Mtumishi wa Mungu Martha Rudi Kwa mama ,unapofanya kiburi,utukufu wa mungu unatoweka .unapo nyenyekea Kwa wazazi utukufu na kibali yake mwenyezi mungu itakaa nawe.
Nimeshangaa Sana huyo mchungaji feki Christna shusho kampandisha kwenye madhabahu yake ya kihuni bila hata woga anapalilia ujinga wake kwa kujifanya anapambana lkn pastor Katunzi uko poa natamani uanzishe kanisa huku una Mungu wa kweli na hekima tele Asante Mungu kwa akili ya Pastor Katunzi
Huwezi mzuia Mungu asijidhihitishe, Martha kajidhalilisha mwenyewe kwa Matendo yake nadhani hata Beatrice hakuwa anajua Mengine yaliyojificha chini ya Martha, na ukumbuke Mungu alimtumia Ili yafumuke Baada ya kujificha muda mrefu
Kumaliza uvumi ni Martha arudi kwa Mama mzazi akaombe msamaha. Awache Joan aende kwao. Beatrice hana ubaya na Martha na kweli hakujua mengine mengi ju ya martha yameliuka mtandaoni. Martha ukienda Mungu wako, nenda kwa Mama mzazi mambo yatakua sambamba.
Beauty Kawa wazi mno kwamba walianza kuimba bila Mungu wa kweli na nyimbo zao Martha na Beauty waliimba bila kutaja jina la Yesu walitaja Mungu au baba si Yesu na kwa maelezo amempata Yesu six yrs ago walikuwa chini ya miungu😢 na hana uhakika Kama dada pia ameongoka au Bado Yuko huko walikoamini nabii wa mwisho ni lyantonga mrema na maalimu seif duniani si Kila unayesikia anaimba au ana hubiri Yuko sawa
Mungu akubariki mchunganji, uneongea vyema kabisa, Beatrice alipo ongea haya maneno wa tazania mlianza kumzomea saana vibaya..... but mmesikia vile yamejitokeza mengi viche.... Martha aokoke aache kiburi bc MUNGU atamsamehe.
Joan alimtengenzea bite mazingira yakusema alitembea nashemejiake ili tu martha amchukie nduguye ili maagano yao yatimie mungu anakusudi na hili ili martha apone namungu hadhihakiwi.
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU umeongea vyema kabisa ila matha umejizalilisha sana pamoja na kanisa na ulivyo jeuri hufikilii ht kwenda kupatana na mama yako mathar wewe!? Utafikili umejizaa wewe kweli!? Hata kuachana na joani hutaki mathar kweli wewe c yule wa zamani hujui kama unamuumiza mama yako sana daaah!! Sina la kusema ila MUNGU atashughulika na wew😭😭😭😭😭
NINI WATU WA MEDIA MWACHE UHUNI. PASTOR OBED SIO MCHUNGAJI WA MARTHA, NAMI NI MSHIRIKA KATIKA KANISA LAKE, HIZI TITLE ZENU ZA KUTAFUTA VIEWS SIO NZURI, REKEBISHENI JAMBO HILO.... NI VIZURI KUTUNZA HESHIMA YA MTU NA KUTOKUMWEKA KATIKA MAMBO YASIYOMHUSU
Yesu alikuja kuwaokoa waliopotea, alikaa nao nahata kula nao, nyinyi leo mnawakimbia walio na dhambi tena kwakuwafikilia sio kuwaona, aaa wewe sio mtu wamungu, kusema hayo tu mtandaoni nimakosa, usimnyoshee vidore mtu, wakati ninyi mnajificha na kufanya unyama
Waimbaji hawaji kuperform, wanakuja kumwabudu Mungu pamoja na wale watu wa mahali pale... Tatizo ni mtazamo wako ambao yamkini umeutoa kwa mafundisho ya uongo.. Pamoja na hayo, Mungu huinua watu kwaajili ya maisha ya wale wanaotumia vipawa vyao kwa utukufu wa Mungu.
@HereAndNow_spiritReveals Kwa kukuelekeza kidogo kuabudu Mungu NI lifestyle, sio kuimba kanisani ama kukusanyika mahali pamoja... Mbona basi umtafute Martha ama mwimbaji mwingine aje kanisani kwenu kuabudu pamoja na nyinyi, mwacha Tu amwabudu Mungu aliko... The reason as to why you are calling them is the same reason as to why you should pay them. Even the Pastor who is claiming that the fellow servant of God shouldn't request for a facilitation always requests for it every Sunday in the name of offering.
Kanisa lako unaimba for free.kwanza kama imekukuza.pesa kama Iko utapewa.lakini usitilie maanani.wakati UlikuA unapractise ulianzia wapii.na ukapewa platfaom
Beatrice hana ubaya na Martha, mengi yame tokea bila yeye kujuwa. Cha busara ni martha arudi kwa Mama mzazi akapate radhi ya Mama mzazi. Beatrice kasingiziwa tu na Joan ili aonekane mbaya ila hana ubaya
Beatrice ndiye aliyemtuma Martha kuziacha njia za bwana na kufanya mambo ya mataifa? Wahuni na washirikina wote hawapendi uovu ufumuliwe lakini Mungu anaufunua kwa njia yoyote, BEATRICE abarikiwe sana na aendelee kutumiwa na MUNGU Ili afichue maovu na wenye maovu wapate kupona
Beatrice Hana kosa, alitoa ushuda wa maisha wanayopitia, Martha ni Shetani, Mungu amwangushe ndipo atajirudi sbb ana kiburi sn
Ubarikiwe mtumishi umeongea kiongozi mzuri
Mtumishi wa Mungu Martha Rudi Kwa mama ,unapofanya kiburi,utukufu wa mungu unatoweka .unapo nyenyekea Kwa wazazi utukufu na kibali yake mwenyezi mungu itakaa nawe.
Nimeshangaa Sana huyo mchungaji feki Christna shusho kampandisha kwenye madhabahu yake ya kihuni bila hata woga anapalilia ujinga wake kwa kujifanya anapambana lkn pastor Katunzi uko poa natamani uanzishe kanisa huku una Mungu wa kweli na hekima tele Asante Mungu kwa akili ya Pastor Katunzi
Huyu anakiburi cha kipepo kabisaaa,Mungu ampe pigo moja la maaana
Pigo ndio hilo ashapewa,yani Mungu amemwanika matendo yake peupe dunia nzima
Well said mtumishi ...ubarikiwee
Nikweli ubarikiwe kwaneno❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki sana,Mchungaji. Umeongea vema kwa kuwa hujatetea uovu.
Huwezi mzuia Mungu asijidhihitishe, Martha kajidhalilisha mwenyewe kwa Matendo yake nadhani hata Beatrice hakuwa anajua Mengine yaliyojificha chini ya Martha, na ukumbuke Mungu alimtumia Ili yafumuke Baada ya kujificha muda mrefu
Hakika
Haujui kanuni za biblia ndyo maana, kama unaamini biblia soma vzr uelewe
@YasintaMpanduji Sio wewe ujifunze Biblia Uelewe huyo mtu wenu kuvunja Amri ya 5 ktk zile kuu 10?
@NtuliSuzan Yesu mwaka huu hataki kusingiziwa yani hebu fikirikia ameroga mikutano mingapi na .makanisa mangapi
@@NtuliSuzan wewe uko kizani kabisa, afadhali yangu Mimi nazidi kujifunza na Kuna kitu nafahamu,
Kumaliza uvumi ni Martha arudi kwa Mama mzazi akaombe msamaha. Awache Joan aende kwao. Beatrice hana ubaya na Martha na kweli hakujua mengine mengi ju ya martha yameliuka mtandaoni. Martha ukienda Mungu wako, nenda kwa Mama mzazi mambo yatakua sambamba.
Asante mchungaji roho wa mungu wa kweli anaishi na yu ndani yako.
Martha wende omba mama musamaha
Mchungaji Bwana akubariki. Umeongea vizuri.
Saf san mchungaji.
Mungu akuinue
Martha anaimba kweli lakini amejazwa na kiburi sana mungu amuindolee hicho kiburi na arudi Kwa mama aombe msamaha
Umeferi mafha umeferi sana jifunze kwa bahati bukuku anatafutu picha ya mama wewe je ujaguswa na maneno yake amka dogo aiibu
Mchungaji asante umeongea vizuri wala ujatetea wovu kisha Martha ni muwumini wako.Nakushukuru
Umenena yaliyo ya Mungu,Mungu wa mbibguni azidi kukuwekea wigo……hawa watu wanatumia Bibilia ipi?
Beauty Kawa wazi mno kwamba walianza kuimba bila Mungu wa kweli na nyimbo zao Martha na Beauty waliimba bila kutaja jina la Yesu walitaja Mungu au baba si Yesu na kwa maelezo amempata Yesu six yrs ago walikuwa chini ya miungu😢 na hana uhakika Kama dada pia ameongoka au Bado Yuko huko walikoamini nabii wa mwisho ni lyantonga mrema na maalimu seif duniani si Kila unayesikia anaimba au ana hubiri Yuko sawa
Mungu akubariki mchunganji, uneongea vyema kabisa, Beatrice alipo ongea haya maneno wa tazania mlianza kumzomea saana vibaya..... but mmesikia vile yamejitokeza mengi viche.... Martha aokoke aache kiburi bc MUNGU atamsamehe.
Kanisa au Kristo? Aisee, kweli Mungu ni pekee mwenye rehema
Joan alimtengenzea bite mazingira yakusema alitembea nashemejiake ili tu martha amchukie nduguye ili maagano yao yatimie mungu anakusudi na hili ili martha apone namungu hadhihakiwi.
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU umeongea vyema kabisa ila matha umejizalilisha sana pamoja na kanisa na ulivyo jeuri hufikilii ht kwenda kupatana na mama yako mathar wewe!? Utafikili umejizaa wewe kweli!? Hata kuachana na joani hutaki mathar kweli wewe c yule wa zamani hujui kama unamuumiza mama yako sana daaah!! Sina la kusema ila MUNGU atashughulika na wew😭😭😭😭😭
Martha mwaipaja kiburi ndo kina msumbua ana kiburi cha ndani
Umeongea kweli mtumishi
Usagaji NI balaa Duniani laana
NINI WATU WA MEDIA MWACHE UHUNI. PASTOR OBED SIO MCHUNGAJI WA MARTHA, NAMI NI MSHIRIKA KATIKA KANISA LAKE, HIZI TITLE ZENU ZA KUTAFUTA VIEWS SIO NZURI, REKEBISHENI JAMBO HILO.... NI VIZURI KUTUNZA HESHIMA YA MTU NA KUTOKUMWEKA KATIKA MAMBO YASIYOMHUSU
Chamuhimu tu hapo Joan atoke Kwa Martha maana Joan ndo kamuharibia familiya yake na Bado wanakunywa pombe yeye akatubu Kwa mamayake
Sioni sababu za kudeal na mtu mwenye akili zake ambae issue ya Mungu ni yake binafsi
Maana ya mchungaji ni nini???
Ukomutumishikabisa
Huyo joan ndo wakulaaniwa mpk basi mm nshawah kugombana nae huyo bint kwenye sm
Rihgt to worship, ñyie ni nan muhukumu watu, muacheni matha anajua nn anafanya,
If this is Martha's pastor, she need to look for another church.
Mutumishi hatanyinyi piamunachukuwapesa hujuwi moyo wake anaimba kujishibisha shows unavyosema
Wameshindwa Kwel kumzibiti asifike kanisa rorote
Ataenda kwenye kanisa la Christina shusho
Ataenda kwenye kanisa la Christina shusho
😢😢😢😢😢😢
Yesu alikuja kuwaokoa waliopotea, alikaa nao nahata kula nao, nyinyi leo mnawakimbia walio na dhambi tena kwakuwafikilia sio kuwaona, aaa wewe sio mtu wamungu, kusema hayo tu mtandaoni nimakosa, usimnyoshee vidore mtu, wakati ninyi mnajificha na kufanya unyama
Huyu amepoteza muhumini
Usemavyo nikweli mtumishi
Lakini mchungaji anataka kukatibisha mwimbaji kanisani aperform free jamani?
Waimbaji hawaji kuperform, wanakuja kumwabudu Mungu pamoja na wale watu wa mahali pale... Tatizo ni mtazamo wako ambao yamkini umeutoa kwa mafundisho ya uongo..
Pamoja na hayo, Mungu huinua watu kwaajili ya maisha ya wale wanaotumia vipawa vyao kwa utukufu wa Mungu.
@HereAndNow_spiritReveals Kwa kukuelekeza kidogo kuabudu Mungu NI lifestyle, sio kuimba kanisani ama kukusanyika mahali pamoja... Mbona basi umtafute Martha ama mwimbaji mwingine aje kanisani kwenu kuabudu pamoja na nyinyi, mwacha Tu amwabudu Mungu aliko... The reason as to why you are calling them is the same reason as to why you should pay them.
Even the Pastor who is claiming that the fellow servant of God shouldn't request for a facilitation always requests for it every Sunday in the name of offering.
Kanisa lako unaimba for free.kwanza kama imekukuza.pesa kama Iko utapewa.lakini usitilie maanani.wakati UlikuA unapractise ulianzia wapii.na ukapewa platfaom
Pedamama
Beatrice ndo kalidhalilisha ye ndo alianza
Beatrice hana ubaya na Martha, mengi yame tokea bila yeye kujuwa. Cha busara ni martha arudi kwa Mama mzazi akapate radhi ya Mama mzazi. Beatrice kasingiziwa tu na Joan ili aonekane mbaya ila hana ubaya
Beatrice ndiye aliyemtuma Martha kuziacha njia za bwana na kufanya mambo ya mataifa? Wahuni na washirikina wote hawapendi uovu ufumuliwe lakini Mungu anaufunua kwa njia yoyote, BEATRICE abarikiwe sana na aendelee kutumiwa na MUNGU Ili afichue maovu na wenye maovu wapate kupona
Na mama yake je? Ebu muache bite wa watu
Martha ndie kanisa? Yaani sisi tupate hofu ya kumfuata Yesu kisa Martha.Martha na Yesu nani zaidi
Martha haezi kukubali kosa mnawakua wanyakyusa nyie
Wanyakyusa wamefanyaje ongea kilichopo kumbuka kila kabila yupo mwenye kiburi na mwenye hekima ko swala la mnyakyusa halihusian
Wanyakyusa tumefanyaje? Usihukumu wanyakyusa kwa mtu mmoja mpumbavu. Acha ujinga wewe
😂😂@@sekelamwasipaja-ue3zl
Picha yazamani hii bado hawaja payana
Munish alisema alisikia. May God strike you all for false testimonies. 😢😢😢😢