EXCLUSIVE: SIRI YAFICHUKA SAFARI YA MARTHA MWAIPAJA NA JOAN NCHINI CONGO / 'KUMBE HAWAENDI KUIMBA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 36

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 3 дня назад +2

    Unabusara sana kaka Mungu akubariki wewe tunaweza tukawa ndugu ongera sana

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 дня назад +1

    Kaka mzuri kabisa,acha kuzuka nywere kaka,na nfevu nyoa,mimi mdogo wangu,tunakupenda ,una maneno ya hekima sana,nikweriather,sna omba joiani,nikuzimu.

  • @euphrasietuyisenge5610
    @euphrasietuyisenge5610 3 дня назад +2

    Martha na Joan wametuvuluga Sana mim pia nyimbo zake saivi n kelele ti

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 3 дня назад +1

    Umeongea vizuri sana

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 3 дня назад +2

    Umeongea vzr sn, na ushamba+ulimbukeni kiasi kwamba amekosa utulivu 😢

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 3 дня назад +3

    Huyo joan ni shetani mkubwa

  • @titusrweyemamu1445
    @titusrweyemamu1445 3 дня назад +1

    Ufike wakati viongozi wa Kikristo wachukue hatua. Sio kila jambo maombi

  • @boazmsechu6134
    @boazmsechu6134 3 дня назад +2

    kaka unabusara sana

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 3 дня назад +1

    😂😂😂😂da nakanyoa kweli kiongozi

  • @KiruiRebecca
    @KiruiRebecca 3 дня назад +1

    Sio kumishika akili 😮 Kuna Siri kubwa kabeba za Martha Hadi ss yy anacontroli Martha vibaya sana🥹🥹🥹🥹weeh Mungu afungue Martha na huyo umbwa wa kusimu

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 дня назад +1

    Hapa kaka umekosea kwa kusema eti Martha anapiga magoti haya mambo yaishe kwa Martha Hana mamlaka basi kama nivile Martha na joan Wana munganiko mbaya ambapo Martha anaogopa yasilipuke zaidi Martha anaogopa sana ila Martha ni mnafik mkubwa sana Mimi nimesha acha kumsikiza nyimbo za Martha nimeshamtapika kinyuani mwangu

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 3 дня назад +1

    Acheni ujinga kwani tonge anahusiana nini na mizuki wa injilili?

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 3 дня назад +1

    Siyo mama yake Joan ni mtu mzima.

  • @vicerocky
    @vicerocky 3 дня назад

    Joan ni pepo tu Martha kwisha

  • @LindaIshara
    @LindaIshara 3 дня назад +1

    Nani akuombeye suyamalize mwenyewe Martha usiwachoshe watu wa mungu.tu utilise ton enfant.johan kajuwanje Mambo Yako ya unyumba?

  • @LindaIshara
    @LindaIshara 3 дня назад +1

    Martha ni yéyé diye anamtuma mototo wake aseme maneno kama hayo. Martha tu fais l'uppocrusie. Ne tromper pas les chrétiens tu parle en travers johan

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 3 дня назад

    Hakika no njaa c wanamlipa

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 3 дня назад +1

    Hata shetani nae anawatu wake,hivo joana anawatu wake resibian na gay wamekutana duh

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 3 дня назад

    Ndoanaaminisha watu yeye kanunuliwa tu na matha ila rohoyake kwa madhabahu sijui kama ipo

  • @EmmanuelKita
    @EmmanuelKita 3 дня назад +6

    Jamani hivi hayo ambayo anasadikiwa amefanya hivi ni mageni sana kwenye hii Dunia? Mbona Kila kukicha ni Martha matha hamna kazi ya kufanya? Mnaohojiwa na mnaohoji wote ni wapumbavu wakubwa tafuteni kazi za kufanya

    • @evakessy3282
      @evakessy3282 3 дня назад +1

      Acha kutukana watu wewe imanueli hata kwenye bible wako watu walikua famous kwatabia mbaya na watu hawakulinyamazia hilo walikiandika mpaka kwenye vitabu

    • @GlorydavidJeremiah
      @GlorydavidJeremiah 3 дня назад +1

      Unajua Martha tunamupenda wakati mwingine tunadhania Kuna kitu chá tofauti hata akija mwingine anamuongelea views anapata ila Mungu amusaidie Kwa kweli

    • @NtuliSuzan
      @NtuliSuzan 3 дня назад +2

      Sio tukio geni ila akiacha kumtaja Yesu ataachwa Hilo tu

    • @josephpanya9654
      @josephpanya9654 3 дня назад +1

      Na ww wanakusaga???😅😅😅😅😅

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 3 дня назад +1

      Wapumbavu!! Unatukana sababu ya kutetea uovu!! Wewe badala ya kuogopa na kutetemeka weeee

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 3 дня назад

    kwani hamna mema,mnayoweza kuongea,ni mabaya tu,

  • @EastherEmmanuel
    @EastherEmmanuel 3 дня назад

    Mzee mtu mzima unakaa unaongelea mambo hayakuuhusu kama ukimzuia kusikiliza nyimbo sasa unaongelea yanini? Na mnauhakika gani kumhukumu binadamu mwenzenu halafu mnataka maisha yake awaletee mtandaoni? Yaani ni wabongo kuiona mbingu ni ngumu . Kuhukumu mtu na huduma yake.kazi hukumu ni kazi ya Mungu kama mnamwongelea Joal kwa nini mkamwingiza Martha? Kawakosea haswa nini haswa. Yesu aliwambia wayahudi waliompeleka mwanamke kwake wakijua ataenda kumhukumu ila kawaabia neno moja tu .Na asiyekuwakuwa na dhambi na awe wa kwanza kumtupia mawe . Naona mnateseka sana na Martha mmejuaje kama kamalizana na mzazi wake? Na kama mko sahihi nyie singemsaidia kwanza mama yake halafu ndiyo mkatoka kusema mtoto wa mtu. Yaani hata nyie mnatafuta content kwa kutumia watu.hebu mtupishe kama hamna kazi za kufanya