Ninachobarikiwa nacho ni HUDUMA YENU.... Kuhusu maisha yenu NAMUACHIA MUNGU AWAHUKUMU yeye, maana hata mm ni mkosaji. Big UP SHUSHO NA MARTHA. Am proud of U
Kuna vita mkubwaa sana Kwa wale Wana mwituu hama kipawaah yoyote.Nehema ya bwana Mungu amufikie.Njia ya kuenda binguni ni nyembaba sana.Tumu muombeni Mungu dada Martha Mwaipala.Nyimbo zake imeimiza watu wengi sana.Tunakuombea Mungu Kwa mabadiliko makubwa.Asante.
Hatari kabisa jamani mungu ashuke ndani ya mathar nguvu wa kwenda Kwa shushu Katoa wapi angerekebisha kwanza Kwa mama yake kelele ziishe huo ujasiri hatari
Huyu dada marth. Mm naomb tumtie moyo jmn ukimuanglia tyuu. Lolote anawez akajidhru. Jamn tumuombee kwelii. Mm naimn ashjfunza kwa makosaa ake. Nahs akilii iktulias atarud kwa mama. Tuzd kumuombe ili afunguliwe na anahtj kukaa na watu wakmtia moyo. Mm naamin soon tyu atapg pch na familia ake na amn itarejea. Mm nipo nyuma akee kuomb Mungu awaptnishee aondoee ngv iliomfnga. Jmn dunia ina mambo. Nahs mahl.alipo yupo mbl sana. Jmn tumuombee. Mwenzt tuache zihak hakun mtu asie mpend mama😢. Kumbken at mama ake alisem mwanzo mtoto wake hakuwa hv. Tumsaidie mama marth kumuombea. Tuach dhihakaa
Hili tatizo la Martha siyo ndogo Joan inavyo onekana ana picha mbaya zautupu pia duka limeankwa kwajina lake pia inaonekana kila kitu pale yeye ndiye Mumiliki sasa Martha anaogopa kuumbuka juu inaonekana kutokana na Msemo wa Joan Martha akimukana au akikiuka Masharit Joan ataweka wazi kila kitu MARTHA AWEMAKINI SANA KWA HILI: Jana kanisani ilionekana watu hawamwamini juu alifosi watu kusema Amen Iposiku Moja asipo yamaliza atapigwa mawe akiwa Madhabahuni au dukani nivema akalimalize aachane nahao waliyo shindwa asijifunze kwao.
Unajua hata shetani huko mbinguni alikuwa mwimbaji mwenye sauti nzuri sana na alikuwa anajua kupiga vyombo vya muziki kuliko wote na alipoona malaika wengi wanamkubali akajaribu kumpindua Mungu,yaliyomkuta wote tunajua katupwa yeye na malaika wafuasi wake
Achane upendeleo kama martha na beatris ni watoto wamama mmoja??? Kwa nn huyo beatris asingemjengea mama yake sisi watu wa nnje tukaona beatris amemsaidia ila martha hajamsaidia ...anayemsema mwenzie hajafanya kitu hivyo wote walaumiwe
Hawawatu hawana aibu kabisa, Ila Martha âme konda Aki fanya mwezi itakuwaje ana jikaza tu, Ila Mungu haoni umaarufu wa mutu, dawa Niku tubu, piya wasi sahau kutuomba musamaha Sisi mashabiki zao wali tukoseya sana, maana tuli jisifiya wao wame tuangusha naku tuzalilisha kwa watu, bado tuna wapenda Ila mutengeneze Na Mungu Na watu piya 🙏
Mimo siwezi kuhukumu mtu, anatunza au hawatunzi, hayo ni yao, ... Na kama hana msaada kwa lolote kwa familia yake, wekeni mchango wa harambee tuichangie familia yake ili ajue mnaipenda sana kuliko yeye. Watanzania timejaa maneneo sana, na kutaka skendo, tunashindwa kwenda kufanya kazi zetu za kuingiza kipato kazi ni ...fulani kasema hili...na lile.
Hana hata aibu badara ya kwenda Kwa mamayake akale nae Christmas kaona Bora Kwa Christina shusho kuliko mamayake Yani huyu Dada sijui anashida gani kwenda Kwa mamayake
Msiingilie mambo ya familia, hamna hata urithi nayo. Martha ana ndugu, wa upande wa baba na WA mama. Hawakai huko wakayaongea anayaleta huku, kukosa busara tu ya ki handle family issue.
na lisilokuusu achana nalo ukilifuatilia litakuusu. usipende kumuukum mtu kwa sababu yeye sio chizi kukataa kutoa uduma. Kwa familia. waswaili punguzeni uswaili
@@faustinedeogratias4337 wewe unauchungu na mama wa mtu mwingine zaidi ya mtoto wake? au wewe mama yako ana pendwa na wengine kuliko unavyo mpenda wewe? achaneni na ushabiki wa kinafiki.
Ila wakristo ninyi ninyi ndiyo mnawasubisha wenzeni, ikiwa hamana hata ukamilifu hata kwa ndugu zenu, unachokula wew, na kuchill mitaani ndivyo wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa wanavyo kuwa.
Kiujumla ki vyovyote vile Martha Anahitaji kujishusha kama Mtu una hekima huwezi kutetea upuuzi Wao JIBU unalipata kwa Joan anaongea BIla hekima inatosha kuhukumu kama Unajua saikolojia Johan haifai na alionyesha nyimbo Zao watawaimbia watu wengine SIo Wa Kristi kiujumla Shetan yuko kazn
@evelynebwire7684 niliyoyaona humo bn si kwamba nilikua nazini ila waliomo humo wengi huzuni wao Kwa wao wengine ni wake na waume za watu 🙌 ukweli ndo huo
Matha ni binti mwenye akili timamu huy mama ake atakua kna sehem alishamuumiza mtoto wake kama ameshaamua kumwanika mtoto wake basi atwambie nayeye ninani au nae nishetani aliejificha kwenye kivuli cha mzazi maana kuna wazazi wengine nishida, bibulia inasema tuwaheshim wazazi wetu ili tupate maisha marefu na baraka, hiyo hiy bibulia inasema nanyi wazazi wenu musiwakwaze watoto wenu wasije wakavunjika moyo, kwenye upande wa btrisi waswahili tunasema ndug lawama kwenye upande wajoani kuna msemo usemwao ndg kufaana siy kufanana labda joani anasimama kwa matha kwenye shida naraha hata kama ni mtu baki, ivyo watanzania tusipende ushabiki usiyokua na maana kabla ya kumdhihaki mtu mtafakari kwanza kwahiy nyie mna uchungu na huy mama kuliko matha, hiy nivita ya kifamily ivyo msimsakame huy dada na huku kila mtu ana changamoto zake au kwavile yakwenu hayajawekwa wazi tuyajue.
Christina sasa ndo mtumishi wa Mungu na ndo alichokifanya ndo kizuri mlitaka nayeye amtupie make martha?mwacheni martha hsjafanyachochite nia yenu kuua ukr8sto duniani nakumpa Tbilisi nafadi miyoyoni kwaw
Nashangaa watu kujadili na kujaji mwingine Mungu ndiye anae mjua Martha wewe hujui moyo wake ,msihukumu msije mkahukumiwa Halafu hayo ni mambo ya familia siyo yenu
Matha ni binti mwenye akili timamu huy mama ake atakua kna sehem alishamuumiza mtoto wake kama ameshaamua kumwanika mtoto wake basi atwambie nayeye ninani au nae nishetani aliejificha kwenye kivuli cha mzazi maana kuna wazazi wengine nishida, bibulia inasema tuwaheshim wazazi wetu ili tupate maisha marefu na baraka, hiyo hiy bibulia inasema nanyi wazazi wenu musiwakwaze watoto wenu wasije wakavunjika moyo, kwenye upande wa btrisi waswahili tunasema ndug lawama kwenye upande wajoani kuna msemo usemwao ndg kufaana siy kufanana labda joani anasimama kwa matha kwenye shida naraha hata kama ni mtu baki, ivyo watanzania tusipende ushabiki usiyokua na maana kabla ya kumdhihaki mtu mtafakari kwanza kwahiy nyie mna uchungu na huy mama kuliko matha, hiy nivita ya kifamily ivyo msimsakame huy dada na huku kila mtu ana changamoto zake au kwavile yakwenu hayajawekwa wazi tuyajue.
Labda wewe ni Yatima hujui uchungu wa mama na haitoujua, na nahisi poa huna watoto, na kama unao subiri wakue waje wakufanyie tukio lolote la kuumiza tuone kama hutaongea,sema hatutojua kwasababu wewe so mtu maarufu
Ninachobarikiwa nacho ni HUDUMA YENU....
Kuhusu maisha yenu NAMUACHIA MUNGU AWAHUKUMU yeye, maana hata mm ni mkosaji.
Big UP SHUSHO NA MARTHA.
Am proud of U
Kuna vita mkubwaa sana Kwa wale Wana mwituu hama kipawaah yoyote.Nehema ya bwana Mungu amufikie.Njia ya kuenda binguni ni nyembaba sana.Tumu muombeni Mungu dada Martha Mwaipala.Nyimbo zake imeimiza watu wengi sana.Tunakuombea Mungu Kwa mabadiliko makubwa.Asante.
Christina Big up umefanya vizuri
Utafikiri amejizaa mungu atamchapa
Hatari kabisa jamani mungu ashuke ndani ya mathar nguvu wa kwenda Kwa shushu Katoa wapi angerekebisha kwanza Kwa mama yake kelele ziishe huo ujasiri hatari
HAKIKA WEWE MARTHA MWAIPAJA NI MKUBWA SANA,,,, INZI ZINAPIGA KELELE ZA KIJINGAAA
Awenzi tena kunibariki
Martha nimwema we toa borit8 kny jicho lako ndo utoe kibsnxi kny jicho lako.mmekuwa mkiwahukumu watu nakuwatupia make sanahiyi sio sawa
Fala sana huyu dada 😢😢😢😢😢😢😢😢😢yaani anajiamini kuto kwenda kwa familia yake😢😢😢😢😢😢😢😢toeni matapishi hapa
Jamani Mungu halisemaivi usiukumu naweweusinje ukaukumiwa
Makanisa na miskt vipo kwa ajili yann????? Acha ujingaww
Huyo huyo Mungu alisema waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako za kuishi ziwe nyingi
Na siyo wote wamwitao bwana siyo watakaoingia paradiso dini biashara,Mama ni mama tu
Huyu dada marth. Mm naomb tumtie moyo jmn ukimuanglia tyuu. Lolote anawez akajidhru. Jamn tumuombee kwelii. Mm naimn ashjfunza kwa makosaa ake. Nahs akilii iktulias atarud kwa mama. Tuzd kumuombe ili afunguliwe na anahtj kukaa na watu wakmtia moyo. Mm naamin soon tyu atapg pch na familia ake na amn itarejea. Mm nipo nyuma akee kuomb Mungu awaptnishee aondoee ngv iliomfnga. Jmn dunia ina mambo. Nahs mahl.alipo yupo mbl sana. Jmn tumuombee. Mwenzt tuache zihak hakun mtu asie mpend mama😢. Kumbken at mama ake alisem mwanzo mtoto wake hakuwa hv. Tumsaidie mama marth kumuombea. Tuach dhihakaa
Upuuzi kweli 🫵😢😢😢Wote wawili hakuna Neema ya mungu kabisa sahii angekua nyumbani miguuni mwa mamake
Hamna kitu kabsaaaaaa bureeeeeee matha rudi kwa mama
Hili tatizo la Martha siyo ndogo
Joan inavyo onekana ana picha mbaya zautupu pia duka limeankwa kwajina lake pia inaonekana kila kitu pale yeye ndiye Mumiliki sasa Martha anaogopa kuumbuka juu inaonekana kutokana na Msemo wa Joan Martha akimukana au akikiuka Masharit Joan ataweka wazi kila kitu
MARTHA AWEMAKINI SANA KWA HILI:
Jana kanisani ilionekana watu hawamwamini juu alifosi watu kusema Amen
Iposiku Moja asipo yamaliza atapigwa mawe akiwa Madhabahuni au dukani nivema akalimalize aachane nahao waliyo shindwa asijifunze kwao.
Mama ni mama lakini wacha Mungu ndie anajua kweli wote.
Unajua hata shetani huko mbinguni alikuwa mwimbaji mwenye sauti nzuri sana na alikuwa anajua kupiga vyombo vya muziki kuliko wote na alipoona malaika wengi wanamkubali akajaribu kumpindua Mungu,yaliyomkuta wote tunajua katupwa yeye na malaika wafuasi wake
Wapuuzi hao wote, wanaacha kusaidiana kutuliza upepo wanaendelea kutiana upumbavu.
Ndio alimshauri haachane na mumewe na christina hakuchukua muda nae akaachika
Uso wa martha hauna nuru kabsaa
Achane upendeleo kama martha na beatris ni watoto wamama mmoja??? Kwa nn huyo beatris asingemjengea mama yake sisi watu wa nnje tukaona beatris amemsaidia ila martha hajamsaidia ...anayemsema mwenzie hajafanya kitu hivyo wote walaumiwe
Kipato kinatofautiana ndugu yangu
Maswala ya familia misijifanye mnajia sana hata wachingaji nao migogoro kibao@@tunsumemwakinyuke661
Kabisa,...wote wamjali mama yao
Mungu aliye hai augange moyo wako
Christina shushu kwenye jumuiya ya freemason ana cheo kikubwaa ndio maana hata kina harmonize na mondi wakikutana nae wanampigia magoti uyo mama..
Wanajihami tuu na huyo Shusho wake lakini ukweli MUNGU ana ufahamu,wanayoyatenda
People they should mind their own business and leave Martha Mwaipaja alone ❤❤❤❤
Inaumasana😭😭😭
Hawawatu hawana aibu kabisa, Ila Martha âme konda Aki fanya mwezi itakuwaje ana jikaza tu, Ila Mungu haoni umaarufu wa mutu, dawa Niku tubu, piya wasi sahau kutuomba musamaha Sisi mashabiki zao wali tukoseya sana, maana tuli jisifiya wao wame tuangusha naku tuzalilisha kwa watu, bado tuna wapenda Ila mutengeneze Na Mungu Na watu piya 🙏
Mimo siwezi kuhukumu mtu, anatunza au hawatunzi, hayo ni yao, ...
Na kama hana msaada kwa lolote kwa familia yake, wekeni mchango wa harambee tuichangie familia yake ili ajue mnaipenda sana kuliko yeye.
Watanzania timejaa maneneo sana, na kutaka skendo, tunashindwa kwenda kufanya kazi zetu za kuingiza kipato kazi ni ...fulani kasema hili...na lile.
Hana hata aibu badara ya kwenda Kwa mamayake akale nae Christmas kaona Bora Kwa Christina shusho kuliko mamayake Yani huyu Dada sijui anashida gani kwenda Kwa mamayake
Jeur sana kajiona kafika
Kiburi
God is love if you find friend is doing long thing try to help him in a right way just look at your deeper life
Sagaji hiloo, Pepo mchafu yalivyo na ushirikiano sasa utadhani kweli kha!!
Hana furaha
Wasaji wanaotumi vby jina la yesu
Watanzania mwasinya sana naumbea wenyu kwendeni huko
Mungu wambinguni atawazibu siku c nyingi
Mtu unaweza ukabeba dhambi yazamwingine kwakusema mwacheni
Watanzania kelele mtandaoni wiki nzima...basi si hata mchangishe hela apewe mama martha aache kuteseka. Ambatanisheni maneno yenyu na vitendo.
Birds of the same feathers flocks together
Ana laana na kiburi kwann hataki kujushusha kwenda Kwa mama yake ila mungu atamwadhibu kapata wapi nguvu za kwenda Kwa Christina
Weye unalaana ya Nini? Usihukumu bila kujua kweli na usijekuhukumuwa
Usihukumu usije kuhukumiwa ndugu yangu tusije kuingilia mambo ya familia za watu hatuyajui acha tuwe watazamaji tu
Msiingilie mambo ya familia, hamna hata urithi nayo.
Martha ana ndugu, wa upande wa baba na WA mama. Hawakai huko wakayaongea anayaleta huku, kukosa busara tu ya ki handle family issue.
na lisilokuusu achana nalo ukilifuatilia litakuusu. usipende kumuukum mtu kwa sababu yeye sio chizi kukataa kutoa uduma. Kwa familia. waswaili punguzeni uswaili
Hiyo laana aifiki kokote wewe unajuwa kwanini aendi mama anaitaji kusema alikoseya wapi badala ya kusema asaidiwi kuna jambo inajificha badala ya kulani subiri kujuwa ukweli
Ninyi ni waabudu shetani tuuu...mlitabiriwa miaka hii ntakuja..msijifiche kwenye koti la dini..matha na Christina ni waabudu shetani
Wanachangamshana
mnataka Martha Atengwe ili mpate nini? mna taka dunia nzima imseme alafu nyiynyi mfaidike na nini? hakuna alie mkamirifu mbele za Mungu.
Aliemweka tumboni miezi tisa ndo pekee anatuumiza kichwa
@@faustinedeogratias4337 wewe unauchungu na mama wa mtu mwingine zaidi ya mtoto wake? au wewe mama yako ana pendwa na wengine kuliko unavyo mpenda wewe? achaneni na ushabiki wa kinafiki.
Ila wakristo ninyi ninyi ndiyo mnawasubisha wenzeni, ikiwa hamana hata ukamilifu hata kwa ndugu zenu, unachokula wew, na kuchill mitaani ndivyo wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa wanavyo kuwa.
Hawa wote njia moja tu kusagana oyeeee
Mungu ayaona yote kinabaki azarani
Kiujumla ki vyovyote vile Martha Anahitaji kujishusha kama Mtu una hekima huwezi kutetea upuuzi Wao JIBU unalipata kwa Joan anaongea BIla hekima inatosha kuhukumu kama Unajua saikolojia Johan haifai na alionyesha nyimbo Zao watawaimbia watu wengine SIo Wa Kristi kiujumla Shetan yuko kazn
Haache kiburi asikilize ushauri wa pendo mkone christina anamdangaya
Ebu watanzania acheni kumsakama Martha tuache tumsikileze Martha hatutaki kukusikiliza.
Umemfanya vema mwana wa mngu
😢😢😢
Mume wa matha yule Joan yy anasali kanisa la nabii gani
Show me your friends, i tell you who you are.
Sielewi
MI NAHISI WE UNAELEWA YAANI NI MI NAJIONEA MAUZAUZA TUPU
Atakuponza huyo kiburi hakisaidii ,,,kibiblia hakuna ufanyacho kibuli hicho ni cha uzima
Mi ndomaana niliachaga kuimba kwaya yaan zinaa tupu
Kwa hiyo wakati unaimba kwaya ulikuwa unazini??
Kama ulikuwa unazini na unaimba ni sawa ulivyoacha.
But sio kila mwanakwaya ni mzinzi
@evelynebwire7684 niliyoyaona humo bn si kwamba nilikua nazini ila waliomo humo wengi huzuni wao Kwa wao wengine ni wake na waume za watu 🙌 ukweli ndo huo
aibu tupu Mungu awarehemu
Wanajiimbia wenyewe Mungu hayupo hapo
Huyu kweli msagaji shetani huyo sio yeye kabisa mamaake amsamehe tu
UPUZI MTUPU
Ukitiya urafiki na mwizi..lazima ujifunze kuiba
Matha ni binti mwenye akili timamu huy mama ake atakua kna sehem alishamuumiza mtoto wake kama ameshaamua kumwanika mtoto wake basi atwambie nayeye ninani au nae nishetani aliejificha kwenye kivuli cha mzazi maana kuna wazazi wengine nishida, bibulia inasema tuwaheshim wazazi wetu ili tupate maisha marefu na baraka, hiyo hiy bibulia inasema nanyi wazazi wenu musiwakwaze watoto wenu wasije wakavunjika moyo, kwenye upande wa btrisi waswahili tunasema ndug lawama kwenye upande wajoani kuna msemo usemwao ndg kufaana siy kufanana labda joani anasimama kwa matha kwenye shida naraha hata kama ni mtu baki, ivyo watanzania tusipende ushabiki usiyokua na maana kabla ya kumdhihaki mtu mtafakari kwanza kwahiy nyie mna uchungu na huy mama kuliko matha, hiy nivita ya kifamily ivyo msimsakame huy dada na huku kila mtu ana changamoto zake au kwavile yakwenu hayajawekwa wazi tuyajue.
Hawana maana wanataka tujifunze uhuni kutoka kwao hawana hata utkufu
Yani siangemuongoza mpaka kwa mama,kumbe anaweza kumwita na akaenda kanisani kwake,jamani kizazi kisichoomba msamaha
Hawa wanaonekana gora moja tu
Mmemuaza mwingine tena mmetumwa nashetani mshi dwe kwajina layesu
Shusho sijui anakihubiri nn? Martha ni kiburi kinamtesa
Niwakati wa kuomba kanisa linapo vamiwa
Msituchanganye ameimba nin chaajabu
Wote wapo kwenye biashara sio dini
SIJAPENDA
😂😂😂😂
Christina sasa ndo mtumishi wa Mungu na ndo alichokifanya ndo kizuri mlitaka nayeye amtupie make martha?mwacheni martha hsjafanyachochite nia yenu kuua ukr8sto duniani nakumpa Tbilisi nafadi miyoyoni kwaw
Mtumishi wa Mungu ,mvua haionyeshi Mungu turehemu
Nashangaa watu kujadili na kujaji mwingine
Mungu ndiye anae mjua Martha wewe hujui moyo wake ,msihukumu msije mkahukumiwa
Halafu hayo ni mambo ya familia siyo yenu
Pamoja na yote Nakupenda tuu Martha pamoja na ya Dunia acha tuu nikupende 😅😅
Drama drama kweri
Mtha jeur ime mzidi siki kuu hii ange kua na mama ake lakini wapi kajeur sjapata kuona😢😢
😂😂😂😂 Mpaka nimecheka kama mazuri jamani. Eti kajeuri
@elizabethamos4782 yani aka skii ushauri kajeur balaa
Atakama.arikoseya.tumutupe.kwabubu.arishindwa.tumushike.mukono
Matha ni binti mwenye akili timamu huy mama ake atakua kna sehem alishamuumiza mtoto wake kama ameshaamua kumwanika mtoto wake basi atwambie nayeye ninani au nae nishetani aliejificha kwenye kivuli cha mzazi maana kuna wazazi wengine nishida, bibulia inasema tuwaheshim wazazi wetu ili tupate maisha marefu na baraka, hiyo hiy bibulia inasema nanyi wazazi wenu musiwakwaze watoto wenu wasije wakavunjika moyo, kwenye upande wa btrisi waswahili tunasema ndug lawama kwenye upande wajoani kuna msemo usemwao ndg kufaana siy kufanana labda joani anasimama kwa matha kwenye shida naraha hata kama ni mtu baki, ivyo watanzania tusipende ushabiki usiyokua na maana kabla ya kumdhihaki mtu mtafakari kwanza kwahiy nyie mna uchungu na huy mama kuliko matha, hiy nivita ya kifamily ivyo msimsakame huy dada na huku kila mtu ana changamoto zake au kwavile yakwenu hayajawekwa wazi tuyajue.
Eti eeeeeh