@@judithtitomalyeta4000 hupendi kusikia saiti yake ni wewe ulimuumba. Tuumbie mtu hata Mmoja tumuone. Hamumjui mungu alafu mnajifanya mnamjua. Pahali ya kuomba mungu watu wabadilike, waokolewe ninyi mnawahukumu kwa kusema maovu Yao sana kana kwamba ninyi ni wema sana. Hamjui hata kanuni za mungu . Mtakuja kupata ainu kubwa wakati na yeye atawaambia siwajui. Kataeni kufungwa kufungwa nira ya shetani. Kumbukeni sauli alikuja kuwa paulp. Kila siku Joan Joan. Acheni ujinga wa kiroho na wa kimwili pia.
Kuna mtu umesema hupendi Joan. Umba wa kwako unayempenda utuonyeshe alivyo mzuri na hana kasoro. Mnasema mnamjua mungu wakati hamumjui hata kidogo na Wala yeye mwenyewe hawajui. Kama mngejua basi mngejua kanuni zake na mapenzi yake. Kama umeona Joan ni mtenda dhambi nawewe ni mtakatifu wa mungu umechukua hatua Gani za watakatifu wa mungu. Kumtukana , kumdhalilisha na kutokumpenda ndo maisha ya watakatifu wa mungu hayo. Tusome bibliia vizuri ama sivyo ni kupitea nakufa na kukataliwa na mungu na kutupwa jehanamu kupitia hiyo hiyo biblia. Kama umeona Joan ni mbaya na wewe unajiita mtu wa mungu unakosa hata kukumbuka kuwa sauli alikuja kuitwa Paulo. Kazi kuhukumuhukumu tu. Mungu awasamehe.
Hivi halikuwa anamtuma Martha akafunike samaki nimeona mwishoni Martha yuko jjikoni kama ni hivyo Mungu aingilie kati Martha anaoneka hana furaha kama Joan dada wa kazi kaitawala nyumba na familia mmh Mungu ndo hakimu tunamwachia yeye
Hata mtoto amesema shule mara ya Kwanza mbona angesema Canada,hata accend ya kingereza ya Canada haipo.dada Joani Wacha uongo mungu akusamehe unaponyenyekea tu.
Kwahiyo huyo msoma Canada ndo anatakiwa ajue kinacho endelea katka nyumba na nzi kwann wakuandame na ndio mfunika samak like seriously mtoto wa mwimbaji wetu awe ivo😅
Jamani!!! Hivi kweli unaweza uka mkataa mama yko mzazi aliye kuhangaikia ktk Hali zote ngumu na mkwona Bora mtoto wa kumwokota hii inaibgia akilini? Na huu umama wa kuo kotana mbona kichekesho hivo😂😂. Matha amka!!! mbona huyo mtoto ame kuroga yaana amekufuni mpaka hufurukuti aise huu umama wa wa ajabu saana na huyo anae jufanya mama ajifanya anainge kikenya kumbe mnyakuuuusa ndaga fijo hahahaaaa ila huyo mtoto yupo kimasilahi siku ajili yko itakavo Rudi utabaki mweupe peee una mjua kabila Gani? Huyo mtoto
Maombi yangu Mungu akuletee Mwanaume mwenye ata kuowa Mtoto wetu Mwanaume mwenye kujaa upendo kwako Na mwenye ata kupenda katika Hali yote Nina amini ndowa Yako itamupa mama Martha heshima kubwa na furaha ya ajabu Mungu awalinde Mungu awabariki Mungu aendelee nakuwapa utulivu
Huyu mtoto anaita Watanzania ni wapumbavu???? Tena anamuambia mtu wa nchi jirani kuwa Watanzania ni wapumbavu? Ina maana Hata Rais'makamu wa Rais 'waziri mkuu wote wapumbavu au sio? Polisi wamkamate kwanza naona anaropoka kuchafua taifa mpk anapita kiasi
Huyu ni muongo,mbona kainama,nakumueleza mtoto aseme canada,mbona mtoto akasema shule ya ukweli na huyu dada joani kasema hiyo shule amesoma akiwa udogoni,,dada wacha kushuhudia uongo,mungu atakuja kuweka kila kitu dhahiri mungu adhihakiwi.
Kila mutu Wa Mungu wa kweli inabindi aelewe kwamba Siku ya Ziki ni nyingi kuliko Siku ya furaha Ninapo kumbuka ayubu alipitia nyakati za hatari sana ilifikia wakati Mungu akamurundishia Furaha aliyo potenza Na Kila kitu alichopoteza alirundichiwa Na Mungu Pana Siku Martha atarundisha furaha na kunenepa atanenepa Na unene Pia siyo zuri Yalazima wanao Muombea Wa sichoke kumuopbea pia Na yéyé Pia asirengee kumukaribia Mungu wake Mungu ni mwema sana atapambana na watesi wake Nina amini Mungu wangu Ila Watu Pia wajifunze kwa huyu mama anajaa hekima ya ajabu sana na niile inanitia Moyo sana kumuombea Kila Siku aone uzee wake wafuraha Maombi yangu kazi aliyo aza katika mateso yasi ichie njiani kazi ifike mwisho Ili apate taji kubwa mbele ya Mungu wetu Binguni akubatiwe na kupanguzwa machozi na taabu aliyo pitia ndunia Ila mbele ya hayo yote afarijiwe kwanza apa Duniani furaha iliyo potea bandala ya miaka mingi imurundilie mara dufu
Mungu ni wa ajabu Sana chezeni nae tu adhabu yake huwa ni ya ajabu Sana utajiona una nguvu ya kusema lolote lkn Mungu akiamua sekunde 1 tu mdomo unakosa nguvu na kila kitu kitakoma
Ko sahv ss watanzania ss ni wa wapumbavu?, dada kuwa na adabu . Ukisema watanzania ni wapumbavu hadi viongozi umewahusisha hadi mama samia, embu ukome kutu tukana ... vinginevyo kauli zako zitaku cost
Matha amekonda na hana furaha. Mungu amuokoe kwa mara nyingine amrudishe ktk nafasi ya mwanzo.
Huyu bint ni muongo sana hadi anamfundisha mtoto dhambi ya kudanganya eti kainama kamwambia sema canada, mtoto mwenyewe anakingereza cha buza
Sipendi hata kusikia sauti yake huyu dada mungu ajibu maombi mathar ajikomboe
@@judithtitomalyeta4000 hupendi kusikia saiti yake ni wewe ulimuumba. Tuumbie mtu hata Mmoja tumuone. Hamumjui mungu alafu mnajifanya mnamjua. Pahali ya kuomba mungu watu wabadilike, waokolewe ninyi mnawahukumu kwa kusema maovu Yao sana kana kwamba ninyi ni wema sana. Hamjui hata kanuni za mungu . Mtakuja kupata ainu kubwa wakati na yeye atawaambia siwajui. Kataeni kufungwa kufungwa nira ya shetani. Kumbukeni sauli alikuja kuwa paulp. Kila siku Joan Joan. Acheni ujinga wa kiroho na wa kimwili pia.
@@UpendoMichael-p1zUnajua kutetea asee
Jamani dada yangu Martha. Nakupenda. Napenda huduma unayoifanya.. mungu akutetee dada.
Kuna mtu umesema hupendi Joan. Umba wa kwako unayempenda utuonyeshe alivyo mzuri na hana kasoro. Mnasema mnamjua mungu wakati hamumjui hata kidogo na Wala yeye mwenyewe hawajui. Kama mngejua basi mngejua kanuni zake na mapenzi yake. Kama umeona Joan ni mtenda dhambi nawewe ni mtakatifu wa mungu umechukua hatua Gani za watakatifu wa mungu. Kumtukana , kumdhalilisha na kutokumpenda ndo maisha ya watakatifu wa mungu hayo. Tusome bibliia vizuri ama sivyo ni kupitea nakufa na kukataliwa na mungu na kutupwa jehanamu kupitia hiyo hiyo biblia. Kama umeona Joan ni mbaya na wewe unajiita mtu wa mungu unakosa hata kukumbuka kuwa sauli alikuja kuitwa Paulo. Kazi kuhukumuhukumu tu. Mungu awasamehe.
I'm so happy to see Martha Mungu azidi kukutunza❤❤❤❤
Mwombee sana....HYA C MAISHA YA MKRISTO
Mungu wangu matha umebakia kichw tu emu msaidie mama Yako acha kukumbatia watu wasio na faida
Martha, Mungu ameweka mbele yako uzima na mauti,chagua uzima ili uwe hai na uzao wako.Ndugu zako wanalia kwa ajili ya roho yako.Rudi kwa Yesu.
Hivi halikuwa anamtuma Martha akafunike samaki nimeona mwishoni Martha yuko jjikoni kama ni hivyo Mungu aingilie kati Martha anaoneka hana furaha kama Joan dada wa kazi kaitawala nyumba na familia mmh Mungu ndo hakimu tunamwachia yeye
Kwahiyo martha kupika hastahiri wabongo ache hizo we mama yako hawezi kupika au huwezi kuuliza umefunika chakula
Mpare mshamba WEWE ,,,MKE WA JOAN ANAISHI UNDER CONTROL YA MUMEWE YAAN JOAN.....
Martha mpole
Hana baba wakiroho😢😢😢😢😢
Mh watanzania wapumbavu matha Nini hiki😭😭😭😭😱😱😱😱 sisi watanzania ndo tunawasapoti leotumekuwa wapumbavu
Martha kabaki kichwa tu chezea Machozi ya mama wewe😂😂😂😂😂
Martha hawezi kumchomoka huyo binti! Sbb ndio pesa zake zilipo! Japo anatamani awe mbali na maisha ya huyo binti.
Mh Mungu atusaidie tu 🙌
Yaaani we dada Joan unanifurahisha sana na stori zako
Canada anajua kiswahili kuliko kinge😂😂😂 huyo anasoma luck vicent 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hata mtoto amesema shule mara ya Kwanza mbona angesema Canada,hata accend ya kingereza ya Canada haipo.dada Joani Wacha uongo mungu akusamehe unaponyenyekea tu.
Hata sasa hivi joan nimlevi huyu ni pepo
Kwahiyo huyo msoma Canada ndo anatakiwa ajue kinacho endelea katka nyumba na nzi kwann wakuandame na ndio mfunika samak like seriously mtoto wa mwimbaji wetu awe ivo😅
Hili joani lilikuwa housegirl likaharibu nyumba ya watu na kuloga
Huyu Joan ana sauti mbaya jmn😂😂
Nilichogundua kwa Martha Martha anahekima sana
Acha ufinyu wa ufahamu rudia Tena kusikiliza utagundua mtoto amefundishwa kujibu..
Anaeambiwa afunike samaki ni Martha?😂😂😂😂anapelekeshwa na hili jini??
🤣🤣🤣
Ipo siku yatawekwa wazi ,ni suala la Muda tuu dia
😁😁😁😁😁😁😁 jamani atakingereza nishida jamani
Always the thruth shall be revealed. Matendo yenu yako wazi
Kumbe Martha alishawahi kua mjane😅😅😅😅
😂😂😂Mjane tena
😂😂😂😂😂😂😂
Jamani!!! Hivi kweli unaweza uka mkataa mama yko mzazi aliye kuhangaikia ktk Hali zote ngumu na mkwona Bora mtoto wa kumwokota hii inaibgia akilini? Na huu umama wa kuo kotana mbona kichekesho hivo😂😂. Matha amka!!! mbona huyo mtoto ame kuroga yaana amekufuni mpaka hufurukuti aise huu umama wa wa ajabu saana na huyo anae jufanya mama ajifanya anainge kikenya kumbe mnyakuuuusa ndaga fijo hahahaaaa ila huyo mtoto yupo kimasilahi siku ajili yko itakavo Rudi utabaki mweupe peee una mjua kabila Gani? Huyo mtoto
Lakiviseti Arusha Sasa hivi Canada's makubwaaa
Maombi yangu Mungu akuletee Mwanaume mwenye ata kuowa Mtoto wetu Mwanaume mwenye kujaa upendo kwako Na mwenye ata kupenda katika Hali yote
Nina amini ndowa Yako itamupa mama Martha heshima kubwa na furaha ya ajabu Mungu awalinde Mungu awabariki Mungu aendelee nakuwapa utulivu
😂😂😂
Mmmmmmmmmm kumbe kwamwamposa OK ndio mana ufalme wa duniani unatafutwa sana safi
Hakika ni mnafiki😂
Martha ni kama hana furaha Mungu akupiganie
Unajua kumsoma mtu hongera sana
😅😅😅😅 canada ya lake vicent
Sasa hivi naitafuta nyimbo. Dada yangu mu gu akubariki sana.
Huyu mtoto anaita Watanzania ni wapumbavu???? Tena anamuambia mtu wa nchi jirani kuwa Watanzania ni wapumbavu? Ina maana Hata Rais'makamu wa Rais 'waziri mkuu wote wapumbavu au sio? Polisi wamkamate kwanza naona anaropoka kuchafua taifa mpk anapita kiasi
Matha mbwa ww na na huyo Johan mungu atakuhumu .
Hili pepo,eti ninawapenzi wengi,eti mama haniingilii mahusiano yangu eti yeyeto tu ananioa.🙄
Huyu ni muongo,mbona kainama,nakumueleza mtoto aseme canada,mbona mtoto akasema shule ya ukweli na huyu dada joani kasema hiyo shule amesoma akiwa udogoni,,dada wacha kushuhudia uongo,mungu atakuja kuweka kila kitu dhahiri mungu adhihakiwi.
We sio mtoto wa Martha Acha kutu enjoy wewe.
Kila mutu Wa Mungu wa kweli inabindi aelewe kwamba Siku ya Ziki ni nyingi kuliko Siku ya furaha
Ninapo kumbuka ayubu alipitia nyakati za hatari sana ilifikia wakati Mungu akamurundishia
Furaha aliyo potenza Na Kila kitu alichopoteza alirundichiwa Na Mungu
Pana Siku Martha atarundisha furaha na kunenepa atanenepa
Na unene Pia siyo zuri Yalazima wanao Muombea Wa sichoke kumuopbea pia Na yéyé Pia asirengee kumukaribia Mungu wake
Mungu ni mwema sana atapambana na watesi wake
Nina amini Mungu wangu
Ila Watu Pia wajifunze kwa huyu mama anajaa hekima ya ajabu sana na niile inanitia Moyo sana kumuombea Kila Siku aone uzee wake wafuraha
Maombi yangu kazi aliyo aza katika mateso yasi ichie njiani kazi ifike mwisho Ili apate taji kubwa mbele ya Mungu wetu
Binguni akubatiwe na kupanguzwa machozi na taabu aliyo pitia ndunia Ila mbele ya hayo yote afarijiwe kwanza apa Duniani furaha iliyo potea bandala ya miaka mingi imurundilie mara dufu
usihukumu,usije ukahukumiwa.
ila Hakika Mungu anakuona mpaka anakuona tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
God have mercy on Joan.
Alafu anakengeza huyo joan. Mshezi sanaa wewe
Tuko na ww marther mpaka joan atakavokunyonga bega too bega
Ila mm naon kama hili lijamaa nilinafki sana hili
Tena sana et mavazi Yao mazur lla na wenyewe awajitambui
Unaona vile ana amuru Martha hana chakusema
Kafunike samaki 😂😂😂
Joan utayavuna, chenye umepanda Martha si mamako
Eti mtoto anasema yuasoma Canada ni hakijui kimombo!!! "Eti nko class 5😂😂😂😂,ni grade 5 toto🤣🤣🤣🙄🙄🥱
Yani inaonekana kabisa matha ameshikwa na mfanyakazi wake kwasababu angekuwa wakumkanya angemkanya lakini mfanyazi ndiyo yupo juu kweri
Ruben mwenyewe shoga.
Tangua Kauli binti..kwahiyo sisi watanzania wote wapumbavu.??
Hata huyo reben alishapata kashfa za ushoga
Ila hakikaa😂
Yani unatiririka kwa Rubeni unajua mko pamoja maskini" anakuchota akili ,nimnafki huyo eti naona wivu kuwa mtoto wa ......
❤❤❤❤
Matha ameshanza kuzeeka
Lakin matha unaaibishwa sana sisi kama Masha biki zako unatufanya tu ishiwe nguvu hata ham yakusikiliza nyimbo zimeisha kabisa
Siyo mama yako hawezi kukuzaa mkubwa hivyo haiwezekani
Mi mtu akinipiga picha na Joan ata kwa bahati mbaya mashtaka ni the heag uhoranziii
Mungu ni wa ajabu Sana chezeni nae tu adhabu yake huwa ni ya ajabu Sana utajiona una nguvu ya kusema lolote lkn Mungu akiamua sekunde 1 tu mdomo unakosa nguvu na kila kitu kitakoma
Kwa hyo MARTHA ALZAA . MTOTO NA WANAUME WAWILI.....SHETWAN WEWE
Maskini math anatia huruma anapesa ila kakonda, binafsi napenda nyimbo zake
Tumhombehe aweze kujitambua
Mbuxi kweli hii tena mdudu asiyyeliwa ondok Kwa Martha tuone Nani mpumbavu
Pole Martha
Pole ya nini wakati yeye ana-enjoy 😅
Huyu Binti sio mzima
Ipo Siri nzito kati ya huyu na Martha...maana kauli zake amemharibu Martha mwaipaja hiyo mikataba ya shetani ni hatar san
Wacha upumbavu watanzania sio wapimbavu wewe umetoka kuzimu umekuja kumaliza Martha toa hizo milioni wape watu hata laki Moja gawa Kwa Kila mtanzania
Mbona madha kama anakaongipa haka kabinti
Yaan ..huyu mbona ni shoga
Mpare mshamba WEWE
Watanzania wapumbavu na wewe pia mpumbavu Acha kauli zako jichafueni wenyewe siyo watanzani Acha shamba wewe mtoto
Nilicho gundua martha hana amani anatamani kujitoa hawezi mana anahis kuporomoka kutokana na cv aliyo nayo.
kirundu ichi
Hahahaha kirundu kweli kweli
Jinga tu unamsaport kwa lip?? We utasaport ugomvi wa familia puuzi
Ana wa enjoy
Mmmmh mnamongelesha
Martha mama yako Yuko wapi. Sisi wa Tanzania wapumbavu duh!
Tumetukanwa wote wa Tz.dah !!!
Mmmh ubatili mtupu! Mnatia huruma!
Wewe uko na ushetani mwingi Sana kwa nini unaongelea martha Kwani martha huna mdomo Joan pesa huisha remoti ya uchawi wewe
We umemuambia aseme hivyo
Ko sahv ss watanzania ss ni wa wapumbavu?, dada kuwa na adabu . Ukisema watanzania ni wapumbavu hadi viongozi umewahusisha hadi mama samia, embu ukome kutu tukana ... vinginevyo kauli zako zitaku cost
Mbona unalazimishwa ukoo
Watanzania wapumbavu ikiwemo na wewe kwani we ni mkongo
Ushoga ni dhambi kama zngine tu awe mwizi, au muongo ni same tu
sawa tunatakiwa kupinga Dhambi zote ndio maana mwizi akikamata anauliwa
Hivi Martha hana ndugu wa damu huyu Joan mbn sio ndugu yake sasa kwa nn hivi mm natamani kumuona bite na mama wakiwa pamoja
Tafta Kuna wimbi Beatrice amemwimbia mama ake!
Huyu dada ameshapotea ,ni maombi tu kwake
Nan atakuoa?
Unajiharibia Cv
No matter watii
Sio mama yake ni Joan ni bwana Martha ni bibi
😊
Kwani wewe ni wapi unasema watanzania ni wapumbavu na wewe unashagana
Uyo mtoto mbona kama sio WA kiume
Marther na mtoto wako mmegeuzwa wafanya kaz
Yaani mwanao yuko kwenye media, we anakuuliza umefunika samaki. Mungu atusaidie na vizazi vyetu.
Kamalaya
Naataendelea kukosa amani
Joan ajui inglish hata chembe.no Swahili no service. Hatali kweli kupata sio lazima usome ni bahati tu
Hadi huyo mtoto wanasema eti anasoma Canada, naye pia hajui English 😂😂😂
Mmmmmh Ila rubeni jaman😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Watu ambo wanaharibu familia za watu
Watu wa Dunia wanaonaga tu homosexual ndo dhambi tu hakuna
kwahyo unashauri homosexual watu wasiiongelee et
Wote hao mashoga hatuwataki