi wa Israel bwana Mungu wetu ni bwana umoja tu. Kisha ikitokea mtu anamshirikisha Mungu basi ujuwe ww ni kafiri na uko kinyume na yesu aliakuwa unajiita mkristo

  • @asaphmwinukaministry33
    @asaphmwinukaministry33 24 дня назад

    Nipo na swali kidogo,,Nimesikiliza Shuhuda kama hizi nyingi sana,,Ila wote niliowah kuwasiliza wanasema walikuwa wakuu wa wachawi,,Hakuna hata mmoja aliyewah kushuhudia akasema alkuwa alikuwa mchawi mdogo..Hii ina maana gani?

    • @balisangwayomhoza4702
      @balisangwayomhoza4702 18 дней назад

      Kuna ushuhuda wa Mch. Katekela na Sheikh Omari Mnyeshani wamejaribu kueleza hii dhana.

  • @rerisamba
    @rerisamba 2 месяца назад

    Huu ushuhuda mbona siukumbuki nakumba wamayo

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 месяца назад

    Mchungaji umetafautisha vile mzimu wa Babu yako alivyo kuita hapa unasema ulikuwa darasani lakini pale ushuhuda wa kwanza unasema ulikuwa umelala nyumbani sasa ipi ni ya kweli?

    • @charlestangawizi9191
      @charlestangawizi9191 2 месяца назад

      mfatilie vizuri asije akatupiga, uwe unatupa update za nyuma

    • @sabinagwerino8493
      @sabinagwerino8493 2 месяца назад

      Mbona wewe hufwatilii​@@charlestangawizi9191

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 2 месяца назад

    Mayai vinza ni nini??